Jinsi ya kumchangamsha na kumfurahisha mwanamke

Kila mwanaume anapenda kujua jinsi ya kumchangamsha mwanamke ili ampende. Lakini wengi hushindwa njiani pale wanapojaribu kufanya hivyo kwa sababu hawajui vitu vitano vya kumchangamsha mwanamke.

Yafahamu hayo mambo matano, na namna kuyatumia.

Nadhani utakuwa ushashuhudia baadhi ya wanaume wakichati na wanawake(zao),wakati mwingi unakuta mwanamke anacheka na kumsifia kuwa anamfurahisha(“hahahaha!…. unanifurahisha”).

Kuambiwa na msichana kuwa unamfurahisha ni mojawapo ya kitu kikubwa sana ambacho wanaume wengi hawakisikii kutoka kwa mwanamke. Haihusiani na muonekano wako, ila namna unavyopangilia hoja zako na mada zako kwake na jinsi unavyoziwasilisha kwa kuangalia mazingira.

Jinsi ya kumfurahisha na kumchangamsha mwanamke
Ni kitu gani hasa kinamfurahisha mwanamke? Hauwezi kumfurahisha mwanamke kwa kumkejeli au kumshika baadhi ya maeneo ya mwili wake(utaishia kumchukiza na kujiondolea point).

Utajua unamfurahisha mwanamke pale tu unapomfanya ajisikie furaha, na wakati mwingine hushindwa kujizuia na hujikuta anakukiss!.

Ntakupa mambo matano ya kufanya ambayo yakuufurahisha moyo wa msichana unayemtaka(kumpenda).

Unaweza kubadilisha muonekano wako kimavazi, wakati mwingine unaweza kumkazia macho lakini hiyo haitamfurahisha bali itamtisha.

Kumchangamsha/kumfurahisha mwanamke kunahitaji kutengeneza mvuto(impression) zaidi ya muonekano na swaga.

Kama unataka kujua jinsi ya kumfurahisha mwanamke , mwanzo wa yote, huanza na maongezi. Na mwisho wa yote ni hapo pia.

Mawasiliano mazuri kimaongezi ndiyo njia pekee ya kumfurahisha na kumchangamsha msichana.

Yatumie haya mambo matano, na utafanikiwa hata kabla ya kufikia mwihso:

1. Mshawishi kupitia kitu anachokipenda
Unaweza kudahani hii haina umuhimu. Wanaume wengi hufikiri hivyo na hushangaa kwanini tu niongee kuhusu kitu ambacho msichana anakipenda. Kwanini wasichana nao wasiongee kuhusu vitu wanavyovipenda wanaume?

Wanawake huweza kufanya hivyo, japo hatujui. Wanawake wengi hujitahidi sana kujua wavulana hupenda kuongelea nini. Lakini, wakati unataka kumvutia msichana, ni muhimu ukajua ni kitu gani kinachoendelea kwenye mawazo yake. Sasa tambua kwamba, kujua kitu msichana anachokipenda haimaanishi, dhahabu, mitindo au vipodozi. Tofauti kati ya msichana na mvulana kwa namna ya kuishi imepungua sana kwa sasa(wanawake hufanya vingi ambavyo wanaume hufanya). Kwa maana hiyo ni rahisi kuwa na maongezi yenye kuvutia bila kuboa. Achana na mambo ya mahesabu, michezo, teknolojia, amini yatakua poa tu maongezi yenu.

2. Mtanie
Unapoongea na msichana, ni rahisi sana kumfanya na yeye aongee na wewe hatakama hakupenda mwanzo. Lakini hiyo haitoshi. Kama unataka kujua ni jisi gani ya kuongea na msichana/mwanamke, utapaswa kumfanya yeye ajisikie huru na mwenye kujiamini(confortable), lakini pia mfanye ajue kuwa unampenda hatakama haujamwambia.

Kumbuka, kama utaongea nae kama rafiki, lazima awaze na ajue kuwa wewe ni mwanaume noma sana(great guy), lakini hatahisi kwamba wewe ni mwanaume unaeweza kumchangamsha au kumfurahisha. Ili kuonekana kama mwanaume anayefurahisha kwa mwanamke yeyote, inatakiwa akuone kama mtu muhimu wa kukutana nae, na ili kufanya hivyo, msukume sukume hata bega katikati ya maongezi. Lakini usizidishe sana utaishia kumboa, fanya hivyo pale tu anapoongea jambo linalochekesha au lenye utani ndani yake.

Ila usiende na kumwambia maneno ya kawaida kama “unamuonekano mzuri”, “wewe ni mzuri sana”, au maneno yenye kufanana na hayo. Inawakera sana na haioneshi utofauti na watu wengine wa mtaani. Badala yake, jaribu kuwa specific wakati unamuambia jambo fulani mnapokutana. Mwambie maneno kama “umependeza sana leo. Huo ni mtindo mpya wa nywele?”, Hayo ni maneno mazuri sana kwa mwanamke kwa sababu ni wanaume wachache sana huyatumia kwao. Kwa hiyo unavyosema “leo umekua mrembo zaidi” inamfanya ajue ni jinsi gani unamaanisha mpaka umevunja ukimya.

Kwa kumtania huko – unaweza kufanya mambo matatu. Unaweza kumshtua na kumfanya atabasamu. Unaweza kumfanya ajue kwamba wewe unamuona mtu wa tofauti sana. Au tatu, unaweza kumfanya atambue kwamba umemwona wa kuvutia sana. Kumbuka hayo yote unamfanya yeye aone ni mtu mzuri ambaye anaweza kudate na wewe.

3. Kuwa mcheshi(be funny).
Baada ya kumfanya atabasamu na kuyafurahia maongezi yako na yeye, ni muda wa kumuingia ndani zaidi kidogo. Kila mmoja wetu anamambo yake ya siri ambayo hatupendi watu wote wajue labda mtu ambaye tunamwamini sana. Ili kumfanya ajiamini kwako, unatakiwa kumfanya awe na good time sana na wewe. Sasa hatuwezi kukuambia kabisa jinsi ya kumfanya mwanamke acheke. Lakini tunaweza kukupa mambo mawili ya kutumia. Usimwambie utani wowote wakati unaongea nae. Kuwa mwenye furaha muda wote unaoongea nae.

Hii inaweza kukutatiza kidogo. Kwanza kuongea utani wa moja kwa moja kama mtu aliyekariri ni ujinga. Badala yake, ongea nae maongezi yatakayomfanya aone unamtania, na hapo naye ataanza utani.

Jitahidi kuonesha unafurahia maongezi wakati unaongea nae kama unataka kumchangamsha. Ukiwa na furaha, dunia nzima inatabasamu pamoja nawe!. Kama unatabasamu na kujisikia furaha, naye atatabasamu pia na kuwa na furaha. Lakini kama unauoga, utamfanya naye awe
mwoga(unconfortable).

4. Unaweza kumsukuma kidogo kati kati ya maongezi
Najua unaelewa ninaposema kusukumana, hii utokea mara nyingi pale mvulana na msichana wanapukua wamezoeana, kwa hiyo kuifanya na mwanamke kwa mara ya kwanza inatakiwa uwe mwangalifu na makini ili usije kuharibu. Unapofanikiwa kufanya hivyo, jitahidi isiwe kila saa maana utamkera kama nilivyosema hapo awali.

Ili uweze kufanya hivyo inatakiwa uwe wa kawaida – chukulia kama ni mtu wa kawaida japo wewe unajua ni special. Muulize alifanya nini weekend au baada ya kutoka kazini, muulize anapenda kwenda wapi akitoka out au ni mgahawa gani anaupenda au anatamani kwenda au kitu kingine chochote ambacho ni binafsi(very personal). Lazima atajua wewe unamtania mana hakuna mtu ambaye anaweza kuulizwa maswali yote hayo na hajazoea kuulizwa, hivyo lazima afunguke.
Na bila kusitaa, usisahau kuuliza hili swali.

“Hey, samahani hii ni very personal – hivi una boyfriend? Kama unaye basi jua moyo wangu utavunjika vipisivipisi zaidi ya millioni hamsini sasa hivi!”, umeona ilivyo ya kichokozi eeh?. Lakini hii hufanya maajabu!.

Lazima acheke, lakini hiyo sentensi itaweka lengo lako kwake moja kwa moja, na lazima atajua kuwa unamtaka–hahahah!. Lakini angalia usiharibu kwa kuwa kituko baada ya kukupa jibu – maana unaweza kuta anaye, na kama atakwambia anaye tabasamu. Na ongelea mada nyingine tofauti kama vile swali lililopita halikumaanisha kitu kwako. Lengo lake lazima atakuwa ashalijua, na pia utafanikiwa kumfanya awe confortable kwako.

5. Mshike.
Huu ni uwanja hatari sana, lakini ni kitu unachopaswa kujifunza kwa sababu unataka kujua jinsi ya kumchangamsha msichana, si ndiyo? Hivyo kumshika katika muda muafaka inakamilisha point ya 5 ya mambo ambayo unapaswa kuyajua wakati unataka kumfurahisha mwanamke. Kama utafanikiwa kulifanya hili kwa usahihi, utakua umejichukulia point kubwa sana.

Sasa kumshika msichana ni kama kucheza na moto. Ukiushika fasta hauwezi kusikia joto, lakini ukiushika muda mrefu utaungua! Unaona ilivyo hatari?
Unaweza kumshika bega au mikono kama tayari ushamfurahisha vya kutosha. Lakini kumbuka hili, mshike tu pale unapokua na sababu ya kumshika, mfano mshike masikio kama unayasifia masikio yake au nywele kama unazisifia nywele zake, au mfute koti lake kama kuna kauchafu hatakama hana hako kauchafu, au mshike begani kama unatembea nae barabarani/ mtaani. Kumbuka kumshika mtu ni very personal, hivyo inabidi uwe makini sana na uangalie anamuitikio gani wakati unamshika kabla haujamshika tena.

Kama unataka kujua jinsi ya kumchangamsha msichana, yatumie haya mambo matano wakati utakapokutana na mwanamke next time. Na baada ya hapo utaona ni jinsi gani unavyoweza kumfurahisha mwanamke na kumfanya ayapende maongezi yako kwa mara ya kwanza!.

Jinsi Ya Kumsisimua Mwanamke Kabla Ya Kulala Naye

Wakati umemualika mwanamke sehemu unayoishi ama wakati umetoka deti katika, unapaswa kujua ya kuwa kumsisimua mwanamke huanza kabla ya nyinyi wawili kulala pamoja.

Unapaswa kumsisimua kuanzia nafasi ya kwanza ambayo utaipata kutoka kwake. Kufanya hivyo kutamfanya akutake hata zaidi na kumfanya ajiandae na mapema kabla hata kulala naye. Lakini ni mbinu gani inayoweza kutumika kumsisimua mwanamke kabla hamjalala pamoja?

Zama nami…

Kutumia maneno
Maneno yanaweza kumsisimua mwanamke asilimia mia. Mwanzo wanawake husisimuliwa na vitu wanavyosikia zaidi kuliko wanavyoona. Hii ndio tofauti kuu kati ya jinsi ya kumsisimua mwanaume na mwanamke. Hauhitaji kuonekana mchafu wakati ambapo unamsisimua mwanamke kwa kutumia maneno. Mwanzo anaweza kusisimulika na jinsi ambavyo anakusisimua wewe. Unaweza kumwambia maneno kama “Siwezi kungojea ile siku ambayo nitakuwa pekeangu na wewe”, “Nimeanza kuingiwa na mawazo nikifikiria hio nguo uliyovaa inaficha nini” ama maneno mfanano na haya.

Lakini kando na kuwa maneno yanamsisimua mwanamke, kutategemea pia na vile ambavyo unamshika na miguso yako.

Kutumia miguso
Hapa ndipo utaleta utofauti wa yote. Miguso ni mbinu nzito na ya nguvu kama unaazimia kumfanya akutamani, kabla hata nguo za yeyote kuvuliwa, kabla ya nyinyi wawili kuanza kubusiana ama kufanya chochote. Baadhi ya mifano ya kufuata ya kumsisimua mwanamke kwa miguso ili aweze kukutamani kabla ya nyinyi wawili kulala pamoja ni kama ifuatayo:

Kuzivuta nywele zake kiulaini: Usizivute nywele zake hadi ukazing’oa kichwani mwake. Lakini usiogope kuzishika baadhi ya nywele zake na kuzichezea kimvuto.

Miguso ya kukawia: Wakati ambapo unamgusa kikawaida – kwa mfano, wakati mikono yako iko katika mabega yake, mgongo au mkono – usiogope kuuzuia mkono wako ukawie sehemu hizo kwa dakika moja.

Karibu kumla dende: Hii ni siri kubwa ambayo inahakikisha gemu yako kuwa ya juu. Usikimbilie kumbusu. Jiweke katika hali ambayo nyinyi wawili mko “karibu” kubusiana. Hii itamfanya aingiwe na wazimu wa kutaka kuibusu midomo yako haraka kuliko ulivyokuwa ukitarajia.

Kumkwaruza kiulaini: Unapomgusa, usiogope kuzipitisha kucha zako kwa mgongo wake, nyuma ya shingo yake na sehemu mfanano na hizi. Hii unaweza kuitumia wakati ambapo mshajenga uhusiano wa ndani kati yenu.

Mtizamo wa macho: Kumuangalia mwanamke kwa macho pekee kunaweza kumfanya apandwe na mzuka. Mwangalie machoni, zaidi kuliko yeye. Kufanya hivyo kunaashiria ujiaminifu. Ijapokuwa mbinu hii haitumii miguso, inaweza kufanya kazi sawa na kama vile matumizi ya miguso kabla nyinyi wawili kulala pamoja.

Ok hizi ni baadhi ya mbinu za kumfanya mwanamke asisimke kabla kulala na yeye

JE ni Mzuri kitandani?

Tunapooana kama wanandoa tunakubaliana kwamba tutakuwa tunafanya tendo la ndoa sisi wawili tu maisha yetu yote  haijalishi tunafanya kwa kufikiria, au kwa kutofikiria, au tunafanya bora liende au kwa ufanisi, tunfanya kwa kupenda au kulazimishwa, tunafanya kwa ubunifu au kwa uchoyo au kwa kubania au kwa hiari au vyovyote vile kitabu kimefungwa na lazima kila mmoja apate kile mwenzake anampa iwe nusu au kitu kizima au kunyimwa kabisa au kupewa kila ukihitaji.


Hakuna kuangalia kushoto wala kulia ngoma ni ninyi wawili tu kuicheza hadi kifo kitakapowatenganisha.

Ukweli wengi wetu huwa tunachukua kila kitu for granted, hakuna efforts zozote tunaweza kuziwekeza kuhakikisha mwenzako anapata the best kutoka kwako hasa linapokuja suala la tendo la ndoa kwani ni wewe tu ndiye mwanamke au mwanaume duniani ambaye amekubali kuishi na wewe na kushirikiana kupeana hiyo zawadi ya mwili ambayo ni mali ya ndoa yenu na sivinginevyo.


Naomba ujiulize ndani ya moyo wako tena ukiwa na akili nzuri kabisa kama Mungu alivyokujalia kuoana na mwanaume au mwanamke special kama huyo uliyenaye.


Je, ni kweli unataka leo kumbariki mke wako au mume wako kwa mwili wako kwa kuwa hakuna kwingine anaweza kupata hii huduma?
Je, una hamu ya kumpa kitu cha uhakika (mapenzi, mahaba) kwa sababu ya jinsi anavyokupenda, anavyokujali na jinsi alivyoshirikiana na wewe hadi hapa mmefika?

Au umefika mahali umechoka, huna hamu tena ya kuhakikisha mume wako anapata kila mlikubaliana wakati mnaoana?
Au unasubiri hadi umpoteze ndipo ujue thamani yake?
Je unajua huko nje ya ndoa yako kuna wanawake au wanaume wengi kiasi gani wanamtamani sana huyo mume wako au mke wako?

Je, kwa nini huweki juhudi yoyote kuhakikisha kitanda chenu kinakuwa mahali bora kukimbilia kama mke na mume?

Sex ni mali ya ndoa na ndivyo Mungu alivyo design, hivyo kama upo kwenye ndoa ina maana suala la tendo la ndo lisichukuliwa just for granted, panga, andaa na wekeza kwa uwezo wako wote kuhakikisha mke wako au mume wako anaridhika na wewe na utendaji wako.

Kumbuka Bibilia inasema:
“Ndoa na iheshimiwe na watu wote, nayo malazi yawe safi, kwa kuwa Mungu atawahukumu wazinzi na waasherati wote.
Waebrania 13:4

FAHAMU SMS AMBAYO ITAMFAMYA MWANAMKE AKUTAMANI

wezekana kumtumia mwanamke SMS ambayo inaweza kumsisimua na pia kupata atenshen kutoka kwake. Hii inaweza kufanya kazi vizuri iwapo umeingiwa na kibaridi cha kuongea na mwanamke moja kwa moja. 

Kabla ujumbe ufupi kuvumbuliwa, wanaume walikuwa wakifuata mbinu nyingine kuonyesha kuwa wamevutiwa na wanawake waliowapenda.

Walikuwa wakituma barua, kuambia rafiki wa rafiki zao ama kuwafuata na kuwapigia mbinja majumbani mwao. Lakini kwa bahati nzuri, hivi sasa kuna SMS, ambazo zina uwezo wa kutuma ujumbe mfupi hapo kwa hapo kwa mwanamke ili kurahisisha kazi yako ya kutongoza. 

Kabla hujaanza kumvutia mwanamke, ni lazima kwanza umfanye akutambue kwa njia chanya kwanza. Mwanzo haupaswi kutumia SMS kumsisimua mwanamke mpaka ile siku ambayo utapata kumsoma na kumjua zaidi. Lazima ujipatie muda ili ujenge connection kati ya nyinyi wawili ili iweze kufanya kazi.

Kufanya hivi kutatoa picha ambayo itajijenga katika akili yake wakati munatumiana jumbe za kimapenzi. Kama ulimpendeza sana ile mara ya kwanza alipokupatia namba yake ya simu, basi itakuwa rahisi kwa mpangilio wako uende sambamba kama vile unavyotarajia. 

Pindi utakapoingia katika level  nyingine ya kuliwazika na huyu mwanamke ambaye unamrushia mistari, mwonyeshe vile ambavyo umependezwa na yeye kwa kumsifu.

Hakikisha kuwa unakuwa mpole katika SMS zako pia. Kama yuko darasani au kazini, usimtumie jumbe mpaka ule wakati ambao yuko huru na makini wa kujibu texts zako. 

Kama hujui ni wakati gani atakuwa yuko free, unaweza kujaribu kumtext wakati uo huo ambapo amekupatia namba yake ya simu (hakikisha una makinika kama utaamua kumtumia jumbe wakati uo huo ili usionekane kuwa una uhitaji mwingi).

Vizuri zaidi wakati unapomtumia huo ujumbe unapaswa umsifie kwa jambo ambalo umeliona wakati ambapo ulikuwa naye awali. Mfano unaweza kumsifia kitu ambacho ulikiona kama vile nguo nzuri, tabasamu lake, macho, mawazo yake nk. Jaribu kuhepa kugusia umbo lake wakati huo. 

Kama umekuwa mkitumiana jumbe kwa muda sasa na mumetoka deti mara moja au mbili, unaweza kuanza kuingiza na kugusia maswala ya mapenzi katika SMS zenu ili kuanza kupasha misuli kwa mambo ambayo unamwandalia usoni. 

Kutokana na mistari ambayo umekuwa ukiisoma kwa mitandao ama kuiskia kwa marafiki zako, unaweza kuanza kumtext mwanamke huyu mara moja moja huku ukitulia ukiskilizia kama atakujibu kwa kukubaliana nawe ama kukupinga. Ukiona kama kila ujumbe anaoujibu anajibu kwa njia chanya, basi ni wakati wa kwako usichelewe tena bali uhakikishe ya kuwa unatumia mbinu ambayo utaingiza mawazo yako kwa akili yake na hatokusahau milele – huwezi jua, labda meseji utakayomtumia baadaye itakuwa ndio meseji ya kumfanya ageuke kuwa mpenzi wako.

FAHAMU SIFA HIZI ZA MWANAMKE ASIYEFAA KUOLEWA KABISA

SUALA la kuoa lipo tu licha ya kwamba wapo wanaochelewa kuingia kwenye maisha hayo wakihisi inaweza kusitisha furaha ya maisha yao. Nasema hivyo kwa kuwa najua wapo wanaoamini kuoa ama kuolewa ni kujiingiza kwenye matatizo.

Dhana hiyo haina mashiko kiviile, asikuambie mtu unapoingia kwenye ndoa na mtu anayekupenda na wewe unampenda kwa dhati, karaha hakuna licha ya kwamba kugombana kwa hapa na pale hakuwezi kukosekana.Hata hivyo, nikiri tu kwamba, zipo ndoa ambazo ni ndoano.

Yaani unakuta mtu kaingia kwenye ndoa na mtu ambaye hakuwa amedhamiria, matokeo yake kadiri siku zinavyokwenda anahisi ameingia chaka na anaishia kuomba ndoa isiwepo.Leo nataka kuwazungumzia wanawake ambao ni majanga na ukijichanganya ukaingia nao kwenye maisha ya ndoa, utakiona cha mtemakuni.10. Asiyeridhika na penzi unalompa


Wapo wanawake ambao wewe unaweza kujitahidi kumpatia mapenzi kadiri unavyoweza lakini yeye hatosheki.

Anakuchukulia wewe ni dhaifu sana na wakati mwingine kuhisi yupo mwingine anayeweza kumpa zaidi ya kile unachompa, huyu ni tatizo.

9. Wivu kupindukia
Hatukatai, wivu ni muhimu sana kwenye suala la mapenzi lakini kuna ule wivu uliopindukia kiasi cha kuwa kero.

Walio kwenye ndoa wananielewa namaanisha nini.Kwa kifupi mtu mwenye mapenzi ya dhati na mwenziye lazima awe na wivu lakini ukiwa na ule wa kupinduki ni tatizo linaloweza kuitibua ndoa.

8. Anaona unamsaliti kila mara
Huku kunatokana na kutokujiamini tu. Ukioa mwanamke ambaye kila wakati unapokuwa mbali naye anahisi unamsaliti, huyo hakuamini na kamwe hamuwezi kudumu.

Mara kadhaa mtakuwa mkigombana akihisi una mwingine kumbe hakuna ukweli katika hilo.

7. Anahisi amekosea kuwa na wewe
Wapo wanawake ambao wanapoingia kwenye ndoa baada ya muda wanahisi wamekosea kuolewa na mwanaume huyo. Unakuta mke wa mtu anahisi fulani ambaye zamani alikuwa kwenye uhusiano naye angekuwa sahihi zaidi baada ya kuona upungufu fulani kwa huyo aliyemuoa.

6. Yuko kimasilahi zaidi
Kuna wanawake ambao ukiwaoa wanakuwa na furaha na wewe ukiwa unazo tu, ukiishiwa wanaanza kununa na kuleta visirani vya hapa na pale. Hawa ni tatizo, mwanamke wa kweli ni yule anayeridhika kuwa na wewe kwenye shida na raha

5. Yuko tayari kuachana na wewe
Hivi hujawahi kumsikia mke wa mtu akimwambia mumewe; ‘Kama vipi tuachane, kwanza kwetu sijafukuzwa na nilikuwa nakula, nalala, navaa.” Mwanamke anayeweza kumtamkia mume wake maneno haya, huyo si mke na kamwe hawezi kukufanya uwe na furaha.

4. Hapendi ndugu zako
Waswahili wanasema ukipenda boga, penda na ua lake. Kama utatokea kuoa mwanamke ambaye anakupenda wewe tu lakini akija ndugu, rafiki au mtu mwingine wa karibu yako anabadilika, huyo ana matatizo kwani atakufanya utengwe na jamii yako.

3. Anajali mafanikio binafsi
Siku zote wawili waliotokea kupendana wakioana wanakuwa mwili mmoja hivyo lazima watakuwa wanawaza na kufanya maamuzi pamoja.Ogopa sana mwanamke anayependa kutumia kipato chake kufanya mambo binafsi tena kwa siri. Kwa mfano kusaidia kwao, kujenga nyumba kwao, kuanzisha miradi yake bila kukushirikisha.

2. Eti akizaa utamzeesha
Hili kwa wale wanaopenda kuoa masistaduu. Wapo ambao wakitajiwa suala la kuzaa mara baada ya kuingia kwenye ndoa wanagoma wakidai eti watazeeshwa hivyo waachwe kwanza wale ujana. Wakati huo unaweza kukuta mwanaume anataka mtoto ili apate ile heshima, mke anagoma kwa sababu hiyo isiyo na msingi, hili ni tatizo.

1. Anataka awe na sauti
Mwanaume siku zote atabaki kuwa kiongozi wa familia lakini wapo baadhi ya wanawake hawataki kukubaliana katika hilo. Wengi wanalazimisha usawa na wengine wakitaka wao ndiyo wawe na sauti kuliko wanaume zao

JIFUNZE KUFANYA MAPENZI KWA KUTUMIA SIMU

Hii ni kwa wanaume ambao wanapenda kuwafurahisha wapenzi wao wawapo faragha. Ukifanya hivi nakwambia mwanamke hatakuacha hata umfukuze hataondoka kwako.

Mwanamke akijibinua binua namna hii inamaanisha kuwa anahamu aingiziwe mpaka kizazi kiguswe….sasa mwanaume akiwa legelege atashindwa kumtimizia haja yake.

Mambo 5 ya kuzingatia ili umsasambue kikamilifu mwanamke anaye jiwekaweka hivi mpaka akuogope:


1: achana na mambo ya kuvuana nguo, wewe chukua upinde wa chupi ama bikini na uuweke pembeni kidogo ya shavu la uke wake kwa kutumia dole gumba chako.

2: Mtie dole taratibu na usugue kwa kidole chako pande za juu za uchi wake huku ukimuongelesha pumba…mfano,
‘UNAJIWEKA WEKA KIZEMBE HIVI, UTATOMBWA LEO MPAKA UKOME”

3: Tafuta namna ya kuishikilia miguu yake juu juu ili isishuke alafu ushindwe kumpa adhabu mpaka akukumbuke maishani mwake milele daima. iingize hata chini ya meza!!!!

4: Ukiona ameanza kugugumia na kukuambia umchomekee dudu, angalia kama uchi umeloa vya kutosha kisha chomoa mashine kutoka ndani ya boksa yako haraka haraka sana na kumchomekea bila ya yeye kuwa na taarifa…utasikia:“Shiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii……jamaaaaaaani…..shiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii……ashanteeeeeeeeeeeee…….ni-pe yo-te be-ibeeeee…..nipombe mpenzi…chukua yote kabisaaaaa……twende beibeeee, ni-chakaze kabisa mpenzi wa-nguuu..””

5. Sasa ingiza mpaka usikie kama kichwa cha mashine kinaga ukuta fulani kule ndani….hakikisha, breki ni pumbu….

KWANINI WADADA WENGI WAREMBO NA WANAOJIONA WAREMBO HUCHELEWA KUOLEWA,HUKOSEA KUOLEWA AU KUTOOLEWA KABISA?SOMA HAPA

1. Wengi wa namna hii wanajiabudu. Yaani akili zao na ufahamu wao unaishia juu ya miili yao na maumbile yao kwa kiwang ambacho akijiona au kujiangalia kwenye kioo anaona yeye hawezi kukosa mtu wa kuwa nae.

Haya ni majivuno yanaozaa SELF WORSHIP, ni kiburi. Kutokana na hili, wadada wa namna hii wamekuwa wakiiingia na kutoka kwenye mahusiano kwani bado wana akili za KUJIANGALIA.

2. Kutokana na wao kujiona ni warembo wengi sana wamekuwa na kujiamini kunakopitiliza au OVERCONFIDENCE. Hii inamaanisha mdada anajiamini kuwa kutokana na uzuri alionao mkaka hawezi kumbabisha kwa lolote kwani ana uwezo wa kupata mkaka mwingine any time

3. Wadada wa namna hii pia wamefundishwa na kuandaliwa kushindana na wanaume kwani uzuri na urembo wao unakuwa kama SELF DEFENCE, kujilinda na kujikinga. Anapojiangalia anakuwa anataka mwanaume anaefanana na urembo na uzuri wake, anajikuta anachelewa na kusubiria kwani kuna wakaka hawapo bado duniani.

4. Wadada wa namna hii hujihesabia haki kuwa wanastahili kuolewa kutokana na maumbile yao kuwa ya kuvutia. Ni kweli mdada atawavutia wanaofanana nae lakini mwisho wake huwa ni maumivu ya kudumu kwa mdada.

5. Wengi wa wadada wa aina hii ni walevi wa sifa, kule kuambiwa na watu kadhaa kuwa wao ni wazuri huwa kunawafanya waendelee kuamini kuwa anaetakiwa kumuoa sio kama Raphael, mwenyewe lazima awe handsome kama yeye alivyo n kumbe Raphael alikuwa haangalii tu shape.

6. Wadada wa namna hii wanachagua au wanatumia muda mwingi sana kuchagua wakaka wanaowataka mpaka wanamkosa kila mtu na hii huwa inauma sana na hasa akiona anaolewa asiyestahili.

7. Wadada wengi wa namna hii huwa wanadhani kuolewa ni lazima uwe mrembo na mzuri kwa kila mkaka na wengi huwa wanasahau kuwa uzuri uko ndani ya macho ya anaekuona mzuri so mwisho wa siku anamkataa mkaka akiamini kuwa yeye ana uzuri

ONYO KUOLEWA SIO FASHION
KISA WATANIONAJE HEHEHEEEEE
USISHINDANE

AU USUBIRI HANDSOME WALAI NDOA SIO UZURI NI MOYOOOOO
IKIWA NIMEMKWAZA MTU TUSAMEHANE.

ZIJUE FAIDA NA HASARA ZA MAJIBIZANO KATIKA MAPENZI

Sidhani kama kuna ambaye hajawahi kujikuta kwenye majibizano na mpenzi wake.

Hata wakati mnaingia katika mlipuko wa majibizano hata mnashindwa kujua sababu ya kujibizana kwenu.Vitu kama vile mmoja kuchelewa kurudi nyumbani, kushindwa kuwasiliana sawa na mwingine alivyotarajia, kushindwa kutoa msaada pale ulipohitajika,

hisia za kuwapo kwa mahusiano pembeni, tabia zisizoeleweka baina ya mmoja na simu yake ya mkononi au ndugu zenu kuingilia uhusiano wenu kwa namna yoyote ile.Haya ni baadhi tu ya maeneo ambayo wengi wetu tumejikuta tunapishana kimaneno na wapenzi wetu. Mara nyingine inatokea mmepanga kwenda kula au kunywa nje ya nyumbani “outing” mnafika tu sehemu husika mkiwa mnasubiria

chakula au mmeshaanza kula mara mmoja wenu anatoa neno moja linaloamsha majibizano makali na ghafla raha ya kuendelea kuketi na kula pale inaisha, mnaamua kukiacha chakula na kuondoka tena ikiwezekana kila mmoja kwa njia yake.Najua kama ingekuwa tuko darasani nikasema wanyooshe mikono wale ambao hali kama hizi au zinazofanana na hizi zimewahi kuwatokea wengi wangenyoosha mikono.Inabidi kuwa makini kwasababu kutofautiana katika maneno kunaweza kuwa na muendelezo bila hata ya nyie kugundua na baadaye kuwapeleka pabaya. Kwa mfano, wapenzi hawa wawili wanaanza taratibu katika maongezi yao “leo tunakula nini” mmoja anauliza, mara anajibiwa “kwanza kila ukimaliza kula unaacha vyombo mezani badala ya kunisaidia hata kuvisogeza wakati unajua tuko

wawili tu?” Baada ya muda kupita na majibizano kama haya kuendelea, mmoja anaanza kuchoka na kumwambia mwenzake “mimi naona tunatofauti kubwa sana kwenye mambo ya majukumu ya hapa ndani na kwa jinsi hii sioni kama tutawezana bora kila mtu afuate ya kwake”.Kukosa mazingira ya kutofautiana katika uhusiano kunaweza kuwa na madhara makubwa kuliko kuwa na mazingira ya kutofautiana, wenye kukosa kutofautiana kimaneno wanaweza kuwa na tabia kama ukatili wa kimyakimya, kununiana na kunyimana tendo la ndoa.Tabia hizi zina madhara katika uhusiano.

Kama mazingira ya kutofautiana yapo na ni dhahiri, kwa nini msitofautiane? Cha muhimu ni kuchagua kutofautiana kwa namna inayojenga na sio inayobomoa.

KUNA LUGHA TANO ZA MAPENZI, UNAIJUA YA MPENZI WAKO

Kwanini uliachana na ‘ingiza jina’?”…
“Ah tulikuwa hatuendani tu”Ushawahi kujikuta kwenye scenario hiyo?Unaweza kumfanyia mpenzi wako kila jambo uonalo ni jema kwake na bado akakuacha au akatoka nje ya penzi lenu(cheating). Unabaki kusema “Nilikuwa nampa pesa, zawadi, na kumhakikishia nampenda na nataka tuje kuwa pamoja maishani lakini aliniacha.Haya matatizo yote yanaweza kumalizwa au kupunguzwa kwa kiasi kikubwa na kujua LUGHA YA MAPENZI anayoielewa mpenzi wako.

Lugha ya mapenzi ya mwenzi wako ni ile namna mtu anaona amethaminika zaidi na ukideal nae namna hiyo anaona hewaa, hapa napendwa.Hujawahi ona mtu ashawahi kuwa na wapenzi kibao ila akipata mtu wake mmoja anatulia tuliiiiii?(am sure umewahi) Ni sababu anakuwa ameongea nae ile language yake anayoitaka yeye.Kuna lugha tano maarufu za mapenzi. Naamini kuna nyingine; zinaweza kuongezeka hapa maana najua Tanzania ndo Eden kwenyewe.

1. Maneno ya kumhakikishia penziMpenzi anayezungumza lugha hii ukimwambia I love you zake 10 kwa siku anatosheka. Ukimwambia Uko peke yako kwenye sakafu ya moyo wangu anafurahiiii. Ukimsifia kuwa kapendeza sana umemmaliza.

Onyo: Watu wa lugha hii wako sensitive na maneno. Kama ambavyo ukimwambia neno zuri anawasha penzi kama moto, ndivyo ukimtusi au kumwambia neno la kuumiza utakiona cha mtema kuni.

2. Muda wa kuwa pamoja bila bugudhaWapo wapenzi wanaothamini muda wa kuwa pamoja na mwenzie kuliko chochote. Hata njaa hasikii, yeye awe tu na mpenzi wake aidha ndani au nje.Ukiwa nae hataki mara umepigiwa simu na shogaako Mary, mara umeingia goal.com unaangalia kama Chelsea wamerudisha goli; anakutaka wewe na macho yako na masikio na kila kitu.

Onyo: Kuahirisha mipango na mpenzi huyu = Sikupendi!
Kuwa makini.

3. Matendo ya kimahabaWapo ndugu zetu wengine wanathamini matendo ya kimahaba. Mara nyingi hivi ni vitu vidogodogo tu vya kuonesha unajali; mfano kumsaidia mpenzio kuosha vyombo, kumsaidia kubeba pochi, kumsaidia kufunga tai au vifungo vya shati, kumlisha mpenzi wako, kumsindikiza mpenzio kwenye gari aendapo kazini, kumpitia kazini mkapate wote lunch, kumshika mkono mbele za watu…ni vingi mnooo.

Onyo: Hawa watu wanaangalia sana matendo na huyahusisha na commitment; kama huwa unamfungulia mlango wa gari kila siku na siku moja ukaacha = Umepata mwingine!Kama huwa unampakulia chakula mezani kila siku, siku ukaacha apakue mwenyewe = Una anayekutia kiburi!

4. Kupokea zawadi
Najua wanaume watasema “wanawake Tanzania wanaongea lugha moja tu, nayo ndo hii”Hakuna asiyependa zawadi jamani hasa ya mpenzi lakini hapa tunawazungumzia ambao haoni kama anapendwa kama hapewi vitu/pesa kila mara.Hapa siongelei wachunaji au wanaouza nanii maana hao huwa hawapo kimapenzi. Nazungumzia mpenzi ambaye hakupi pressure ya kwamba anahitaji kiasi fulani au nataka hiki na hiki, yeye anahitaji uwe unampa zawadi kila mara kulingana na uwezo wako na usipompa anaona hakuna mapenzi hapo.

Onyo: Wapenzi hawa huwa sensitive sana na aina ya zawadi unayompa na kuilinganisha na uwezo wako. Yani ubora wa zawadi ndo ubora wa mapenzi.Mfano birthday ya kwanza unampa perfume na kadi, ya pili unampa lollipop na kadi wakati anajua uwezo wa kuupgrade ulikuwa nao…sina la kukwambia.

5. Mguso wa kimwiliActually, hii ndo lugha yangu mimi. Watu wa hivi tunapenda kugusana na wapenzi wetu. Kugusana haimaanishi tu katika ngono; hata katika mazingira mengine.Tunapenda hugs, kisses, kushikwa mkono, kugusanisha miguu chini ya meza, kuegemewa, cuddling…name all physical contacts. Mpenzi akifanya hivi = Nakupenda Kinoma.

Onyo: Kama ambavyo watu hawa wanapenda mguso chanya, miguso hasi inawavuruga.Kupigwa, kusukumwa, kutolewa mkono anapomshika mpenzi wake vinahit hard so do not try it; mwenzio atakachotafsiri hata hutotegemea.=====Baada ya kupitia hizi lugha ni muda wa kutafakari je wewe lugha yako ni ipi? Na ya mpenzi wako ni ipi?Njia bora zaidi ya kujua lugha ya mwenzi wako ni kuangalia anaonesha vipi mapenzi. Mtu anayeelewa zaidi lugha ya zawadi believe me atakupa zawadi mara kwa mara sababau ndo anaona best way ya kuonesha penzi.

Anayeelewa lugha ya matendo ya kimahaba atakufanyia vitendo mbalimbali vya mapenzi. Wa maneno atakuambia maneno ya kukuaminisha penzi kila mara.Anayeelewa ya muda atataka mara nyingi awe na wewe na anayeelewa lugha ya mguso utakoma kwa kuguswaguswa kila mara.Kama wapenzi probability kubwa mtakuwa na lugha tofauti za mapenzi, ni wajibu wenu kujuana na kutendeana ipasavyo.

MAMBO YA KUFANYA ILI KURUDIANA NA MPENZI MLIYEACHANA

Watu wengi wanaachana na wapenzi wao kwa sababu mbali mbali lakini unafanya Nini pale unapoachana naye halafu ukaja kugundua kuwa bado unampenda?

Jibu ni rahisi ni kumrudisha tu kwa njia yoyote.Watu hawajui kumrudisha mpenzi mlioachana ni jambo rahisi sana kwa njia chache tu nitakazokufundisha leo basi unaweza ukamrudisha mpenzi aliyekuacha au uliyeachana naye.Siku ya leo nitakufundisha njia kadhaa za kumrudisha mpenzi mliyeachana na kumtuliza mara baada ya kurudiana naye maana hiyo ndiyo kazi ngumu.Fuata Njia hizi ili Kumrudisha Ex wako Kwenye maisha yako:

1. Kata Njia Zote Za Mawasiliano NayeILi kumrudisha mpenzi wako Kwanza anatakiwa ajue ni kwa kiasi gani anakumiss na njia pekee ya kufanya hivyo ni kukata mawasiliano naye hii itasaidia kumpa muda wa kufikiria ni umuhimu gani unao Kwenye maisha yake.

2. Jaribu Kuwa Bize na Mambo YakoMuda wowote Mahusiano yakiisha kila mmoja anataka kujua ex wake anafanya nini na kama anaendelea na maisha hivyo ni muhimu kujikita katika mambo yako binafsi hii itakukosesha muda wa kuanza kumuwaza na kumtafuta Ex wako na endapo ataona unafanya mambo yako ya maendelo basi atavutiwa zaidi.

3. Muonyeshe  Anachokikosa Kutoka kwakoKama unataka kumrudisha Ex wako jaribu kumkumbusha sababu za kukupenda Mwanzoni ni muhimu kujua sababu za kuachana na kutumia zile sababu kujiboresha zaidi na kujionyesha kuwa umekuwa na kubadilika na kuwa endapo atakupa nafasi basi utakuwa tayari

Design a site like this with WordPress.com
Get started