HIZI HAPA SABABU KUU 10 ZA UGOMVI KATI YA MUME NA MKE KATIKA MAHUSIANO

Ugomvi baina ya wapenzi katika mahusiano ni kitu cha kawaida kutokana na watu hao wawili kutoka katika malezi na mazingira tofauti ya ukuaji toka wakiwa wadogo hadi watu wazima.Wawili hao wanapoaanza kujenga mahusiano na kukaa pamoja kama familia,kuna vitu kadhaa ambavyo kila mmoja wao huvitazama tofauti na hivyo kuleta migongano.

Migongano ambayo inaweza ikarekebishika kama wenza hao watamua kuifanyia kazi na kuelewana.Kuna vitu vingi ambavyo husababisha ugomvi na migongano ndani ya mahusiano ya mke na mme na hapa tunaeleza sababu kuu ambazo kwa kawaida hutokea karibu katika kila mahususiano

1. WivunaKukosaKujiamini

Wivu unatokana na jinsi ambavyo mpenzi mmoja anavyohusiana na watu wengine wa jinsia tofauti. Inaweza ikawa marafiki,wafanyakazi wenza au wapenzi wa zamani.

Vyovyote vile itakavyokuwa ni kwamba wivu unasababisha ugomvi katika mahusiano mengi.Kunatakiwa kuweka mipaka ya kutosha na iliyo wazi ili kujenga uaminifu kwa mpenzi wako na kumpa kujiamini.

Mpenzi ambaye hajiamini ni tatizo kubwa kwani uwezekano wa kuanzisha ugomvi ni mkubwa

.Hivyo ni vizuri ukamjengea mweza wako katika mapenzi kujiamini kwa kuwa mwaminifu.

Uaminifu ni kitu kimoja kikubwa sana katika mapenzi. Kama mwenza wako akikuamini hakutakuwa na wivu wa kupita kiasi na pia atakuwa anajiamini kuwa yeye peke yake ndio chaguo lako na hakuna mwingine.

2. MawasilianoFinyu

Mawasiliano yanapovunjika katika mahusiano ugomvi ni kitu cha kawaida kutokea.Mawasiliano ya kawaida kati ya wapenzi husaidia sana kutoa wasiwasi wa nyendo za mwenza wako. Huleta amani na kujenga uaminifu kwa mpenzi kwako.Kuzungumza juu ya mipango yako ya mendeleo kama ujenzi au biashara ni vitu ambavyo ni muhimu sana kuvifanya vinginevyo utajenga wasiwasi kwa mweza wako na itasababisha ugomvi wa mara kwa mara.Kuwa muwazi kwa mipango ya maendeleo binafsi,ya familia yako na ndugu.Utafiti unaonyesha kuwa wapenzi wanaoongea na kusikilizana mara kwa mara hawagombani mara nyingi kama wale wasio na mawasiliano ya kutosha.

3. Masuala ya Fedha

Japokuwa fedha si msingi wa mapenzi,lakini ni kitu ambacho kinahitajika sana katika maisha ya kila siku ya kila mtu na ya familia. Na kimekuwa ni mojawapo ya vitu ambavyo wapenzi katika mahusiano au ndoa hugombana sana juu yake.

Mwenza mmoja anapokuwa mtumiaji mbaya wa fedha na mwingine siyo,huibua malalamiko na ugomvi.

Baadhi ya wapenzi hasa wanawake hawataki kuchangia kwa kiasi kikubwa katika mahitaji ya msingi ya nyumbani na badala yake kuwaachia mzigo mkubwa wanaume.

Hili linaibua malalamiko mengi kwa baadhi ya wanaume,na wakati ungine toka kwa wanawake.

Matumizi makubwa ya fedha kwaajili ya pombe na sharehe nyingine kwa wanaume na baadhi ya wanawake kumekuwa mojawapo ya sababu za ugomvi juu ya fedha katika mahusiano.Ni muhimu kwa wenza wawili kupanga jinsi ambavyo fedha zao zitapatikana na kutumika.

Vipaumbele vya kufanyika kwanza na kiasi cha kutumika kwajili ya starehe na urembo kwa wanawake kwa mfano.

4. Masuala ya Familia

Familia ya nani ianze kwanza na ipi ifuate ni tatizo kubwa katika mahusiano. Upendeleo wa upande mmoja ambao kwa asili huwa unatokea tu ni chanzo cha ugomvi ndani ya nyumba.

Mitazamo tofauti kati ya mmojawapo katika wapenzi na familia ya mwenza wake husababisha kutoelewana kwa wapenzi hao ndani ya nyumba.Mbaya sana inakuja pale wanandugu wanapoingilia mambo ya ndani ya nyumba yenu.

Wazazi wa kike na mawifi mfano, wamejulikana kusababisha matatizo mengi kwenye familia za watoto na kaka zao.Kuepukana na hili ni muhimu kwa wapenzi ndani ya nyumba kuweka mipaka kwa ndugu ambayo haitaathiri uhusiano nao kama ndugu.Pia ni muhimu kwa wenza hao kuweka mikakati ya pamoja juu ya kuhusiana nakusaidia ndugu toka katika familia zao mbili.

5. SualalaUnyumba

Japo kuwa suala kufanya mapenzi si kila kitu kwa wapenzi ndani ya nyumba lakini linachangia sana katika kuleta ugomvi aina yao. Kufanya mapenzi kupita kiasi au mara chache kunaleta matatizo kwa wapenzi hasa ambao wana uhitaji tofauti.Wengine wanaona kama mpenzi ambaye hahitaji kufanya mapenzi mara nyingi na mwenzake labda anauhusiano na mtu mwingine zaidi yake. Au hamvutii tena kama zamani na huenda akaanza kuangalia nje.

Hii inajenga kutojiamini na kupoteza uaminifu,ambalo ni tatizo jingine kubwa katika mahusiano kama tulivyoonesha mwanzoni.

6. VipaumbelekatikaMaisha

Wapenzi wawili wanapokuwa na mipango na malengo tofauti ni tatizo kubwa. Watu wanapokuwa katika uhusiano ambao ni wa kuishi daima,malengo na vipaumbele vyao ni lazima vioanishwe na juhudi za kila mmoja zilenge katika kufanikisha mipango hiyo ya pamoja.Kunapotokea kuwa kila mmoja ana malengo tofauti basi hata vipaumbele vitakuwa tofauti na hapo ndipo shida zinapoanzia.

7. Uaminifu

Uaminifu katika mahusiaono ni jambo la muhimu sana. Bila uaminifu ni ngumu sana kwa mahusiano yoyote kudumu.Uaminifu ni kitu ambacho hujengwa kwa muda mrefu na kikipotea ni ngumu sana kukirudisha. Japo inawezekana kujenga upya uaminifu lakini huchukua muda mrefu sana.

8. Wapenzi,MarafikinaMaisha ya Zamani

Mojawapo ya vyanzo vya ugomvi kati ya wapenzi ni wapenzi wa zamani. Mawasiliano ya aina yoyote na wapenzi wa zamani huleta wasiwasi mkubwa kwa mpenzi wa sasa.

Ni kitu ambacho wapenzi wawili wanahitaji kuongea na kupanga jinsi ya kuepukana na matatizo ambayo yanaweza kusababishwa na historia zao za maisha.Kuepukana na hii ni vyema kuvunya uhusiano wa aina yoyote na wapenzi wa zamani labda tu kama wapenzi hao ni wazazi wenza au mnafanya kazi pamoja na ni ngumu kutokuonana au kuwasiliana.

Suala linalofanana na hili ni uhusiano na baadhi ya marafiki wa jinsia moja ambao wanachukuliwa kuwa mfano mbaya na mpenzi wako. Kama haiwezekani kutowasiliana na kuonana na wapenzi wa zamani au marafiki, basi ni vyema wakawa marafiki wa familia nzima na mawasiliano yoyote kati yenu nao yawe wazi pasipo kificho.

9. Watoto

Suala la uleaji na ukuzaji wa watoto linasababisha ugomvi mara nyingi kati ya wazazi. Jinsi gani mtoto avae au shule ipi aende linapelekea wazazi wengi kugombana.Ni jambo la muhimu sana kukubaliana juu ya mambo ya msingi juu ya malezi ya watoto. Tofauti za wazazi ziangaliwe kwanza vinginevyo zitaingilia malezi ya watoto na kusababisha ugomvi juu yao.

10. Kazi za Nyumbani

Imekuwa kama utamaduni kwa waafrika kuacha kazi nyingi kama si zote za nyumbani kwa mke. Kwa Wanawake ambao wanafanya kazi pia inakuwa ngumu sana.

Hili linasababisha pia ugomvi kwa wapenzi nyumbani. Kama nguo ambazo mume anazivaa na kuzichafua tu bila ya kujali kuwa mweza wake ataumia wakati wa usafi na ikiwa yeye mwenyewe hajishughulishi na kufanya baadhi ya kazi za nyumbani ni wazi itasababisha ugomvi.

Ni vyema wanaume kuchukua baadhi ya majukumu nyumbani hata kama kutengeneza bustani au kulisha chakula mifugo.

Faida ya Ugomvi kati ya Mke na Mme Katika Mahusiano

Japokuwa ugomvi ni kitu cha kuepuka,lakini kina uzuri wake katika mahusiaono kama kikichukuliwa vizuri na kutumika kama kioo.Kama mtu anagombana na mpenzi wake kwa madhumuni ya kuboresha ni kitu kizuri.

Hii inaonesha kuwa anahitaji kuwa na wewe na anahitaji amani.Ugomvi na mifarakano pia inatoa nafasi kwako kujiangalia vizuri na kama kinacholalamikiwa na mwenzio kina ukweli basi ni nafasi ya kujirekebisha.

Ni mategemeo kuwa kuna kipindi ambapo ugomvi utakuwa mkubwa na baadae wapenzi hao wataelewana na kurekebisha mambo yao.i.  Ugomvi Unatoa Nafasi ya Kuongea Mambo MagumuWakati mwingine mazungumzo ya kawaida hayatoi nafasi ya wapenzi wawili kusema yale ya ndani na yanayozizonga nafsi zao.

Ugomvi hufungua milango ya hisia za ndani na huenda vyanzo vya matatizo vikawekwa wazi na hivyo kufanyiwa kazi.ii.

Ugomvi unaonyesha Kuwa Mnajali na Mnataka MaboreshoKatika uhusiano ambao wenza hawajali,au hawana malengo ya muda mrefu huwa hawatoi duku zao juu ya utofauti na wapenzi wao.

Hivyo wapenzi wanaogombana wanaonesha kuwa wana nia ya dhati na mwenzao na sio tu kupitisha muda.iii. Ugomvi Unaboresha UhusianoKwa muwa ugomvi unaibua hisia zilizojificha toka kwa wapenzi,ni wakati mzuri kuona matatizo ya kila mmoja.

Na kama wapenzi hao wana nia ya dhati ya kuwa pamoja basi watafanyia kazi tofauti na mataizo waliyonayo. Hivyo kuboresha mahusiano yaoKuna sababu nyingine nyingi ambazo zinachangia ugomvi kati ya mke na mme katika mahusiano lakini haya ni yale yanayotokea katika mahusiano mengi

.Je wewe unasababu nyingine inayosababisha ugomvi na mwenza wako? Shiriki nasi na tuandikie katika sanduku la maoni.Nawatakia mahusiano mema na wapenzi wen

TABIA 12 TATA AMBAZO MWANAUME ANAPENDA TOKA KWAKO

Kuna aina ya wanawake ambao kila mwanamume angependa kuwapeleka nyumbani kwao kukutana na wazazi wake. Hii ni aina ya wanawake ambao tabia zao zinapendeza na za kumfanya awe mwanamke wa ndoa ya milele. Pia kuna ile aina nyingine ya wanawake ambayo kila mwanamume angetamani kuwa nayo.

Hii ni aina ya mwanamke ambayo kila mwanamume ndotoni mwake huwa anaifikiria mara kwa mara na angetamani wakati mwingine mpenzi wake kuwa na tabia hizi. Aidha aina hii ya mwanamke hairidhishi kimtazamo wa kijamii kwani inajulikana kuwa ‘chafu’ kwa kuwa mara nyingi huonekana kama aina ya mwanamke ambayo yeyote akiwa nayo basi milele atakuwa akiteseka kupata maisha ya umakini katika swala la kifamilia. 

Tatizo kuu ya mwanamke mwenye tabia chafu ni kuwa anaweza wakati wowote kuiteka hisia ya mwanamume yeyote hivyo basi kama mwanamke haufai kuacha pengo ambalo linaweza kukufanya wewe kupokonywa umpendaye kwa urahisi. Lazima pia kama mwanamke mzuri ujifunze baadhi ya tabia hizi chafu (wanaume tayari wanazipenda) ili iwe kinga kwako kutokana na yeyote yule ambaye anayeweza kuitatiza himaya yako. Hapa tumeweka tabia 12 za mwanamke mchafu ambazo kiloa mwanamume anazipenda. 

1. Mwanamke Mtundu
Mwanamke mchafu si yule ambaye anajificha kuonyesha mambo yake anayoyafanya. Hawezi kujifanya kuwa hapendi kuangalia filamu za ngono, ama kuona haya/uoga wa kujaribu mitindo mipya ya kufanya mapenzi. Aina hii ya mwanamke huyafanya maisha ya mapenzi kwa mwanamume yeyote kuwa ya kufurahia na hakuna wakati yatakuwa yanaboa hata mara moja. So lazima ujifundishe jinsi ya kuutumia ujanja huu. 

2. Yuko sexy

Vile ambavyo unavaa kuna umuhimu sana kwa mwanamke. Kujifunika maleso nyakati zote ama kufaa nguo nzito nzito si vibaya kwa mwanamke, lakini pia fahamu kuwa kuna nguo ambazo ukizivaa zitamvutia mwanamume. Jaribu kuvaa nguo ambazo zaweza kumfanya mwanamume kuingia na hisia papo hapo. 

3. Anapenda kujaribu mambo mapya

Mwanamke mchafu kawaida hajizuii kufanya mambo ambayo hajayaribu kufanya maishani.  Mwanamke kama huyu angependa kujaribu chochote kile hata kama ni mara moja. So kama mwanamke, chukua nafasi kama hii ujitokeze kwa dunia ujaribu mambo ambayo ungependa kuyafanya lakini unaogopa. 

4. Wanapenda kusuka
Wanawake wachafu wakati mwingine wanaweza kuwa kama mashetani vile ambao wanaijua sanaa ya kutongoza na kutumia lugha ya ushawishi kwa mwanamume yeyote bila wao kuonyesha azima yao ya kufanya hivyo. Ni wanawake ambao wanafurahisha, wanajua kutumia maujanja na kuzungumza utamu kimapenzi. Wanaweza kumfanya mwanamume yeyote kupandwa na hisia za mapenzi bila hata kuwagusa. 

5. Anasimama kujitetea yeye mwenyewe

Mwanamke huyu kwa kawaida anajiamini yeye mwenyewe na kwa kawaida atafanya juu chini kuhakikisha lile ambalo analotaka kutimiza limetimia. Hatazuiwa na yeyote yule. Yeye hatahitaji usaidizi kutoka kwa mwanamume yeyote ili kufanikisha azma yake. 

6. Yeye ni yeye

Mwanamke aina hii hahitaji lazima aitikie yale ambayo yanahitajika katika jamii. Si lazima ya yeye kujitweka majukumu ama kufuata masharti na sheria za jamii. Anajua kuwa wengine wanamjua. Lakini ukweli ni kuwa ndani ya mioyo ya watu anaoishi nao, kuna wengine wangetamani kuwa kama yeye ama wengine wangetamani kuwa naye kando yao. 

7. Hapaki mafuta kwa mgongo wa chupa
Mwanamke wa kawaida atamshika mwanamume mkono na kumwambia kuwa kila kitu kiko sawa ilhali mambo yanaharibika. Mwanamke mchafu yeye haogopi kukabiliana na ukweli, kama kuna tatizo atamwambia ukweli mwanamume ili tatizo kama hilo walitatue mwishoni. 

8. Ni mwanamke ghali kumtunza

Wanaume wangependa kuwa na wanawake ambayo ni rahisi kwao kuwatunza. Lakini wanatamani zaidi kum-maintain mwanamke ambaye ni ghali zaidi akiwa faraghani. Ukweli ni kuwa kila mwanaume ndoto yake ni kuona kuwa ana mwanamke ambaye anatumia hela nyingi kutoka kwake hata kama hana uwezo kama huko. 

9. Wanawake wachafu hawajiachilii hivi hivi
Wanawake wengi wa kawaida mara nyingi hujiachilia pindi wanapoingia katika uhusiano mrefu na mwanamume.  Hii inamaanisha kuwa wanaacha tabia za kawaida za kujipodoa na kujirembesha. Baada ya muda utapata kwamba amejiachilia kiasi cha kuwa anaanza kuwa na mafuta mengi mwilini…wanakuwa kama kile kibonzo cha Michelin Tyres. Kwa wanawake wachafu, hii ni kinyume yake kwani hakuna siku atasahau make up wala vipodozi kwani anafahamu mchezo mzima. 

10. Wanasema “SITAKI”
Wanaume hawapendi kusikia mwanamke yeyote akichukua misimamo mikali kwao. Lakini baada ya muda flani atachukuliwa kuwa ni mwanamke asiyetaka kuchezewa na wakati wote yeye yuko serious na mambo yake. Mwanamke wa kawaida kwa kuwa hataki kumkosea mwanamume anabakia kukubali chochote kile ambacho ataambiwa na mwishowe kufanywa zuzu ama kuchezewa na mwanamume. 

11. Hangojei miujiza itendeke
Yeye ndio hufanya hio miujiza. Hawezi maisha yake yote kungojea yule ambaye atakuja kumtatulia shida ama matatizo yake. Aidha yeye atapambana na dunia kuhakikisha kuwa ametatua matatizo yake, akiwa na usaidizi wa mwanamume yeyote ama yeye mwenyewe. 

12. Anajiamini kupindukia
MWanamke huyu anajiamini kupindukia kiasi cha kumfanya mwanamume kuingiwa na woga wa kutaka kumridhisha zaidi. Chochote atakachofanya kuwa anajiamini na kila mtu anamheshimu kwa aina hio ya tabia. 

Well, hapo juu ni baadhi ya tabia ambazo zinamfanya mwanamke mchafu kuwapendeza wanaume. Kujiamini na kujifahamu ndio mpango mzima ambao mwanamke huyu anatumia ili kuitawala himaya yake. Hivyo basi kama wewe ni mwanamke wa kawaida unafaa atleast ufanye kuapgrade mchezo wako ili uhakikishe kuwa hujaachwa nyuma.

MBINU ZA KUJIWEKE ILI MWANAUME AKUTONGOZE HARAKA

Je umekuwa ukijiuliza kwa nini haukuwi approached na wanawaume kama unavyotaka? Blog ya Nesi Mapenzi imeamua kukuandalia mbinu na maujanja ya kutumia ili uonekane mwanamke ambaye anaweza kufukuziwa na mwanaume kwa urahisi.

Owk….
Kando na itikadi ambazo umekuwa ukifikiria, kuapproachiwa ama kufukuziwa na mwanaume si gemu ya bahati nasimu ambayo mtu anaingojea ijitokezee.
Na pia kando na itikadi nyingi za wanawake wanazozifikia, si lazima ufanye kitendo kikubwa ama cha inadi ili mwanaume aweze kukutongoza.
Ukweli ni kuwa, kama unaielewa akili ya mwanaume na jinsi inavyofanya kazi kabla ya kuapproach mwanamke, unaweza kumfanya mwanaume yeyote kutaka kuongea na wewe dakika tano atakapokuja katika himaya yako.
So mbinu zenyewe ndizo zipi?
Zama nami…

Njia za kujiweka ili mwanaume apate nafasi rahisi ya kukutongoza

Kwanza jiweke nadhifu

Hii ni muhimu katika yote kama wataka mwanaume akutambue. Mwanaume kitu cha kwanza anachokiangalia huwa ni mwonekano wa mwanamke. Mwanaume anapoingia katika chumba, inamchukua sekunde ndogo zana kuamua iwapo anataka kuapproach mwanamke mfani au la.
Kama umevalia vizuri na unapendeza, itarahisisha kazi yako sana.


Pili usionekane kama una shughli

Usijishughlishe sana na simu yako, ama kitabu chako, ama kitu kingine. Unaweza kuwa umeboeka na unajaribu kujiweka buzy, lakini fursa iweza kuwa hivi, kufanya hivyo kunaweza kumfanya mwanaume anayetaka kukuapproach kuona ya kuwa uko buzy sana kiasi cha kuwa atashindwa kukufuata kwanu unaweza usiwe interested na maongezi yake.


Tatu ni kuwa mko ligi moja?

Hii inakinzana na hatua ya kwanza, lakini inaweza kuwa na tatizo iwapo unaoneka kama uko ligi tofauti na mwanaume. Kama utaoneka amakujiweka mtu wa hadhi ya juu wanawake watapenda kukuangalia lakini hawatakuaproach. Hii ni kwa sababu wanaume wengi hawapendi kudhalilishwa wakati wanapoamua kukuapproach….kiufupi ni kuwa ukiwa unavutia kupindukia wanaume watakuogopa.
Lakini tena, kuna wale wanaume ambao wanajiamini kupindukia ambao wanajua thamani ya kukuapproach, nao ni wanaume alfa, wanaume diriki, na pia wale wanaume mapleya.
Kama wataka kuteka atenshen ya mwanaume mzuri wa kawaida lakini anayeogopa kukuapproach, jaribu kutumia mbinu ya kuwa jamili na watu wanaokuzunguka. Huwa inasaidia.

Ujanja wa kumfanya mwanaume aweze kukuakuaproach

1. Jinsi utakavyovalia

Usivalie kana kwamba huna kitu cha kuficha. Utapata atenshen ya kila mtu lakini wanaume ambao wataamua kukuapproach ni wale ambao wanataka kulala nawe kwa usiku mmoja pekee. Enyewe kuvalia kwa kutamanisha kunasaidia kuteka atenshen ya mwanaume, lakini usivuke mipaka ya kawaida.
Kumbuka kuwa si lazima uonyeshe viungo vyako vyote vya mwili ili uweze kuteka macho ya mwanaume. Kama unavutia inatosha kumfanya mwanaume akugundue.


2. Unavyomuangalia

Mchungulie mara moja na nyingine, halafu mwangalie mara kwa mara. Hakikisha ya kuwa haujisahau ukamwangalia sana kupindukia ama atakuona kama wewe ni rahisi wa kuapproach na anaweza kukupuuza.


3. Mitindo ya kumwangalia

Kuna mitindo miwili mikuu ya kumwangalia mwanaume ili kumuonyesha ya kuwa umevutiwa naye. Unaweza kutumia mbinu zote mbili kulingana na vile unataka.
i) Kumwangalia polepole – wakati ambapo unaangalia pande zote, angalia upande wake na uyaangalie macho yake kwa sekunde kadhaa huku ukiweka tabasamu. Halafu pole pole zungusha kichwa chako uangalie kwingine. Mbinu hii ni ya kijasiri ya kumwonyesha mwanaume umevutiwa kwake.
ii) Kumwangalia kwa uharaka – hii ni mbinu ya kumwangalia kwa uharaka. Anza kumuangalia, ukiona kama anataka kukuangalia, ghafla angalia kando halafu utoe tabasamu ukiangalia chini. Mbinu hii inampa confidence na kukuona wewe ukipendeza.


4.Mfanyie kazi iwe rahisi

Inakuwa vigumu kwa mwanaume kumuapproach mwanamke sehemu ambapo yuko kundini na marafiki zake. Kama mawazo yako ni kufuatwa na mwanaume, hakikisha ya kuwa wakati mwingine unajipa time ukiwa pekeako ama zaidi uwe na rafiki yako wa kike mmoja.


5. Sehemu zifaazo

Si kila sehemu ni nzuri kufanya maongezi na mtu. Kama unataka mwanaume akuapproach, chagua sehemu ambayo si kila mtu ataanza kujeuza kichwa chake kutaka kujua ni nini kinachoendelea kati yenu. Sehemu za mkawahawa, supermarket, ama bookshop ni sehemu nzuri zaidi za kukutana na mwanaume kupiga stori.


6. Mpatie nafasi aongee na wewe

Hata kama uko katika group na marafiki zako halafu mwanaume akakugundua, mwonyeshe interest kwa kumuangalia kwa madakika. Ukiona kama yuko tayari kuongea na wewe, unaweza kujitenga na marafiki zako kwa muda. Aidha unaweza kuanza kuzunguka hio sehemu kiasi ama unaweza kujipeleka mahali ambapo itakuwa rahisi kwa mwanaume huyu kuzungumza na wewe.


7. Tabasamu

Onekana jamili, na nafasi ya wewe kufuatwa na wanaume itaongezeka mara dufu. Kupendwa kwa mwonekano wa kwanza ni kama baraka kwa mwanamke yeyote yule ambaye anataka macho ya mwanaume yamwone.


8. Usiboeke

Kuwa mwanamke mwenye furaha na mwenye hisia chanya mahali popote pale utakapokua. Mwanamke mwenye shangwe huvutia mwanaume yeyote yule. Kama utaonyesha chembechembe za kuboeka, mwanaume anayetaka kukuapproach anaweza kuwa na maswali mengi ya kujiuliza kwani ataona ya kuwa maisha yako huboesha na yasiyo na mwanga.


9. Usiwe mjeuri

Kama wewe ni mjeuri kwa yeyote, aidha weita ama mmoja wa rafiki yako, inaweza kutokea kuwa mwanaume ambaye anapania kukuapproach kusimamisha ari yake. Hakuna mtu anapenda mtu mjeuri, na hakuna mwanaume angependa kuapproach mwanamke ambaye anaweza kumpuuzia ama kumkataa.


10. Usitangamane na wanaume

Hii ni muhimu kwa mwanamke yeyote aelewe. Usiwahi kamwe kutangamana na marafiki zako wa kiume kama unataka kukuwa approached na mwanaume. Haitafanya kazi kamwe.


11. Mwonyeshe kuwa uko intrested

Mwonyeshe kuwa uko interested kwake kwa kutaka kumjulia hali zaidi. Hata kama uko na marafiki zako mnaongea halafu amekaa karibu na wewe, mwangalie iwapo anakuangalia hata kama unawajibu rafiki zako.


12. Onyesha uanawake wako

Mwangalie mara kwa mara, halafu ukishika macho yake, peta nywele zako nyuma ya sikio lako. Inaweza kuonekana kama jambo dogo kwako, lakini kwa mwanaume ni kama kugonga ndipo

.
13. Mchokore

Pita mbele yake halafu mwangalie machoni mwake wakati unapompita. Mtese kihisia, ataipenda kuona atenshen yake.


14. Usilazimishe

Utakuwa unajiaibisha iwapo unalazimisha mambo. Wanaume si mabubwi, hivyo ukiwaangalia mara moja na nyingine ama kuwatabamia, wanajua kuwa uko tayari kuapprochiwa.
Ok hizi ni mbinu ambazo unafaa kuzitumia kama unataka mwanaume yeyote yule akunotice ama akufukuzie.

Huu Ndio Utundu Komesho Kwa Mwanamke KitandaniAuto Draft

Karibuni katika somo jingine ndugu wapenzi wa Elimu Kuhusu Mapenzi na Mahusiano kumekuwa na maombi kama huwezi kumfikisha mwanamke kileleni basi unausika katika hili somo!!!!…Wengi wakitaka kujua ni namna gani ya kumfikisha mwanamke kileleni kwa kuzani hawana nguvu za kuhimiri kufanya tendo kwa muda mrefu bila kufikiri kuwa kumuandaa mwanamke kabla ya tendo kunaweza kukusaidia katika kumridhisha.

Wanaume wengi huwa hawana maandalizi mazuri kwa wanawake wao kabla ya tendo la ndoa yanayoweza kuwasaidia kama kichochezi cha kuwafikisha kileleni mapema.

Basi njia hizi zinaweza kuwa msaada mkubwa endapo zitatumika ipasavyo na hata yule ambaye ulikuwa umridhishi baada ya somo hili utaweza kumlidhisha ipasavyo kwa kumfanyia yafuatayo.

1.Mpe maneno matamu okimtomasa kwa ulimi sikio lake kimahaba zaidi

  1. Pitisha ulimi wako shingoni kifuani, tumboni, mapajani ni ikibidi zama chumvini walau kwa dakika kumi hivi

  2. Tumia ulimi wako ipasavyo kutomasa kitovu chake
  3. Mnyonye lita kadhaa za mate na huku ukitumia ulimi wako ipasavyo kuuchanganya ulimi wake
  4. Papasa matiti yake huku ukifinya finya chuchu zake na peleka mdomo wako huku ukinyonya kama mtoto

  5. Zungusha viganja vyako karibu kila kona ya mwili wake bila kusahau kubinya binya sehemu za mbavu hips na makalio yake

  6. Chezea ki**mi chake kwa vidole vyako au kwa ulimi ikiwezekana

  7. Mpe koni ya asili ajilambie kwa raha zake
  8. Muweke mkao mzuri wa kupokea zawadi yake
  9. Ingiza taratibu mti shimoni

Hata kama huna uwezo wa kumfkisha kileleni hiyo dozi itakusaidia vilivyo.Naamini kama utayafanyia kazi ipasavyo tatizo la kumridhisha mwanamke litapungua.. ZINGATIA yafuatayo;Maandalizi kwanza:Tumia muda wa kutosha mwanzoni, wanawake wanapenda kuingiliwa taratibu bila pupa. Mbusu, mfanyie masaji na mchezee kwa muda, huku ukim non’goneza maneno machafu masikioni, na tumia mda kumpapasa sehemu nyeti. Anahitaji kuloana hatakabla hujamvua nguo.Mtafutie Style anayoipenda:Najua wengi mnapenda ile ya kumweka juu huku ukimshika matiti yake na makalio. Itunze hiyo utaitumia badae, mwanzoni jaribu kutafuta style ambayo ina mchanganya na kumfurahisha yeye kwanza, kama vipi muulize kwanza

Jinsi ya kumsahau mpenzi wa zamani pasina gharama kubwa

Habari ndugu msomaji wa makala zangu katika kijiwe cha mapenzi  , karibu tena siku ya leo tuweze kujifunza zaidi kuhusu Ndoa na Mahusiano, leo tutazungumzia mahusiano.

Mahusiano ni sehemu kubwa sana katika kufanikiwa au kutokufanikiwa kwenye maisha yako, kama hauko kwenye mahusiano mazuri unaweza kukuta ndoto zako zinakufa na unashindwa kuwa yule mtu ambae umepanga kuwa kwenye maisha yako, lakini pia kama ukiweza kuyatumia mahusiano vizuri pia yanaweza kuwa sehemu ya kufanikiwa kwenye maisha yako.

Watu wengi sana hasa vijana wako kwenye mahusiano yasiokuwa na tija lakini wanashindwa kujinasua huko kwa kuogopa kuumia au kumuumiza mwenzake na ni kweli unajua muda fulani kwenye maisha unaweza kuwa na mtu ambae umemzoea kabisa anakufanyia mambo ambayo yanakurudisha nyuma lakini unashindwa kumuacha kwasababu unaogopa maumivu, leo katika makala hii nitakufundisha jinsi ya kumuacha mpenzi wako ambae hana tija kwenye maisha yako bila kumsababishia maumivu.

Yawezekana upo katika Mahusiano yasiyo na tija kwako na unashindwa kuvunja mahusiano hayo, Tumia njia zifuatazo kuvunja uhusiano huo:-

Punguza mawasiliano nae
Njia ya kwanza kabisa ya kuacha mahusiano yasio na tija bila kusababisha maumivu ni kupunguza mawasiliano, kama mlikuwa mnawasiliana mara tano kwa siku anza kufanya mara tatu kwa siku, baada ya muda fanya mara mbili, baadae tena mara moja, najua utapokea maswali mengi mara ooh mbona siku hizi hunipigiii jibu rahisi tu niko busy au sina vocha, mwisho wa siku atazoea.

Punguza muda wa kukutana nae
Kama mlikuwa mnaonana mara mbili kwa wiki anza kumpa nafasi ya kuonana mara moja kwa wiki, halafu ongeza kazi za kufanya ili hata akisema akutafute yeye atakukuta tu uko kwenye kazi nyingine najua utapokea maswali mengi sana, cha msingi ongea naye vizuri mwambie kuna majukumu yameongezeka mwanzo itakuwa ngumu lakini mwisho wa siku atazoea tu. wewe umeshaona kuwa hayo mahusiano hayakufikishi kwenye ndoto zako.

Fanya mazoezi sana
Kama ulikuwa huna tabia ya kufanya mazoezi ya viungo anza kufanya mazoezi ya viungo, mazoezi yanakufanya uwe busy muda mwingi na yanakuondolea mawazo yote, hii itakufanya uwe mtulivu sana siku zote.

Punguza matumizi kwake na anza Kuweka akiba
Hapa inabidi uwe mtu wa sina hela,punguza kabisa matumizi kwake halafu anza kuweka akiba,kama ulikuwa unamfanyia manunuzi mara kwa mara punguza halafu weka akiba,ili ikusaidie baadae.

Mfanye Awe Rafiki Yako
Ukitaka kuachana na mahusiano yasio na tija haina haja ya kumfanyia visa mwenzako, au kumuonyeshea kuwa humtaki tena hapana inaweza kukuumiza wewe zaidi au ikamuumiza yeye zaidi, maisha siku zote hayaeleweki, unaweza kuona leo mtu hana msaada kwako lakini siku nyingine akawa msaada kwako, sasa msiachane vibaya hata kama umegundua kuwa mahusiano hayo hayakufikishi kwenye ndoto zako, cha msingi wewe mfanye awe rafiki yako, tena ikiwezekana kama ulikuwa unamuita majina ya kimapenzi muda wote anza kumuita rafiki. Itakuwa ngumu mwanzo lakini atazoea tu.

Anza kumshauri sana kuhusu maisha kuliko mapenzi.
Tumia muda wako mwingi kila mnapokutana kuzungumzia maisha na ndoto zenu, mshauri sana kuhusu maisha kuliko mapenzi utaona kuna nguvu fulani hivi ambayo ilikuwa imezoeleka itaanza kupungua siku hadi siku na mwisho wa siku mnaachana kirafiki kabisa na kila mtu anaendelea na maisha yake huku mkiwa mnaongea kama kawaida.

Kwenye maisha usikubali kabisa mahusiano yavuruge ndoto zako na malengo yako ya kimaisha, ukiona tu uko kwenye mahusiano ambayo unaona yanapokupelekea ni kupoteza ndoto zako anza kuyaacha mapema sana

Njia rahisi za kuwavutia wanawake kihisia na kufanya wakupende, Je unazijua?

Mwanamke hutumia muda mdogo sana kuamua kama una uzito wowote wa kumfanya yeye atoke na wewe kutokana na vitu vidogo vidogo unavyofanya na vile ambavyo huvifanyi ndo vinamsaidia kufikia kwenye maamuzi yake. WaulizeWanaume imejaribu kukusanya njia rahisi za kumshika kihisia mwanamke ambazo sio ngumu wala za kupoteza mda na zitatoa tofauti kubwa kati ya kuangaliwa vibaya na kupewa namba ya simu…

“Saa nyingine ni vitu vidogo vidogo tu ndo vinavyotengeneza mshiko mkubwa kihisia, sifa moja ya akili au ishara ndogo tu inaweza kumshika kihisia mwanamke, vile vile ukitoa sifa mbaya ndo mwisho wako!.” 

Mwanamke hutumia muda mdogo sana kuamua kama una uzito wowote wa kumfanya yeye atoke na wewe kutokana na vitu vidogo vidogo unavyofanya na vile ambavyo huvifanyi ndo vinamsaidia kufikia kwenye maamuzi yake.


 imejaribu kukusanya njia rahisi za kumshika kihisia mwanamke ambazo sio ngumu wala za kupoteza mda na zitatoa tofauti kubwa kati ya kuangaliwa vibaya na kupewa namba ya simu…

  • Msifie kwa kitu kizuri…

Ukimwambia mwanamke anaharufu nzuri inayosambaza furaha, kutamfanya ajisikie vizuri, harufu ya furaha ni harufu ambayo kila mtu anatamani kuwa nayo kila saa, hii itakufanya upate wasaa wa kumuuliza vitu gani kwenye maisha yake vinavyomfanya awe na furaha?, ambapo swali hili litamfanya avutiwe zaidi na maongezi yako na kujisikia vizuri zaidi, ukimsifia kwa kitu kizuri unakua mwanzo mzuri utakaokupa fursa na nafasi nzuri zaidi ya kuendelea nae kimaongezi.

  • Muombe ushauri…

Wanawake wanapenda sana kutoa ushauri na wanavutika zaidi kwenye njia hii maana utamfanye apate hisia umeona kitu kizuri kwake mpaka ukampatia hio heshima ya kumuomba ushauri, kuwa mwangalifu hapa maana hautakiwi kuonekana kama haujui kabisa juu ya kitu unachomuomba ushauri na hakikisha usifanye asijisikie vizuri.
Ukiwa unaomba ushauri onyesha na wewe ulikua unafikiriaje juu ya hicho kitu au jambo ulilokua unaombea ushauri, na maswali yawe ya urahisi ambayo atatoa majibu kwa urahisi zaidi na hatimaye kuanzisha mazungumzo mengine.

  • Msifie kwa jinsi anavyoonekana…

Unatakiwa wakati ukitoa sifa, sifa ionekane ni ya ukarimu na sio vinginevyo, kwa hio inabidi utoe sifa ambayo ni ya asilia, kwa mfano usitoe sifa kama “Unamacho mazuri sana!”, jaribu kusema “umependeza kwenye hio nguo uliyoivaa!”. Ni njia nzuri ya kumwambia kuwa ni mrembo kuliko njia ya kwanza ambayo inaonyesha wazi sehemu mazungumzo yako yanakoelekea.

  • Mfungulie mlango…

Kumfungulia mrango mwanamke ni kitendo cha kiungwana sana, jionyeshe uungwana wako.

  • Muulize maswali…

Ukiwa unataka kumjua msichana ni lazima ufanye unachoweza ili kumfanya ajisikie vizuri, hii inamaanisha kuelekeza maongezi kwenye mambo ambayo ukiiyaongelea atajisikia vizuri na kwenye mazingira aliyoyazoea, unaweza kuelekeza maongezi yamuhusu yeye mwenyewe, wanawake wanapenda sana kujiongelea kuhusu wao wenyewe.
Ukimuuliza maswali juu ya maisha yake ya zamani na vitu anavyovipendelea utamfanya aongee kwa kujiamini zaidi, huku ukionyesha hamasa zako zipo sio tu kwa ajiri ya muonekano wake.

  • Puuzia simu yako…

Hakuna kitu kibaya kinachoonyesha mtu ulienae hana umuhimu kama kupokea simu au kusoma meseji katikati ya maongezi, ukiwa unaongea na msichana fanya akuone kama kuna mtu anakupigia na uikate simu mbele yake na kizima kabisa, akikuuliza kwanini umefanya kitendo hicho, mwambie mazungumzo yake yamekuvutia na unataka umsikilize yeye kwanza mengine hayana umuhimu, utamfanya ajisikie na thamani kubwa sana kwako.

  • Ongea na marafiki zake na jihusishe kwenye mazungumzo yao…

Ukiwa unafikiria kumtongoza msichana, lazima utakua unatathimini utu wake, muonekano wake na mengineyo kama uwezo wake wa kuelewa mambo na kufurahi, ndivyo hivyo hivyo mwanamke nae anatathimini, na hututathimini ni kiasi gani ambacho tunaendana na jamii yake.
Wanawake huvutiwa na mwanaume mcheshi, anayependeka kwa urahisi na ni mtu wa kijamii, kwa hio jiingize kwenye maongezi na rafiki zake na ukiweza kuwavutia rafiki zake, utakua umemvutia na yeye pia, hakikisha kipindi chote cha maongezi, uwe umeweka wazi kwamba yeye ndio vutio lako kubwa.

  • Kuwa katika hali ya usafi na uvaaji mzuri na wakupendeza…

Wanawake wanapenda wanaume watanashati, wanapenda kuwaona wakiwa wanapendeza na kunukia vizuri mda wote na nywele zilizo katika hali nzuri.
Hembu fikiria wewe unawatathimini wao kwa muonekano, kwa nini na wao wasifanye hivyo vivyo?.

  • Mwangalie machoni…

Ni majaribu makubwa kutomwangalia mwanamke mzuri toka juu mpaka chini, anavyokua mzuri zaidi ndivyo ilivyo ngumu kuweka akili yako kwenye maongezi, hakikisha unamwangalia machoni, akikukamata unaangalia maziwa yake wakati anakupa stori kuhusu mama yake ujue atakuona kuwa wewe ni wa ajabu sana na moja kwa moja atajua umekuja kwake kwa ajiri ya kilichopo katikati ya miguu yake tu.

Ishara 12 Za Kuonyesha Iwapo Rafiki Yako Amekuzimia

Well, inawezakuwa amependezwa na wewe kiasi cha kuwa anatamani muwe pamoja. Labda amefall na wewe. Hizi hapa ni baadhi ya mambo unapaswa kuyaangalia kwa rafiki yako utambue iwapo amekuzimia au la.


#1 Wakati wanapojibu texts zako wanatumia muda mfupi sana ama muda mrefu kupita kiasi. Kama anakuchukulia kama rafiki yako wa kawaida basi texts ama jumbe zake huwa anakutumia kwa mwendo wa kawaida. Lakini kama iwapo ana hisia na wewe utaona ukimtumia jumbe anakujibu papo hapo, yaani chini ya sekunde moja 🙂 , ama watapiga hesabu ya kila masaa 5 na dakika 24 ndio wakutumie text nyingine (yaani kuonyesha kuwa wanapendezwa wakiwa karibu yako)


#2 Wanakutumia text nyingi zaidi.  Hii ni dalili moja kubwa kwa rafiki yako. Sana sana wao ndio wanaoanzisha maongezi na pia wanakutumia jumbe kwa wingi.


#3 Kila wakati wanakuuliza kama unapendezwa na mtu. Mara nyingi maswali haya watakuuliza wakati usiku wa kiza umewadia na kila kitu kimetulia, nyinyi wawili pekeenu mkiwa mnachat.


#4  Wanasistiza kuwa hawajapenda mtu kwa sasa. Kwa kawaida watasema haya yote kwa kuwa tayari washayalenga macho yao kwako wakiangalia iwapo utawakubali au la.


#5 Hawamkubali yule unayemzimia ama unayedeti. Ushawahi kuwa katika deti flani halafu rafiki yako kila wakati anamkashifu unayempenda? Ama kila wakati unapomtajia mwanaume unayemzimia anakasirika ama atakatiza maongezi yenu? Well, hii ni ishara ya moja kwa moja kuonyesha kuwa rafiki yako anakupenda wewe.


#6 Wanakualika muspend wikendi pamoja mkiwa pekeenu. Kama urafiki wenu pamoja na huyu rafiki yako ulikuwa wa kutangamana na marafiki wengine lakini ghafla wanakualika muspend Jumamosi nyinyi wawili pekeenu basi hio ni ishara ya moja kwa moja kuwa kuna kitu kimeanza kupikika. Mukiwa pamoja na marafiki zenu kuna maanisha kuwa atenshen yote itakuwa kikundini, lakini mukiwa nyinyi wawili itabakia nyinyi wawili. Ishara ya kuwa anakutaka uwe wake kabisa.


#7 Mara moja anaanza kukusifia kiundani.  Mumezoea kuwa kila wakati mkiwa pamoja mnaongea kuhusu yule mvulana msiempenda ama habari za udaku, lakini hii siku moja ameanza kukusifia sifa za kama “Waa! nywele zako zinanukia utamu.” Halafu hawakwambii jambo hilo tena.
#8 Wanatafuta visababu vya kukugusa. Wakati ambapo umeangusha neno la kuchekesha, wanakugusa kwa kukugonga mkono. Wakati ambapo hawajakuona kwa muda wa siku nyingi anakukumbatia kwa nguvu kiasi cha kuwa unahisi joto lake. Kweli, hapo kunaweza kuwa na mambo mawili…aidha ni rafiki aliyezoea miguso ama kuna ajenda ya kuwa amependezwa na wewe. 

          
#9 Watu wanawauliza iwapo mnadeti. Ama pia wanaweza wasiwaulize sababu wanachikulia nyinyi wawili mnadeti.


#10 wakati flani wanaleta mzaha nyote wawili mtoke out pamoja. Wanaweza kusema “Ok, kwa kuwa leo ni wikendi hatuna kitu cha kufanya. Wewe uko single na mimi niko single, si tutoke out lakini tuifanye kama deti vile, twende kwa kwa mkahawa halafu twende sinema tukajienjoy. Kirafiki?”Hapa moja kwa moja hamaanishi kuwa ni mzaha bali anataka kujua reaction yako itakuwa vipi. Ukikubali basi atapata nafasi ya kukusogelea zaidi na zaidi.


#11 Wanataka mpige picha pamoja. Je hii ni ishara ya kuwa anakupenda? La. Kila siku watu hupiga picha mara kwa mara. Lakini kama wataanza kuiweka mikono kwa bega ama kiuno halafu siku ya pili unaiona kwa instagram, ni ishara ya kuwa anakujali – na labda ni zaidi ya kuwa marafiki.


#12 Wanakufanyia favour nyingi sana. Kwa mfano anakusindikiza hadi nyumbani kwenu hata kama mnaishi mtaa wa pili na pia kukulipia bili zako za hotelini. Anakusaidia kutafuta vitu vyako ulivyosahau pale ulivyoweka na kadhalika…

Well. Hizi ni dalili daharihi kuonyesha kuwa kuna kitu ambacho rafiki yako anahisi kwako. Je wewe utachukua hatua gani?

Mambo 13 Ambayo Humfanya Mwanaume Kuwa Boyfriend Material

#1 Huwa anapanga mambo na wewe.  Ukimwona mwanaume ambaye anakuhusisha katika maamuzi yake basi fahamu hapo ndipo. Mwanaume ambaye atakuambia na mapema kuhusu mambo anayoyapanga wikendi ya kutoka pamoja basi jua huyu ni mwanaume ambaye anaonyesha dalili za mwanaume bora.


#2 Anakumbuka mambo masuala ambayo uliyazungumza kitambo na kuyaleta katika mazungumzo yenu. Hapa sio siri. Kila mwanamke anapenda mwanaume ambaye anakumbuka mambo ambayo alimwambia ama alimfanyia kitambo. Mfano mwanamke husisimka haswa wakati ambapo mwanaume anamwambia jinsi mara ya kwanza walipokutana na jinsi alivyovalia. Hii ni ishara dhabiti ya kuonyesha mwanaume kama huyu anakudhamini. Ukimwona mwanaume ambaye hakumbuki hata jina lako basi huyo mueke mbali sana.


#3 Haangalii picha zako fb/instagram pekee bali pia ana comment. Kama unazungumza na yeye kwa comments zako bila tatizo basi huyu hata mnaweza kuoana naye hapo hapo 🙂


#4 Kukutumia na kujibu text zako si tatizo. Ukiona mwanaume anachukua karne nzima kabla kukujibu text yako basi hapo atakuwa labda anawengine anaowaweka umuhimu zaidi kukuliko. Lakini ukimwona anamakinika na wewe katika kila jumbe basi hapo ndipo, usichelewe.


#5 Yuko serious na maisha yake ya mbeleni. Mwanaume ambaye anayapanga maisha yake ya mbeleni ni mwanaume bora kati ya wote. Hii ni ishara ya kuonyesha kuwa mbeleni hataki kupitia mateso yeyote wakati ambapo atakuwa na kipenzi chake ubavuni mwake. Hivyo wewe unapaswa kuchukua jukumu la kuhakikisha kuwa unayafanikisha maisha yake ya usoni kwa kuwa naye.


#6 Hajali iwapo anaonekana mshamba akiwa anadensi. Utafiti unaonyesha kuwa wanaume ambao hawajui kudensi karibu mara zote huwa ndio wanakuwa boyfriend bora zaidi.


#7 Anampenda mamake na yule mama mboga. Iwapo mtu anawapenda wanawake ambao waliyafanikisha maisha yake na pia wale ambao waliyafanya maisha yake kuwa rahisi, basi pia kwako atakuwa mzuri. Hili ni jambo ambalo limefanyiwa uchunguzi wa  kina.


#8 Anapenda wanyama. Ok ni kusema tu, kuna kitu flani ambacho kinajitokeza wakati unapomwangalia mwanaume mkubwa akimbabaikia paka mdogo ambaye analia. “NI LAZIMA UMDETI MWANAUME AINA HII HARAKA SANA.”


#9 Anakufanya ucheke. Kila mwanaume atafanya juu chini ucheke. Hivyo iwapo unamwona mwanaume anajikakamua ucheke usijilazimishe. Hakikisha kicheko chako kinatoka naturally kwa mambo ambayo yanakufanya ucheke. Anyway, ukimwona  mwanaume anakupendeza na vicheko vyake basi ni ishara ya kuwa ni mbora.


#10 Nyote wawili mnazimia kipindi kimoja cha runinga. Hii ni ishara ya kuwa nyote wawili mko na interest inayofanana, so mkiungana kuwa kitu kimoja pia si vibaya.


#11 Haongea ubaya kuhusu mpenzi wake wa zamani. Mwanaume ambaye anatabia za ujentleman basi haitawahi kutokea hata siku moja ambapo atamtukana ama kumkejeli mpenzi wake wa zamani. Ukiona mwanaume ana tabia kama hii achana naye mara moja coz pia wewe atakufanyia vivyo hivyo.


#12 Anawaheshimu wanawake. Mwanaume anayewaheshimu wanawake bila shaka naye atakuheshimu. Hivyo basi usitupe mbao wala kumkataa mwanaume aina kama hii, ni wachache sana hapa duniani.

Hivi ni baadhi ya mambo ambayo ni dalili ya kuonyesha kuwa mwanaume flani anafaa kuwa boyfriend wako.  Na si lazima aonyeshe ishara hizi zote ndio umwone anakufaa, la. Iwapo ataonyesha baadhi ya ishara hizi basi usingojee mpaka apoteze tamaa kutoka kwako.

HIZI Ndio Sehemu 10 zenye Msisimko Mkali zaidi Kwenye Mwili wa Mwanamke

Kila mwanaume anapenda kua fundi wa tendo la ndoa akiwa faragha na mke au mchumba wake lakini bahati mbaya sana hakuna kanuni maalumu ya kumsisimua mwanamke kwani kila mwanamke ana eneo lake ambalo likiguswa anakua taabani hivyo ni wajibu wa mwanaume kulitafuta na kuligundua eneo hilo.

Mazoea ya kufanya mambo yaleyale kila siku kwa muda mrefu hufanya tendo hilo la ndoa lianze kua baya na huenda ikawa chanzo  cha mtu kuchepuka kutafuta ladha zingine.

Kitaalamu katika sayansi ya binadamu kuna maeneo kadhaa ambayo wanawake wote wakiguswa hupata msisimko mkali lakini msisimko hutafautiana kutokana na mwanamke husika kama ifuatavyo.

1. Kichwani; juu ya kichwa cha binadamu kuna mishipa mingi ya damu na ile ya fahamu hivyo maeneo haya yakishikwa homoni kama oxytocin na serotoinin huachiwa mwilini na kuleta msisimko mkubwa.

Jinsi ya kufanya; mshike kwanzia nyuma ya sikio kisha ingiza vidole katikati ya nywele kama unamkuna kichwa bila kutumia nguvu.

2. Sikio; sikio ni sehemu yenye mishipa ya fahamu inayoenda kwenye ubongo, mara nyingi sikio watu hua wanalipuuza sana na kuzani halihusiki lakini naomba nikwambie ni moja ya sehemu inayoweza kumfanya mtu achanganyikiwe.

Jinsi ya kufanya; anza kwa kumnong’oneza kwa sauti nzito, kisha libusu sikio lake baada ya hapo unaweza kulamba sehemu ya sikio la nje na baadae kuingiza ulimi ndani ya sikio kabisa. hapa msisimko ni mkali sana na anaweza kukukwepa na kutoa sauti kali ya kimahaba.

3. Ulimi ; ulimi ni sehemu ya mwili ambayo ina mishipa mingi mara mia moja zaidi kuliko ile mishipa ya fahamu ya viganja vyetu. msisimko wa ulimi unasababishwa kumwagika kwa homoni ambazo zinatuletea furaha ya mioyo yetu.

Jinsi ya kufanya; busu tu  inatosha kusisimua ulimi wa mtu wako, bahati mbaya kuna watu hawajui kubusu. ukiwa unabusu mtu usipanue mdomo mzima kama samaki mfu… fungua mdomo wako kidogo kisha nyonya lips za juu wakati mtu wako ananyonya za chini na hii ndio busu linavotakiwa kua.

4. Shingo; hii ni sehemu ya mwili yenye ngozi laini sana ambayo inasisimka hata kwa kuipumulia tu na pua. ni moja ya sehemu nzuri sana kunyonya, kulamba na kubusu.

Jinsi ya kufanya; ukiwa umemkumbatia mtu wako basi busu upande wa kulia au wa kushoto wa shingo huku ukinyonya ngozi la eneo hilo.

5. Chuchu; wanaume wengi wanatumia sehemu hii kama sehemu kuu kumsisimua mwanamke, ni kweli kabisa tafiti zinaonyesha kwamba sehemu ya ubongo ambayo husisimuka chuchu za mwanamke zikiguswa ni sehemu hiyohiyo ambayo inasisimka kinembe na uke vikiguswa. kwa hiyo ni moja ya sehemu muhimu sana.

Jinsi ya kufanya; tomasa matiti yote ya mwanamke kwa kutumia mikono yako miwili kisha nyonya chuchu yake taratibu huku kama unaing’ata na kuiachia. badilisaha kwa kuchocha chuchu ya kulia na kushoto.

6. Kiuno au mgongo wa chini; kama umechunguza ni kwamba wanawake wengi husisimka sana wakiguswa viuno vyao ghafla hata wakati wa kukumbatiwa tu. hii ni sababu ya mishipa ya fahamu inayoenda hadi kwenye sehemu zake nyeti hupita huko.

Jinsi ya kufanya; tomasa kama unafanya masaji sehemu ya chini kabisa ya kiuno kabla makalio hayajaanza. hii itamfanya arelax sana lakini pia kuongeza damu kwenda sehemu zake nyeti tayari kwa tendo la ndoa.

7. Tumbo; tumbo ni sehemu ambayo watu wengi hawaitilii manani sana lakini misuli ya tumbo imeungana na uke moja kwa moja ndio maana baadhi ya wanawake hufika kileleni kwa kufanya mazoezi ya tumbo kitaalamu kama core exercises..

Jinsi ya kufanya; tomasa tumbo lake kwanzia juu kabisa ya tumbo na kwenda tumbo la chini na kisha busu taratibu maeneo mbalimbali ya sehemu ya tumbo na unaweza kumalizia kwa kunyonya kitovu.

8. Katikati ya mapaja; hii ni sehemu yenye msisimuko mkubwa kwenye mwili wa mwanamke, watu wanaondesha magari wanajua siri hii kwani wakimpakia mwanamke wanatumia njia hii kumsisimua kwa kuweka mkono mmoja kwenye mapaja yake.

Jinsi ya kufanya; shikashika sehemu za katikati ya mapaja kwanzia magotini kwenda mpaka karibu na uke.unaweza fanya hivyo wakati ukiwa unambusu.

9. Nyayo za miguu; nyayo za miguu zikiguswa hata kwa mtu ambaye sio wa kike zina msisimko sana kama wa kutekenywa hivi na sina msisimko mkubwa kuliko sehemu nyingi nilizotaja.

Jinsi ya kufanya; shika nyayo moja ya mguu kisha kwa kutumia viganja viwili tomasa katikati ya mguu kwanzia kwenye kisigino mpaka kwenye vidole.usitumie nguvu nyingi…

10. Kinembe [critoris]; hii ni sehemu ya mwanamke ambayo kazi yake ni kuleta msisimko tu na raha kwa mwanamke..eneo hili linazaidi ya mishipa ya fahamu 8000, ni eneo dogo sana lakini shughuli yake sio ndogo. naweza kusema ndio eneo lenye msisimko mkali kuliko yote niliyotaja hapo juu na likiguswa tu mwanamke analoana kabisa.

Jinsi ya kufanya; kidole chako kikubwa cha kinganyani bonyeza na kuachia sehemu hiyo kama mtu anayekagua parachichi pia sugua kwenda chini, juu na pembeni kuangalia muhusika anapenda wapi zaidi pia kama una uhakika na usafi au afya ya muhusika unaweza lamba lwa kuzungusha ulimi sehemu hiyo.

Mwisho; sehemu zote nilizotaja hapo juu ni muhimu sana kwa ajili ya kumuandaa mwanamke japokua kila mwanamke anapata msisimko zaidi kutokana na yeye mwenyewe alivyo yaani mwingine shingo linaweza kua na msisimko wa kawaida likiguswa lakini mwingine ikawa  msisimo mkali zaidi.

ZIFAHAMU SEHEMU KUU 8 ZENYE MSISIMKO wakati wa MAUJANJAAAA

SEHEMU YA 1:
NYWELE
sehemu ya kwanza yenye msisimko katika mwili wa mwanamke ni kwenye nywele, katika sehemu hii huleta msisimko kwa pande zote mbili kwa mwanaume na kwa mwanamke. Walio wengi katika mapenzi hupuuzia eneo hili kwa kutokujua kama ni muhimu husasani wawa…po ndani na wapenzi wao ila nataka nikufahamishe kua nywele huleta msisimko wa raha pindi zinapochezewa hivyo ukiwa ndani na mpenzi wako katika kumuandaa ili uweze kushirikiana nae katika tendo ni vizuri ukatumia kumlainisha kwa kumpa raha kupitia nywele zake.

JINSI YA KUZICHEZEA NYWELE:

Nywele za mpenzi wako unaweza kuzichezea pindi mkiwa mmekaa kitandani mnaongea mkisubiri muda muafaka wa kuenjoy yawezekana mpenzi wako kakulalia, basi taratibu anza kuzishika shika nywele zake huku ukiwa unampa maneno matamu ya kimapenzi.


SEHEMU YA 2:
MASIKIO:
– eneo husika lenye raha katika kumuandaa mpenzi wako ni kwenye masikio, pindi ukiwa ndani na mpenzi wako jitahidi kutumia eneo hili katika kumlainisha umpendae,

JINSI YA KUTUMIA MASIKIO YA MPENZI WAKO:

Katika sehemu hii ya masikio kitu kikubwa kinachotakiwa kutumika ni ulimi wako, utumie ulimi wako katika sikio la mpenzi wako kwa kuuzungusha taratibu kwenye tundu la sikio huku ukifanya kama unamng’ata ng’ata kwa kutumia lips zako usitumie meno na sio umng’ate kweli tumia lips na ulimi pia njia nyingine ya kumletea msisimko mpenzi wako katika masikio unaweza kutumia ubunifu wa kumwambia “Dear kuna kitu nataka nikwambie ila nataka nikunong’oneze mvute msogelee karibu na sikio halafu mkiss kwenye sikio kwa sauti nyororo ya kiss huku ukilivuta najua atashtuka na atasisimka kwani itakuwa kama suprise ni kitu hakukitegemea.

SEHEMU YA 3:
SHINGO
– shingo nalo ni moja ya sehemu muhimu inayoleta msisimko kwa upande wa wanawake katika mapenzi sehemu hii ya shingo inaweza kutumika kwa kuichezea kwa njia ya ulimi, ukiwa ndani na mpenzi wako jitahidi kuuzungusha ulimi wako kwenye shingo la mpenzi wako taratibu itasaidia kumlainisha umpendae.

SEHEMU YA 4:
MAZIWA / MATITI
– wanaume walio wengi huwachezea wapenzi wao maziwa wakifaham kama ni sehemu yenye msisimko ila wengi wao hawatambui sehemu husika za kuchezea na hawajui nini kitumike, kwenye hili naomba nikwambie kuwa katika maziwa ya mwanamke unatakiwa uzichezee chuchu zake unaweza kuzichezea kwa kutumia vidole vyako kwa kufanya kama unazibinya binya taratibu au unaweza kutumia ulimi wako unauzungusha kwa juu na kuzinyonya nyonya ila faham njia zuri ni ya kutumia mdomo na ulimi wako, nyonya maziwa yake kwa ustadi huku ukizungusha ulimi kwenye chuchu zake na chini ya maziwa.

SEHEMU YA 5:
UKENI/ TUNDA
– katika sehemu zote hapo juu nilizozitaja ni muhimu ila sehemu hii ni muhimu zaidi kwani ni rahisi kwa mwanamke wa aina yoyote ile kulainika pindi anapochezewa katika uke wake hata kama alikuwa hana hisia vipi ukifika katika eneo hili ni lazima asisimke labda awe na matatizo ya kisaikolojia ya mapenzi. Katika sehemu hii ya uke eneo kubwa unalotakiwa kulichezea ni kwenye Kinembe/kiharage tumia vidole vyako katika kukichezea kinembe cha mpenzi wako kwa muda mchache baada ya hapo anza kupitisha ulimi taratibu kwenye kile kinembe tumia muda mrefu kulichezea eneo hili ukitumia ulimi wako pia njia nyingine nzuri tumia uume wako kwa kuupitisha pitisha taratibu kwa juu sehemu ya kinembe cha mwanamke, itakusaidia kumfanya asikie raha zaidi na itasaidia kuulainisha uke wake ili pindi mtakapoanza safari yenu kusitokee michubuko kwani kumchezea kwa muda mrefu kunasaidia kuulainisha uke pia njia zinakuwa zinatanuka.

SEHEMU YA 6:
KWENYE MSTARI WA UTI WA MGONGO
– uti wa mgongo nao ni sehemu muhimu katika kumsisimua mpenzi wako kwa upande wa wanawake ingawa wanaume wengi huipuuza sehemu hii, jitahidi ukiwa ndani na mwanamke wako kumbuka sehemu hii mgeuze mpenzi wako na umlaze kifudi fudi yani tumbo chini mgongo uwe juu baada ya kumlaza hivyo toa ulimi wako anza kuupitisha taratibu kwenye uti wake wa mgongo ukianzia kuutembeza ulimi wako tokea shingoni unashuka kwenye mstari mpaka kwenye —— yake. Fanya zoezi hili la kupitisha ulimi wako katika round kama mbili pitisha mara ya kwanza rudia tena baada ya hapo endelea na hatua nyingine.

SEHEMU YA 7:
MAPAJA

– mapaja nayo huleta msisimko katika mwili wa mwanamke na kumfanya alainike katika tendo pindi yakitumiwa kwa ustadi wa mahaba jitahidi kuyachezea mapaja ya mpenzi wako kwa kutumia ulimi na kwa kumpapasa papasa na viganja vyako vya mkono.

SEHEMU YA 8:
NYAYO ZA MIGUU

– eneo la mwisho lenye msisimko ni kwenye nyayo za miguu hili eneo unaweza kulichezea kwa kutumia ulimi au kama huwezi unaweza kutumia vidole ila kwa upande wangu mimi ninavyoona ulimi ni bora zaidi ingawa wengi mtahisi kama ni uchafu, ila kama unataka kulitumia eneo hili kwa ulimi hakikisha miguu ya mpenzi wako misafi kama ni misafi basi unaweza kutumia ulimi wako na kama unahisi si misafi tumia tu vidole.

Jambo la Mwisho naomba niwaambie vijana wenzangu kuwa jitoleeni kila kitu pindi unapotaka kumfurahisha mpenzi wako usijali kutumia ulimi wako katika maeneo niliyoyaeleza hapo juu ni kweli mapenzi ni uchafu ila inakubidi ukubaliane na hili jitolee na usiwe na kinyaa.

Design a site like this with WordPress.com
Get started