Hivi ni vibaya House girl kuolewa na baba mwenye nyumba? karibu kwenye makala hii maalumu, nimeamua kuandika habari hii ili kujaribu kupunguza mifarakano kwenye familia zetu especially familia zenye wafanyakazi wa ndani wanaojulikana kama house girl. Katika mada hii nimekuwa nikikutana na maswali mengi sana ambayo mda mwingine yalikuwa yakituchanganya hata sisi wenyewe katika kuwajibu …
Continue reading “Mama kuwa makini House Girl Yaweza Kuwa Mke Mwenzio”