Ukweli ni kwamba raha ya mapenzi ni pamoja na kupunguziana makali ya maisha. Na katika kupunguziana uko makali ya maisha ndio matumizi pesa yanapochomoza.Kusaidiana ni kwa pande zote iwe kwa mwanamke kwenda kwa mwanaume au kinyume chake, Ingawa kwa kiasi kikubwa ni wanaume ndio wanawajibika zaidi kutunza wapenzi au wake zao. Nilichotaka kuwakumbusha wanawake zaidi …
Author Archives: mapenziapp
Pillow talk – Maongezi nane ya kitandani ambayo yatamfanya akupende sana
Pillow Talk ni kitu gani na ni jinsi gani ya kufanya haya maongezi kuwa mazuri? Inasemekana kwamba maongezi ya kitandani hufanya maisha ya mapenzi kuwa mazuri zaidi. Lakini Pillow Talk ni kitu gani? Fahamu kila kitu kuhusu pillow talk na jinsi ya kuifanya vizuri. Kuna mambo mengi sana ambayo yanaweza kufanya uhusiano wa kimapenzi kuwa …
Continue reading “Pillow talk – Maongezi nane ya kitandani ambayo yatamfanya akupende sana”
ZIFAHAMU FAIDA ZA KUFANYA MAPENZI
KiafyaTendo la ndoa ni moja kati ya mazoezi ya mwili. Wataalamu wanasema kwamba, unapofanya tendo hilo mara tatu kwa wiki husaidia kupunguza kiasi cha mafuta mwilini na pia endapo mtu atafanya tendo mara tatu kwa wiki kwa kipindi cha mwaka mzima ni sawa na kukimbia maili 75.Tendo la ndoa huongeza takriban vizalisha nguvu 150 kwa …
Ishara za mwanamke anayekupenda, lakini anashindwa kukueleza
Kwa muda mrefu kumekuwa na wimbi la imani potofu kwa wanawake na wanaume kwamba mwanamke hawezi kumwambia mwanaume ukweli kama anampenda, wengi wao husubiri kwanza mpaka mwanaume aanze kuweka wazi hisia zake, lakini ni ukweli usiopingika kwamba wanawake nao pia hupenda na wengi wao wanakuwa hawapo tayari kuwa wawazi na mara nyingi wao wakianza kupenda …
Continue reading “Ishara za mwanamke anayekupenda, lakini anashindwa kukueleza”
KWANINI WANAUME HUNUNUA MAPENZI
Kwa nini wanaume hununua sex? Mwanaume anaondoka na kwenda kumtafuta mwanamke wa kumlipa fedha ili ampe sex bila kuhusisha upendo au mahusiano wala kuhusisha hisia kati ya wawili. Suala la wanawake Malaya (prostitutes) kuua mwili kwa wanaume ni suala la dulia zima haijalishi ni mzungu au mweusi au muasia, wasomi na wasio wasomi, maskini na …
Njia rahisi za Kumgeuza Rafiki kuwa ‘Mpenzi Wako’ wa Dhati
Kumpenda mtu ni kitu kingine lakini kumfanya awe na hisia kama zako juu yako ni kitu ambacho kinahitaji zaidi ya mahesabu na porojo za kumshawishi mtu huyo.Kwa bahati mbaya, wanaume au warembo wengi wamewahi kusikia karibu maneno yote yanayotafsriwa kama ‘kuimbisha au kutongoza’, jirani zetu wa Kenya wanaita ‘Kukatia’.Hivyo, Ni vigumu kumshawishi mtu kwa maneno …
Continue reading “Njia rahisi za Kumgeuza Rafiki kuwa ‘Mpenzi Wako’ wa Dhati”
Tatizo sio Size Ndogo ya Dudu lako Tatizo ni Kukosa Ubunifu
Maswali ambayo huwasumbua sana Wanandoa wengi na yamefika mezani kwa madaktari wa mambo ya afya na mahusiano ni kuhusu wanawake kutofika kileleni na wanaume kumaliza haraka tendo la ndoa na pia, je kuna uhusiano wowote kati ya mwanamke kufika kileleni na size ya kiungo nyeti (Mashine) ya mwanaume? Ukiangalia haraka unaweza kusema hayo mambo mawili …
Continue reading “Tatizo sio Size Ndogo ya Dudu lako Tatizo ni Kukosa Ubunifu”
Kanuni Kumi ’10’ Muhimu za Kuwa Mke Mwema Katika Ndoa….Ukizishindwa Imekula Kwako
UHALISI WA MAISHA:Maisha halisi ya mwanamke anayetarajia kuwa mke/ mke tayari hii ni kumaanisha kuwa wanawake mashujaa tunapaswa kuishi maisha ambayo yanatutambulisha kama mfano wa kuigwa ili tunapozungumza na kufundisha mabadiliko tuwe tunazungumza uhalisia wa maisha yetu ambao unajengwa na haya yafuatayo; UVUMILIVU:Kuwa mvumilivu katika maisha yake ya kila siku hasa ukizingatia kuwa tunakutana na …
Continue reading “Kanuni Kumi ’10’ Muhimu za Kuwa Mke Mwema Katika Ndoa….Ukizishindwa Imekula Kwako”
ZIJUE SABABU HIZI ZINAZOFANYA WANAWAKE WAVAE NUSU UCHI
Wengi hudhani wanawake wengi wanaovaa nguo zinazoonesha sehemu kubwa ya mwili(nusu uchi) huwa wanajiuza. Ukweli ni kuwa hiyo ni sababu mojawapo. Wanawake wa kundi hili huvaa nguo zinazoonesha mapaja, kuta za matiti, mgongo au kitovu wakiamini huwavutia wanaume na watawatongoza na kufanya biashara yao ya ngono. Lakini kuna sababu KUUSababu ni kuwa wengi huwa wanavaa …
Continue reading “ZIJUE SABABU HIZI ZINAZOFANYA WANAWAKE WAVAE NUSU UCHI”
SMS Ambayo Itamfanya Mwanamke Akutamani
Unaweza dhania kuwa kutuma ujumbe mfupi kwa mwanamke ili umsisimue haifai. Lakini kusema kwa hakika, inawezekana kumtumia mwanamke SMS ambayo inaweza kumsisimua na pia kupata atenshen kutoka kwake. 🔥♥♥♥ Hii inaweza kufanya kazi vizuri iwapo umeingiwa na kibaridi cha kuongea na mwanamke moja kwa moja.Kabla ujumbe ufupi kuvumbuliwa, wanaume walikuwa wakifuata mbinu nyingine kuonyesha kuwa …