Asante sana kwa kuendelea kutembelea Muungwana blog siku ya leo tunataka kuzungumza na wewe mambo muhimu yatakoyokufanya uweze kudumu katika mahusiano.,Ili uweze kudumu katika masuala ya mahusiano ya kimapenzi ni lazima ujue ya kwamba ipo haja ya kujua mambo haya yatakayokusaidia wewe kudumu katika mahusiao hayo. 1. ImaniUpendo unahitaji imani ni kuwa na uhakika wa …
Author Archives: mapenziapp
Hizi Hapa Mbinu za Kujitibu Tatizo la Nguvu za Kiume
Tatizo la nguvu za kiume limekuwa ni tatizo kubwa sana, tumekuwa tukishudia michepuko mingi ikiongezeka kila kukicha huku wengine wakithubutu hata kuvunja mahusiano yao hii ni kwa sababu ya tatizo hili, hivyo ili kuweza kuondokana na tatizo hili ipo haja ya kutambua namna ambavyo tunaweza kujitibu tatizo hiloZifutazo Njia 13 za kujitibu tatizo la kupungukiwa …
Continue reading “Hizi Hapa Mbinu za Kujitibu Tatizo la Nguvu za Kiume”
Umuhimu wa kusema samahani katika mahusiano ya mapenzi
Wanapokuwa watu wawili kwenye mahusiano, lengo lao linakuwa ni moja ambalo ni kupendana. Lakini kuna misunderstanding ambayo huwa hahikosi kwa wawili hawa hata kama ni wakamilifu kiasi gani. Cause no one who is perfect always!! Ila kuna jambo ambalo huwa lipo katikati yao pia ambalo ni kuelewana, na safari inaendelea. Kwenye mapenzi kuna njia tofauti …
Continue reading “Umuhimu wa kusema samahani katika mahusiano ya mapenzi”
Njia nyepesi ya kukonga moyo wa mwanamke pasipo gharama
Mawasiliano mazuri kati ya mke na mme ni muhimu sana kwa ajili ya ustawi wa mahusiano ya wawili wapendanao. Inasemwa kuwa kuvunjika kwa mawasiliano pekee katika mahusiano kunasababisha mifarakano au kuvunjika kwa mahusaiano kati ya mke na mme kuliko sababu nyingine. Wataalamu wa mapenzi na hisia za binadamu wanaeleza kuwa wanawake wanaguswa sana kwa maneno …
Continue reading “Njia nyepesi ya kukonga moyo wa mwanamke pasipo gharama”
Fahamu jinsi ya kupata mpenzi bora
Unapochagua mpenzi wa maisha unatakiwa kuhakikisha unachagua mpenzi ambaye mtaendana naye kitabia, wengi wa wanawake na wanaume wengi wao utawasikia wakisema mimi nataka mpenzi asiye mlevi wakati huo yeye mwenyewe ni mlevi, kwa kufanya hivi kama utapata mpenzi, ni lazima mapenzi hayo hayatadumu kwa sababu utakuwa umepata mtu ambaye hamuendani kitabia na kihisia pia. Hivyo …
Sababu za wanaume wengi kukimbiwa na wanawake
Imezoeleka katika jamii kwamba wanaume hukimbiwa na wanawake kwa kukosa kipato au alichonacho ni kidogo, au muonekano na maumbile ya mwanaume bila kuzingatia kwamba wanawake huangalia vitu vingine zaidi ili kugundua kama wanaweza kuishi na aina hiyo ya mwanaume. Zifuatazo ni sababu zinazowafanya wanawake wakimbie mahusiano na wanaume wenye tabia hizi:- Kulazimishwa au kusukumwa kwenye …
Continue reading “Sababu za wanaume wengi kukimbiwa na wanawake”
Hizi Ndio Amri 10 Za Kumfanya Mwanamke Awe na Furaha.
1. MPIGIE SIMU HATA MARA 1 KWA SIKU KUMJULIA HALI. UKIBANWA SANA, JARIBU KUMTUMIA HATA UJUMBE MFUPI KUONYESHA UNAMJALI. 2. MSIKILIZE KWA MAKINI WAKATI AONGEAPO. 3. CHUNGUZA KWA MAKINI VITU ANAVYOPENDA NA ASIVYOPENDA. 4. MSIFIE/MPONGEZE VIZURI NA KWA DHATI MARA NYINGI IWEZEKANAVYO. 5. MNUNULIE KADI AMA MAUA, WAKATI MWINGINE.SIO LAZIMA VYA BEI MBAYA. 6. MPELEKE …
Continue reading “Hizi Ndio Amri 10 Za Kumfanya Mwanamke Awe na Furaha.”
SIO KILA MPENZI ANAWEZA KUWA MUME AU MKE
MUNGU ni mwema, ni siku nyingine tunakutana katika uwanja wetu wa mahaba. Hapa tunapata kujifunza, kujadiliana na kuweza kupeana ushauri wa maswala ya mahusiano. Ulimwengu wa sasa una changamoto nyingi. Ni vigumu sana kumpata mtu sahihi maana kila mtu ana maumivu yake. Watu wengi wamejeruhiwa, wanajuta kupenda kutokana na waliyoyapitia. Lakini nikutie moyo tu wewe unayesoma sasa, …
MWANAUME KAMA HUNA PESA NA UNATAKA USIFE MAPEMA USIFANYE HIVI
Kama wewe ni Mwanaume na unamalengo ya kuoa ila huna Pesa, hakikisha usioe mwanamke kisura. Kila mwanaume anatamani kumiliki mwanamke kisura kiasi kuwa kila atakapokuwa anapita haoni shobo kumtambulisha mkewe. Tatizo linakuje pale huna pesa lakini unataka uweke mrembo ndani. Ndugu yangu, usijidangaje hata siku moja kuwa wapo wanawake wasiopenda pesa na wanapenda maisha ya …
Continue reading “MWANAUME KAMA HUNA PESA NA UNATAKA USIFE MAPEMA USIFANYE HIVI”
MWANAMKE ZINGATIA HAYA KABLA YA KUOMBA HELA KWA MWANAUME ILI USIJE ONEKANA KICHECHE
Ukweli ni kwamba raha ya mapenzi ni pamoja na kupunguziana makali ya maisha. Na katika kupunguziana uko makali ya maisha ndio matumizi pesa yanapochomoza. Kusaidiana ni kwa pande zote iwe kwa mwanamke kwenda kwa mwanaume au kinyume chake, Ingawa kwa kiasi kikubwa ni wanaume ndio wanawajibika zaidi kutunza wapenzi au wake zao. Nilichotaka kuwakumbusha wanawake zaidi …