UKIONA HIZI DALILI SITA UJUE MIMBA YAKO IMEHARIBIKA…

kuna sababu nyingi sana zinazoweza kuharibu mimba ya mama ikiwemo ugonjwa wa malaria, kaswende, kazi nyingi, magonjwa ya zinaa, u.t.i dawa fulani fulani mfano albendazole, misoprostol, metronidazole na kadhalika. lkiujumla sababu nyingi ambazo zinasababisha mimba kutoka huweza kuzuilika kwa kwenda kliniki mapema yaani pale tu unapohisi una mimba hata kama ni wiki mbili na kufuata …

UNATAKA KUDUMU PENZINI ?SIRI HII HAPA

WATU wengi wanatamani kudumu kwenye uhusiano lakini bahati mbaya huwa inashindikana. Mtu ambaye hadumu kwenye uhusiano, si kwamba anakuwa hapendi bali inatokea tu kutokana na sababu mbalimbali.  Inatokea kwa sababu, huenda pengine ni kutokana na tabia zake au za mwenzake. Mfano, yawezekana akawa na ‘mdomo’ sana, yawezekana akawa mbinafsi. Au ana hulka ya ugomvi lakini mwenzake …

JINSI YA KUMFANYA MWANAMKE APATWE NA HAMU KWA HARAK

Kabla kufanya lolote na mwanamke unayeazimia kumfanyia kitendo hiki lazima ulete kemia ya kimapenzi kati yenu. Njia nzuri ya kufanikisha hivi ni kutumia mbinu ya kumtext ama kutumia jumbe fupi za kimapenzi. Tumia mbinu hii tumsuka na kumrushia maneno ya kuvutia mpaka akuzoee. Ukiona ama ukigundua kuwa kuna kemia ya kimapenzi kati yenu, sasa unaweza …

JINSI YA KUWAEPUKA WALAGHAI WA MAPENZI

MAISHA yanaenda kasi sana huku suala la ndoa likiwa ni kipaumbele cha kwanza na kigumu kwa wanawake. Wengi hujikuta wakichanganyikiwa pindi tu wanapotangaziwa ndoa. Mwanamke akiambiwa nakuoa, akili yote inamruka.Hana muda wa kuhoji mara mbili, cha muhimu ni kusikia tu ile kauli ya ‘nitakuoa’. Hiyo kwake ni kauli pekee inayomfanya atembee kifua mbele. Anakukabidhi moyo …

Fahamu Hizi Hapa ni Aina 7 Ya Vyakula Vinavyoongeza Nguvu za Kiume.

Mwanaume 1 kati ya 3 wana matatizo ya nguvu za kiume – hii ni kulingana na utafiti uliofanyika. Upungufu wa nguvu za kiume unasababishwa na mambo mengi ikiwemo ukosefu wa virutubisho muhimu mwilini. Ni jambo linaloweza kupata ufumbuzi kwa urahisi kama utazingatia kula vizuri na kufanya mazoezi.Ili kuongeza stamina kwenye mapenzi si lazima kutumia madawa …

MWANAMKE AKIKUJIBU HIVI ACHANA NAE

Wanawake wa uswahilini wa siku hizi wamekuwa na swagger ya aina moja wanapotongozwa.utasikia “MIMI NAWAOGOPA WANAUME”,ukiuliza wewe ni bikra kwani? Atajibu hapana,ukiuliza kwa nini unawaogopa wanaume wakati we sio bikra atakujibu” NISHATENDWA SANA”. ndugu yangu nakushauri,kama ukijibiwa hivo basi ondoka fasta ujue hapo hakuna mwanamke kabisa,kwa sababu haiwezekani mtu atendwe yeye tu na kila mwanaume,ujue …

ATHARI ZA MWANAMKE KUSHINDWA KUFIKA KILELENI NA CHANZO CHAKE

TATIZO hili la mwanamke kutofikishwa kileleni wakati wa kujamiiana huitwa ‘Female Orgasmic Disorders’ kufika kileleni tunaita ‘orgasm’ au ‘climax’. Kila mwanamke ni lazima afike kileleni wakati wa tendo hili. Hii ni hali ya kimaumbile ambayo imeumbwa na Mungu.Mwanamke hufika kileleni pale anapokuwa amesisimka kwa kiwango cha hali ya juu. Hali ya msisimko kwa mwanamke tunaita …

AMBINU ZA KUJIWEKA ILI MWANAUME AKUTONGOZE HARAKAuto Draft

Kando na itikadi ambazo umekuwa ukifikiria, kuapproachiwa ama kufukuziwa na mwanaume si gemu ya bahati nasimu ambayo mtu anaingojea ijitokezee. Na pia kando na itikadi nyingi za wanawake wanazozifikia, si lazima ufanye kitendo kikubwa ama cha inadi ili mwanaume aweze kukutongoza. Ukweli ni kuwa, kama unaielewa akili ya mwanaume na jinsi inavyofanya kazi kabla ya …

Mwanamke uangalia haya kabla yaaaaa????

Hebu tuseme ukweli, kuna wakati mwingine ambao wanaume wanashindwa kuwaelewa wanawake. Unaweza ukamwaproach mwanamke huku ukijua wazi hutatoboa lakini unashangazwa mwanamke kama huyo anakukubali fasta.Na wakati mwingine utaapproach mwanamke ambaye unaamini kuwa ni rahisi kabisa kumtongoza lakini ukirusha nyavu badala ya kushika samaki inanasa mawe (sitaki kusema kinachotokea wakati mwanamke anakuzima mbele ya hadhira) …halafu …

SEHEMU 4 za Mwili Usizopaswa Kumshika Mkeo Nyakati Hizi

Ingawa kuna mtazamo uliojengeka katika jamii kuwa ukishamuoa mwanamke na mkawa mwili mmoja basi una kila haki ya kumshika sehemu yoyote uipendayo hasa wakati unahitaji kufanya nae tendo la ndoa. Lakini utafiti na uzoefu uliokusanywa na wataalam wa mahusiano na ndoa waliofanya mahojiano na wanawake kama kuna sehemu wazisopenda kuguswa na waume zao na nyakati …

Design a site like this with WordPress.com
Get started