HIZI Ndio Sehemu 10 zenye Msisimko Mkali zaidi Kwenye Mwili wa Mwanamke

Kila mwanaume anapenda kua fundi wa tendo la ndoa akiwa faragha na mke au mchumba wake lakini bahati mbaya sana hakuna kanuni maalumu ya kumsisimua mwanamke kwani kila mwanamke ana eneo lake ambalo likiguswa anakua taabani hivyo ni wajibu wa mwanaume kulitafuta na kuligundua eneo hilo. Mazoea ya kufanya mambo yaleyale kila siku kwa muda …

JINSI Ya Kumtext Mwanamke Hadi Akupigie Simu Wa Kwanza

Kutumia sms kuanzia wiki hadi mwezi bila kupiga simu ni VIBAYA. Unahatarisha kuitwa boyfriend wa sms, na labda hautakuwa boyfriend wake wa ukweli. Kuondoa hizi athari unapaswa kutumia maujanja haya matatu.Mbinu #1: Toa majibu yasiyokuwa moja kwa moja.Wanawake wanapenda majibu ya moja kwa moja kama wanataka kujua kitu flani kutoka kwako. Mwanamke anaweza kukuuliza “Wewe …

Linogeshe penzi lako kwa kuzingatia mambo haya !

WAPENZI wasomaji wangu, naomba leo niende moja kwa moja kwenye mada yangu ya wiki hii ambayo kwa kiasi kikubwa inawagusa wanawake. Nazungumzia mambo ambayo mwanamke anatakiwa kuyazingatia ili aweze kumshika ipasavyo mumewe na kuinogesha ndoa yake. Ni mengi anayostahili kufanya mke kwa mumewe lakini kwa leo nitazungumza machache ambayo naamini yatakuwa na manufaa kwako. Timiza …

Jinsi ya kumfanya mumeo awahi kurudi nyumbani

Inawezekana ukawa upo kwenye mahusiano yenye changamoto ya Mume wako kuchelewa kurudi nyumbani, Zifuatazo ni njia ambazo zinaweza kukusaidia kumrejesha mapema nyumbani. Jambo la kwanza ni vizuri ukajiuliza kama kweli upo katika ndoa sahihi, kwa kutizama chanzo cha mahusiano yenu ni kitu gani kilichowaunganisha lakini Pia ukajiuliza bila kujidanganya wewe na Mumeo mnafahamu maana halisi …

Tambua Jinsi Ya Kuongeza Mvuto Kwa Mpenzi Wako

Kama umeshushwa thamani unakuwa kwenye hatari ya kuachwa. Hata kama mwenzako alikuwa ameshafikiria suala la kuingia kwenye ndoa na wewe lakini kwa sababu ameshakushusha thamani ndoa inaweza kuyeyuka.Ukiwa kwenye ndoa ni hatari zaidi maana mwenzako hukuchukulia wa kawaida – mazoea huzidi na hapo ndipo uhitaji wa kuwa na mwingine wa pembeni unapoanzia. Haoni cha muhimu …

Kanuni kumi ’10’ za kuwa mke mwema

UHALISI WA MAISHA:Maisha halisi ya mwanamke anayetarajia kuwa mke/ mke tayari hii ni kumaanisha kuwa wanawake mashujaa tunapaswa kuishi maisha ambayo yanatutambulisha kama mfano wa kuigwa ili tunapozungumza na kufundisha mabadiliko tuwe tunazungumza uhalisia wa maisha yetu ambao unajengwa na haya yafuatayo; UVUMILIVU:Kuwa mvumilivu katika maisha yake ya kila siku hasa ukizingatia kuwa tunakutana na …

MAMBO YA KUZINGATIA IWAPO UNATAKA KUSHIKA MIMBA

Kuna sababu mbalimbali zinazoweza kumfanya mtu asishike mimba. Sababu hizo zinaweza zikawa zinamhusu mwanamke, mwanamume au wakati mwingine kutojulikana kabisa hali hiyo imesababishwa na nini. Wataalamu wanasema kwamba kwa miaka 20 iliyopita matatizo yanayohusu kushindwa kuzaa yameongezeka kwa kiwango kikubwa na asilimia 25 ya watu wanaotaka kubeba mimba na kuzaa mtoto wanakabiliwa na tatizo hilo. …

Tahadhari Kwa Wadada Mnaopenda Kuvaa Shanga Kiunoni…

Bwana Yesu asifiwe!!! Wanawake wengi wanapenda kuvaa shanga kiunoni wakiamini zinawavutia wanaume wengi katika mapenzi.Napenda kutoa tahadhali kwa wanaopenda kuzivaa hasa kiunoni kuwa asilimia 80% ya shanga zinazouzwa zikiwa zimeshasokotwa zinatengenezwa na waganga WA kienyeji au watu ambao ni mawakala WA shetani na kuzinuizia mapepo kwa malengo yafuatayo: Kuharibu au kuiba nyota za watuKuwafunga wanawake …

Sio kwamba hana hisia, Unasababisha asikutake.

Kwa mwanamke mapenzi ni hisia, hisia za yeye kukuwaza wewe, hisia ya kutaka kukuona kwa sababu hajakuona na anatamani kukuona, hisia ya yeye kuwa na wasiwasi kuhusu mpenzi wake, ukiondoa hicho kitu cha kumfanya akuwaze, basi muda si muda utaanza kumtoka kichwani.Kuna sehemu kwenye maisha mwanaume kama mwanaume inabidi uwe mwanaume, ujitenganishe kati ya hisia …

Baadhi ya Mbinu za Kumridhisha mwanaume wako kimapenzi

Heshima kwenu wakuu, Mtaalam wa mapenzi, Bi. Layla Quinn, anasema wamaume ni viumbe rahisi sana kuridhishwa tunapokuja katika suala la unyumba. Mwanzoni, kitu kinachomhamasisha mwanaume kujamiiana ni muonekano wako (mwanamke) tu wakimahaba, lakini kadri siku zinavyokwenda ndani ya mahusiano, inakuwa ngumu kupandisha munkari wake, hata kama wewe ni mwanamke mrembo barabara! Bi. Layla anaendelea kusema …

Design a site like this with WordPress.com
Get started