Ukifanya Haya Mambo Mapenzi Yatanoga Kwa Asilimia 90

Wanaume wengi hupuuzia hili, huona kama ni jambo lisilo na maana sana kwao na wenzi wao. Hali ni tofauti sana kwa wanawake ambao hupenda kuwasifia wanaume zao. Nitakupa mifano miwili ya namna wanandoa wa jinsia mbili tofauti wanavyotambulishana kwa jamaa zao. Kwa mafano manakutanata kwenye majumuiko ya harusi na sherehe kama hizo. Mme 1 akamtambulisha mkewe kwa jamaa zake, huyu ni mama Rick mke wangu. Mme wa 2 akamtambulisha mkewe, huyu ni my lovery sweetheart wife, nampenda sana kuliko wanawake wote duniani. Kama upo kwenye huu utambulisho umeona tofauti gani? hao wanawake wa pande mbili watajisikiaje? Nahisi umejifunza kitu hapo
MALENGO SHIRIKISHI
Wanaume wengi wana ulemavu mmoja; hawapendi kuwashirikisha wanawake katika mambo yao. Wanapenda kufanya mambo yao kwa siri na wakati mwingine ikilazimika kumwambia mkewe basi kwa mshtukizo baada ya kukamilisha jambo husika. Siku hizi dunia imebadilika, kuna mambo mengi. Kuna suala la hasara katika biashara, utapeli, kifo cha gafla, ajali n.k. Mkeo ndiye rafiki yako mkubwa kuliko wote, ndiye ndugu yako wa karibu zaidi kuliko yeyote. Mmeshirikiana kuzaa watoto na kujenga maisha pamoja. Yeye anapaswa kujua mambo yako, ndiye mtetezi wako nambari wani. Mweleze juu ya malengo yako, wakati mwingine anaweza kukusaidia sehemu ambayo hukutarajia. Hata hivyo, kumshirikisha katika malengo yako, kunampa nguvu na nafasi ya kujiona mama katika familia yenu. Lakini ngoja nitoe angalizo, kuna wanawake ambao huwezi kumshirikisha from A to Z ya malengo yako kutokaa na tabia na mienendo ya maisha, hope kila mtu anafahamu strength and weakness ya wake na waume zetu, so be careful in some extent.
KIPAUMBELE/CONCERN
Kuna wakati wanawake huwa na mambo yao binafsi. Kazini au kifamilia. Inawezekana akatatizika katika eneo fulani ambalo kwa namna moja ama nyingine atahitaji usaidizi wako. Ikitokea mkeo akawa katika hali hiyo, msikilize. Mathalani ana tatizo la kifamilia, amekuambia mmoja wa wazazi wake anaumwa, msaidie. Si lazima kifedha, lakini kuonesha kujali kwako tu, kutampa matumaini na faraja kwamba anaishi na mtu sahihi. Acha kupuuza mambo yake; hata yale madogo, kama ya ‘mtoto wa dada amerudishwa ada shuleni’. Msikilize, mshauri panapofaa kufanya hivyo na ukiweza msaidie hata kifedha. Katika upande wa pili ni hivyo hivyo. Labda una tatizo binafsi, kikazi au kifamilia, mshirikishe. Unaweza kushangaa jambo ambalo uliamini unaweza kulimaliza peke yako, kwa kumshirikisha likawa jepesi zaidi na mambo yakaenda vyema. Kipaumbele kwa namna yoyote ile, kunaongeza mapenzi zaidi kwa mwanamke.
“Together we swim in the same pool”
USAFI
Asilimia kubwa ya wanawake wanapenda sana usafi. Ni aghalabu kukutana na mwanamke asiyejipenda. Ndiyo maana wanaitwa mapambo ya nyumba au ua la nyumba! Ni kwa sababu ya hulka yao ya kupenda sana usafi. Mwanamke anavutiwa sana na mwanaume mtanashati. Usafi wako unamfanya ajiamini kuwa na wewe. Hata nyumbani kwako, lazima uishi katika nyumba safi. Hata anapokuja kukutembelea, anakuta mazingira masafi kuanzia sebeleni hadi chumbani. Anapokukuta katika hali ya usafi, inakuwa rahisi zaidi yeye kuanzia hapo alipokukuta na kuendelea mbele. Rafiki yangu, kama uko mbali na usafi, ujue kuwa itakuwa vigumu kupata mdada wa ukweli – yule wa ndoto zako. Wanaume wengine wanapanga kutoka outing na wapenzi wao, mkifika huko mwanamke anajuta WHY amekubali kukutana na wewe maana utamkuta mwanaume hajapasi Tshirt/shirt, kwapa linapumua, ukiongea mdomo unatoa harufu inakuwa tabu tupu. Mwanume ukijipenda unatakuwa mtanashati tu
KUJIAMINI
Mwanamke anajisikia salama zaidi akiwa na mwanaume ambaye anajiamini – mwenye uwezo wa kutetea hoja zake na kujieleza sawia. Siyo anayebabaika. Suala la msimamo binafsi, kwa mwanamke ni kubwa kuliko hata kumnunulia manukato mapya! Mathalani unakuwa naye katika mtoko, angependa kukuona ukiwa katika hali halisi ya maisha yako, usiyeyumbishwa na mwenye kutoa maamuzi yasiyoyumba. Wakati mwingine, mwanamke anaweza kukupima hata katika jambo ambalo amekosea yeye, ataangalia unavyotoa maamuzi yako, lakini pia atafuatilia kuona kama utakuwa mwepesi wa kuyabadilisha. Anataka kuona msimamo wako muda wote. Mwenye kujiamini na mawazo yasiyo na matege wala makengeza! Usiyebadilika kama kinyonga! “Men believe on your standing hills”
ANAYEJALI na KUFUATILIA
Wanawake wanapenda sana wanaume wanaowajali. Wanaowaona wao ni kila kitu na wanaotoa kipaumbele kwao. Kama huna tabia hiyo, ujue upo katika nafasi kubwa ya kumkwaza mpenzi wako. Mjali mpenzi wako kwa kila hali lakini pia uwe na kiasi. Kumjulia hali kila wakati na kutaka kujua maendeleo yake, kutakupa nafasi kubwa ya kuendelea kudumu katika uhusiano hai. Wanaume wengi ni wavivu, si tu kuwatumia hata SMS za “mambo dia?” wapenzi wao lakini hata kujibu tu, “niko poa, Si hulka ya wanaume kutumatuma SMS – inajulikana, lakini angalau ukiweza kulifanya hili hata kidogo tu hata mara moja kwa wiki, utakuwa unajiongezea pointi kwa mwenzi wako na kumpa courage ya kufurahia mapenzi ya ndoa.
MAANDALIZI YA TENDO LA NDOA
Tendo la ndoa halina maana ya kukomoana. Jenga mazoea ya kufanya maandalizi kamili kabla ya tendo. Sikiliza hisia za mwenzako. Ukiweza kumjulia mke wako katika eneo hili, ni wazi kwamba utazidisha upendo wake kwako, lakini pia atakuwa katika kuta za uaminifu. Unapokuwa kazini mchokoze “aisee nasikia hamu leo” hayo ndo maandalizi ya saikolojia. kupitia sms hiyo utasikia feeling zake, ataji-express. Kufikia jioni/usiku utashangaa unashikwa mkoni kupelekwa kitandani. Akatafute nini nje wakati wewe ndiye mganga wake unayeweza kumtibu barabara? Jiamini katika shughuli, fanya mazoezi ya viungo hata kukimbia ili uongeze pumzi ya kutoa dozi kitandani.
Epuka mapenzi ya kubakana, unafika tu bed unamvuta unamvua na kuanza kupanda kifuani……nooooooo hapo hakuna maandalizi ya kisaikolojia wala ya kimwili, hii itampekea kuchukia tendo because there is no any enjoyment
OUTING SOMETIMES
Kulingana na budget yako, si vibaya mara moja kumtoa mpenzi wako outing walau mara moja ndani ya miezi sita hata mwaka kama budget ni shida. Kwa wale wenye familia unaweza toka mkaspend 1 or 2 days outing na mkeo. Kuna mambo mmeo/mkeo anaogopa kukufanyia kulingana na mazingira ya hapo nyumbani na familia kwa ujumla. Lakini mkitoka nje LAZIMA mta-experience the difference for SURE. Pia ni njia mojawapo ya kuboresha na kupalilia penzi lenu na kuongeza uaminifu kati yenu

Ukiamua Kuwa na Mahusiano na Mume wa Mtu Lazima Ukubali Kuwa Mtumwa wa Mambo Yafuatayo

Ukiamua Kuwa na Mahusiano na Mume wa Mtu Lazima Ukubali Kuwa Mtumwa wa Mambo Yafuatayo:

1. Baby samahani dakika moja,wife anapiga simu

2. Baby muda umeenda Sana mke wangu atanipigia, wacha niwahi kurudi nyumbani, Kesho saa 12 nitakuwa hapa

3. Bby nataka kuja kulala kwako mke Wangu amefiwa kaenda kwao

4. Baby sintaweza kuja Leo, wife kanibana… Pole kwa kuugua

5. Baby tangulia mbele, nitakukuta… Pale wanakaa shemeji zangu, wakituona pamoja watamuambia wife

6. Unaweza kimbiwa katikati ya sherehe usipewe hata nauli ya bodaboda, kesho unaambiwa sorry darling, si uliona wife alitokea ghafa

7. Mkiwa mnaongea kwa simu kwa mahaba mara unashtukia unaitwa Hamadi na kuagwa fasta.,baadae unaambiwa mke wangu alitokea ghafla nikawa sina jinsi

8. Unaweza pitwa barabarani na mvua inanyesha,kesho ukaambiwa nilikuona my love, Ila ningefanya nini.. ,nilikua na mke wangu

😂
😂

Ili mwisho wa siku ukija kupewa mimba na kuterekezwa usije na kauli zako za kusema wanaume wote ni mbwana kama utafikia hatua ya kuwaita wanaume wote hivyo basi anza na kumtaja baba yako ili twende sawa maana sometimes huwa mnakuwaga na ukulunjuma mwingi sana dadeq

MBINU 5 ZA KUMTONGOZA MSICHANA YEYOTE NA AKAKUBALI

Je , unamtamani msichana mrembo ambae kwa sasa ni kama marafiki ? au unavutiwa na yule demu unayemuona kila siku mtaani na unashidwa kujizuia sema hujui uanzaje ? Haijalishi kama unamjua au hamjuani , ila inapokuja kwenye kumtongoza mwanamke unachotakiwa kujua ni uelewa wa vitu kadhaa kuhusu jinsi kutamani kunavyokua na jinsi ya kufanyia kazi ili ufanikiwe .

Kumtongoza demu na vitu unavyotakiwa kujua

kwanza kabisa kama unataka kumtongoza msichana au kumfanya tu akupende tu , inabidi uwe mtu poa ambae anaweza kuvuta macho ya wasichana.Kama hautaweza kua mtu anayeweza kumvutia msichana kirahisi , utakua bado unauwezo wa kumtongoza mwanamke unayempenda lakini itakua ngumu kuwezesha yeye akukubali .Kiufupi fatisha njia hizi 11 rahisi na kiukweli kabisa utakua vizuri katika kutongoza na hata kwa mambo mengine yatakayofuata baada ya hapo.Tumia njia hizi moja baada ya nyingine na ijapokua utacheza karata zako vizuri basi lazima umpate mrembo yoyote unayemtaka hata kama kuna watu wengine kibao wanamfukuzia .

1 . Kua karibu nae

Siku zote , kama unataka kumtokea msichana njia muhimu kabisa ni kuweza kumjua kwa undani .Usikurupuke kurupuke tu ukaanza kutongoza , msichana ataogopa au atakuona mtu rahisi kua nae na mwisho wa siku utaishia kumboa tu .Ongea nae na upate kumjua vizuri . Mtumie message na usiwe na mzuka , mfanye awe kama rafiki kwanza . Usimtokee kwanza sema pia usisubiri sana maana ataanza kukuchukulia poa

.2 . Kua mtu unayependeka

Hii ni hatua muhimu sana . Na huu ndio wakati utagundua kama anahisia na wewe kweli au anakuchezea akili . Pia unapoongea nae mara kwa mara jaribu kugundua vitu anavyovipenda. Jaribu kuweka ukaribu nae kwenye kitu ambacho wote mnakipenda.

3 . Usilale Usiku

Ndio maana mitandao mingi ya simu ikawapa ofa za usiku watu kama nyie muongee usiku kucha . Usiku ndio muda sahihi wa kuweza kutoa ya moyoni na kueleza hisia zako kwa msichana . Anza kwa kuweka maongezi ya kawaida na kadiri unavyoendelea weka vionjo fulani vitakavyomfanya aanze kuingia line bila kugundua kama unamtokea.

4 . Ishi Maisha mawili

Unapoongea nae usiku , mwaga sera zako na funguka kuhusu mambo ya mapenzi sema mkikutana ana kwa ana mchana usiongelee mambo ya mapenzi kabisa labda aanze yeye na hivyo kumaanisha ashaingia line na anapenda maongezi hayo .Pia epuka kuongelea kuhusu mambo yenu ya kimapenzi mnapokua na marafiki wengine bali fanyeni hivyo mkiwa wawili . Kwa kufanya hivyo unamfanya aamini kuna uhusiano motomoto wa siri unapikika kati yenu.

5 . Usimfanye ajue unampenda

Wanaume wengi ufanyaga kosa hili kubwa . Wanawaambia wanawake wanawapenda au wanahisia za kimapenzi kwao . Ni kweli unampenda , anajua hivyo tayari . Au hajui ? Unampigia simu kila saa , mnataniani kimapenzi na anaona uhusiano wenu kabisa .Kwahiyo japokua anahisi unampenda , usije kuonyesha hivyo kwani anahitaji kusikia kutoka kwako ili ajihakikishia hisia zake . Chukulia poa na usifunguke kuhusu hisia zako kwake , kitendawili alichonacho ndicho kitamfanya azidi kukunata na kutaka kujua mwisho wa mambo .

MESEJI ZA MAPENZI ZA KUMTOA NYOKA PANGONI

Baada ya kuona Watu wanawaandikia wapenzi wao meseji za kawaida zisizo romantic, nmeona niwakusanyie meseji japo uwe unacopy na kumpastia umpendae.Hii itasaidia kuamsha mapenzi na kumfanya mpenzi wako ajisikie poaJust mtumie meseji moja kati ya hizi uone majibu yake;

.Niseme nini ujue nakupenda? Nifanye nini ujue nakupenda?Nikuite jina gani ujue ni wewe peke yako upo moyonimwangu? Hakika hakuna ila moyo wangu ndio unaosema kuwanakupenda, niamini mpenzi
*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*

upendo ni jibu kwamba kila mmoja anataka. . . .
upendo ni lugha ,
kwamba kila mmoja anaongea,
upendo hauwez kununuliwa,
na isiyo kadirika na ya bure,upendo kama uchawi safi,ni
siri ya maisha matamu
nakupenda mpenzi
*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*

“Mimi sitaki kuwa kila kitu kwa kila mtu, lakini napenda
kuwa kitu kwa mtu.na mtu mwenyewe ni wewe”
nakupenda laazizi
“Kama mimi nilikuwa na maua kila wakati
mawazo yangu
yangekuwa juu yako,nisingefikiri wa kumpa mwingine kabla
yako je wewe ungekuwepo nayo
ungempa nani kwanza? ”
*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*

ningependa nikuambie neno ambalo halina gharama na
likutumiwa vibaya halina maana wala thamani. neno hilo
haliandikiki kwenye karatasi wala hata halitamkiki ila tu
Linatokea Bila kujua na halina sababu.neno hilo mi
mwenyewe silijui ila ndo linatufanya tuwe pamoja Japo tupo
Kasi Na Kusi. Nakupenda sana Dear Figganigga
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•

naukunjua moyo wangu huishi milele maishani ,nafungua
nafsi nikupende wewe pekee,nafunga milango ya moyo wangu
ili
kutokupokea ugeni wowote wa moyo zaidi yako
mpenzi.nakupenda sana laazizi
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•

sipo tayari kuukabidhi moyo wangu kwa mwingine zaidi
yako,wewe ni wa pekee maishani mwangu mwenye kujua hisia
moyoni mwangu
mpenzi nipende daima pendo lako nitalienzi, nakupenda

HATUA 4 MUHIMU ILI KUFURAHIA TENDO LA NDOA

MNAFAHAMU KWAMBA ILI UFURAHIE TENDO LA NDOA

( SEXUAL INTERCOURSE) NI LAZIMA UPITIE HATUA NNE ZIFUATAZO KWA PANDE ZOTE MWANAUME NA MWANAMKE:–EXCITEMENT -PLATEAU -ORGASM -RESOLUTION EXCITEMENT


Maandalizi ya kuwekana sawa ili kila mmoja aweze kuwa na hamu ya kufanya mapenzi (foreplay).

Kwa mwanamke inachukuwa muda mrefu kuamsha hamu ya kufanya mapenzi take your time on this men bila ya kusahau hatua hii haiwezekani kuharakisha hata kidogo, hatua hii kwa mwanaume uume usimama na korodani zinakuwa na hali ya pekee ya kuzunguka kwa ndani na kwenye njia ya uume kunatoka majimaji ya utelezi yasiyo na rangi na kwa mwaamke chuchu usimama yaani zinakuwa ngumu uke unatoa majimaji ya utelezi yanayosaidia kuingiliwa bila maumivu, vilevile misuli ya uke inajaa na kufanya lips za uke kuwa mnene na kiarage kinasimama na kuwa kigumu. Baada ya hapo mwanamke anakuwa tayari kufanya mapenzi.

PLATEAU –Hii ni hatua ya pili, ni kuingiliana na hapo ndio sehemu ya mtu kuonyesha ufundi wako. Bila ushirikiano hapa hauwezi kufurahia tendo hili wote mnajuwa hilo.

ORGASM – Hatua ya tatu ya kufika kileleni ni hiki ndio kipimo cha kazi ya mwanaume, kama mwanamke hatafikia hatua hii kazi yote uliyofanya ni bure kabisa.

Kama mwanaume atakuwa na nguvu ya kudumu kwa muda mrefu na kutumia ufundi vizuri basi mwanamke anaweza kufikia kilele kingine na zaidi (multiple orgasm). Vilevile ufundi ukizidi mwanamke anaweza ku-ejaculate (female ejaculation) bao la kumwaga maji maji kiasi fulani.

Mwanaume anapofika hatua hii anapendelea zaidi kuzamisha ndani zaidi uume wake kwa mwanamke na kutulia (kusikilizia) wakati wanamke anapenda kuendelea na motion kama kukatika na kukaza misuli na anaweza hata kukuparua na makucha.

RESOLUTION – Hatua ya mwisho ya mapumziko na viungo kurudi katika hali yake ya kawaida. Kwa mwanaume inachukuwa muda mfupi na muda mrefu tena ukitaka aendelee na mchezo. kwa mwanamke inachukua muda mrefu kurudi normal na kama ukitaka kuendelea bado anaweza sababu hamu bado ipo. Kwa leo naishia hapo

JINSI YA KUONGEZA HAMU YA TENDO LA NDOA

Vyakula vinavyo ongeza hamu ya kufanya tendo la ndoa!

Tatizo la uwezo wa kufanya tendo la ndoa linazidi kukua miongoni wa wanandoa na wapenzi wengi. Takwimu za kitafiti zinaonyesha kuwa karibu ndoa 4 kati ya 10 zenye umri wa miaka 3 na kuendelea zinakabiliana na tatizo hili.

Aidha wanaume 6 kati ya 10 wanatajwa kulalamikia upungufu wa nguvu za kiume.

Pamoja na matatizo mengine kutajwa kuchangia upungufu wa nguvu za kiume na kushuka kwa msisimko wa tendo miongoni mwa wanandoa, uchunguzi umeonesha kuwa utumiaji holela wa vyakula hasa vyenye mafuta ni moja kati ya sababu zinazochangia kwa kasi tatizo hili.Kwa kuzingatia hilo, watafiti wa masuala ya uhusiano wa kimapenzi wamebaini aina mbalimbali ya vyakula ambavyo vina uwezo wa kumuongezea mtu nguvu ya kufanya tendo la ndoa.  

Vyakula hivyo ni hivi vifuatavyo:

1. PILIPILI
Kama tunavyojua wote mara nyingi chakula ambacho kimeungwa pilipili hufanya hata mapigo ya moyo kuwa tofauti na wakati mwingine hata jasho au kamasi hutoka. Ndani ya pilipili kuna kitu kinaitwa capsaicin ambacho hufanya pilipili iwe na hali ya ukali. Capsaicin huwezesha ubongo kutoa homoni ya endorphins ambayo huleta mgusu wa hisia za raha wakati wa kufanya tendo la ndoa.Pia pilipili husisimua mfumo wa fahamu (nerves) wa ubongo na katika kufanya hivyo huwezesha kuamshwa haraka kimapenzi (kunyegeka) wakati wa tendo la ndoa na pia ukiguswa au kubusiwa au kunyonywa au kupapaswa unapata hisia kila sehemu ya mwili.

2. MATUNDA NA MBOGA ZA MAJANI
Ulaji wa matunda na mboga za majani una matokeo makubwa sana katika hamu ya tendo la ndoa kwa njia nyingi. Kwanza matunda na mboga za majani hupunguza kiwango cha mafuta na unene (cholesterol).  Kuongezeka kwa mafuta mwilini huzuia mzunguko wa damu kwa kubana mishipa ya damu.Pia kula matunda na mboga za majani huhakikisha balance ya uzito kwani unene (obesity) kwa wanaume kuna matokeo mabaya katika kuzalisha homeni za testoeterone na hatimaye jogoo kushindwa kuwika na kuwa na pia mwanaume anakuwa na hisia za mapenzi (libido) kidogo.Na pia wanandoa wanapozidi kunenepeana ndipo na hali ya kufurahia au kuwa na hamu ya tendo la ndoa huzidi kupungua. Kitalaam inashauriwa kula milo (potions) 3-5 za matunda kwa siku.

3. NAFAKA ZISIZOKOBOLEWA
Nafaka hasa zisizokobolewa kama mahindi, ngano, uwele, nk zina nyuzinyuzi (fibre) na sukari ngumu (complex sugar) ambazo kusaidia kutunza uzito wa mwili. Nafaka husaidia katika kuzalisha homoni za testosterone kwenye damu.Na pia nafaka huwezesha mtu kuwa na nguvu hatimaye kwenda masafa marefu wakati wa tendo.Kula nafaka nzima kama vile brown bread badala ya white bread, pia kula nafaka halisi badala ya cornflakes ni jambo zuri linalokuhakikisha afya nejama na mahusiano mazuri ya ndoa yako.

4. TANGAWIZI
Tangawizi ni kiungo cha mboga ambacho husisimua sana na kusaidia mfumo wa mzunguko wa damu mwilini. Tangawizi zinajulikana sana kwa kusukuma damu kwenda sehemu za viungo vya uzazi yaani uke na uume hivyo kuwa na umuhimu sana katika kuboresha ufanyaji wa tendo la ndoa. Inaweza kuliwa mbichi, au kuliwa ikiwa imeungwa kwenye chakula au kusagwa na kuwa kama unga na kutumiwa kama chai.

5. ASALI
Asali ina madini yanayoitwa boron, ambayo husaidia mwili kutumia homoni ya estrogen ambayo ni homoni inayohusika na viungo ya uzazi na mapenzi kwa mwanamke.Pia kuna utafiti unaoonesha kwamba asali huongeza nguvu, kitendo ambacho kitapelekea mwanamke kuwa uwezo na hamu ya tendo la ndoa au libido.

6. KARANGA
Karanga huhusika katika kuchochea mfumo wa mzunguko wa damu (vascular system). Mzunguko wa damu ulio sawasawa katika uke na uume huwezesha mwanaume na mwanamke kupata msisimko wa mapenzi haraka hatimaye tendo la ndoa kuwa murua.Pia karanga zina madini muhimu kama vile magnesium, asidi ya folic na zinc ambayo ni muhimu sana katika usalishaji wa mbegu za mwanaume.

7. CHAZA (OYSTERS) NA PWEZA
Hawa ni aina ya samaki ambao hupatikana katika maji chumvi. Huwa na kiasi kikubwa sana cha madini ya zinc na haya madini ndiyo huhusika zaidi na uzalishaji wa homoni ya testosterone kwa wanaume.Pia imethibitika kwamba wanaume wenye ukosefu wa madini ya zinc huwa na matatizo ya nguvu za kiume.  Pia madini mengi ya zinc mwilini huongeza kiwango cha shahawa kwa wanaume.

8. SOYA
Pamoja na kuwa na kiwango kidogo sana cha mafuta (fat) na pia kuwa na kiwango kizuri cha protein, soya zina phytoestrogens ambayo husaidia sana wanawake ambao wamefikia menopause kutengeneza homoni estrogen ya ziada.Husaidia uke kuwa laini (wet, lubricated) mwanamke akisisimuliwa wakati wa tendo la ndoa.

9. CHOKOLETI
Chocolate ina phenylethylamine, kemikali ambayo husababisha hisia (feelings) za furaha wakati wa mwanamke au mwanaume kufika kileleni (orgasm). Inasaidia sana kula chocolate masaa machache kabla ya kuanza kufanya tendo la ndoa.

10. PARACHICHI
Aina nyingine ya chakula ambacho husaidia kuongeza uwezo wa mtu kufanya tendo la ndoa ni Parachichi. Tunda hili linauwezo mkubwa wa kuzalisha vitamini E ambayo husaidia katika uzalishaji wa homoni.Inatajwa kuwa watu wanaotumia tunda hili kwa wingi huwana msisimko mkali wa kimapenzi na kwa upande wa wanawake husaidia kuongeza majimaji yenye utelezi sehemu za siri na hivyo kuzuia uwezekano wa kuchubuka wakati wa kujamiiana.

Is Kissing Necessary in a Romantic Relationship?

Like smiling or laughing, kissing is often referred to as a primitive, human universal-that is, a trait, behavior, or cultural feature found in all human societies. Everyone locks lips to express their love and affection for their partner, right?

Not so fast. Researchers from the University of Nevada and Indiana University have discovered that the ‘romantic-sexual kiss’ is far from ubiquitous. In fact, it’s used as a display of affection in a minority of cultures-and actually considered gross by some.

In the study, which was published in American Anthropologist, researchers analyzed 168 cultures that spanned a wide range of geographical locations, historical backgrounds, and social structures over the course of a year. They found romantic kissing was only present in 77 places (that’s just 46 percent!). Even more surprising was the fact that smooching your sweetie was completely non-existent in some cultures-91 of them, to be exact (that’s more than those who were in favor of it!).

When broken down by cultural area, the researchers found romantic kissing present in 100 percent of the Middle Eastern cultures studied, 73 percent of Asian cultures, 70 percent of European cultures, and 55 percent of North American cultures. Shockingly, they found no presence of romantic kissing in Central America.

“Like other romantic and sexual behaviors, while kissing may be a way to communicate intimacy in some societies or may function as a specific eroticized activity in others, it is important to note that for quite a few kissing is seen as unpleasant, unclean, or simply unusual,” the study concludes.

The study authors also report that the more socially complex a society is-defined by denser populations, social classes, and centralized political leadership-the higher the frequency of romantic–sexual kissing.

“We suspect that perhaps Western ethnocentrism-that is ‘the belief that a behavior currently deemed pleasurable must be a human universal’-may be driving the common misconception that romantic–sexual kissing is a (near) universal,” the study authors conclude.

That’s not to say that we should discount the value kissing has on our romantic relationships. After all, research shows kissing activates the release of the lovey-dovey hormones dopamine and oxycotin, which help to promote feelings of affection and closeness. We should, however, remember it’s not as normative as we might think, and clearly there are other ways to express love worldwide other than just brushing lips. For more on what goes on with our bodies when we swap saliva, see Your Brain On: A First Kiss.

SABABU ZINAZOWAFANYA WANAWAKE WENGI KUWASALITI WAUME ZAO

Mapenzi ni matamu ukipata mpenzi mnaependana. Mahusiano mengi huvunjika na chanzo kikuu huwa ni ‘uplayer’ kama ninavyopenda kuuita namba sita mgongoni. Lakini wanaume wengi hujiuliza kwa nini mwanamke wangu hatosheki na mimi. Tatizo litakuwa ni wewe mwanaume ndie unayechangia ama pia labda ni mkewako ambaye ana shida. So leo hapa  tumekuja na majibu kamili uzijue kwa nini wanawake wengi huplay wanaume zao.

#1 Tamaa.

Tamaa huvunja mahusiano mengi. Si kila mwanamke anapenda alivyo ilhali wengine wanaweza kuwa wanapenda pesa. Hivyo basi kama wewe ni mwanaume na mfuko wako hauna kitu basi ujue si kila mwanamke anaweza kuishi na wewe. Hivyo basi usitarajie uwe hauna kitu ukadhani kila mwanamke anaweza kuvumilia na hali ulionayo. Mwanamke hutafuta mwanaume atakayetimiza mahitaji yake na wewe uwe tu kama msaada wake

.#2 Mapenzi.

Je wewe uko bora kitandani. Swala hili mara nyingi husumbua sana. Kila mwanamke ana kiwango chake cha kufika kileleni. Mwanaume kama huwezi kumridhisha mkeo kitandani basi jua kuwa kunaweza kutokea matatizo. Wanawake wengine hutafuta wanaume ambao wanaweza kuwaridhisha kitandani na wewe ukawa mwanamke jina tu.

#3 Tabia.

Hapa napo kuna tatizo. Wewe mwanaume tabia zako ni zipi? Huezi tarajia uwe na tabia zinazokera na mimi niwe niko na wewe tu. Ok, sawa pesa unazo sikatai lakini je, mlo wako ukoje? Uvaaji wako ni upi? Mazungumzo yako ni ya aina gani? Tabia ulizo nazo kama ni mbaya hata siwezi kutoka na wewe mbele za watu. Haoa sasa itabidi nikatafute mwenzako ambaye naweza toka out nae.

#4 Distance.

Hii nayo pia huchangia sana wanawake kutokuwa waaminifu. Mapenzi yamenizidia na wewe uko mbali baba nifanyeje? Nitavumilia sawa lakini itafika pahali nitashindwa. Rafiki zangu kwa raha zao na wapenzi wao mimi huku navumilia nitashindwa. Pia hapa si kila mwanamke si mwaminifu. Kuna wengine ambao wanaweza kuvumilia pia. Hivyo basi yategemea na mtu mwenyewe. Lakini distance mara nyingi huvunja mahusiano.

#5 Mawasiliano.

Je wewe hutumia muda mwingi kuwasiliana na mpenzi wako? Waeza pata mwanaume anakaa mwezi mzima bila hata kumjulia hali mpenzi wake. Mawasiliano ni muhimu sana katika maisha ya wapenzi wawili. Ukikaa muda mrefu bila hata kutoa sababu ya kimya chako mwanamke anaweza kufikiria umemuacha.

MBINU 4 ZA KUOMBA SEX BILA MAHUSIANO

Ingekuwa mzuka sana kama ungeweza kumuona msichana mrembo mtaani, au pengine College au eneo la kazi na kumfuata na kuondoka nae mpaka nyumbani kwako kwa ajili ya kumtafunisha muwa. Lakini sio rahisi hivyo, moja kati ya vitu challenging katika maisha ya mwanaume ni jinsi ya kuomba mchezo.Ikiwa umemuona msichana ambaye amekuvutia na unahitaji sana kufanya nae sex, hizi ni mbinu tano unazoweza kutumia kuhakikisha “unamvusha”.

#1 Usilete kiswahili mingi:

Wanaume mara nyingi wana tabia ya kujifikirisha sana linapokuja suala la kuomba mzigo. Wakati mwingine unakuta msichana na yeye anasubiri kuambiwa twende, hivyo ni vema ukajitosa uwanjani huwezi jua unaweza kujikuta umengóa mtoto bila hata ku-sweat.Mwambie moja kwa moja nia yako, mara nyingi wasichana hupenda watu wakweli.

Cha msingi tafuta nafasi ya kumwambia unaweza uka-flirt naye kwanza umsome anapendelea vitu gani, kisha anzisha mazungumzo na umuoneshe kwamba unamheshimu. Kisha, tafuta upenyo katika mazungumzo yenu umwambie nia yako.Unaweza ukatia kizungu kidogo ili kulainisha moment,

Mfano “I really want to be alone with you, would you like to come with me to my house” hapa mtoto mwenye kuelewa atakuwa ameshakusoma na hata mkienda nyumbani anajua nini mnaenda kufanya. Zipo line nyingi unaweza kutumia kufanya msichana ajue unahitaji kufanya nae mapenzi.Kumbuka, msichana mara nyingi huwa na plan ya kufanya mapenzi.

So kama mmefika nyumbani na unaona anakataa sio ulazimishe mpaka muanze kukwaruana, kuchaniana nguo kwa sababu tu demu amefika ndani. Huo ni ubakaji na  hata akikubali kwa nguvu hivyo ana haki ya kukushtaki au kukunyima mchezo maisha yako yote. Be a Gentleman, usilazimishe mambo huwezi jua unaweza kuharibu kwa kiasi gani.

#2 Usiwe muwazi kupitiliza

Nimeshasema ni vizuri kuwa muwazi, lakini uwazi una mipaka na inategemea uwazi huo ni kuhusu nini? Mfano unaweza kuona demu mkali na hakuna jinsi ya wewe kupata “friends with benefit offer”, usianze kutumia mbinu za kumdanganya sijui unampenda sijui mara unamtoa out mpaka msichana anajua

 “jamaa anataka relationship” 

kumbe chief unasubiri akikupa tu unachapa na kupotea. Kuwa muwazi na kile unachotaka akikunyima hautakufa tafuta sehemu nyingine.Lakini pia, usiweke mambo yako wazi sana mpaka ukajipotezea nafasi. Mfano demu amekouna uko vizuri na akaamua kukutoa dinner au kwenye kinywaji… basi hiyo ndio inakuwa sehemu yako ya kuelezea shida zako. Utaskia

 “nimeachana na demu wangu muda sio mrefu so sitafuti mahusiano, ila uko vizuri sioni shida ya kufanya mapenzi na wewe”

Kama niko pembeni yako Club nikakuskia unatamka maneno haya nakupiga chupa ya kichwa akupeleke ukashonwe nyuzi kadhaa… na mkitoka Hosii hakupi kitu.

#3 Msifie na mfanye acheke kwanza

Kabla hujaanza kuweka shida zako mezani, wekeza… mpe good time. Wasichana ni watu delicate na mara nyingi hupenda kuambiwa jinsi walivyopendeza na sifa nyingine kibao. Usichanganye kusifia ukaanza kusifia vitu vya ajabu, wanawake wanaweza kujua kama unamsifie uongo au ukweli. Mtazame kwa makini utajua vitu gani ni muhimu kwake na vitu gani special kwake… hasa kwenye tabia na jinsi anavyofikiria.

Mara nyingi wanaume wanaweza kumwaga sifa ambazo ni too obvious hata konda ambaye haja pay attention anaweza kuziona. Kuwa makini kwenye mazungumzo uliza maswali mengi na usiongee sana muache ajieleze mpaka aone kwamba uko interested na yeye. Mfanye akuamini, mchekeshe na ukifanikiwa kufanya acheke hata kwa jokes za kijinga… tafuta kaupenyo tu uwasilishe ombi huenda kuna Opening.

Baada ya hapo tumia tu mbinu namba moja hapo juu….  tumia maneno mazuri kumwambia kuwa sasa ni wakati mzuri mkachekee wote chumbani.

#4  Lipia huduma.

Hii ni mbinu ambayo inatumika zaidi na watu wasiopenda kuzungushana wala hustle za kumuweka mtu line. Tukubali tusikubali maisha ni magumu na ni magumu zaidi kwa akina dada. Ukiona msichana amependeza na anaonekana kisasa ujue either anatengeneza mkwanja mzuri au kuna jamaa anahudumia sehemu sehemu… So kama unahitaji kupata raha gharamia na mtoto atakuja kitandani.Mwambie akusindikize shopping ukanunue vinywaji, au kwenye duka la dawa. Mlainishe kwa zawadi laini, maua, chocolate, Ice cream, hata ukimnunulia gauni katika pitapita hizo utakuwa umejenga mazingira mazuri zaidi maana sometime msichana anaweza kukubali kuja nyumbani kwako lakini kama hujamuandaa anaweza kuchange mawazo.

Cha msingi pia hapa ujue kwamba sex ni tendo la watu wawili, hivyo hata kama unalipia vitu vyote wakati mwingine ni vizuri kuhakikisha unatumia maneno matamu wakati wa kuweka ofa yako mezani, isiwe kwa namna ambayo itamdhalilisha mrembo. Pia hakikisha una cash pesa ya taxi Uber wakati wa kuondoka na sio mbaya ukaweka tip. fano “I really want to be alone with you, would you like to come with me to my house” hapa mtoto mwenye kuelewa atakuwa ameshakusoma na hata mkienda nyumbani anajua nini mnaenda kufanya. Zipo line nyingi unaweza kutumia kufanya msichana ajue unahitaji kufanya nae mapenzi.Kumbuka, msichana mara nyingi huwa na plan ya kufanya mapenzi. So kama mmefika nyumbani na unaona anakataa sio ulazimishe mpaka muanze kukwaruana, kuchaniana nguo kwa sababu tu demu amefika ndani. Huo ni ubakaji na  hata akikubali kwa nguvu hivyo ana haki ya kukushtaki au kukunyima mchezo maisha yako yote. Be a Gentleman, usilazimishe mambo huwezi jua unaweza kuharibu kwa kiasi gani.

#2 Usiwe muwazi kupitiliza

Nimeshasema ni vizuri kuwa muwazi, lakini uwazi una mipaka na inategemea uwazi huo ni kuhusu nini? Mfano unaweza kuona demu mkali na hakuna jinsi ya wewe kupata “friends with benefit offer”, usianze kutumia mbinu za kumdanganya sijui unampenda sijui mara unamtoa out mpaka msichana anajua 

“jamaa anataka relationship” 

kumbe chief unasubiri akikupa tu unachapa na kupotea. Kuwa muwazi na kile unachotaka akikunyima hautakufa tafuta sehemu nyingine.Lakini pia, usiweke mambo yako wazi sana mpaka ukajipotezea nafasi. Mfano demu amekouna uko vizuri na akaamua kukutoa dinner au kwenye kinywaji… basi hiyo ndio inakuwa sehemu yako ya kuelezea shida zako. Utaskia 

“nimeachana na demu wangu muda sio mrefu so sitafuti mahusiano, ila uko vizuri sioni shida ya kufanya mapenzi na wewe”

Kama niko pembeni yako Club nikakuskia unatamka maneno haya nakupiga chupa ya kichwa akupeleke ukashonwe nyuzi kadhaa… na mkitoka Hosii hakupi kitu.

#3 Msifie na mfanye acheke kwanza

Kabla hujaanza kuweka shida zako mezani, wekeza… mpe good time. Wasichana ni watu delicate na mara nyingi hupenda kuambiwa jinsi walivyopendeza na sifa nyingine kibao. Usichanganye kusifia ukaanza kusifia vitu vya ajabu, wanawake wanaweza kujua kama unamsifie uongo au ukweli. Mtazame kwa makini utajua vitu gani ni muhimu kwake na vitu gani special kwake… hasa kwenye tabia na jinsi anavyofikiria.

Mara nyingi wanaume wanaweza kumwaga sifa ambazo ni too obvious hata konda ambaye haja pay attention anaweza kuziona. Kuwa makini kwenye mazungumzo uliza maswali mengi na usiongee sana muache ajieleze mpaka aone kwamba uko interested na yeye. Mfanye akuamini, mchekeshe na ukifanikiwa kufanya acheke hata kwa jokes za kijinga… tafuta kaupenyo tu uwasilishe ombi huenda kuna Opening.Baada ya hapo tumia tu mbinu namba moja hapo juu….  tumia maneno mazuri kumwambia kuwa sasa ni wakati mzuri mkachekee wote chumbani.

#4  Lipia huduma.

Hii ni mbinu ambayo inatumika zaidi na watu wasiopenda kuzungushana wala hustle za kumuweka mtu line. Tukubali tusikubali maisha ni magumu na ni magumu zaidi kwa akina dada. Ukiona msichana amependeza na anaonekana kisasa ujue either anatengeneza mkwanja mzuri au kuna jamaa anahudumia sehemu sehemu… So kama unahitaji kupata raha gharamia na mtoto atakuja kitandani.Mwambie akusindikize shopping ukanunue vinywaji, au kwenye duka la dawa.

Mlainishe kwa zawadi laini, maua, chocolate, Ice cream, hata ukimnunulia gauni katika pitapita hizo utakuwa umejenga mazingira mazuri zaidi maana sometime msichana anaweza kukubali kuja nyumbani kwako lakini kama hujamuandaa anaweza kuchange mawazo.

Cha msingi pia hapa ujue kwamba sex ni tendo la watu wawili, hivyo hata kama unalipia vitu vyote wakati mwingine ni vizuri kuhakikisha unatumia maneno matamu wakati wa kuweka ofa yako mezani, isiwe kwa namna ambayo itamdhalilisha mrembo.

Pia hakikisha una cash pesa ya taxi Uber wakati wa kuondoka na sio mbaya ukaweka tip.

4 SEX UAL HEALTH TEST THAT CAN SAVE YOUR LIFE

You have a standing appointment with your gynecologist every year-for a pelvic exam, to discuss birth control issues, and to undergo tests. Thing is, some of the testing guidelines have shifted in the last few years, and a lot of women (and some gynos too) missed the memo. That’s scary, because not being screened for the right things at the proper intervals can have big repercussions. “Getting a Pap test, STD screening, and other diagnostics can prevent cancer and fertility issues and even save your life,” says Alyssa Dweck, M.D., an ob-gyn in Westchester, New York, and couthor of V Is for Vagina. Confused about the tests you need? Here are the up-to-date guidelines.

Pap Test

At age 21, every woman should have her first Pap (when your gyno brushes a wand against your cervix to pick up cell samples that may reveal potentially serious cervical changes). If the Pap comes back negative, you can wait three years before your next one. “Cervical cancer is so slow-growing, an every-three-years Pap will likely detect any precancerous cervical changes before these changes possibly become malignant,” says Dweck.

HPV Test

Starting at age 30 and until you hit 70, you can continue with a three-year Pap schedule, though some doctors opt to do co-testing, which involves undergoing a Pap test and an HPV test simultaneously every five years. HPV tests aren’t recommended for women under 30 because the virus is so common in this age group, ob-gyns worry that a positive result will leave women panicked for no reason. Also, when women in their 20s get HPV, their bodies tend to clear the virus quickly with no side effects, says Dweck. If you do get a positive result, at any time, don’t panic: HPV is so rampant, 69 percent of men and women can expect to contract at least one strain of HPV at some point in life.

STD/HIV Screening

If you’re 24 or under, you should be screened for chlamydia and gonorrhea every year. “Rates of these STDs are highest in this age range, and they tend to have no symptoms,” says Dweck. At 25, your gyno will offer to test you if she feels it’s warranted-say, if you have a strange discharge, or you’ve started seeing someone new. She’s playing it safe because untreated chlamydia or gonorrhea can affect your fertility, says Dweck. Women of all ages will also be offered a yearly HIV test.

Mammogram/Breast Ultrasound

At 40, start having annual mammograms. “If you have a family history of breast cancer, your doctor will probably opt to start mammograms when you’re younger, depending on your situation,” says Dweck. Should your mammogram reveal that you have dense breasts, many states mandate that your doc conduct a breast ultrasound as well, which can better detect suspicious growths amid dense breast tissue.

Design a site like this with WordPress.com
Get started