MASWALI MAZURI YA KUMUULIZA MPENZI WAKO

1.NI KITU GANI AMBACHO UNAJUTIA SANA KUKIFANYA NA KAMWE HUWEZI KURUDIA TENA KUKIFANYA?

2.NI TABIA GANI UNAYO INAYO KUKERA HATA WEWE MWENYEWE?

3.RAFIKI YAKO MPENZI NI NANI?

4.KATIKA MAISHA YAKO NI KITU GANI UNAKIOGOPA SANA?

6.KUMBU KUMBU GANI ZA UTOTONI HUWA ZINAKUFURAHISHA SANA UKIKUMBUKA?

7.UNAPENDA MPENZI WAKO AWE NA SIFA GANI?

8.KITU GANI UNAPENDA KUKITIMIZA KWANZA KABLA SIKU ZAKO ZA KUISHI DUNIANI HAZIJAISHA?

9.UMESHAWAHI KUJIUSISHA NA MAPENZI YA JINSIA MOJA AU UNATAMANI SIKU MOJA KUJA KUJIHUSISHA NA MAPENZI YA JINSIA MOJA?

10.ENDAPO NIKIAMUA KUKUBUSU NI KITU GANI KINGINE UNGEPENDA NIKUFANYIE HUKU NIKIWA NAKUBUSU?

11.SEHEMU GANI UKIGUSWA UNAPATA MSISIMKO SANA?

12.KAMA TUKIKAA SEHEMU MIMI NA WEWE TU NI KITU GANI UNGEPENDA KUNIFANYIA/ UNGEPENDA 

SMS TAMU ZA KUMTAKIA USIKU MWEMA MPENZI WAKO

Uzuri wa usiku si giza lifunikalo dunia wala si kimya kinachotawala mazingira bali ni njozi njema zenye maono na matarajio yenye mafanikio. Nakutakia ucku mwema *°·.¸¸.°  ♥  °·.¸¸.°*

Kama jicho langu halija kuona basi moyoni daima nakukumbuka na ikiwa dua zangu hazijakulinda basi mungu daimaatakulinda,nami cna budi kukutakia usiku mwema.*°·.¸¸.°  ♥  °·.¸¸.°*

 Upendo ni tiba maradhi hukimbia. Salamu ni shiba biriani yazidiwa. Kukumbukana ni haiba nuru hutuangazia. Kwa furaha na mahaba sichoki kusalimia. Usiku mwema •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•

Salio la macho yako halitoshi kuendelea kuona kwa sasa tafadhali tandika kitanda na ulale,kwa maelezo zaidi subiri usingizi ukolee uote ndoto nzuri. usiku mwema!•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·• 

ni usiku tulivu wenye hali ya hewa saafi na usingizi  wa amani ukishika hatamu kuzisafirisha fikra za binadamu katika  ndoto! najua umechoka na pilikapilika za mchana ,jua na makelele na kila aina ya mwingiliano wa sauti ,ni wasaa mzuri sasa wakupumzisha mwili na akili yako.amua kumsamehe aliyekuudhi mchana wa leo na pia kumbuka ulipokosea leo ili kesho usirudie,lakini pia jipongeze kwa mafanikio ya mipango yako,fumba macho uikaribie nchi usiyoijua.usiku mwema •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•

lala ulale vyema na upoe moyo wako,lala ulale salama utulie roho yako,lala usingizi mwema upumzishe akili yako,akujaliekarima zitimie njozi  zako.usiku mwema•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·• 

Mpenzi tambua wewe ndiye sababu ya huu usingizi, najilaza kwa pozi nikiamini tutakutana kwenye njozi, njozi za kulienzi letu penzi, Nakupenda mpenzi, gn mwaaah…!! •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•

Jns navyozd kuongea nawe nataman kuwa krb yako,ni chezee zako lips na mwili wako kuukumbatia.nataman kuwa nawe kwan nna meng ya kukuambia.nilee penzin na moyon unitunze.ucku mwema mpz•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·• Usiku mwema mpenzi wangu, upepo wa khuba ukuliwaze katika wako mnono usingz! nakupenda kutoka kwenye chembe ya kulia ya moyo wangu mkunjufu, ulale unono dia!Nakupend laaziz •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•

natamani kuona macho yako ukiyafumba,natamani kusikia sauti za chini za ndoto zako za ucku,natamani kukuona ukijigeuzageuza kitandani! Natamani busu lako la kunitakia ucku mwema ,lkn yote hayo hayawezekani kwakuwa 2po mbali! Nakupenda dear.•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•

 sasa ni usiku najua utakuwa umechoka kwa kazi kutwa nzima ya leo,pumzika mpenzi wangu,ukipanga mambo ya kesho ,lkn elexa ki2 kimoja ,hakuna mwingine moyoni mwangu zaidi yako! •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•

ulikuwa mwanzo mgumu sana kwangu ,lkn moyo nikajipa na kukuweka wazi kuwa nakupenda!Sikuamini ulivyonikubalia na kunikaribisha moyoni mwako ,nakupenda sana dear ,usiku mwema laaziz wangu!•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·• 

ajua kazi za kutwa nzima leo zitakuwa zimekuchosha sana mpenzi wangu,pumzisha akili yako na mwili wako kwa ajili ya kufanya kazi tena kesho.pole sana dear!nakutakia usiku mwema •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•

akili yako imechoka,hata mwili wako pia!huu ni wakati wako wa kupumzika mpenzi,nakutakia usiku mwema,lkn uache moyo wako uwe macho kwa kuwa yupo anayekupenda kwa dhati! Nakupenda sana mpenzi wangu,pokea busu mwanana . . .mwaaaaaa . . . . .•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•

 Namini utakuwa umerejea kwenye yako makazi na umechoka na kazi mpenzi, badili yako mavazi, bafuni ingia upate maji kujimwagia, nakupenda la azizi, pole sana na kazi! •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•

Giza limeingia simuoni wakunikumbatia niko kama kinda la njiwa na zaidi ya mshitakiwa mwenye hatiya, sjiui wapi joto kwa kwakulipatia na wajua kipupwe kimewadia, uko wapi my dear?•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·• 

Nnahmu! nnahamu, Nnahamu jmani nnahamu, Nnahmu mpka nashindwa kujzuia,Ninhmu ya kkutkia ucku mwemw. •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•

usiku huu tulivu nikiwa nimejilaza kitandani natamani nisikie sauti yako ambayo hunikosha na kunikosesha raha nisipoisikia.uwembamba Wa Sauti Yako Hupenya Kwenye Ngoma Ya Masikio Yangu Hunitekenya Na Kuniacha Nikifurahi. Nakupend Wangu Kipenzi*°·.¸¸.°  ♥  °·.¸¸.°*

(‘.’) Mh!<(   )>_/  /_Nmechoka kusimama hapa kusubiri sms yako ya kunitakia usikumwema. Naenda zangu kulala miguu isije ingia ndani bure…!GD9T*°·.¸¸.°  ♥  °·.¸¸.°*

Usiku Ni “utulivu”Usiku Ni “mzuri”Usiku Ni”upole”Usiku Ni “kimya”Lakini UsikuHaujakamilikaBila..KukutakiaWewe..USIKU=m=w=e=m=a.*°·.¸¸.°  ♥  °·.¸¸.°*Usiku wa leo uwe ni wenye faraja kwako, utawaliwe na usingizi wa mahaba kwenye kope zako, naombaujenge taswira yangu katika mawazo yako, Usisahau kuniota sweet wangu. USIKU MWEMA
……………………….
………………….
  , – .(. – .
        ‘.MOYO.’
   WA ‘ .  
. . ‘NGU
 unakusaka popote ulipo ili
 ukudokeze ujumbe usemao;

U~S~I~K~U~ ~M~W~E~M~A~

SABABU YA NDOA ZA SASA KUVUNJIKA MAPEMA

NAMSHUKURU Mungu kwa kunilinda, kuniongoza na kunijalia pumzi bure ili nizungumze nawe kupitia safu nzuri ya maisha na uhusiano ya XXLove.

Mpenzi msomaji wimbi la kuvunjika kwa ndoa nyingi za zama hizi ni kubwa mno, tena wanandoa wenyewe wanaachana kwa kuvunjiana heshima, kukashifiana, kufikishana mahakamani na mambo mengine kadha wa kadha yanayoacha majeraha yasiyopona mioyoni mwao.

Ndoa nyingi za sasa zimekuwa zikivunjika kwa sababu mbalimbali ikiwemo wanandoa kuishi maisha ya kuigiza kabla ya kuoana na baada ya kufunga ndoa kujikuta wakifahamiana kwenye uhalisia hivyo kuondoa kabisa yale matarajio ya mmoja kwa mwenzake.

Hii ina maana wakati wa uchumba sehemu kubwa ya maisha yao ilikuwa ni kufeki kwa kila kitu;

UVAAJI

Unakuta mwanamke au mwanaume alikuwa anaonekana ni mwenye kupenda kuvaa mavazi ya staha, mavazi ambayo kila mwanaume au mwanamke anapenda kuwa naye, lakini baada ya kuingia kwenye ndoa, kila mtu anaonesha uhalisia wa mavazi anayo-penda.

Mwanaume anashangaa kumuona mkewe ghafla ameanza kuvaa vinguo ambavyo vinambana au vinaonesha sehemu kubwa ya maungo yake.Kwa tabia hizo, ni dhahiri watashindana au kila mtu atataka mwezake asifanye jambo fulani na hapo ndipo mgogoro na mfarakano unapotokea na matokeo yake ndoa inasambaratika.

UTII

Wakati wa kutafutana katika urafiki wa mapenzi au uchumba, kila mtu anakuwa na utii wa kipekee kwa mwenzake ili kumfanya mwenzake amvutie. Kwa hiyo baadhi ya tabia zile za asili, wapenzi wengi huzificha ili wasije wakashindwa kutimiza azma zao.

Lakini wakishaingia kwenye ndoa, tabia halisi hujidhi-hirisha kwa wanandoa, ule utii aliokuwa nao mwanamke kwa mumewe au mume kwa mkewe hupotea, kila kitu inakuwa ni kuulizana na kujibizana kwa hasira.

HURUMA

Katika kipindi cha urafiki au uchumba, kila mtu anakuwa tayari kuonesha huruma kwa mwenziye. Hata kama kiasili hana huruma lakini kwa kuwa anakuwa na lengo maalum, basi hujifanya ana huruma ilimradi tu afanikiwe. Lakini baada ya muda uhalisia wa tabia za kila mmoja hujidhihirisha na hapo ndipo kila mtu huhisi kuwa mke au mume aliyenaye si sahihi, si yule mwenye sifa alizozihitaji.

KUONGEA

Wakati mwingine wapenzi hufeki hata namna ya kuongea, huongea kwa ustaarabu, huongea kwa kujifanya muungwana, mwenye hekima, anajiamini lakini katika uhalisia si mtu wa hivyo, pengine ni mtu wa kuropoka.

Lakini anakuwa ameamua ‘kujikontro’ ili amteke vizuri mwenza wake. Kimbembe ni pale watakapokuwa kwenye ndoa, kwani baada ya miezi kadhaa, tabia halisi au asili ya mhusika kujitokeza na wakati huo hujikuta hawezi kufeki tena maisha kwa sababu muda mwingi anaishi na mpenzi wake, tofauti na kipindi kile ambacho wako kwenye uchumba ambapo kila mmoja alikuwa mbali na mwenza wake.

MATUMIZI

Kipindi cha uhusiano baadhi ya wapenzi hujifanya ni watu wenye matumizi mazuri ya fedha na rasilimali nyinginezo lakini akishaingia ndani basi huonesha utumiaji wake mbovu wa rasilimali hizo. Kwa mtu mwenye malengo, mtu wa namna hiyo hana nafasi katika maisha yake.

FARAGHA

Kuna wapenzi wengine hudiriki hata kufoji namna ya kushughulika wanapokuwa faragha, utakuta anajitutumua ilimradi asioneshe udhaifu wake na kwa mtu ambaye yuko naye, anaona huyu ndiye anafaa lakini anapomuweka tu ndani basi uwezo wake wa faragha udhihirika na hapo ndipo mmojawao anaanza kutamani kutoka nje kwa sababu alichokiona siku za awali sicho alichokutana nacho. Ingawa mapenzi ya ukweli hayako kwenye tendo pekee.

KUNA HATUA KABLA YA KUZAMA PENZINI USIKOSEE!

 raha yake ni kupendana. Yananoga zaidi wapendanao wanapopendana kwa asilimia mia. Mwanaume ampende mwanamke kwa kiasi hicho, vivyo hivyo mwanamke ampende mwanaume.  

Hapo ndipo utaiona tamu ya penzi. Wataalamu wa masuala ya uhusiano wanakuambia pendo la kweli halifi (true love never die).

Halifi kwa sababu linatoka moyoni. Anampomweka mwenzake moyoni, hapo anakuwa tayari kwa lolote. Ni kama vile imani, inamshika kwelikweli.

Humwambii kitu.Kweli kuna raha yake mtu kama huyo kumpenda mwenzake kiasi hicho. Inapendeza zaidi pale tu anayependwa, naye akarejesha upendo huo. Tofauti na hapo, penzi linageuka mateso.

Mmoja anampenda mwenzake, mwenzake hampendi. Kwenye jamii zetu haya tunayaona, wapo wanaume ambao wanawapenda sana wapenzi wao, wanawake nao wanarejesha upendo. Wanathaminiana, wanajaliana kiasi cha kuzua gumzo haswa kwa wale ambao wanakosa penzi la kweli.Mtu anampenda mpenzi wake mpaka anaumwa.

Anatamani kuwa naye kila wakati, anamuonesha kila linalopaswa kufanyika kudhirisha upendo. Hapo ndio utasikia yale maneno ya ‘fulani na mpenzi wake wanapendana hadi raha’.

Upendo unapofikia hatua hiyo, ndiyo pale zinapozaliwa kauli za ‘mimi siwezi kuishi bila ya yeye.’ Au kauli kama ‘maisha yangu si chochote bila yeye.’ Anamweka mpenzi wake katika fungu la kwamba likitokea la kutokea, ataumia sana.Yaani kwa jinsi alivyompenda, siku akiambiwa tuachane anachanganyikiwa.

Hataamini kilichotokea. Anateseka kwa mwezi mmoja, miwili hata mwaka. Anaumia kwa sababu alimpenda kwa dhati mpenzi wake. Alimuweka moyoni. Hapo ndipo kwenye kiini cha mada yangu, kama nilivyotangulia kusema katika kichwa cha habari, mpende mtu sana lakini ni muhimu kujifunza kuweka akiba.

Kabla ya kufikia hatua ya kumuweka mtu moyoni, hakikisha kwamba unayetaka kumweka ni mtu sahihi.

UTAMJUAJE MTU SAHIHI?

Mara kadhaa nimekuwa nikisema, mtu sahihi utamjua kwa matendo yake. Unapokuwa kwenye hatua za awali za uhusiano, ni rahisi sana mtu kuficha ‘madhambi’ yake lakini hawezi kuficha kwa wakati wote. Atakuficha kwa miezi miwili mitatu lakini ndani ya mwaka mmoja au miwili utamjua tu.

CHEKECHA AKILI YAKO

Ruhusu akili yako ipambanue mambo yanayohusisha penzi lenu. Waza kwa kina kila hatua mnayopitia. Usimweke mtu moyoni kabla hujajiridisha kama ana mapenzi ya dhati. Ana malengo na wewe? Hatamani tu kitu fulani kutoka kwako?

WEKA AKIBA

Katika kipindi cha awali, jifunze kuweka akiba. Muoneshe upendo, mjali na umthamini lakini katika akili yako weka akiba ndogo kwamba siku akisema hanitaki itakuwaje? Akisema kila mtu achukue njia yake itakuwaje? Akiondoka duniani je? Hutapagawa? Rafiki yangu, nakushauri. Kwa ustawi wa uhai wako ni vyema ukawa na akiba japo kiasi katika pezi lako. Hiyo ni kama tahadhari ambayo itakusaidia pindi litakapotokea la kutokea. Usiumie. Usichanganyikiwe na kujikuta ukipata matatizo yanayoweza kukuondoa duniani.

MAPENZI YANAUA

Ni kweli kabisa, tumeshuhudia matukio mengi ya watu kuuana kwa sababu ya usaliti, kwa sababu ya wivu na mambo mengine kama hayo. Maafa kama hayo yasingetokea kama wahusika wangekuwa wameweka akiba ya upendo.

PENDA TARATIBU

Usiingie mzima mzima katika mapenzi. Ingia kwa tahadhari. Hakikisha unacheza vizuri katika uhusiano wako, jitambue na usikubali kuchanganyikiwa sababu ya mapenzi. Upendo wa kweli unaishi. Mtaishi kwa muda mrefu mkisomana, mkishibana na mwishoni mtafikia kwenye hatua ya upendo wa kufa na kuzikana.

SIRI ZA KUDUMU KATIKA MAHUSIANO YA KIMAPENZI

Watu wengi wanatamani kudumu kwenye uhusiano lakini bahati mbaya huwa inashindikana.

Mtu ambaye hadumu kwenye uhusiano, si kwamba anakuwa hapendi bali inatokea tu kutokana na sababu mbalimbali. Inatokea kwa sababu, huenda pengine ni kutokana na tabia zake au za mwenzake.

Mfano, yawezekana akawa na ‘mdomo’ sana, yawezekana akawa mbinafsi. Au ana hulka ya ugomvi lakini mwenzake hana. Yawezekana akawa na tabia za kuchepuka.

Yawezekana tatizo likawa la mwenzake, Akawa ana tabia zisizompendeza mpenzi wake. Yawezekana akawa mbinafsi, yawezekana akawa na hasira kali au akawa na tabia mbaya ambazo mwenzake ameshindwa kuzivumilia. Kikubwa tu, watu hushindwa kudumu penzini kwa kupishana mambo mbalimbali. Kuanzia tabia, mtindo wa maisha na wengine kutoelewana dhumuni la safari yao.

Mara kadhaa nimekuwa nikisisitiza, unapoanzisha uhusiano na mwenzako lazima kwanza mjue lengo au madhumuni ya huo uhusiano wenu. Mwanamke ajue kwamba uhusiano wao ni wa muda mrefu au wa muda mfupi.

Una malengo au hauna? Vivyo hivyo mwanaume, kwa kinywa chake, kutoka moyoni athibitishe lengo na madhumuni ya uhusiano wake ili mwenzake ajue kabisa kwamba yupo kwenye uhusiano wa aina gani. Baada ya hapo ndio muanze safari.

Na hii ndio siri ya maisha. Ndiyo siri ya uhusiano wote. Mkishajua madhumuni ya safari yenu, kinachofauta ni kukipa umuhimu kipaumbele chenu. Pamoja na kujua kwamba mtakumbana na changamoto mbalimbali katika safari yenu lakini mnapokumbuka umuhimu wa safari yenu, mnatiana moyo. Mnapokutana na magumu yasiyokuwa na mfano, hamkati tamaa. Mnainuka na kusimama tena. Kila mmoja anapomuona mwenzake kakosea, anambebea makosa yake na kumsamehe kulingana na uzito wa safari yao.

Ni kama kiapo. Mnaapa kutoachana, mnaapa kuianza safari pamoja na kuimaliza pamoja. Kifo pekee ndicho kitakacho watenganisha kama kweli wote wawili mtakuwa na nia moja, dhumuni moja la kujenga uhusiano wenu hudumu. Wapenda-nao mnapaswa kuzungumza lugha moja. Kwa pamoja mnapaswa kuazimia namna ambavyo safari yenu mnataka iwe. Mathalan, mnataka muishi maisha ya aina gani? Mnataka kufikia hatua au kufunga ndoa ya aina gani?

Ili muweze kufanikisha safari yenu ya ndoa, mnapaswa muishije? Narudia tena, kusikilizana ndio jambo kubwa sana katika safari yenu. Asiwepo mtu wa kumdharau mwenzake. Mwanamke, amthamini mwenzi wake kuliko mtu mwingine yeyote. Mwanaume, amthamini mwanamke wake katika kiwango cha hali ya juu. Asikubali kuyumbishwa na tamaa za kimwili, asirudishwe nyuma na maneno ya watu na kisiwepo kizingiti chochote cha kumkatisha tamaa.

Kwa vyovyote itakavyokuwa, suala lenu la ‘utaifa wa uhusiano’ ndio mlitangulize mbele. Muishi mkijua kwamba, uhai wa penzi lenu mmeushikilia nyinyi wawili. Mna kila sababu ya kulilinda penzi lenu kwa gharama yoyote kwani mafanikio ya uhusiano wenu, ni mafanikio ya wote wawili.

Mpendane. Mheshimiane katika kiwango cha juu. Kila mmoja atambue majukumu yake. Mwanamke amtii mwanaume, amheshimu. Mwanaume ampende sana mwanamke. Asimdharau, atambue thamani yake katika nyumba licha ya kwamba mwanaume ndio kichwa cha familia.

Mwanaume asivimbe kichwa. Amshirikishe mwenzake katika masuala yanayohusu maisha na uhusiano wao. Hata ikitokea mmepishana kauli, shukeni. Kila mmoja aongozwe na busara kwamba, ipo njia mbadala ya kuwavusha kwenye mabishano hayo bila kusababisha mtafaruku.

Mwanamke usiwe mzungumzaji sana kwa mwanaume. Mpe faraja pale inapobidi. Farijianeni katika vipindi mbalimbali mnavyopitia. Muanguke na kuinuka pamoja. Asiwepo mmoja kati yenu achukulie changamoto ya mwenzake kama si yake.

Kila mmoja aguswe na matatizo ya mwenzake. Mnapokuwa kwenye furaha, kwa pamoja pia mfurahi. Msiwe na tamaa. Tengenezeni maisha yenu mnayoyataka. Kwa pamoja mtakuja kufurahia ushindi wa safari yenu.

MAKOSA YANAYOFANYWA NA WANAWAKE WENGI KATIKA MAHUSIANO YA KIMAPENZI

Hakuna kitu kizuri kwenye uhusiano kama kuishi vizuri, uhusiano usiwe na ugomviugomvi wa kila mara.

Kila mmoja aujue wajibu wake kwa mwenzake, amsome mwenzake ni mtu wa aina gani ili kuweza kujua namna ya kuishi naye. Mathalan ni vyema kumsoma mwenzi wako kama ni mtu wa hasira sana, ujue namna ya kuishi naye. Anapokuwa na hasira, usimueleze kosa lake au kumkosoa. Subiri hasira zitakaposhuka, mueleze katika lugha rafiki na hapo utakuwa umeepusha mengi.

Kumueleza mtu makosa yake katika wakati ambao naye ana hasira, utasababisha hasira zimpande zaidi na kusababisha hata ugomvi mkubwa hivyo busara zaidi zinapaswa kutumika. Mjue mwenzi wako ni mtu wa aina gani kisha ishi naye kwa staili unayoona inafaa. Kuna makosa mengi ambayo huwa wapendanao wanayafanya lakini katika makala haya leo nitazungumzia makosa ambayo ni hatari na yanafanywa na wanawake kwa wanaume wao.

Kung’ang’ania jambo
Mara nyingi wanaume huwa hawapendi kuona mwanamke anang’ang’ania jambo moja kwa muda mrefu. Hawapendi kuona mwanamke anashinikiza jambo kwa kiasi ambacho kinamnyima amani. Hata kama unajua upo sahihi, mwanamke unapaswa kutoonesha uking’ang’anizi kwa mwanaume wako. Mueleze mara moja jambo, mara ya pili ukiona hakuelewi muache kwanza.

Anakuwa anapima jambo lako na wakati mwingine akili yake inakubaliana na kile unachomueleza lakini namna unavyomng’ang’ania, unavyomshinikiza anaweza akajisikia vibaya.

Mueleze mara moja, mara ya pili kisha wewe hamia kwenye mada nyingine. Utamkumbushia tena kesho au kesho kutwa na si lazima utake jambo hilo umueleze siku hiyo na siku hiyohiyo upate jibu la kueleweka. Anaweza asikuelewe siku hiyo lakini kesho yake ukaona mwenyewe ametekeleza katika namna fulani lile jambo ulilokuwa unamueleza.

Kujilinganisha
Hili nalo ni kosa kubwa ambalo linafanywa pia hata na wanaume lakini zaidi wanawake. Baadhi ya wanawake wana kasumba ya kupenda kujilinganisha maisha ya wenzao na kutaka wafanyiwe na wenzi wao. Hili ni kosa. Uhusiano wenu unapaswa kuwa wenu. Msiwaige watu wanavyoishi, usijaribu kujilinganisha nao halafu ndio utake kufanana nao, ishini maisha yenu, wekeni ndoto zenu mnazotaka kuzifikia.

Mathalan unataka uwe na mapazia, makochi au rangi nzuri ya nyumba, mavazi na kadhalika, wekeni mikakati yenu na mjue namna ya kufikia mafanikio yenu. Msilaumiane kuyakosa mafanikio. Tengenezeni mfumo wa kuyafikia malengo yenu katika muda muafaka.

Ubize na marafiki
Hili nalo ni tatizo. Wapo baadhi ya wanawake ambao wanajisahau. Kipaumbele cha maisha yao wanakitoa kwa marafiki au familia na kumfanya mwanaume wake kama mtu wa ziada. Unapaswa kumpa thamani mwanaume wako kuliko mtu mwingine yeyote. Onesha jinsi unavyomheshimu, anapofika nyumbani hata kama ulikuwa na mazungumzo na marafiki au wageni wowote basi onesha kumjali mumeo.

Siyo anafika wewe upo bize tu na marafiki au watoto wako. Muoneshe unamjali, unamthamini na unampa kipaumbele maishani mwako. Ukifanya hivyo utamfanya mwanaume ajisikie yupo wenye mikono salama na atazidi kukupenda kwelikweli

DALILI KUU MBILI ZA MWANAMKE ANAPOKARIBIA KUFIKA KILELENI

Siku zote katika mapenzi hakuna kitu kizuri kama kuridhishana hususan katika tendo la ndoa, ukweli uliopo ni rahisi sana kwa mwanaume kuwahi kufika kileleni kuliko 

mwanamke hii inatokana na sababu nyingi kwa upande wa mwanaume suala la kuwahi kumaliza mapema linaweza kusababishwa na tatizo la nguvu za kiume na kukurupuka 

katika tendo kwa maana ya kuwahi kumuingilia mwanamke bila kufanya Romans/maandalizi ya kwanza kabla ya tendo na kwa upande wa wanawake suala la 

kuchelewa kufika kileleni ni asili yao kutokana na jinsi walivyoumbwa ila napenda ifahamike kuwa pamoja na wanawake kuumbwa hivi ila unauwezo wa kumfanya afike 

kileleni mapema kwa kuzingatia maandalizi ya awali kabla ya tendo inabidi utumie muda mwingi katika kumuandaa mpenzi wako kwa kumtomasa sehemu husika ili iwe njia rahisi ya wewe kumridhisha na kumfanya afike katika kilele cha raha. 

ZIFUATAZO NI DALILI KUU ZA MWANAMKE ANAPOKARIBIA KUFIKA KILELENI:

1. Dalili ya kwanza inayomuashiria mwanamke anapotaka kufika kileleni ni ya kupiga mayowe/kelele, hii ni dalili kubwa kwa wanawake wengi napozungumzia dalili hii sina maana kwamba ya kupiga kelele za fujo ila kelele zinazopigwa ni zile za raha 

zilizoambatana na Miguno ya kimahaba kama alikuwa anatoa sauti ya chini ghafla utaanza kuona anapandisha na kuikuza sauti. Pia kuna wanawake wengine hujikuta wakiropokwa maneno pindi raha zinapozidi,

2. Dalili nyingine ya pili inayoweza kukusaidia kumtambua mwanamke anapotaka kufika kileleni ni hii wanawake wengi hubainika kufika kileleni pindi raha zinapo 

wazidia na wanapo kojoa (Bao) huwakumbatia wapenzi wao kwanguvu na kuwavuta hutumia nguvu nyingi kuwakumbalia wapenzi wao mpaka wanapomaliza kukidhi haja 

yao katika hili pia unaweza kumuona mwanamke mwingine anafikia mpaka hatua ya kukung’ata meno ila fahamu zote zinakuwa ni raha anajikuta anafanya vitu bila kutarajia. 

– Naamini somo limeeleweka na kwa hizi dalili chache sidhani kama ikitokea mwanamke wako akifanya moja wapo kati ya hili kwako itakuwa kama suprise ni vitu 

vya kawaida katika mapenzi na jinsia zote mbili zina haki ya kuridhika katika sehemu ya kusex. Ushauri wangu mkubwa ni kuzingatia maandalizi mazuri kabla ya tendo 

kwani siku zote huwezi kuplan kujenga nyumba bila kuwa na msingi na kwenye mapenzi pia huwezi kufanikiwa kumridhisha mwenza wako bila kumuandaa. 

MAMBO WANAYOPENDA KUFANYIWA WANAWAKE MUDA WOTE MKIWA PAMOJA.

Mapenzi yanataka elimu,lakini si wote wanaojielimisha namna ya kuwafanya wapenzi wao wajione kuwa ni salama na hivyo kuyafanya mapenzi yao kudumu kwa muda mrefu.

Wanaume wa siku hizi wamekuwa hawafahamu ni vitu gani ambavyo wanawake wanapenda kuvipata kutoka kwao,,kushindwa kuwa na elimu hii,wanaume wengi wamejikuta wakitumia ukali kuwatawala wake zao,jambo ambalo limekuwa likizidisha migogoro ya kimapenzi.

1: KUTATULIWA MATATIZO.
Wanawake wengi hutegemea kuwa wanapokuwa na wapenzi watasaidiwa katika matatizo ya kimaisha na migogoro ya kimawazo.

Mfano ushauri juu ya maisha yao,kulindwa na hatari za kimaisha,kusaidiwa katika shida na kuongozwa pale wanapohisi kushindwa kufanya jambo.Kama mwanaume hatamfanyia mpenzi wake hili,atakuwa amekosa sifa za kuteka penzi la mwanamke.

2: KUBEMBELEZWA.
Wanawake wanapenda kubembelezwa pale wanapokuwa na huzuni,wengi wao hawapendi kukaripiwa,mara nyingi hupenda kuungwa mkono wanapokuwa na misuguano na wengine,Ili mwanaume amteke kimapenzi mwanamke ni lazima awe nyuma yake hata kama atakuwa na kosa.Wanawake wengi hupenda kuelimishwa zaidi kuliko kufokewa.

3: KUWA NAMBA MOJA.
Safari ya penzi la mwanamke haliishii kwenye kumpata na kummiliki,kisha kujisahau kwa kisingizio kuwa umemuoa au umemvisha pete ya uchumba,ni zaidi ya hapo.Jambo lingine ambalo wanawake wengi uhitaji ni kuwa namba moja au kupendwa.

Wanapenda watangulizwe katika mapenzi na kusiwepo na mwingine wa kuchukuwa nafasi yao katika mazungumzo na mapenzi kwa ujumla.Wanawake hawapendi kuutwa majina mabaya kwa mfano mjinga,malaya au kuwalinganisha na wanawake wenzao wabaya.

4: KURIDHISHWA KWENYE TENDO.
Hata kama utakuwa na kiwango kikubwa cha mapenzi juu ya mpenzi wako kwa kiwango gani,Ukiwa dhaifu katika tendo la ndoa utayumbisha penzi lako.Ni wajibu wa mwanaume kuhakikisha kuwa anamtosheleza mpenzi wake katika tendo hilo.Utundu unahitajika ili kumkata kiu mpenzi wako.

SHORT LOVE MESSAGES GIRLS MOST LOVE

Sharing these charming and short love messages with your partner can fill their heart with joy. 

Meeting you was fate, becoming your friend was a choice, but falling in love with you was beyond my control. 
You may not love me like I love you,You may not care for me like I care for you But if you ever need me, I will always be around for you. 
I love being loved by you. 


I wish dreams were like wishes, and wishes came true, cause in my dreams I’m always with you. 
I love my life because it gave me you 
I love you because you are my life 
I know fairy tales come true because I have you. 
There are only two times that I want to be with you: Now and Forever. 
My six word love story: “I can’t imagine life without you.” 
You have no idea how much my heart races when I see you. 
I love when I catch you looking at me. 


Sometimes I wonder if love is worth fighting for, but then I remember your face and I`m ready for war. 
You are my world, gravity always pulls me towards you. 
I want to be your favorite hello and your hardest goodbye. 
Three seconds to say I love you, Three hours to explain it, and A life time to prove it. 

Sweet Love Messages 

Whenever you think about your love, every once in a while you can send them these intensely sweet love messages picked from here. 

If I could be anything I would be your tear, so I could be born in your eye, live down your cheek and die on your lips. 
One day it finally came true, the special someone that I loved, loved me too, and that special some one was you. 
Everyone says you only fall in love once but that’s not true, every time I hear your voice I fall in love all over again. 
I dropped a tear in the ocean, the day that I find it is the day I’ll stop loving you. 
I hated the rain until I danced with you, then like the rain, I fell for you. 
When you feel alone, just look at the spaces between you fingers, and remember that’s where my fingers fit perfectly. 
I love you more than words can define, feelings can express and thought can imagine. 
Last night I looked up at the stars 
And matched each one with a reason why I love you 
I was doing great, but then I ran out of stars 
The sun shines in the day, 
The moon shines in the night. 
You shine in my heart every day and night. 
If I had to choose between a perfect world and loving you 
I’d pick loving you because what’s a perfect world if you’re not there with me? 
It is not being in love that makes me happy… but it’s being in love with you that makes me happy.

MAMBO AMBAYO WANAUME HUKOSEA WAKATI WA KUTONGOZA

1.PAPARA 
wanaume wengi tumekuwa na haraka sana tunapokuwa tukitaka kuaproach hali inayomfanya mwanamke akuwekee ugumu.mfano umekutana na dada mzuri mmesalimiana hapo hapo unamuomba namba yake.mjomba hata akikupa ujue utasumbuka sana kumpata coz atakufikiria sana juu ya uharaka wako. 


2.KUJIFAKE 
wanaume wengi tumekuwa tukijipandisha au kujionyesha tofauti na hali zetu.ukiwa unaaproach jaribu kuwa real.huwezi kumwambia mdada unafanya kazi benki afu uko na techno 


3.KUTOSOMA MOOD YA MWANAMKE 
unapomuaproach mwanamke lazma usome mood yake coz sometime unaweza kutoswa coz hujamsoma mwanamke.unamtongozaje mwanamke asubuhi?,, 


4.KUMPONDA UR EX LOVER 
mwanamke anakuuliza kwanini uko single,unaanza kumponda ex wako kwa maneno ya kashfa hali kama hii inaweza kumtisha kisaikolojia umtongozae. 


5.KULALAMIKA 
Unamtongoza mwanamke huku unalalamika juu ya mapenzi oooh mara sijawahi kupendwa.mjomba hapo unaonyesha udhaifu wako.UKITULIA NA KUMTONGOZA MWANAMKE BILA KUYATENDA HAYA MBNA UTAMPATA KILA UMTAKAE.HAKUNA MKATE MGUMU MBELE YA CHAI

Design a site like this with WordPress.com
Get started