Katika ulimwengu wa sasa kuwa na uhusiano wa mapenzi na zaidi ya mtu mmoja ni kitu cha kawaida sana. Hapa nikilenga jinsia zote kuanzia wale walio ndani ya ndoa na ambao bado. ILIVYOZOELEKA Awali wanaume ambao kiasili huongozwa na tamaa ya muda mfupi ya kufanya mapenzi ndiyo pekee waliokuwa wakihusishwa na wapenzi wengi suala ambalo …
Continue reading “Kuwa na wapenzi wengi ni tatizo la kisaikolojia”