Kuna kitu kinanishangaza sana, siku hizi wanaume wengi wamekuwa wakifurika kwa wataalam wa madawa ya asili kwa ajili ya kuweza kudumisha uwezo wao wa kitandani. Inadaiwa kuwa wanaume hao wakienda raundi moja hawawezi kurudia ile ya pili na hata wenye uwezo wa kurudia huwachukuwa muda mrefu sana, kama raundi ya kwanza iliisha saa tano usiku …
Continue reading “KWANINI WANAUME WENGI WACHOVU KITANDANI?SOMA HAPA”