UHUSIANO wa kimapenzi ni jambo gumu sana. Ugumu wake unatokana na ukweli kwamba, mwanaume aliyezaliwa na kulelewa katika mazingira tofauti, anakutana na mwanamke ambaye naye amezaliwa na kukulia katika mazingira mengine. Wawili hawa wanaanza ukurasa mpya wa maisha, kila mmoja akiwa na historia tofauti kabisa ya huko alikotoka, unategemea itakuwa rahisi kwa wawili hawa kuishi …
Author Archives: mapenziapp
JE WAJUA UKIMFANYIA HAYA MPENZI WAKO HAWEZI KUKUSAHAU KAMWE
Habari yako ndugu msomaji? Natumaini u mzima na mwenye afya njema. 1. KILA siku usisahau kumsifia kwa kumwambia ni kiasi gani alivyo mzuri. Kumbuka kila msichana anapenda kusifiwa hivyo unapomuambia yeye ni mzuri anaona una mthamini kuliko msichana yeyote awaye. 2. Wakati wowote ukipata nafasi muandikie barua au msg kwenye simu mueleze hisia zako kiasi …
Continue reading “JE WAJUA UKIMFANYIA HAYA MPENZI WAKO HAWEZI KUKUSAHAU KAMWE”
JINSI YA KUAMSHA MAHABA NA MAPENZI KATIKA MAHUSIANO
Hizi hapa njia za kuamsha na kudumisha uhusiano mzuri kati yako na mpenzi wako hasa baada ya kuwa mmeshazoeana sana na kuhisi kuchokana. Dumisha faragha katika mahusiano yenu Hakikisha kunakua na faragha katika mahusiano yako na mpenzi wako. Vile vile itahakikisha kuwa wewe na mpenzi wako mnakuwa na wakati wa kutosha kustarehe bila wasiwasi. Usiruhusu …
Continue reading “JINSI YA KUAMSHA MAHABA NA MAPENZI KATIKA MAHUSIANO”
MAMBO AMBAYO MWANAMKE HAWEZI KUYAWEKA WAZI KATIKA MAHUSIANO
Unapoanzisha mahusaino na mwanamke yeyote yule fahamu fika yapo baadhi yavitu hawezikukwambia na baadhi ya mambo hayo ni;1. Idadi ya wapenzi wake wa zamaniWanaume wengi hupenda kujua wao ni wangapi kuwa na mwanamke Fulani. Lakini mwanamke kamwe hawezi akakwambia wewe ni wa ngapi. Kumuuliza jambo hili kunamkera sana mwanamke na ndio maana mara nyingi hawezi …
Continue reading “MAMBO AMBAYO MWANAMKE HAWEZI KUYAWEKA WAZI KATIKA MAHUSIANO”
Wanaume kabla ya kuoa huangalia mwanamke mwenye sifa hizi
Wanaume wengi wanapofikia hatua ya kuoa si kwamba wanakurupuka tu na kuoa mwanamke yeyote mwenye sura nzuri, bali huchukua muda wao mwingi kuchunguza mambo mengi juu ya wake ambao wanadhani kwamba wanaweza kuwa pamoja kwa kipindi chote cha maisha. Wanawake wengi wanajisahau na kudhani kwamba kitu kinachoweza kuwafanya wakapata wachumba ni uzuri hivyo kupoteza muda …
Continue reading “Wanaume kabla ya kuoa huangalia mwanamke mwenye sifa hizi”
Aina 10 ya wanawake wanaopendwa na wanaume
WENYE MSIMAMOWanawake daraja la kwanza wanaopendwa zaidi na wanaume ni wale wenye msimamo, uelewa mkubwa wa mambo na maamuzi sahihi, wako makini kwenye matendo yao na siku zote hufanya vitu kwa ajili ya kupata mafanikio. WAPENDA USAWAAina ya pili inayohitajika katika katika ulimwengu wa kimapenzi ni wanawake wanaoheshimu usawa wa jinsia, walio tayari kubeba majukumu …
Continue reading “Aina 10 ya wanawake wanaopendwa na wanaume”
Jinsi ya kuamsha mahaba na mapenzi katika mahusiano
Hizi hapa njia za kuamsha na kudumisha uhusiano mzuri kati yako na mpenzi wako hasa baada ya kuwa mmeshazoeana sana na kuhisi kuchokana.Dumisha faragha katika mahusiano yenuHakikisha kunakua na faragha katika mahusiano yako na mpenzi wako. Vile vile itahakikisha kuwa wewe na mpenzi wako mnakuwa na wakati wa kutosha kustarehe bila wasiwasi. Usiruhusu siri zako …
Continue reading “Jinsi ya kuamsha mahaba na mapenzi katika mahusiano”
Jinsi ya kutumia sekunde tatu kumtongoza mwanamke
Habari za muda huu mdau na mfuatiliaji wa makala mbalimbali zinazokujia kupitia mtandao huu wa Muungwana Blog bila shaka umzima wa afya na unaendelea vyema na majukumu yako ya kila siku. Naomba nichukue walau dakika zako chache kuweza kukujuza mbinu hii ya sekunde tatu kuweza kumtongoza mwanamke yule umtakaye na endapo utatumia sekendu hii tatu …
Continue reading “Jinsi ya kutumia sekunde tatu kumtongoza mwanamke”
Jinsi Ya Kumzuzua Mwanamke Na Kumsuka Mpaka Akupende
Kila mwanaume anapenda kutaka kujua jinsi ya kumzuzua mwanamke mpaka ampende. Lakini wengi hushindwa kutimiza azma hii kwa kuwa hawajui mambo muhimu ya kufanya ili aweze kumzuzua mwanamke. Je, uko tayari kuzijua mbinu TANO kuu za kumfanya mwanamke azuzulike kwako? Najua labda ushawahi kuwaona mwanamke fulani wakiweza kuzuzuliwa na mwanaume, na mwanamke kama huyu anacheka …
Continue reading “Jinsi Ya Kumzuzua Mwanamke Na Kumsuka Mpaka Akupende”
Hizi ndio dalili 8 za kuonyesha umependwa na mwanaume lakini anaogopa kukuambia.
Tukija maswala ya kutongoza, kuna mitindo tofauti tofauti ambayo wanaume hutumia ili kufaniikisha lengo lao. Kuna ule msemo unaosema ‘mwenda tezi na omo marejeo ni ngamani, yaani unaweza kufuata njia tofauti tofauti kufika pahali lakini mwishowe utarudi pale pale sehemu moja, kewahiyo kwa wanaume kila mmoja ana mbinu yake ya kutongoza. Usije kusema kuwa mwanaume …
Continue reading “Hizi ndio dalili 8 za kuonyesha umependwa na mwanaume lakini anaogopa kukuambia.”