Jinsi Ya Kuishi Katika Mahusiano Marefu Na Mpenzi Wako

Kuwa katika relationship ni ngumu na pia ni rahisi. Kuna watu ambao hujaribu kuingia katika relationship lakini baada ya siku mbili tatu unaona wamekosana na mwisho kuachana. Pia utapata wengine wanakuwa katika relationship miaka mitano hata kumi na zaidi. Hapo unaachwa na maswali yasiyokuwa na majibu ukijiuliza ni mbinu gani inayowafanya wapenzi hao wawili kudumu …

Mambo 39 Yanayovunja Ndoa

Mambo 39 Yanayovunja Mahusiano Ya Kimapenzi Au Ndoa1. Kutokuwa na mawasiliano ya karibu na mwenzi wako.2. Kutojali maumivu ya mwenzi wako.3. Ubishi usiokuwa na maana.4. Kupenda kujihesabia haki.5. Kutokubali makosa.6. Kutokuwa na roho ya msamaha.7. Kutokuwa muwazi kwa mwenzi wako.8. Usaliti wa mapenzi.9. Kuigiza kupenda.10. Kutomheshimu mwenzi wako.11. Kuwa mjuaji kila kitu unajifanya unajua.12. Kutokutambua …

HIZI NDIO MBINU ZA KUMUWEZA MWANAMKE ALIYE MGUMU KUTONGOZEKA

wakati mwingine, vitu huweza kumaanisha zaidi ya tuwezavyo kutamka kwa vinywa vyetu MWANAMUME yeyote anapotaka kumtongoza mwanamke hulazimika kwanza kumwonesha – japo kwa matendo – kuwa anampenda, au kwamba amevutiwa naye, hata kama ni kimwili tu. Hatua hii ndiyo yenye changamoto kubwa zaidi kwa mwanamume, maana ndipo wakati anapokuwa anajaribu kufikisha ujumbe kwa mlengwa huku …

JE UNAHISI MPENZI WAKO AMEPOTEZA MSISIMKO KWAKO?FANYA HAYA KUNUSURU HALI HIYO

MSISIMKO ni jambo la msingi kwa walio kwenye uhusiano wa mapenzi. Ndiyo muongozo wa kihisia kwa wapenzi. Kwa maneno mengine kama mmoja akipoteza msisimko kwa mwenzake ni hatari kubwa sana inayoweza kugharimu uhusiano.Rafiki zangu, katika mapenzi ni jambo la kawaida kabisa kugombana na kufikia hatua ya kutengana kwa muda. Naomba hapa niweke wazi kitu kimoja, …

HIZI NDIZO SHIDA TATU KUBWA ZA MWANAMKE MWENYE MAKALIO MAKUBWA AWAPO KWENYE KITANDA CHA 6X6….SOMA HAPA

Imezuka tabia ya wanaume wengi kupenda sana wanawake wenye makalio makubwa,siku hadi siku tabia hii inazidi kuwa sugu kwani kwa sasa mwanamke mwenye makalio makubwa yaliyojazia sawasawa huonekana anasoko kuliko wale wenye makalio ya wastani. Licha ya kuwa watu wengi huzimika na wanawake wenye makalio makubwa lakini ukweli upo tofauti kabisa kwani wanawake hawa wamekuwa …

KAMA MPENZI WAKO KAKASIRIKA MFANYIE HAYA

MPUNGUZE MHEMKOHasira hujaza kifua, huathiri mzunguko wa damu na ufahamu. Mtu aliyekasirika huwa vigumu kwake kusikiliza au kutazama mambo kwa jicho la tatu. Mwenye hasira huwa hafikirii matokea yajayo badala yake hutazama zaidi tukio na jinsi ya kupata ushindi iwe kwa maneno au kwa mapambano. Katika hali ya namna hiyo, mtu mwingine akija na busara …

Mambo 8 Yanayomfanya Mtu Kupendwa na Watu

Kila mtu anahitaji kupendwa kama mtu,mzazi,mwenza,mtoto au mfanyakazi. Inaleta raha na faraja kubwa moyoni. Lakini wakati mwingine si rahisi sana kupendwa na watu wengi. Wengine wanasema kuwa haiwezekani kupendwa na kila mtu,kwasababu kila mmoja ana vigezo tofauti vya kuchagua nani anampende na kinyume chake. Ila kuna vigezo ambavyo watu wengi wanathiriwa navyo juu ya maamuzi …

Hii ni njia rahisi kugundua kama mpenzi wako katoka kukusaliti!

Miongoni mwa mambo yanayowafanya wapenzi wakose amani ni suala la usaliti. Katika makala zangu nyingi ambazo nimekuwa nikiandika kupitia ukurasa huu, kila nilipogusia ishu ya usaliti nilipokea simu na sms nyingi. Wengi wamekuwa wakilalamikia jinsi wanavyoumia pale wanaposalitiwa au hata kuhisi kwamba kuna mtu mwingine wanashea penzi. Kiukweli hakuna kitu kibaya kama mtu unayempenda kujua …

Hizi hapa Sababu Kuu 10 za Ugomvi kati ya Mke na Mme Katika Mahusiano

Ugomvi baina ya wapenzi katika mahusiano ni kitu cha kawaida kutokana na watu hao wawili kutoka katika malezi na mazingira tofauti ya ukuaji toka wakiwa wadogo hadi watu wazima. Wawili hao wanapoaanza kujenga mahusiano na kukaa pamoja kama familia,kuna vitu kadhaa ambavyo kila mmoja wao huvitazama tofauti na hivyo kuleta migongano. Migongano ambayo inaweza ikarekebishika …

ZIJUE FAIDA UNAZOPATA UNAPOJAAMIANA

Kujamiana (ama tendo la ndoa) ni moja ya mambo muhimu sana    katika maisha ya mwanadamu. Ni ukweli usiofichika kwamba wengi wetu tungependa kuwa na mwenza ambaye mnaridhishana katika tendo la ndoa. Si hivyo tu, bali tendo hili huleta maelewano katika uhusiano wowote ule.    Lakini, kuna faida zozote za kiafya za kufanya tendo hili? Ndiyo! Zipo faida …

Design a site like this with WordPress.com
Get started