Ni kweli Wanaume Wanapenda Wanawake Wenye Matiti Makubwa ?

Kwa mujibu wa utafiti wa kisayansi uliofanywa hivi karibuni nchini Marekani na Uingereza kisha kuripotiwa na Jarida la New Study umebainisha kwamba, wanawake wenye matiti makubwa huwasisimua zaidi wanaume kimapenzi kuliko wengine. Jane Pincott Mwandishi wa masuala ya sayansi amekiri katika kitabu chake cha ‘Do Gentleman Really Prefer Brondes’ kwa kueleza kinagaubaga juu ya utafiti …

TUMIA MBINU HII KUMSHANGAZA MPENZI WAKO AKUPENDE ZAIDI

Ufunguo wa moyo wa mwanamke huwa ni kupitia kwa rafiki zake, kama rafiki zake wakipendezwa na wewe, huyo mwanamke aliekukonga moyo basi nawe utakuwa umeanza kuuteka taratibu, kiufupi utakuwa umeupata kila kitu kuhusu yeye, namba ya mwenye nyumba wake mpaka namba ya jirani yake, ukiwafurahisha rafiki zake basi barabara yako ya wewe na yeye imeshaanza …

Sms tamu za mahaba kwa mpenzi wako jioni hii ya leo

Siku zote kwangu ni sherehe ni wewe unishereheshaye,  ukweli usio na kejeli mapenzi yako yanatii kiu yangu, moyoni mwangu nimeridhia… Nakupenda daima mpenzi!****Ahsante Mungu shukrani kwako mama, pongezi kwako mpenzi kuwa wangu mtetezi kwenye jahazi la mapenzi, ufundi na ujuzi unao hasa tuwapo wawili chumbani. Penzi lako halichakai daima huzaliwa jipya.******Mapenzi ni upepo, mimi sivumi na …

Mambo 39 Yanayovunja Ndoa

Mambo 39 Yanayovunja Mahusiano Ya Kimapenzi Au Ndoa1. Kutokuwa na mawasiliano ya karibu na mwenzi wako.2. Kutojali maumivu ya mwenzi wako.3. Ubishi usiokuwa na maana.4. Kupenda kujihesabia haki.5. Kutokubali makosa.6. Kutokuwa na roho ya msamaha.7. Kutokuwa muwazi kwa mwenzi wako.8. Usaliti wa mapenzi.9. Kuigiza kupenda.10. Kutomheshimu mwenzi wako.11. Kuwa mjuaji kila kitu unajifanya unajua.12. Kutokutambua …

MAMBO YA KUZINGATIA KABLA YA NDOA

Mungu alimfanya mke kutoka kwa mume, awe mwenziwe na msaidizi wake akaye pamoja naye, kumfurahisha, kumtia moyo na kumpendeza, naye mume amepaswa kuwa msaidizi wake imara. Wote wanaoingia katika umoja wa ndoa wakiwa na kusudi takatifu mume kuyapata mapenzi safi ya moyo wa mke, na mke kulainisha na kuikuza vizuri tabia ya mumewe na kuikamilisha …

SMS-TAMU-MPYA-ZA-MAHABAaft

SMS nzuri ya usiku mwema kwa sweet wako Usiku wa leo uwe ni wenye faraja kwako, utawaliwe na usingizi wa mahaba kwenye kope zako, naomba ujenge taswira yangu katika mawazo yako, Usisahau kuniota sweet wangu. USIKU MWEMA 🔥♥♥♥ SMS nzuri ya kumsihi mpenzi wako asikuchoke na asichoke kukupenda kwani unampenda sana Thamani ya Mapenzi yako …

HIZI HAPA FAIDA 10 ZA KUFANYA MAPENZI ASUBUHI

Wanasayansi wamekuwa wakifanya tafiti mbalimbali zinazohusu maswala ya Mapenzi na wengi wao wanagundua kuwa kufanya ngono ama mapenzi si tu kujihisi au kujisikia vizuri. Pia inaweza kuwa nzuri kwa ajili ya Afya zenu. Hapa ni kile ambacho maisha ya kimapenzi kiafya yanaweza kufanya kwa ajili yenu au yako. Soma zaidi ufahamu faida hizi za kushangaza …

USIMLAUMU KWA KUCHEPUKA YAWEZEKANA WEWE NDO CHANZO

N I  Alhamisi nyingine nzuri tunapokutana katika uwanja wetu huu mzuri, kujuzana na kujadiliana kuhusu mambo mbalimbali yanayohusu uhusiano wa kimapenzi.   Leo nataka tujadiliane kitu tofauti kidogo ambacho huenda kikawaudhi baadhi ya watu na kuwafurahisha wengine. Lakini, kwa kuwa lengo letu ni kuwekana sawa, ni lazima tulizungumzie. Napenda kuzungumza zaidi na wanawake. Kama wewe ni mwanamke, umewahi …

MESEJI ZA MAPENZI ZA KUMTOA NYOKA PANGONI

Baada ya kuona Watu wanawaandikia wapenzi wao meseji za kawaida zisizo romantic, nmeona niwakusanyie meseji japo uwe unacopy na kumpastia umpendae.Hii itasaidia kuamsha mapenzi na kumfanya mpenzi wako ajisikie poaJust mtumie meseji moja kati ya hizi uone majibu yake; .Niseme nini ujue nakupenda? Nifanye nini ujue nakupenda?Nikuite jina gani ujue ni wewe peke yako upo …

Design a site like this with WordPress.com
Get started