MAMBO YA KUZINGATIA KABLA HAUJAWA MJAMZITO

UJAUZITO ni safari ndefu inayomchukua mwanamke miezi tisa au majuma arobaini hadi kujifungua. Ni safari yenye mikikimikiki na hatari nyingi kwa mama na mtoto. Tusichukulie suala la ujauzito kama jambo la kawaida ingawa pia ni wajibu kwa mwanamke.Ujauzito siyo hali ya hatari au kutisha endapo mambo ya msingi yatazingatiwa kabla ya kuwa mjamzito na kipindi …

Ulishajiuliza Unapenda Nini Kwa Mpenzi Wako?

Mnatafuta nini ndani ya wenza wenu ni kitu gani mnaangalia/mnakiona ndani ya mtu unayeamua kuwa naye kama mchumba/mume/mke. Je, ni macho yake au tabasamu, ama ni muonekano wake, uchangamfu au upole, ni kitu gani unachokiona ndani ya mtu kinachokuvutia. Wengine wanavutiwa jinsi mtu anavyofikiria, au mwili wake, wewe je? Unaweza ukawa umevutiwa na kitu kimojawapo, …

RAHA YA MCHEZO NI MAANDALIZI YA KISAIKOLOJIA SIYO UCHAWI

JUMAA ya leo ningependa tujadiliane jambo la tofauti kidogo! Kabla ya yote, tukubaliane kwamba usiri na kukosa uwazi kwenye mambo yahusuyo faragha, ni tatizo ambalo limesababisha uhusiano na ndoa nyingi kuvunjika.   Unakuta mtu ana tatizo kubwa kati yake na mwenzi wake, kwa sababu alishaaminishwa kwamba mambo haya ni siri na hayatakiwi kuzungumzwa popote, anabaki akiugulia ndani …

SMS-TAMU-MPYA-ZA-MAHABAaft

SMS nzuri ya usiku mwema kwa sweet wako Usiku wa leo uwe ni wenye faraja kwako, utawaliwe na usingizi wa mahaba kwenye kope zako, naomba ujenge taswira yangu katika mawazo yako, Usisahau kuniota sweet wangu. USIKU MWEMA 🔥♥♥♥ SMS nzuri ya kumsihi mpenzi wako asikuchoke na asichoke kukupenda kwani unampenda sana Thamani ya Mapenzi yako …

Faida zitokanazo na kufanya mapenzi pekee,

Kufanya mapenzi ni jambo muhimu sana katika mahusiano. Huwakutanisha na kuwaweka pamoja wewe na mpenzi wako. Mapenzi hulifanya penzi lenu kuwa hai. Kufanya mapenzi ni kichocheo muhimu cha kuamsha hisia zenu za kimahaba. Hii ni mada kuu inayopendwa na huongelewa sana na wanaume pamoja na wanawake. Ni kitu ambacho kila mtu hukifikiria hata kama hawako …

AutMANENO MATAMU YA MAPENZI YA KUMWAMBIA MSICHANA.o Draft

Kwa hili naamini maneno matamu, wakati ule unapokuwa unajaribu kupata msichana umtakae maishani mwako ili uuteke moyo wake awe wako, unahitaji kujifunza  jinsi ya kutumia  maneno matamu. Lakini ukumbuke si kila neno linaweza kuugusa moyo wa mwanamke. Lakini maneno matamu  hufanya vitu vya kushangaza sana , humtoa nyoka pangoni. Wakati wanaume wengine wanalalamika  ni jinsi …

Auto DraftJUA MAMBO MUHIMU WAKTI WA KUFANYA TENDO LA NDOA (KWA WANENE TU)

Mmoja kati ya wanasayansi maarufu hapa duniani amegundua kuwa watu wanene wanapata raha zaidi katika tendo la ndoa ukilinganisha na watu wembamba.  Mwanasayansi huyo aitwaye Dr. James Watson ambaye amekwishawahi kushinda tuzo za NOBEL kwa ubingwa wake ulipelekea ugunduzi wa muundo wa DNA,anaamini kabisa kuwa watu wanene wana uwezo mkubwa wa kufurahia tendo la ndoa …

AINA 10 YA WANAWAKE WANAOPENDWA NA WANAUME

1. WENYE MSIMAMOWanawake daraja la kwanza wanaopendwa zaidi na wanaume ni wale wenye msimamo, uelewa mkubwa wa mambo na maamuzi sahihi, wako makini kwenye matendo yao na siku zote hufanya vitu kwa ajili ya kupata mafanikio. 2. WAPENDA USAWAAina ya pili inayohitajika katika katika ulimwengu wa kimapenzi ni wanawake wanaoheshimu usawa wa jinsia, walio tayari …

IFA ZA MWANAMKE MNENE AWAPO KITANDANI NA RAHA YAKE.

Mwanamke mnene ni mtamu sana, ana joto kali sana ndani ya uke, ana nyamanyama ambazo hazimuumizi mwanaume wakati wa kutoa mastyle, mwanamke mnene akikaa style ya chuma mboga basi lile sponji la nyuma loooote lasababisha maangamizi ya ………………………………..Watu wanasema eti wanawake wanene wananuka na huwa na fangasi?Aliewaambia wanene wananuka nani? wanaonuka ni kwa sababu hawajui …

HIZI HAPA FAIDA 10 ZA KUFANYA MAPENZI ASUBUHI

Wanasayansi wamekuwa wakifanya tafiti mbalimbali zinazohusu maswala ya Mapenzi na wengi wao wanagundua kuwa kufanya ngono ama mapenzi si tu kujihisi au kujisikia vizuri. Pia inaweza kuwa nzuri kwa ajili ya Afya zenu. Hapa ni kile ambacho maisha ya kimapenzi kiafya yanaweza kufanya kwa ajili yenu au yako. Soma zaidi ufahamu faida hizi za kushangaza …

Design a site like this with WordPress.com
Get started