MANENO YA MAHABA KWA MPENZI WAKO….

leo nataka kuzungumzia maneno ya mahaba, jamani tunajuwa ya kwamba ukiwa na mpenzi wako unafurahi zaidi pale japo muda fulani atakupa maneno matamu, na mazuri na yenye kuzidi kukupa moyo wa wewe kuzidi kutaka kuwa naye… sasa kuna wapenzi wengine hata mimi nilishapitia mmoja wakati fulani, jamani wanaume na wanawake wenzangu hebu tujitahidi maneno kama …

ATHARI ZA MWANAMKE KUTOFIKA KILELENI KWENYE TENDO LA NDOA

TATIZO hili la mwanamke kutofikishwa kileleni wakati wa kujamiiana huitwa ‘Female Orgasmic Disorders’ kufika kileleni tunaita ‘orgasm’ au ‘climax’.Kila mwanamke ni lazima afike kileleni wakati wa tendo hili.Hii ni hali ya kimaumbile ambayo imeumbwa na Mungu. Mwanamke hufika kileleni pale anapokuwa amesisimka kwa kiwango cha hali ya juu. Hali ya msisimko kwa mwanamke tunaita ‘sexual arousal’ …

Njia rahisi za kuwavutia wanawake kihisia na kufanya wakupende, Je unazijua?

“Saa nyingine ni vitu vidogo vidogo tu ndo vinavyotengeneza mshiko mkubwa kihisia, sifa moja ya akili au ishara ndogo tu inaweza kumshika kihisia mwanamke, vile vile ukitoa sifa mbaya ndo mwisho wako!.”Mwanamke hutumia muda mdogo sana kuamua kama una uzito wowote wa kumfanya yeye atoke na wewe kutokana na vitu vidogo vidogo unavyofanya na vile …

Vitu 12 ambavyo wanaume wengi sana huvifanya kitandani ambavyo huwafanya wanawake kuigiza wameridhika!.

Takwimu tofauti zinaonesha, na ni jambo ambalo hufaamika kwamba sio wanawake wote huwaga wanafika kileleni kila wakati wanapofanyamapenzi! Lakini pia, wanaume wengi hupenda kuigiza na kujifanya kwamba wao ni wataalam sana wa mapenzi! Na wanaume wa haina hii, hujisifia kwamba wao ni wazuri kiasi gani kitandani, na kwamba hakuna mwanamke yeyote ambaye alishalala nae ambaye …

WANAWAKE WENYE HIPSI NA SHIDA WANAZOKABILIANA NAZO HIZI HAPA

Wanawake wengi wenye hips , ni wanawake ambao si kwa mwanaume tu hata kwa wanawake wenzie husifia kuwa fulani kajaliwa, ki maumbile, ni kweli wana mvuto wa pekee, humwagiwa sifa nyingi za urembo, lakini pia kwa upande mwingine wa shillingi ni matatizo tupu.Sifa: 1. Huwatesa sana wakina baba wanapokuwa katika vyombo vya usafiri kama daladala, treni, …

Mambo 15 ya kumfanyia mwanaume unaempenda akuwaze muda wote!

Kuweza kumpata na kumteka mwanaume akili zake siyo kazi rahisi.  Kwa masumbuko ya sasa kimaisha na ulimwengu ulivyoendelea kiteknologia kumfanya mwanaume unayempenda akupende sana inakuwa viumu kidogo! Huwezi kujua wanatafuta nini na ni nini wanakipenda hasa. Mwanaume ni kiumbe cha ajabu na ni rahisi sana kumchota akili zake kama unampenda, japo wana mambo mengi sana magumu …

Jinsi Ya Kumdhaifisha Mwanamke Ili Akupende

Ikija katika maswala ya udhaifu katika mwanamke, huwa kuna baadhi ya mambo ambayo huwa tofauti katika kila mwanamke. Hebu mwanzo tuanze kwa kusema kuwa kila mwanamke yuko tofauti. Si kila mwanamke anataka kitu kimoja kwa kila mwanaume. Lakini, kuna baadhi ya mambo ambayo huwa yanajitokeza juu zaidi katika udhaifu wa mwanamke. Kama mwanaume atafanya mambo …

Fahamu kuhusu tatizo la kukosa hamu ya tendo la ndoa

Ndugu zangu leo napenda tulijadili tatizo la kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa. Tutajadili sababu zinasababisha mwanaume kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa, madhara yanayotokana na hali hiyo na kisha kuona ni nini cha kufanya ili kuongeza hamu ya kufanya tendo la ndoa au kuongeza hamu. Bahati nzuri ni kwamba kuna mambo unayoweza …

Mambo 5 ambayo wanawake wanatamani mwanaume ajue wakati wa kufanya mapenzi

Hivi ni baadhi ya vitu ambavyo wanawake hutamani sana wanaume zao wawe wanajua katika mapenzi, ili wasipate shida ya kumwambia mara kwa mara, jambo ambalo si wanawake wengi huwa uwezo wa kumwambia mtu, hapo ndipo unakuta mara nyingi mwanamke anaanza kuchepuka na kwenda kwa mtu mwingine wa kawaida tu kupata mahitaji yake baada ya kuona …

YAJUE MAMBO MANNE YA KUFANYA BAADA YA KUMALIZA KUFANYA TENDO LA NDOA!

Namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunijaalia siha njema na pia kwa kunipa mwangaza wa kuandika hiki ninachokusudia . Pia niwashukuru wapenzi wasomaji wa safu hii ambao tumekuwa tukiwasiliana na kushauriana hili na lile katika tasnia hii adhimu ya mapenzi. Nawakaribisha sana! Labda kwa wale wasiofahamu niwaambie tu kwamba dhana ya mapenzi ni dhana yenye wigo mpana …

Design a site like this with WordPress.com
Get started