AKINA DADA MSIJIDANGANYE LA SIVYO MTABAKI KUFUNULIWA MPAKA AKILI ZIWAKAE SAWA

Leo nimeona niwape vipande vyao hawa akina dada kuanzia umri wa miaka 30 na kuendelea ambao bado hawajaolewa, utakuta mdada mtu mzma kabisa ana umri wa miaka zaidi ya 30 anatafuta wanaume wa kumuoa kwa kuweka masharti lukuki tena magumu Kinoma    Mara nataka Mwanaume Handsome, Mcha Mungu, mwenye elimu ya degree, awe ameajiliwa au anabiashara.    …

UKITAKA USINYANG’ANYWE MCHUMBA KUWA MWELEDI CHUMBAN

Wanavyosimulia vidosho ni kwamba wanaume hao huachilia goli moja na kuishiwa na nguvu huku wakiacha wachumba au wake zao wakitamani ngoma zaidi. Ukweli mchungu ni kuwa wanaume kama hao huwa na wasiwasi wakunyang’anywa wachumba au wake zao na mafisi wanaojua kuwashaghulikia propa na kukata kiu cha uroda.Kuachilia goli moja kwa dakika tatu humuacha mwanamke akiwaka …

Nikiwa na Msichana Namkinai, Hivi Nina Pepo au ni Tamaa tu?

Kuna rafiki yangu yupo kwenye mahusiano na msichana wake kwa miaka saba tangu wakiwa sekondari mpaka leo wamemaliza chuo kikuu wanaendelea poa. Mimi maishani mwangu sijawahi kuwa kwenye ahusiano kwa zaidi ya miezi sitanikilala na mwanamke mara mbili au tatu hata kama angekuwa mzuri vipi namkinai na nitamfanya visa mpaka aniache natafuta mwingine nae hivyohivyokuna …

Hii Ndio Jinsi ya Mwanamke Kuepuka Kuwa Mchepuko

Mara nyingi asilimia kubwa ya wanawake hupenda kuwa na wanaume wanaojiweza kiuchumi. Lakini baadae wanapotambua kwamba mwanaume huyo ameshaoa hushangaa sana, huumia na kusema waliwaamini kuwa wako single na kwamba wanaume wote ni mbwa tu. Wanaume sio mbwa au paka shume, ni nyie wenyewe ndio mnashindwa kuwaelewa na hamtaki kufanya uchunguzi. Mlishaambiwa kwamba nyuma ya …

Naomba Ushauri: Mama Mkwe Amemtafutia Mke Wangu Mchepuko

Naomba Ushauri: Mama Mkwe Amemtafutia Mke Wangu Mchepuko Nina jamaa yangu mpaka hivi sasa dunia anaiona chungu na hajui achukue uamuzi gani dhidi ya mkewe na mkwewe Jamaa ameoa mwanamke ambae tayari alishaolewa na kuzaa mtoto mmoja ila kutokana na maisha kuwa ya tabu mume aliondoka kuelekea mozambiq kuchimba madini na hakurudi tena mpaka jamaa …

SABABU ZA KITAALAMU NA ZA KISAYANSI KWANINI WANAUME WAOE WANAWAKE WENGI NA WATOKE NJE YA NDOA

1.Takwimu za kidunia zinaonyesha kuna idadi kubwa ya wanawake kuliko wanaume ,wanawake wamewazidi wanaume kwa 20%.Tukichukua ratio kila mwanaume asimame na mwanamke basi 20% ya wanawake watabaki pekee yao,je kila mwanaume aoe mwanamke mmoja hawa 20% wataolewa na kusitiriwa na nani? unakuta mwanamke ana miaka 36 yupo single siyo kwamba kapenda ila Takwimu za kidunia …

MAMBO YA KUZINGATIA KABLA YA NDOA

Mungu alimfanya mke kutoka kwa mume, awe mwenziwe na msaidizi wake akaye pamoja naye, kumfurahisha, kumtia moyo na kumpendeza, naye mume amepaswa kuwa msaidizi wake imara. Wote wanaoingia katika umoja wa ndoa wakiwa na kusudi takatifu mume kuyapata mapenzi safi ya moyo wa mke, na mke kulainisha na kuikuza vizuri tabia ya mumewe na kuikamilisha …

NOGESHA MAHUSIANO YAKO YA KIMAPENZI KWA KUFANYA MAMBO HAYA

Kutengeneza uhusiano wenye nguvu ni moja ya mambo yenye changamoto kubwa. Japo hakuna maelekezo maalum, kuna mambo machache na rahisi ambayo unaweza kumwambia mpenzi wako yakaujenga zaidi. Weka desturi ya kusema mambo haya kwa mpenzi wako na muda mfupi tu mtakuwa couple itakayowapa wivu marafiki zetu. NakupendaNakupenda ni kitu rahisi na cha wazi cha kumwambia …

SENTENSI 14 ZA UWONGO WA WANAWAKE:

1. I love u baby2. nipo singo3. nipo serious kuhusuwewe4. sikuwa na credit5. nitafanya chochote kwa ajili yako6. nataka unioe,7. NIAMINI…8. sinto achana na ww9. naomba usinache10. Usipge, Ntakupigia baada ya mda kidooogo,11. subir npo na baba12. nyumbani kulikuwa na wageni nkashindwa kutoka13. NAAPA..! we ndo pekee … 14. nipo period bby nitakuambia nikimaliza.wizi mtupu>>>>nimezikuta …

MBINU 7 ZA KUWAVUTIA WANAUME BILA KUTAMKA NENO LOLOTE

Ushawahi kujikuta katika hali ambayo unashindwa kujua utaanza vipi kuongea na mwanamke? Ni mwanamke mzuri ambaye moyo wako unamtamani lakini akili yako inashindwa kutengeneza mawazo ya jinsi utakavyoanzisha stori na yeye. Unabakiwa ukimuangalia akikupita mbele yako, ama mbaya zaidi anakuja kuchukuliwa na wanaume wasiokuwa na thamani yeyote kwa maisha yake. Unabakia na majutio na mawazo …

Design a site like this with WordPress.com
Get started