Kila mwanaume anapenda kujua jinsi ya kumchangamsha mwanamke ili ampende. Lakini wengi hushindwa njiani pale wanapojaribu kufanya hivyo kwa sababu hawajui vitu vitano vya kumchangamsha mwanamke. Yafahamu hayo mambo matano, na namna kuyatumia. Nadhani utakuwa ushashuhudia baadhi ya wanaume wakichati na wanawake(zao),wakati mwingi unakuta mwanamke anacheka na kumsifia kuwa anamfurahisha(“hahahaha!…. unanifurahisha”). Kuambiwa na msichana kuwa …
Continue reading “Jinsi ya kumchangamsha na kumfurahisha mwanamke”