Sio kwamba hana hisia, Unasababisha asikutake.

Kwa mwanamke mapenzi ni hisia, hisia za yeye kukuwaza wewe, hisia ya kutaka kukuona kwa sababu hajakuona na anatamani kukuona, hisia ya yeye kuwa na wasiwasi kuhusu mpenzi wake, ukiondoa hicho kitu cha kumfanya akuwaze, basi muda si muda utaanza kumtoka kichwani.Kuna sehemu kwenye maisha mwanaume kama mwanaume inabidi uwe mwanaume, ujitenganishe kati ya hisia …

SABABU ZINAZOMFANYA MWANAMKE KUCHEPUKA

SABABU ZINAZOMFANYA MWANAMKE KUCHEPUKA Kuna sababu zinazomfanya mwanamke amsaliti mwenza wake, Ni muhimu kutambua kuwa mwanamke ni kiumbe mwenye hisia kali na daima huhisi raha na amani pale anapooneshwa upendo, anapoona hapati upendo hufanya usaliti ili kuziba pengo la upungufu unaotokea katika maisha yake. Zifuatazo ni sababu kubwa ambazo zinamfanya amsaliti mumewe. 1. KUTOMPA KIPAUMBELE NA …

JINSI YA KUIFANYA MICHEZO YA KIKUBWA KWA MUDA MREFU BILA KUFIKA KILELENI WAKATI WA TENDO

Kwenye tendo la ndoa wanaume wengi inawachukua dakika 3 adi 7 kufikia mshindo lakini asilimia 87 ya wanawake hupendelea kufanya tendo la ndoa kwa muda mrefu zaidi.Hapo ndipo wanaume wengi huzalilika kwa wake/wenzi wao na kuonekana sio wanaume wa kweli kwa kushindwa kufanya mapenzi au tendo la ndoa kwa muda mrefu.(1). MAZOEZI YA MASHINE YAKO …

WEWE KAMA MWANAUME WA KWELI UNAPENDELEA ZAIDI MWANAMKE WA AINA GANI KATI YA HAWA?

Hebu niambieni bandugu mnapendelea mwanamke wa aina gani kati ya hawa unapotongoza? 1) Yule ambaye anakukatalia na kujibu kashfa na matusi huku akifoka unapomtongoza?2) Msumbufu na umempata baada ya kumfuatilia kwa muda mrefu bila kukata tamaa?3) Kigeugeu mara ndio au nimebadili mawazo au mpaka uje kwa wazazi?4) Anakubali lakini No sex mpaka tuoane?5) Maharage ya …

Introduce Yourself (Example Post)

This is an example post, originally published as part of Blogging University. Enroll in one of our ten programs, and start your blog right. You’re going to publish a post today. Don’t worry about how your blog looks. Don’t worry if you haven’t given it a name yet, or you’re feeling overwhelmed. Just click the …

Design a site like this with WordPress.com
Get started