ACHANA NA UBIZE USIO NA MAANA, TENGA MUDA WA KUWA NAYE

NI Ijumaa nyingine tu­napokutana katika uwanja wetu huu mzu­ri, tukijuzana na kuelimishana kuhusu mambo mbalimbali ya­husuyo mapenzi. Mada yetu ya leo ni kama inavyojieleza hapo juu. Je, mara ya mwisho kwa wewe na mpenzi wako kupata muda wa kukaa pamoja au kutoka ‘out’ ilikuwa ni lini? Una desturi ya kutoka na umpendaye, mkaenda mahali tulivu …

Enyi Wanaume Ishini na Wake Zenu Kwa AKILI” La Sivyo Mwanamke Atakukoroga Maisha Yako Yote

BIBLIA ILIPOSEMA “Enyi Wanaume Ishini na wake zenu kwa AKILI” Mungu alikuwa anajua anachosema.Kama huna akili Mwanamke atakukoroga maisha yako yote na utaishia kusema “Women are so Complicated”Wanawake huwa wanaongea vitu ‘Kirahisi-rahisi tu’ lakini huwa vinamaanisha ‘Vitu Vigumu Ajabu’Wanawake wanaweza kukwambia “Mi nataka Mwanaume anipende tu BHAASSS!!Ukidhani kwamba Upendo wako unatosha kwake UTAKUWA UMEFELIWanawake wanahitaji …

Yafahamu mambo ambayo ni sumu katika mahusiano yako na mpenzi

Katika harakati zako za kutafuta mpenzi, unaweza kukutana na mwanamke ambaye kwa sababu moja au nyingine anakwondolea uwezo wako wa kufikiri, kutumia mantiki na pia kutumia akili yako ya kuzaliwa. Si lazima awe amekufanyia kitu, lakini inaweza kuwa ni ulevi wako tu unaosababisha ufanye mambo yasiyo ya kawaida. Pengine ndiyo maana baadhi ya wasanii huzungumzia …

Makosa Wanayofanya WANAUME Walio Kwenye Ndoa

Kuja na vimada mpk home na kumuacha ndani ya gari Kuingia ndani na viatu vya matope wakati kumeshadekiwa Kuvurugua nguo au vitu wakati wa kutafuta kitu kabla ya kuuliza kilipo. Kumtambulisha mtoto wako kwa kimada wako. Kumleta rafiki yake kuja kula bila kutoa taarifa. Kumsifia rafiki au ndugu wa mke wa kike kuwa anavutia bila …

MPENZI WAKO ANAKUFANYIA KISIRANI BILA SABABU? SOMA HAPA

KWA watu waliopo katika uhusiano wa kudumu, watakubaliana na mimi kwamba kuna wakati huwa inatokea mwenzi wako anaamua tu kukufanyia kisirani, na hii inawahusu zaidi wanawake, hataki kuzungumza chochote na wewe. Kila unachomuuliza anakujibu kwa mkato kisha anaendelea na mambo yake, hataki kushirikiana chochote na wewe na hata haki yako ya msingi huipati! Wengine huweza …

HATA KAMA HUMWAMINI, MPE UHURU WAKE

NI SIKU nyingine tunapokutana, ni wajibu wetu kumshukuru Mungu kwa kutufanya tuione siku ya leo. Leo ningependa kuzungumza na wewe msomaji wangu mwenye tabia ya kumbana mwenzi wako mpaka anahisi kero. Wivu ndiyo mapenzi, hilo halina shaka lakini kila kitu kinapaswa kuwa na kiasi. Kuna watu wanaamini kwamba eti mpenzi wako, awe mwanaume au mwanamke, …

Kina Kaka Acheni Ujinga, Hakuna Mwanamke Asiyetaka Kuhongwa! Shauri Lako

Wakaka acheni ujinga, ukitaka dem wa peke yako basi jua kugharamia. Nakwambia wanawake asilimia kubwa hukumbuka fadhila za mtu anayemgharamikia kuliko wanaume wa ai lavii yuu maneno. Usidanganyike hakuna mwanamke asiyependa kuhongwa, kuna wanawake natural hawawezi kuomba,ila anakua anataka ujiongeze, sasa kama wewe ni wale ambao akikwambia “baby kifurushi kimekata” unajibu “basi mumy pls ukiweka …

Jinsi ya Kuepuka Vizinga vya Mwanamke

Siyo ajabu kumsikia mwingine akisema; “Mimi nina kibuzi changu bwana kila ninachotaka kinanipa, kinajua kisiponipa nitakitosa tu, yaani nakichuna kama sina akili nzuri, maisha yanaendelea. Yaani ni full kujiachia.” Si hivyo tu, wapo wanaume ambao ni kero kwa wapenzi wao, yaani wamegeuka wanaume kama mabinti kwa tabia zao za kutegemea kupewa kila kitu na wapenzi …

Mambo yanayochangia Upungufu wa nguvu za kiume

LEO ninataka tuangalie kwa kina mambo yanayochangia tatizo hilo upungufu wa nguvu za kiume. Ningependa tulio katika ndoa, ukishaisoma makala hii tuwahusisishe wenza wetu nyumbani au mpigie rafiki yako na kumueleza kuwa ana nafasi ya kujilinda kupotezanguvu za kiume na hivyo kuwa na uhakika wa amani nyumbani.Nasema amani kwa sababu tatizo hili huingilia amani nyumbani …

MAMBO 2 MUHIMU YA KUMFANYIA MPENZI WAKO PINDI MNAPO MALIZA KUFANYA MAPENZI.

Wanaume na wanawake walio wengi pindi wanapomaliza kufanya mambo yao na wapenzi wao chumbani hujikuta wakikaa pembeni bila kuzingatia vitu muhimu vinavyotakiwa kufanywa pindi wanapomaliza kusex. VIFUATAVYO NI VITU MUHIMU VYA KUZINGATIA PINDI UNAPOMALIZA TENDO NA MPENZI WAKO CHUMBANI:1. MFUTE FUTE MPENZI WAKO – Mpenzi msomaji faham kuwa unapokwenda kufanya mapenzi na mpenzi wako hakikisha …

Design a site like this with WordPress.com
Get started