JITAHIDI UISHI KATIKA UHARISIA KATIKA MAHUSIANO

Najua kila mmoja ana malengo na mahusiano yake,,,ni vizuri lakini kuna jambo moja ambalo naomba Mungu akusaidie,,kuna watu wana maneno mengi sana,wanapenda kujionyesha kwa watu,kujitangaza na kujisifia lakini hawaishi sawa na wanavyoongea,,na ndo hapo dada usipokuwa makini unaingia kirahisi na ahadi kibao na sifa kibao,,kakusifia kumbe mtu huyo ni wa mdomoni na siyo vitendo,,jifunze na …

Hii Hapa Siri Kwa Wanawake Wasaka Ndoa..Chunga Sana la Sivyo Utaishia Kumegwa na Kuachwa

Hizi ndo marks (majibu) ya kupata ndoa mapema……….Hii inawahusu hadi wale walio kwenye uchumba chronic/sugu Hamna haja ya kunywa mchina uongeze makalio,wala kuenda kwa sangoma upate ndoa ndani ya siku 3 ,ukiona miaka mvua za masika zinakukatikia hujaitwa Mrs somebody habari Haya hapa  Mambo ambayo mwanaume anafanya kukutest kama wewe msichana unafaa kuwa mke wake: …

AINA YA WANAWAKE AMBAO WATAFANYA MAISHA YAKO KUWA MAGUMU

Kila mtu hapa ulimwenguni ameumbwa na sifa tofauti tofauti. Kuna wengine wameumbwa na tabia za kuridhisha na wengine wameumbwa na tabia ambazo hazifurahishi. Hii pia inajitokeza katika wanawake. Katika mahusiano, utapata kuwa wanawake wanakuwa na tabia ambazo aidha zinawapendeza wanaume wao ama zinawachukiza. Ok. Katika kuangalia tabia za wanawake, tumekuja na orodha ya wanawake ambao …

Fahamu Aina ya Kulala Inavyoelezea Kipimo cha Mapenzi Katika Mausiano

Wakati wa kulala si lazima wapenzi wafuate utaratibu ule ule kila mara.Hii inawezekana msimamo wa akili ulivyo kwa wakati huo.Fuatilia mitindo ya ulalaji na maana yake::KUKUMBATIANAMtindo huu hutumika sana kwa miaka 5 ya mwanzo wa ndoa.Mume huweka miguu juu ya mkewe na mikono kumkumbatia eneo la kifuani.Aina hii hupendwa sana na wanawake kwani hujiona yuko …

Siri za kudumu katika mahusiano ya kimapenzi .

Watu wengi wanatamani kudumu kwenye uhusiano lakini bahati mbaya huwa inashindikana. Mtu ambaye hadumu kwenye uhusiano, si kwamba anakuwa hapendi bali inatokea tu kutokana na sababu mbalimbali. Inatokea kwa sababu, huenda pengine ni kutokana na tabia zake au za mwenzake. Mfano, yawezekana akawa na ‘mdomo’ sana, yawezekana akawa mbinafsi. Au ana hulka ya ugomvi lakini …

AINA YA WANAWAKE AMBAO WATAFANYA MAISHA YAKO KUWA MAGUMU

Kila mtu hapa ulimwenguni ameumbwa na sifa tofauti tofauti. Kuna wengine wameumbwa na tabia za kuridhisha na wengine wameumbwa na tabia ambazo hazifurahishi. Hii pia inajitokeza katika wanawake. Katika mahusiano, utapata kuwa wanawake wanakuwa na tabia ambazo aidha zinawapendeza wanaume wao ama zinawachukiza. Ok. Katika kuangalia tabia za wanawake, tumekuja na orodha ya wanawake ambao …

Mbinu za kumfanya mwanamke akukubali

Uwe na muonekano mzuriWanawake wanapenda wanaume wasafi na watanashati kwa hiyo ukiwa msafi na mtanashati utakua na mvuto kwake. Hivyo utakapoamua kumshawishi kufanya mapenzi itakua rahisi yeye kuwa rahisi kukubali. Mfanye ajisikie huru Ni rahisi mwanamke kufanya mapenzi na mtu anayejisikia huru mbaele zake na ambaye yupo huru kuongea na kufanya nae mambo mengine ya …

Sababu nne za ugomvi katika mahusiano ya kimapenzi

Kuna baadhi ya makabila hapa Tanzani wanaamini ugomvi katika mahusiano ni sehemu ya upendo, sijui kama ni kweli juu ya imani hii. Japo zipo sababu mbalimbali zinafanya mahusino mengi kutumbukia kwenye ugomvi katika mahusiano ya kimapenzi na sababu hizo ni pamoja; Masuala ya FedhaJapokuwa fedha si msingi wa mapenzi, lakini ni kitu ambacho kinahitajika sana …

Mama kuwa makini House Girl Yaweza Kuwa Mke Mwenzio

Hivi ni vibaya House girl kuolewa na baba mwenye nyumba? Ndugu msomaji wa Muungwana Blog, karibu kwenye makala hii maalumu, nimeamua kuandika habari hii ili kujaribu kupunguza mifarakano kwenye familia zetu especially familia zenye wafanyakazi wa ndani wanaojulikana kama house girl. Katika mada hii nimekuwa nikikutana na maswali mengi sana ambayo mda mwingine yalikuwa yakituchanganya …

Mfanye Aliyekuacha Akutamani tena kwa njia hizi.

Kumfanya mpenzi wako wa zamani kurudiana na wewe si jambo la rahisi kutimiza, haswa kama iwapo ameshachukua hatua ya kusahau yaliyopita na kupata mchumba mpya ambaye wanadate. jinsi ya kumvutia mpenzi wako wa zamani arudiane naweWakati mwingine, inafaa ujipende wewe mwenyewe zaidi ili kufanya mtu mwingine naye akupende. Inafaa uwashe kitu fulani ndani yako; ili …

Design a site like this with WordPress.com
Get started