KWANINI WANAUME WENGI WACHOVU KITANDANI?SOMA HAPA

Kuna kitu kinanishangaza sana, siku hizi wanaume wengi wamekuwa wakifurika kwa wataalam wa madawa ya asili kwa ajili ya kuweza kudumisha uwezo wao wa kitandani. Inadaiwa kuwa wanaume hao wakienda raundi moja hawawezi kurudia ile ya pili na hata wenye

uwezo wa kurudia huwachukuwa muda mrefu sana, kama raundi ya kwanza iliisha saa tano usiku basi ya pili inaweza kurudiwa saa 12 asubuhi.Tatizo kubwa ni kwamba wanaume wengi huwaandaa wake zao kwa muda mchache au hawajui kabisa jinsi ya kuwaandaa wake zao kwa ajili ya tendo la ndoa, wengi wanaparamia kama vile

wanavyoparamia baiskeli, pia wanaume hao hawajui kufuata hatua za kujizuia kuweza kuwahi ‘kufikisha mzigo melini’ na hatimaye kuwafanya wawe wa kwanza kufikisha mzigo na kushindwa kuwaridhisha wake zao.Inadaiwa kuwa tatizo hili linatokana na wanaume wengi kuacha kula vyakula vya asili vinavyoweza kuwafanya wawe na nguvu muda wote, pia inadaiwa kuwa wanaume wengi hawafanyi mazoezi ambayo yangeweza kuwafanya wawe vizuri

kitandani.Wengi wa wanaume wanapokwenda kwa wataalam wa madawa ya asili wanakuwa hawajui tatizo lao hasa, ndio maana wapo wanaume wanaokimbilia kwenda kukuza ukubwa wa maumbile kwa kuamini kuwa majogoo yao yakiwa makubwa wanaweza kuwaridhisha wake zao, kitu ambacho ni uongo mkubwa.Hawajui kuwa hata kama

siraha zao ni ndogo wanaweza kuwafanya wake zao watosheke kwa kuwafanyia utundu na kujua jinsi ya kujizuia ili wasiwahishe mzigo bandarini kabla ya wake zao, wanashindwa kuwafanya wake zao wawahi kufikisha mzigo kabla yao.Tatizo hili limesababisha wanaume wengi kudharauliwa na wake zao hata ndoa nyingi kuvunjika.

HAYA NDIYO MADHARA YA KUNYONYANA SEHEMU ZA SIRI KWA KUTUMIA MIDOMO

ZAIDI ya nusu ya vijana Duniani wanakumbwa na magonjwa mbalimbali yanayotokana na maambukizi ya virusi vinavyotokana na ngono zembe.Kwa muujibu wa utafii uliofanywa na jopo la Madaktari nchini Marekeni umebaini kwamba, vijana wengi hususan Barani Afrika wanakumbwa na magonjwa ya kuambukiza kutokana na tabia ya kufanya ngono zembe na kunyonyana sehemu mbalimbali za miili yao.

Utafiti huo umebaini kwamba, vijana wengi wanapenda kuiga tabia  zinazofanywa na baadhi ya watu mbalimbali wanaoigiza muvi mbalimbali duniani zikiwemo muvi za ngono.Madaktari hao katika utafiti wao wamebaini kwamba, vijana wengi hupenda kunyonyana ndimi zao,sehemu za siri,makwapani sehemu za makalio kwenye matiti bila kujali kwamba, mwili wa binadamu unazalisha bakteria nyingi kila kukicha na kwamba bakteria hizo, huwa sumu pale zinapoingia kwa

binadammu mwingine.Katika hatua nyingine utafiti huo pia umebaini kwamba, kuna baadhi ya wanawake wanapenda kunyonya ndimi za watoto wao wakati wa kuwalisha vyakula, ama kuwabiga mabusu kila wakati bila kujali usafi wa vinywa vyao, kiasi cha kusababishi maambukizi ya magonjwa ya ngozi kwa watoto wao.Kuhusu filamu hizo madakati hao walisema kwamba, watu wanaoigiza katika picha mbalimbali wanakuwa chini uchunguzi wa watalaam wa afya, kabla na baada ya kurekodi filamu, tofauti na watu wanavyo dhani kwamba wale kweli ndiyo tabia yao na pengine ni watu waliokutana na kuanza kunyonyana ovyo.

MASWALI UNAYOWEZA KUMUULIZA MPENZI WAKO MARA YA KWANZA MNAPOKUTANA

Watu wengi wanakuwa na kigugumuzizi kwa mara ya kwanza anapoenda kukutana na mtu anaempenda, wapo wengine hujikuta wanapata muda mgumu dakika chache kabla ya kukutana na mtu kabla ya kukutana na kuanza kujifikiria ni kitu gani ataenda kuongea anapoenda kukutana na mpenzi wake.

Basi usipate shida, haya ni baadhi ya maswali ambayo unaweza kumuuliza mpenzi wako kwa mara ya kwanza mnapokutana ingawa unashauri usiyakariri ukajikuta unataka kumuuliza kwa mpangilio, kwanza atakushangaa na kukuona wewe ni muoga.Hii ni kwa wanaume zaidi ambao mara nyingi first-date wanapaswa kuwa dominant wa mazungumzo, ili yule unaendaa kukutana nae aweze kukukubali.

1.Umeipenda sehemu hii,Inawezekana ni outdoor dating ,umeamua kumpeleka sehemu fulani, jitahidi kumuuliza kama ameipenda sehemu hiyo, na kama ameipenda amependa nini zaidi, kwanini ameipenda au kwanini hajaipenda.na kama hajaipenda basi muulize angependa kukaa sehemu ya aina gani tofauti na hiyo.

2.Huwa unapenda kunywa au kula nini,Huu pia ni mwanzo wa kujua ni kitu gani huwa napendelea zaidi, kadri anavyoweza kufunguka ndivyo itakusaidia wewe kumjua kiundani zaidi.kuna baadhi ya maswali hayawezi kuulizwa moja kwa moja lakini kupitia swali moja unaweza kujikuta unapata jibu ya swali lingine, kwa mfano utakapomuuliza kuhusu chakula unaweza kujua pia kama anajua kupika au kufanya shughuli ndogondogo za nyumbani.

3.Nyimbo  au movies gani unapendelea Kuangaliakuwa na hamasa ya kujua partner wako anapendelea aina gani ya muziki au movies gani anapendelea zaidi , kwanini anapendelea aina hiyo, je kuna historia yoote inayompelekea kupendelea aina hiyo ya muziki kama ipo basi mchimbe taratibu  na atafunguka bila wasiwasi.

4.Unapendelea kufanya nini muda wake wa ziada,hii pia itakusaidia wewe kujua ni muda gani unaweza kuwa na muda wa mpenzi wako pia,sio kila saa uanmuuliza mpenzi wako anafanya nini au yuko wapi,atakapofunguka kuhusu muda wake wa ziada anafanya nini inakupa nafasi pia ya kupanga ratiba zako vizuri ili kuwa nae mara nyigine.

5.Unapenda nini kwa mwanaume au rafiki yako wa karibu,nadhani hapa watu wengi hukosea kwa sababu ujikuta nanmuuliza mpenzi wake moja kwa moja kuhusu yeye, jaribu kumtega ili afunguke zaidi kwa sababu inawezekana akijibu kuhusu wewe hatokuwa huru zaidi au wewe unakuwa -disappointed na majibu yake.

6.Nani ni mtu wako wa karibu katika familia yako, kwanini? ,ni vizuri zaidi pia kujua mahusiano ya mpenzi wako na watu wake wa karibu, kwa sabau swali hili pia linaweza kumfanya akawa wazi hata kuelezea kwa undani malezi yake na familia yake kwa ujumla hivyo itakusaidia kujua mtu gani unaingia nae katika mahusiano.

7.Jaribu kumsifia kuwa amependeza ikibidi muulize kigzo gani alitumia kuchagua kivazi icho kwa siku kama iyo ya kukutana na wewe,hii itakuwa imekaa sana kwa wakaka.swali hili litakupelekea kujua pia aina ya nguo anazopendelea kuvaa  na style yake ya maisha kwa ujumla.Kuna baadhi ya maswali hayakai vizuri kama utamuuliza mpenzi moja kwa moja  wako kwa mara ya kwanza , isipokuwa labda yameingilia tu katika maongezi au katika njia ya ucheshi, haya yanaweza kuwa kama:-Mara yako ya kwanza kupenda ilikuwaje, ulikuwa na umri gani.-Ni sehemu gani ya mwili wako iko sensitive kuliko nyingine.-Ni nini uwa mnafanya au kuongea  unapokuwa na marafiki zako wa kike.-Kwa muonekano wangu leo ninaweza kuwa mtu wako wa karibu.

Ukiwa na demu chumbani au geti halafu akakwambia maneno haya usipoelewa basi wewe boya

1. Unapokuwa umetembelewa na mwanamke/msichana chumbani kwako kisha anakuambia funga pazia chumba kiwe giza sipendelei mwanga, unafanya hivyo kisha unakuwa kama zimwi ujauelewa ujumbe wake hapo. My broad wewe ni bonafide dumb

2. Pindi akikuambia anajisikia baridi kisha unazima AC unawasha fan. My broad wewe ni bigwa wa kutoelewa ujumbe.

3. Pindi mkiwa mnatazama movie nzuri kisha anakuambia ainjoy then unamuambia muangalie movie nyingine anakuambia HAPANA… kama utakuwa bado ujampata ujumbe wake wewe ni boya katila level ya Master’s

4. Kama atakuambia ataondoka muda siyo mrefu akawa anakukumbusha kila baada ya dakika kadhaa kupita ukawa ujaelewa ujumbe wake. Wewe ni boya katika level ya PHD

SIRI MUHIMU UNAZOTAKIWA KUZIJUA KUHUSU WANAWAKE

Wanawake wana siri nyingi sana mioyoni mwao na kwa kawaida huwa hawawezi kuonesha hisia zao za ndani moja kwa moja. Ni watu ambao mara nyingi hupenda kuwasilisha vilivyomo ndani yao kwa ishara. Kwa mtindo wa maisha ya wanaume wengi wa sasa ni vigumu kusoma ishara hizo na kujua mahitaji ya mwanamke husika.

Bahati mbaya ni kwamba, ukienda kinyume na mahitaji yao, utashangaa kila siku mnaingia kwenye mikwaruzano isiyo na msingi.Wiki iliyopita nilieleza machache, leo tunaingia katika sehemu ya mwisho. Hebu fuatilia kwa makini ujue mwanamke anapenda vitu gani hasa ili uweze kuishi naye kwa amani.

KUSIKILIZWA Ukitaka kumpatia mwanamke, msikilize. Kumbuka wanawake wengi wana hulka ya kuongea sana! Ndivyo walivyo.Wakati fulani, mwanamke anapenda kuzungumza mambo fulani na mwanaume wake.Pengine anapenda kumshauri au kujadiliana naye jambo fulani; huenda ana mawazo mazuri lakini mtindo wao wa kuongea sana unaweza kukatisha tamaa. Usifanye hivyo.

Mpe nafasi.Msikilize kwa makini, mwishowe unaweza kupata manufaa makubwa kutokana na maneno yake. Amini usiamini, hata katika mambo yanayohusu mafanikio, ukimshirikisha mkeo, huwa na mawazo mazuri yanayochochea kuifukuzia ndoto yako.Ukiachana na hilo, mwanamke anaweza kukuambia, hapendi mavazi yako – hapendi nguo fulani unayovaa, labda kwa hoja kuwa haikupendezi! Usimdharau.

Sikiliza hisia zake.Kumbuka upo kwa ajili yake, anaweza kujiuliza, kama anakuambia mavazi hayo si mazuri kulingana na umbo lako na ung’ang’ania, unamvalia nani huko nje? Msomaji mmoja aliwahi kuniambia: “Yaani kaka Shaluwa, mume wangu ananishangaza sana.“Anapenda kuvaa suruali za vitambaa, pana na mashati makubwa kama Mzaire. Nimeshamwambia mara nyingi kuwa sipendi na hapendezi, lakini bado analazimisha kuvaa. Ananinyima raha sana, maana hata nikiongozana naye, nakuwa kama nipo na mtu mzima!”Unaweza kuona namna gani wanawake wanavyokereka na mambo madogo tu lakini wakiyapa uzito
wa hali ya juu.

MSIMAMO Wanawake wanapenda mwanaume mwenye kujiamini na kusimamia msimamo wake. Unaweza kushangaa lakini wakati mwingine mwanamke anaweza hata kukuweka kwenye mtego; mnakubaliana jambo lakini baadaye anajifanya kukupinga ili kuona msimamo wako.Wanaamini katika mwanaume anayejielewa na asiyeyumba wala kuyumbishwa. Kwamba, mwanaume wa aina hiyo ni rahisi kufikia ndoto za familia – yeye kama kiongozi wa nyumba.

ZAWADI Si lazima ununue gari jipya na kumpelekea kama zawadi. Kumchagulia wimbo mzuri redioni, kadi yenye mashairi mazuri ya kimapenzi, bangili, vipodozi na vitu vingine vidogovidogo huwafurahisha sana wanawake.

MTOKO Hata kama ni mara moja baada ya miezi miwili, ukitoka na mwenzako na kwenda naye kupata chakula cha jioni mgahawani huongeza mapenzi. Kwa mwanamke ni jambo kubwa lenye thamani sana.

JINSI YA KUIFANYA MICHEZO YA KIKUBWA KWA MUDA MREFU BILA KUFIKA KILELENI WAKATI WA TENDO

Kwenye tendo la ndoa wanaume wengi inawachukua dakika 3 adi 7 kufikia mshindo lakini asilimia 87 ya wanawake hupendelea kufanya tendo la ndoa kwa muda mrefu zaidi.Hapo ndipo wanaume wengi huzalilika kwa wake/wenzi wao na kuonekana sio wanaume wa kweli kwa kushindwa kufanya mapenzi au tendo la ndoa kwa muda mrefu.

(1). MAZOEZI YA MASHINE YAKO MWANAUME
Zoezi la kwanza : Wataalamu wa mambo ya mahusiano na mapenzi wamethibitisha zoezi la misuli ya uume liitwalo (PHYSIOTHERAPY) ambalo hurudisha uwezo wa nguvu za kiume za asili. Zoezi hili halina madhara kiafya
na unaweza kulifanya mahali popote au muda wowote ule.
WASILIANA nasi kwa namba 0658091718 tukuelekeze mazoezi haya kwa mwezi mmojaFAIDA YA ZOEZI HILI
(a). Husaidia mzunguko wa damu kuingia kwenye uume na kuufanya utanuke na kuwa mgumu zaidi.
(b). Misuli ya mashine yako yatakuwa mara na kuweza kuzuia manii na kukuwezesha kumridhisha mpenzi wako kila mnapofanya tendo la ndoa.
(c). Kuimarisha mashine na kuufanya isimame kwa mda mrefu bila kulegea.ZOEZI LA PILI
Inua juu na kushusha mashine yako,Uchezeshe juu chini, chini juu mara 5 hadi 10, uwe unaiminyaminya kidogo wakati huo huo unavuta hewa kwa pua na kuitoa kwa mdomo, fanya zoezi hili mara kwa mara na litakusaidia kuimarisha mashine yako.

(2). UFANYAJI WA TENDO LA NDOA MARA KWA MARA
Ufanyaji wa tendo la ndoa mara kwa mara huimarisha moyo, ubongo na misuli ya mashine, wanasayansi wamethibitisha hili kuwa ufanyaji wa mara kwa mara husaidia uume kupata nguvu (Zipo tofauti kati ya uwezo wa mwanaume mwnye mke mmoja na mwenye
wake wengi).

(3). PUNGUZA MSONGO WA MAWAZO (STRESS)
Katika vitu vinavyochangia kutoweza kumridhisha mwenzi wako basi ni Stress. Huwezi ukafanya vitu viwili kwa wakati mmoja hasa kutokana na tendo husika kuhusisha mwili na akili. Jitaidi kupunguza msongo wa
mawazo na kukutana na washauri wa masuala ya ushauri.

(4). ACHA KUJICHUA(MASTURBATION)
Ukija kwenye vitabu vyote vya dini, kuanzia Qu’ran takatifu na biblia, vyote kwa pamoja vimekataza kufanya hili tendo na kutoa onyo.

TIBA YA MAZOEZI NA KULA MATUNDA KWA MTU MWENYE TATIZO LA NGUVU ZA KIUME.
Tiba ya mazoezi ya misuli ya mashine yako na kula matunda ni tiba bora na ya uhakika kabisa kwa mtu aliye na tatizo hili. Tiba hii hufanya mambo yafuatayo:
A) Kuimarisha mishipa na misuli ya mashine ilio
legea na hivyo kuurejeshea uwezo wake wa asili
B) Hutibu tatizo la mashine kurudi ndani na kuwa kama wa mtoto mdogo
C) Humaliza tatizo la kusimama kwa mashine
ikiwa legelege
D) Hutibu na kuponya kabisa tatizo la kufika
kieleleni haraka.
E) Huongeza hamu ya kufanya tendo la ndoa hata baada ya raundi ya kwanza.

VIGEZO VITAKAVYOMFANYA MWANAMKE AOLEWE MAPEMA

Wapo wanawake ambao wao wanajua kila siku ni Ijumaa, yaani hawatambui kwamba kuna Jumamosi na Jumapili pia. Watu hawa ni wale wanaodhani maisha ni raha tupu na kwamba wanaoishi kwenye shida ni wajinga.

Ukweli hauko hivyo, maisha yana changamoto nyingi sana. Kuna siku mambo yanaweza kuwa si mazuri lakini siku nyingine mambo yakawa supa. Mwanamke wa kuoa lazima ajue hivyo.

Vifuatavyo ndiyo vigezo vitakavyomfanya mwanamke aolewe mapemaHana tamaa na pesa.
Katika maisha ya sasa mwanamke anayependa sana pesa ukikubali awe mkeo mtasumbuana sana. Kwa maana hiyo mwanamke ambaye utagundua hana tamaa ya pesa, kwamba ikiwepo, ikikosekana anabaki kuwa yeye, huyu ni ‘wife material’.

Hayupo tayari kukuona hauna amani.
Mwanamke ambaye unaona kabisa unapokuwa na matatizo anaumia, anahaha kuhakikisha anakurudisha kwenye hali ya kawaida, huyo anafaa kuwa mkeo

Hupenda watoto 
Utajuaje kama ana mapenzi na watoto? Iko hivi; katika uhusiano wenu ukiona ni mtu wa kupendapenda sana watoto wa marafiki zake, kuwanunulia zawadi, kuwashauri wenzake namna nzuri ya kuwalea watoto, hata akija kupata wa kwake itakuwa ni hivyohivyo.

Huwa anamuheshimu kila mtu
Msichana ambaye anaheshimu kila mtu, mdogo na mkubwa, anawapenda na kuwaheshimu ndugu, jamaa na marafiki zako, huyu ana sifa ya kuwa mkeo pia.

Anajishusha
Ogopa sana mwanamke ambaye anataka usawa. Anayekufaa ni yule anayejua yeye ni mke, na wewe ni mume. Anayetambua kuwa, mwanaume ndiye kiongozi wa familia.

Anakuongoza kwenye mambo mema.
Kama mpenzi wako ni wa kukutaka kila siku muende baa au mfanye madili hatari ili mpate pesa, huyu hana sifa ya kuwa mkeo. Mke ni yule ambaye atakuongoza kwenye kutenda mema na kuacha mabaya.Kwa mfano kama unakunywa pombe atakushauri uache, kama siyo mtu wa ibada, atakushawishi umjue Mungu wako na mambo mengine kama hayo.

Anajua maisha na mapenzi kwa ujumla.
Mapenzi yanachukua sehemu kubwa ya maisha ya binadamu. Kwa maana hiyo mwanamke anayekufaa wewe ni yule ambaye anayajua mapenzi vilivyo lakini pia anajua maisha.Kama yeye ni mtaalam wa majamboz tu lakini linapokuja suala la mambo ya kimaendeleo hayumo, huyo hafai. Pia akiwa yeye ni mtu wa mambo ya kimaendeleo tu lakini linapokuja suala la mapenzi ni sifuri, pia hakufai.

MANENO AMBAYO HUMFURAHISHA MWANAMKE KATIKA MAHUSIANO YA MAPENZI

Wakati vijana wengine wanalalamika kuwa ni vigumu kuuteka moyo wa msichana, jibu ni rahisi kwa sababu hawatumii maneno sahihi. watu wengi pia huwa hawana maneno ya kusema na wengine hawajui kabisaaa hata jinsi ya kuanza.

Sasa hebu tujifunze haya maneno ya kumwambia msichana unaempenda na unahitaji awe wako milele.

1. Macho yako ni mazuri , yananifanya nipotelee kwako kila nikiyatizama.
2. Unanifanya niwe mwanaume bora , kwa hio nastahili mapenzi yako.
3. Tumbo langu hutetemeka unapoleta mikono yako usoni pangu.
4. Wewe ni mzuri na ni mrembo naogopa hata kukugusa naona kama nitakuchafua.
5. Unapotabasamu huzuni kwangu hupotea , ghafla nakuwa mtu wa furaha.
6. Ungeweza kupata mwanaume yeyote duniani , lakini umenichagua mimi.
7. Hapana.wewe sio mnene uko poa na ndivyo nipendavyo.
8. Ninapokushika nashisi kulegea kwenye magoti.
9. Wewe ni rafiki yangu, najifunza vitu vingi kwako,ndiye mtu ambae nimekuchagua, ndio mpenzi wa maisha yangu. ni wangu pekee, wewe ndio kila kitu kwangu.
10. Siamini, maana jinsi ulivyo amazing, lakini upo na mimi.
11. Kila nikiangalia muda naona kama hautoshi kukupenda , natamani niwe na wewe milele. yaani wasife.
12. Umenifanya niamini kuwa zipo nafsi zinazoungana, zinazokutana pamoja.
13. Usiku nikiwa naangalia nyota na kuzilinganisha kila moja ili kuelewa ni kwa nini nakupenda,nilifanya vizuri hatimae nikazikimbia.
14. Kukutana nawe ni kitu ambacho hakijawahi kutokea.
15. Unapoonyesha kunipenda, huwa nazidiwa na hisia , hapo hupotea kabisaaa.
16. Kabla ya kulala ni lazima kwanza nikupigie simu ndio nitapata usingizi.
17. Naweza kuwa nawe maisha yote, lakini bado nahisi kama haitatosha kukupenda.
18. Napata furaha nikiwa na wewe.
19. Napenda kutumia muda na wewe.
20. Napenda ngozi yako laini, ninapoigusa.
21. Natamani maisha yangu yote nikuone ukiwa na furaha.22. Usibadilike nakupenda jinsi ulivyo.
23. Nikiwa na wewe nafurahi kama mtoto.
24. Napenda nywele zako.
25. Napenda nikukumbatie ninapokuaga.
26. Natamani kukubusu kila sehemu ya mwili wako.
27. Naanza siku na wewe ndani ya mawazo yangu, na ninamaliza siku na wewe kwenye ndoto zangu.
28. Ukiwa na mimi huwa natamani kusimamisha muda, maana muda unakwenda haraka.
29.Nikisikia sauti yako asubuhi , siku nzima ni mtu wa furaha.
30.Tabasamu lako zuri linanifanya niyeyuke

HIZI NI DALILI ZA MWANAMKE ANAYEKUPENDA KWELI TOKA MOYONI ILA HAWEZI KUKUAMBIA

Kumekuwa na imani potofu kwa wanawake kwamba hawawezi kumwambia ukweli mwanaume anampenda kwanza mpaka mwanaume aanze lakini ukweli usiopingika ni kwamba wao pia hupendi na mara nyingi wao wakianza kupenda hupenda kweli kufikia stage hata ya kuhisi kuumwa. Hizi ni dalili za mwanamke anaekupenda ila anagoma kukwambia tu.

1. KUKUTEGA ILIKUJUA THAMANI YAKE KWAKO
Hufanya mambo ambayo yatamfanya kuona kama unampenda na kumthamini au la mfano wa mambo hayo ni kama kujifanya anaumwa na kauangalia respond yako kwake ni kiasi gani unamjali na kiasi gani utahangaika kwa ajili yake.

2.HUWA ANAPENDA KUKUGUSA SEHEMU YAKO YA MWILI.
Haoni aibu kugusa sehemu ya mwili wako. Msichana anayependa haoni aibu kukushika mkono ama kukutomasa au hata kukumbatia.Kwa kufanya hivyo hujua kuwa kwa asilimia kubwa hisia za kushikana kwenu kutamrahishishia kazi ya kuwa na wewe.

3. KUPENDA KUCHEKA TENA MUDA MWINGINE KWA NGUVU
Kucheka kwa nguvu hata kwa kitu kisicho chekesha endapo wewe umezungumza. Mara nyingi ataonesha uso wa furaha hata kama si furaha ya kweli.

4. WIVU
Hujisikia wivu anapokuona na wasichana wengine. Ukiwa unachart nao na ukiwaita majina ya kimahaba. Hapendi na hupenda yale afanyiwe yeye tu hata kama sio mpenzi wako.

5.HUKUMBUKA MATUKIO MUHIMU YOTE KUHUSU WEWE
Anakumbuka siku zako muhimu. Hukumbuka kama vile siku yako ya kuzaliwa hatoweza kuisahau kufanya ipite bila kukutakia heri ya siku ya kuzaliwa kama sivyo ukifauli mtihani au chochote katika maisha yako atakuwa mbele kukupongeza.

6. HUPENDA KUANGALIANANA WEWE MUDA MWINGI
Eye contact hupendelea sana kukuangalia machon muda wote ambao mtakuwa mkizungumza pamoja akidhani kuwa utamuelewa ni kiasi gani anakupenda kupitia vile anavyokuangalia. Ila wengine huona aibu kuwatazama wavulana wanaowapenda hivyo huweka jicho la wizi na kukuvizia.

8. HUPENDA KUKAANA WEWE MUDA MWINGI NA KUKUJUAZAIDI
Hupenda kukaa muda mwingi na wewe. Hawezi kupoteza hata sekunde ukimuhitaji kwa mazungumzo. Anajisikia furaha kukaa na wewe muda mrefu bila kuchoka. Anaweza akaacha kila kitu anachokifanya ili ajumuike na wewe na akikaa na wewe hupendelea sana mwanzoni kukujua wewe zaidi na hukujengea mazingira ya wewe uwemuwazi ili umwambie mengi kuhusu wewe na pia akiwa na wewe atakuwa muwazi zaidi hadi mavazi aliyovaa hupenda sana kujua yako na kukuambia yake na hupenda kujua ni mavazi gani yeye akivaa anakuvutia zaidi na atajitahidi kuwa anavaa ya style hiyo kukufurahisha.

9.YUPO TAYARI KUSACRIFICE
Kama msichana anakupenda yupo tayari kusacrifice. Ni kitu ambacho hakuna mtu ambaye anaweza akafanya kwa mtu mwingine. Utamuona vipi huyo msichana alivyo kwako na kwa wengine. Yaani yupo tayari akose lakini wewe upate na kwa mwingine anaweza akamwambia hana alichoombwa lakini akakupa wewe kama pesa na vitu vingine.

10. HUPENDA KUTATUA MIKWARUZANO YENU KWA AMANI
Mikwaruzano ikitokea katika urafiki wenu hayupo tayari kukupoteza kabla hajakwambia nakupenda.Kwa kuwa anakupenda endapo ikitokea mikwaruzano basi atafanya juu chini kuyaweka mambo sawa ili asikukose.

11. HUPENDA KUKUNUNULIAZAWADI ZA MITEGO
Mwanamke anaekupenda hupenda kujua mengi sana kuhusu wewe na hapo inamsaiia kukununulia zawadi za mitego kama boxer , na mara nyingi hupenda rangi nyeupe, au kukununulia perfume , sabuni ya kuoge ya manukato,soksi, vest, bukta, saa,raba, t-shirt. Na kama mkitoka wote mkaenda shopping ataakutega kwa kukuonyesha vitu na wewe ukionekana umependa kitu hatonunua siku hiyo ila atanunua siku inayofuata na kukuletea kama suprise.

12. KUPENDA MLE WOTE
Mwanamke anaekupenda ili akujue zaidi hupendelea msosi mle sehemu mmoja na kama ikitokea mwanaume hawezi kuhama sehemu anayokula mwanamke yupo radhi kubadili na kumfuata mwanaume hatakama sehemu hiyo yeye haipendi na kama unakula kwako basi atakutega na kuja kupika kwako ili mle na atakuwa anapenda kununua vitu vya kupika ili tu akutekena uone upendo wake.NB: Kuwa makini, sio kila mwanamke atakaye onesha dalili hizi anakupenda kwa dhati, wengine hutaka kukuweka mtu kati ili akugagadue mpunga wako tuuu a.k.a gold digger.

FAIDA TANO MUHIMU ZA WEWE KULALA BILA NGUO

Binadamu alivyoumbwa na Mungu anapaswa kujisitiri kwa kuvaa mavazi yatakayofunika mwili wake. Lakini mavazi haya hayapaswi kuvaliwa kwa muda wote (masaa 24 kwa siku), kutokana na sababu mbali, za kiafya au za kawaida kama ilivyo asili ya uumbaji.Nchi zenye ukanda wa hali joto ikiwemo

Tanzania, kulala huku ukiwa umevaa nguo ni moja ya vitu hatari kiafya, kwani inaweza kusababisha madhara kiafya.Hapa nakupa sababu tano muhimu ambazo zitakazokufanya kuanzia leo usilale na nguo yoyote, na hii ni kwa faida yako mwenyewe.

1. Kulala vizuriHapa inaeleweka wazi kisayansi kuwa ili ulale vizuri mwili wako unahitaji kutulia, upoe, na ndio maana tunaoga kabla ya kulala, ili kupunguza joto mwilini,  ukiwa umevaa nguo mwili wako unabaki kuwa na joto,  na kukufanya ukose usingizi na kukosa utulivu,  lakini ukilala bila nguo, unaruhusu mwili wako kupata hewa ya kutosha na kusaidia kupoza joto la mwili, na kukupa usingizi mzuri zaidi.

2. Kuacha mwili upumueKila sehemu ya mwili wetu umeundwa kwa seli zinazohitaji hewa ili zipumue, ukiwa unalala na nguo zinakuwa hazipati hewa ya kutosha hata kama mwili unakuwa haufanyi kazi yoyote zaidi ya kutulia tu. Hii ni zaidi kwa wanawake ambao wanalala na nguo za ndani , ukilala na nguo za ndani unawapa fursa backeria na aina ya ‘yeast’ kukua ndani ya mwili. Hivyo kulala bila nguo itakuepusha na magonjwa yatokanayo na bacteria hasa kwa wanawake.

3. Husaidia kuondoa msongo wa mawazo na mwenza wako
   (Stress free with parter)
Wote tunajua kukumbatiana wakati umelala na mwenzi wako ni njia bora ya kuondoa msongo wa mawazo, lakini iwapo utafanya hivyo mukiwa hamjavaa nguoo ni bora zaidi. Unajua kwa nini!?. Hii ni kwa sababu mawasiliano ya ngozi kwa ngozi bila kujihusisha na tendo la ndoa ni bora zaidi na kukufanya akili itulie na kukufanya ujihisi vizuri zaidi, na kuondoa mawazo yote. Pia husaidia kupunguza uwezekanao wa kupata maradhi ya moyo na kukufanya uwe mwenye furaha.

4. Kuwa karibu na mwenzi wakoKwa mujibu wa utafiti uliofanywa kwa zaidi ya wanandoa 1000 wa nchini Uingereza, ulionesha kwamba wanandoa wanaolala bila nguo wana furaha zaidi kuliko wale wanaolala na nguo. Hii ni kutokana na yale yalioyoelezwa kwenye maelezo ya kipengele chana 3, hivyo inasaidia kukuza uhusiano wao na kuburudishana, kutengeneza ‘muunganiko’ zaidi kutokana na kulala bila kikwazo chochote kati yao.

5. Kupunguza uzito
Utaona kama ni jambo la ajabu kuwa kulala bila nguo kunahusiana vipi na kupunguza uzito!?. Lakini ukweli ni kwamba ukiwa unalala ‘uncomfortable’, utakuwa na stress zaidi ambazo zitakusababisha kula vyakula ambavyo havifai kwa afya ya mwili, ili tu ujifurahishe. Lakini ukilala ukiwa umetulia hukupunguzia msongo wa mawazo, na kukufanya uwe usiyekuwa na wasiwasi wa jambo lolote.Hebu fikiria kuanzia sasa kufuata muongozo huu kwa afya yako ya mwili na kiakili pia.

Design a site like this with WordPress.com
Get started