Wataalamu wa mahusiano wanasema kuwa kuna dalili nne ambazo ukiziona kwenye mahusiano yako basi amini kuwa ninyi mnaendana na pia mapenzi yenu yatadumu mpaka kifo kitakapowatenganisha. Zifuatazo ndizo dalili zitakazowaonesha wewe na mpenzi wako manendana; Uhusiano wenu uwe na uwiano. Mahusiano ambayo yamefanikiwa ni yale yenye uwiano sahihi. Katika mahusiano mtakuwa tofauti wakati mwingine, na utofauti …
Continue reading “Dalili zitakazowaonesha kuwa mnapendana na mnaendana katika mahusiano ya mapenzi”