Mama kuwa makini House Girl Yaweza Kuwa Mke Mwenzio

Hivi ni vibaya House girl kuolewa na baba mwenye nyumba?

karibu kwenye makala hii maalumu, nimeamua kuandika habari hii ili kujaribu kupunguza mifarakano kwenye familia zetu especially familia zenye wafanyakazi wa ndani wanaojulikana kama house girl.

Katika mada hii nimekuwa nikikutana na maswali mengi sana ambayo mda mwingine yalikuwa yakituchanganya hata sisi wenyewe katika kuwajibu wahusika, maswali haya malanyingi yalikuwa yakiulizwa na akina mama.

Na kwa upande wa akina baba maswali yao sio mengi ukilinganisha na akina mama, sasa napenda nianze kwa kusema mambo yafuatayo ili wote twende sawa.

WAJIBU WA MWANAUME KATIKA FAMILIA: 
Mwanaume anawajibu wa kutimiza mahitaji yote ya msingi katika familia yake, moja ya majukumu hayo ni pamoja na kutoa pesa za matunzo ya familia yake kadri ipasavyo, kuonyesha upendo wa dhati kwa mama pamoja na watoto wake, na mambo mengineyo nk.

WAJIBU WA MWANAMKE KATIKA FAMILIA: 
Mwanamke ndiye mtendaji mkuu wa familia kwa upande wa nyumbani ukiachilia mbali ya kwamba baba ndiye kichwa cha familia, mwanamke anamajukumu mengi kwa upande wa nyumbani moja ya majukumu yake ni pamoja na kupika chakula cha familia, kufua nguo za mumewe pamoja na nguo za watoto, kuakikisha nyumba pamoja na eneo linaloizunguka nyumba ni safi, kuonyesha upendo wa dhati kwa mumewe pamoja na watoto wake, nk.

Ndugu msomaji wa makala hii, nadhani mpaka hapo tayari umeisha anza kupata mwanga kuhusu jibu la swali la makala yetu, sasa twende kuona wajibu wa mfanya kazi wa ndani kama house girl.

House girl wajibu wake ni kuakikisha anafanya usafi wa kuizunguka eneo la nyumba kwa nje na kufanya usafi huo kwa upande wa ndani kwa baadhi tu ya maeneo ya nyumba hiyo pamoja na kuwaogesha watoto, kufua nguo za watoto, na kufanya kazi ndogo ndogo za nyumbani.

House girl hatakiwi kufanya usafi chumbani kwa mume wa mama mwenye nyumba, house girl hatakiwi kufua au kupiga pasi nguo za mume wa mama mwenye nyumba, house girl hatakiwi kumuandalia chakula au chai mume wa mama mwenye nyumba, nk.

Sasa ukiona house girl anafanya kazi zote nilizosema kuwa hatakiwi kuzifanya pindi awapo nyumbani kwako, ukiwa kama mama mwenye akili timamu jua kabisa tayari umeamua kumuletea mumeo mke mdogo na pia usipige kelele wala kulaumu maana jitihada zote za kumuandaa mke mwenzio umezifanya wewe mwenyewe.

Ushauri wangu kwenu akina mama na akina dada nikwamba, hatukatai kuwa wafanyakazi wa ndani hawafai, ila jitaidi mfanyakazi wako awe na mipaka ya kazi, mwanaume anaamua kumuoa house girl kwa sababu yeye amechukua majukumu yote ya mama mwenye nyumba, sasa wewe mama usianze kumtupia maneno mtoto wa watu pamoja na mumeo maana yote hayo umeyataka wewe mwenyewe.

Haya ndio Madhara ya Kufanya Mapenzi Kupita Kiasi

Katika hali ya kawaida kufanya mapenzi kuna faida nyingi, lakini linapokuja suala la kuzidi kiasi tunapata matatizo ya msingi ambayo huleta madhara kwa watu wanaoendekeza sana ngono.

Kuna watu ambao hawezi kulala bila kufanya mapenzi na huku wengine wakikosa uwezo wa kuvumilia hata kwa siku mbili au tatu.Hilo linaweza kuwa jambo jema kwa upande mwingine, lakini uchunguzi unaonyesha kuwa watu wengi kati ya watu wanaolalamika kupoteza hisia za kimapenzi hutoka katika kundi la watu wapenda ngono.Pamoja na tatizo hilo, yapo madhara mengine mengi ambayo mtu asiyekuwa na kiasi katika tendo la ndoa anaweza kukabiliana nayo, hivyo ni vema tukajifunza ili tusiwe watu wa kuendekeza miili kiasi cha kulazimika kufanya mapenzi kila tunapokutana.Yafuatayo ndio madhara yenyewe;

1. Kupoteza hamu ya tendo la ndoa.
Watu wenye pupa za kufanya mapenzi hupoteza haraka hisia za kimapenzi kwa wapenzi wao kutokana na sababu za kisaikolojia zinazoweza kujitokeza wakati wa ufanyaji wa tendo la ndoa mara kwa mara.Sababu hizo zinaweza kuwa ni pamoja na zile za kumzoea mwenza kiasi cha kukosa msisimko hata anapomuona akiwa mtupu.Aidha kukinai haraka staili za kimapenzi kunatajwa kujitokeza kutokana na kukutana mara kwa mara kwa aina zile zile za mapenzi na pengine sehemu moja, kitanda kimoja na chumba kile kile, jambo ambalo linaweza kumfanya mhusika asione jipya kutoka kwa mwenza wake na hivyo kupoteza hamu naye na kuhisi kama hawezi tena kushiriki tendo la ndoa kikamilifu.

2. Kuujaza mwili tamaa kubwa.

Tabia ya kufanya mapenzi mara kwa mara huongeza uzalishaji wa homoni mwilini na kuufanya mwili uwe na msukumo mkubwa wa kutaka kuridhishwa kwa tendo la ndoa bila kukosa na hivyo kumfanya mhusika asiwe mtu mwenye uwezo wa kuzuia tamaa na kukosa chaguo la nani wa kufanya naye mapenzi na kwa wakati gani?Watu wanaojiendekeza katika kufanya mapenzi mara kwa mara ndiyo wale ambao kila wanayemtazama barabarani humtamani bila kujali hadhi yake.Hawa ndiyo wanaobaka, kusaliti ndoa zao hata kwa watumishi wa ndani au kufanya mapenzi na watoto wao wa kuwazaa kwa vile akili zao huwa zimeathirika kwa tamaa ya mapenzi.Unapokuwa mtu wa kufanya mapenzi mara kwa mara huwezi kuwa na uwezo wa kuzuia tamaa yako. Mumeo akiondoka siku mbili unatamani kuwa hata na houseboy ili akukate kiu ya penzi.

3. Kupoteza raha kamili ya tendo.
Raha ya tendo hutegemea sana hisia iliyokuzwa kutokana na mapenzi sahihi na kiu ya kufanya mapenzi, hivyo basi ukiwa mtu wa kufanya mapenzi kila mara unaweza kupoteza msisimko wa tendo na kujikuta unapata furaha ambayo haikutoshi kumaliza tamaa yako.Kama ni mapenzi utakuwa unayafanya kwa mazoea tu na msisimko wako utakuwa mdogo!

4. Kupoteza nguvu ya mwili.
Madhara mengine yanayoweza kupatikana kwa kufanya mapenzi mara kwa mara ni pamoja na kupoteza nguvu nyingi za mwili.Kama tujuavyo tendo la ndoa hasa kwa wanaume huwafanya watumie nguvu nyingi, hivyo kuufanya mwili uchoke. Aidha lishe inapokuwa ndogo kwa wafanya mapenzi mwili hukosa nguvu za kutosha kuhimili misukosuko ya kimaisha.Sambamba na hilo mbegu za uzazi zinazotoka kwa wanaume wanaofanya mapenzi mara kwa mara huwa dhaifu.

5. Kupatwa na magonjwa.
Kama tulivyojifunza kuwa watu wanaofanya mapenzi mara kwa mara huwa na tamaa na hujikuta wanafanya mapenzi holela ambayo huweza kuwasababishia magonjwa ya zinaa ukiwemo ukimwi, lakini ufanyaji wa mapenzi usiokuwa na msukumo wa kutosha hasa kwa wanawake huwafanya waishiwe msisimko na kuzifanya sehemu zao za siri kutotoa ute unaoweza kuwakinga na michubuko wakati wa kujamiiana na hivyo kuwasababishia michubuko itakayoweza kuleta maambukizi ya haraka ya magonjwa ya zinaa ukiwemo ukimwi.

Njia rahisi za kuwavutia wanawake kihisia na kufanya wakupende, Je unazijua?

Mwanamke hutumia muda mdogo sana kuamua kama una uzito wowote wa kumfanya yeye atoke na wewe kutokana na vitu vidogo vidogo unavyofanya na vile ambavyo huvifanyi ndo vinamsaidia kufikia kwenye maamuzi yake. WaulizeWanaume imejaribu kukusanya njia rahisi za kumshika kihisia mwanamke ambazo sio ngumu wala za kupoteza mda na zitatoa tofauti kubwa kati ya kuangaliwa vibaya na kupewa namba ya simu…”Saa nyingine ni vitu vidogo vidogo tu ndo vinavyotengeneza mshiko mkubwa kihisia, sifa moja ya akili au ishara ndogo tu inaweza kumshika kihisia mwanamke, vile vile ukitoa sifa mbaya ndo mwisho wako!.” Mwanamke hutumia muda mdogo sana kuamua kama una uzito wowote wa kumfanya yeye atoke na wewe kutokana na vitu vidogo vidogo unavyofanya na vile ambavyo huvifanyi ndo vinamsaidia kufikia kwenye maamuzi yake.
 imejaribu kukusanya njia rahisi za kumshika kihisia mwanamke ambazo sio ngumu wala za kupoteza mda na zitatoa tofauti kubwa kati ya kuangaliwa vibaya na kupewa namba ya simu…

  • Msifie kwa kitu kizuri…

Ukimwambia mwanamke anaharufu nzuri inayosambaza furaha, kutamfanya ajisikie vizuri, harufu ya furaha ni harufu ambayo kila mtu anatamani kuwa nayo kila saa, hii itakufanya upate wasaa wa kumuuliza vitu gani kwenye maisha yake vinavyomfanya awe na furaha?, ambapo swali hili litamfanya avutiwe zaidi na maongezi yako na kujisikia vizuri zaidi, ukimsifia kwa kitu kizuri unakua mwanzo mzuri utakaokupa fursa na nafasi nzuri zaidi ya kuendelea nae kimaongezi.

  • Muombe ushauri…

Wanawake wanapenda sana kutoa ushauri na wanavutika zaidi kwenye njia hii maana utamfanye apate hisia umeona kitu kizuri kwake mpaka ukampatia hio heshima ya kumuomba ushauri, kuwa mwangalifu hapa maana hautakiwi kuonekana kama haujui kabisa juu ya kitu unachomuomba ushauri na hakikisha usifanye asijisikie vizuri.
Ukiwa unaomba ushauri onyesha na wewe ulikua unafikiriaje juu ya hicho kitu au jambo ulilokua unaombea ushauri, na maswali yawe ya urahisi ambayo atatoa majibu kwa urahisi zaidi na hatimaye kuanzisha mazungumzo mengine.

  • Msifie kwa jinsi anavyoonekana…

Unatakiwa wakati ukitoa sifa, sifa ionekane ni ya ukarimu na sio vinginevyo, kwa hio inabidi utoe sifa ambayo ni ya asilia, kwa mfano usitoe sifa kama “Unamacho mazuri sana!”, jaribu kusema “umependeza kwenye hio nguo uliyoivaa!”. Ni njia nzuri ya kumwambia kuwa ni mrembo kuliko njia ya kwanza ambayo inaonyesha wazi sehemu mazungumzo yako yanakoelekea.

  • Mfungulie mlango…

Kumfungulia mrango mwanamke ni kitendo cha kiungwana sana, jionyeshe uungwana wako.

  • Muulize maswali…

Ukiwa unataka kumjua msichana ni lazima ufanye unachoweza ili kumfanya ajisikie vizuri, hii inamaanisha kuelekeza maongezi kwenye mambo ambayo ukiiyaongelea atajisikia vizuri na kwenye mazingira aliyoyazoea, unaweza kuelekeza maongezi yamuhusu yeye mwenyewe, wanawake wanapenda sana kujiongelea kuhusu wao wenyewe.
Ukimuuliza maswali juu ya maisha yake ya zamani na vitu anavyovipendelea utamfanya aongee kwa kujiamini zaidi, huku ukionyesha hamasa zako zipo sio tu kwa ajiri ya muonekano wake.

  • Puuzia simu yako…

Hakuna kitu kibaya kinachoonyesha mtu ulienae hana umuhimu kama kupokea simu au kusoma meseji katikati ya maongezi, ukiwa unaongea na msichana fanya akuone kama kuna mtu anakupigia na uikate simu mbele yake na kizima kabisa, akikuuliza kwanini umefanya kitendo hicho, mwambie mazungumzo yake yamekuvutia na unataka umsikilize yeye kwanza mengine hayana umuhimu, utamfanya ajisikie na thamani kubwa sana kwako.

  • Ongea na marafiki zake na jihusishe kwenye mazungumzo yao…

Ukiwa unafikiria kumtongoza msichana, lazima utakua unatathimini utu wake, muonekano wake na mengineyo kama uwezo wake wa kuelewa mambo na kufurahi, ndivyo hivyo hivyo mwanamke nae anatathimini, na hututathimini ni kiasi gani ambacho tunaendana na jamii yake.
Wanawake huvutiwa na mwanaume mcheshi, anayependeka kwa urahisi na ni mtu wa kijamii, kwa hio jiingize kwenye maongezi na rafiki zake na ukiweza kuwavutia rafiki zake, utakua umemvutia na yeye pia, hakikisha kipindi chote cha maongezi, uwe umeweka wazi kwamba yeye ndio vutio lako kubwa.

  • Kuwa katika hali ya usafi na uvaaji mzuri na wakupendeza…

Wanawake wanapenda wanaume watanashati, wanapenda kuwaona wakiwa wanapendeza na kunukia vizuri mda wote na nywele zilizo katika hali nzuri.
Hembu fikiria wewe unawatathimini wao kwa muonekano, kwa nini na wao wasifanye hivyo vivyo?.

  • Mwangalie machoni…

Ni majaribu makubwa kutomwangalia mwanamke mzuri toka juu mpaka chini, anavyokua mzuri zaidi ndivyo ilivyo ngumu kuweka akili yako kwenye maongezi, hakikisha unamwangalia machoni, akikukamata unaangalia maziwa yake wakati anakupa stori kuhusu mama yake ujue atakuona kuwa wewe ni wa ajabu sana na moja kwa moja atajua umekuja kwake kwa ajiri ya kilichopo katikati ya miguu yake tu.

Mwanamke hutumia muda mdogo sana kuamua kama una uzito wowote wa kumfanya yeye atoke na wewe kutokana na vitu vidogo vidogo unavyofanya na vile ambavyo huvifanyi ndo vinamsaidia kufikia kwenye maamuzi yake. WaulizeWanaume imejaribu kukusanya njia rahisi za kumshika kihisia mwanamke ambazo sio ngumu wala za kupoteza mda na zitatoa tofauti kubwa kati ya kuangaliwa vibaya na kupewa namba ya simu…”Saa nyingine ni vitu vidogo vidogo tu ndo vinavyotengeneza mshiko mkubwa kihisia, sifa moja ya akili au ishara ndogo tu inaweza kumshika kihisia mwanamke, vile vile ukitoa sifa mbaya ndo mwisho wako!.” Mwanamke hutumia muda mdogo sana kuamua kama una uzito wowote wa kumfanya yeye atoke na wewe kutokana na vitu vidogo vidogo unavyofanya na vile ambavyo huvifanyi ndo vinamsaidia kufikia kwenye maamuzi yake.
 imejaribu kukusanya njia rahisi za kumshika kihisia mwanamke ambazo sio ngumu wala za kupoteza mda na zitatoa tofauti kubwa kati ya kuangaliwa vibaya na kupewa namba ya simu…

  • Msifie kwa kitu kizuri…

Ukimwambia mwanamke anaharufu nzuri inayosambaza furaha, kutamfanya ajisikie vizuri, harufu ya furaha ni harufu ambayo kila mtu anatamani kuwa nayo kila saa, hii itakufanya upate wasaa wa kumuuliza vitu gani kwenye maisha yake vinavyomfanya awe na furaha?, ambapo swali hili litamfanya avutiwe zaidi na maongezi yako na kujisikia vizuri zaidi, ukimsifia kwa kitu kizuri unakua mwanzo mzuri utakaokupa fursa na nafasi nzuri zaidi ya kuendelea nae kimaongezi.

  • Muombe ushauri…

Wanawake wanapenda sana kutoa ushauri na wanavutika zaidi kwenye njia hii maana utamfanye apate hisia umeona kitu kizuri kwake mpaka ukampatia hio heshima ya kumuomba ushauri, kuwa mwangalifu hapa maana hautakiwi kuonekana kama haujui kabisa juu ya kitu unachomuomba ushauri na hakikisha usifanye asijisikie vizuri.
Ukiwa unaomba ushauri onyesha na wewe ulikua unafikiriaje juu ya hicho kitu au jambo ulilokua unaombea ushauri, na maswali yawe ya urahisi ambayo atatoa majibu kwa urahisi zaidi na hatimaye kuanzisha mazungumzo mengine.

  • Msifie kwa jinsi anavyoonekana…

Unatakiwa wakati ukitoa sifa, sifa ionekane ni ya ukarimu na sio vinginevyo, kwa hio inabidi utoe sifa ambayo ni ya asilia, kwa mfano usitoe sifa kama “Unamacho mazuri sana!”, jaribu kusema “umependeza kwenye hio nguo uliyoivaa!”. Ni njia nzuri ya kumwambia kuwa ni mrembo kuliko njia ya kwanza ambayo inaonyesha wazi sehemu mazungumzo yako yanakoelekea.

  • Mfungulie mlango…

Kumfungulia mrango mwanamke ni kitendo cha kiungwana sana, jionyeshe uungwana wako.

  • Muulize maswali…

Ukiwa unataka kumjua msichana ni lazima ufanye unachoweza ili kumfanya ajisikie vizuri, hii inamaanisha kuelekeza maongezi kwenye mambo ambayo ukiiyaongelea atajisikia vizuri na kwenye mazingira aliyoyazoea, unaweza kuelekeza maongezi yamuhusu yeye mwenyewe, wanawake wanapenda sana kujiongelea kuhusu wao wenyewe.
Ukimuuliza maswali juu ya maisha yake ya zamani na vitu anavyovipendelea utamfanya aongee kwa kujiamini zaidi, huku ukionyesha hamasa zako zipo sio tu kwa ajiri ya muonekano wake.

  • Puuzia simu yako…

Hakuna kitu kibaya kinachoonyesha mtu ulienae hana umuhimu kama kupokea simu au kusoma meseji katikati ya maongezi, ukiwa unaongea na msichana fanya akuone kama kuna mtu anakupigia na uikate simu mbele yake na kizima kabisa, akikuuliza kwanini umefanya kitendo hicho, mwambie mazungumzo yake yamekuvutia na unataka umsikilize yeye kwanza mengine hayana umuhimu, utamfanya ajisikie na thamani kubwa sana kwako.

  • Ongea na marafiki zake na jihusishe kwenye mazungumzo yao…

Ukiwa unafikiria kumtongoza msichana, lazima utakua unatathimini utu wake, muonekano wake na mengineyo kama uwezo wake wa kuelewa mambo na kufurahi, ndivyo hivyo hivyo mwanamke nae anatathimini, na hututathimini ni kiasi gani ambacho tunaendana na jamii yake.
Wanawake huvutiwa na mwanaume mcheshi, anayependeka kwa urahisi na ni mtu wa kijamii, kwa hio jiingize kwenye maongezi na rafiki zake na ukiweza kuwavutia rafiki zake, utakua umemvutia na yeye pia, hakikisha kipindi chote cha maongezi, uwe umeweka wazi kwamba yeye ndio vutio lako kubwa.

  • Kuwa katika hali ya usafi na uvaaji mzuri na wakupendeza…

Wanawake wanapenda wanaume watanashati, wanapenda kuwaona wakiwa wanapendeza na kunukia vizuri mda wote na nywele zilizo katika hali nzuri.
Hembu fikiria wewe unawatathimini wao kwa muonekano, kwa nini na wao wasifanye hivyo vivyo?.

  • Mwangalie machoni…

Ni majaribu makubwa kutomwangalia mwanamke mzuri toka juu mpaka chini, anavyokua mzuri zaidi ndivyo ilivyo ngumu kuweka akili yako kwenye maongezi, hakikisha unamwangalia machoni, akikukamata unaangalia maziwa yake wakati anakupa stori kuhusu mama yake ujue atakuona kuwa wewe ni wa ajabu sana na moja kwa moja atajua umekuja kwake kwa ajiri ya kilichopo katikati ya miguu yake tu.

Ni majaribu makubwa kutomwangalia mwanamke mzuri toka juu mpaka chini, anavyokua mzuri zaidi ndivyo ilivyo ngumu kuweka akili yako kwenye maongezi, hakikisha unamwangalia machoni, akikukamata unaangalia maziwa yake wakati anakupa stori kuhusu mama yake ujue atakuona kuwa wewe ni wa ajabu sana na moja kwa moja atajua umekuja kwake kwa ajiri ya kilichopo katikati ya miguu yake tu.

Dalili za mwanamke anayetoka nje ya ndoa

Wataalamu wa maswala ya mahusiano wanaamini kwamba, mwanamke anapotoka nje ya ndoa yake, inakuwa rahisi sana kubainika au kufumaniwa kuliko ilivyo kwa mwanaume.
Hii inatokana na ukweli kwamba, hisia zinakuwa na nafasi kubwa sana kwa mwanamke, kwani mwanamke huishi kwa hisia zaidi kuliko mwanaume. Bado nasisitiza kwamba, haipaswi na siyo sahihi mtu kuchukulia dalili hizi kama ushahidi wa mpenzi wake kutoka nje ya ndoa. Uchunguzi wa kina kufuatia dalili hizi ni muhimu sana.


Zifuatazo hapa chini ni baadhi ya dalili zinazoweza kuonyeshwa na mwanamke ambaye anatoka au yupo kwenye harakati za kutoka nje ya ndoa yake:

1.KUCHELEWA: Kuna wakati mwanamke anaweza kuaga kwamba anakwenda saluni au kusuka, badala ya kurejea kwa muda ambao umezoeleka, anachukua muda mrefu hata mara tatu zaidi. kuna wakati kwenda sokoni huchukua saa kadhaa bila kujali soko liko umbali gani. Kama ni mara moja sawa, lakini ikishakuwa zaidi ya mara moja huenda kuna tatizo la kukosa uaminifu.


2.KUBADILI MAENEO: Hebu chukulia kwamba, mwanamke amezoea kwenda soko fulani la karibu, hospitali fulani ya karibu, saluni fulani ya karibu na hata nyumba fulani ya ibada ya karibu. Unapoona anahama maeneo ya karibu ya huduma na kwenda ya mbali, bila sababu ya msingi, huna budi kuanza kutuhumu mwenendo mbaya.


Siyo lazima kuhama kokote kuwe na mwenendo mbaya, lakini kama kuhama kwenyewe kunatia shaka kwa sababu maelezo ya kuhama huko hayana msingi, mwanaume ana kila sababu ya kuchunguza kama hakuna usaliti unao anywa.

3.UNUNUZI USIO WA KAWAIDA: Kama mwanamke anatoka nje ya ndoa yake kwa ajili ya kupata fedha, basi atakuwa na mabadiliko makubwa katika mtindo wake wa manunuzi.Atakuwa ananunua vitu vya thamani kubwa kuliko uwezo wake, atakuwa na fedha nyingi tofauti na ambazo angekuwa nazo na pengine kumiliki mali kama nyumba kwa siri.


4.KUANZISHA VURUGU: Kuna wakati mwanamke anayetoka nje ya ndoa huanzisha vurugu za makusudi na mumewe. Lengo la kuanzisha vurugu hizo ni ili apate nafasi ya kujifanya amezira na kuondoka nyumbani kwa muda.
Huo muda anapoondoka nyumbani kujifanya kakerwa na vurugu hizo ndiyo muda ambao anautumia kwenda kwa hawara yake.


5.KUSITISHA UAMINIFU: Mwanamke anayetoka nje ya ndoa, mara nyingi husimamisha kumwamini mumewe, yaani hayuko tayari kushiriki masuala ya siri, ambayo wanandoa huwa wanashiriki.
Husita kumshirikisha mumewe kwenye mambo yake mengi. Lakini pia husita kumuomba mumewe ushauri, kama alivyokuwa akifanya siku za nyuma.


6.KUACHA KUVAA PETE: Kuna sababu nyingi ni kwa nini mwanamke anaweza kuacha kuvaa pete yake ya ndoa. Moja ya sababu hizo ni kusalitiwa na mumewe au ndoa yake kuwa kwenye misukosuko mikubwa sana.Lakini nje ya misukosuko mikubwa ya ndoa, sababu nyingine inayoweza kumpelekea mwanamke kuvua mara kwa mara au moja kwa moja pete yake ya ndoa, ni kuwa na uhusiano nje ya ndoa yake.


7.KUONESHA WASIWASI: Kama mwanamke anatoka nje ya ndoa yake , ni lazima atakuwa na wasiwasi na mashaka yasiyo na sababu mbele ya mume wake.
Anaweza kuonesha kutotulia kwa aina fulani kana kwamba, anahofia kuna siri itatoka au kuna kitu ambacho tayari mume wake anakijua dhidi yake. Mara nyingi wasiwasi na mashaka humtawala sana mwanamke anayetoka nje , hasa katika hatua zake za awali za kutoka nje.


8.KUZUNGUMZIA KUACHWA: Kuna wakati mwanamke anaweza kuwa anatoa kauli za kuonesha kwamba, kama mwanaume anaona vipi , wanaweza kuachana.
Kama kila penye ugomvi kidogo tu mwanamke anakimbilia kusema, “kama ni kuachana, tuachane tu” hiyo inaweza kuwa ni dalili mbaya kwa mwanamke anayetoka nje ya ndoa kwa sababu hana tena upendo na mumewe.

Fahamu jinsi ya kupata mpenzi bora

Unapochagua mpenzi wa maisha unatakiwa kuhakikisha unachagua mpenzi ambaye mtaendana naye kitabia, wengi wa wanawake na wanaume wengi wao utawasikia wakisema mimi nataka mpenzi asiye mlevi wakati huo yeye mwenyewe ni mlevi, kwa kufanya hivi kama utapata mpenzi, ni lazima mapenzi hayo hayatadumu kwa sababu utakuwa umepata mtu ambaye hamuendani kitabia na kihisia pia.

Hivyo ili uweze kupata mpenzi sahihi unatakiwa kuzingatia mambo yafuatayo:

Lazima na wewe uwe bora kwanza.
Huwezi kusema unataka mtu bora wakati wewe mwenyewe siyo bora. Kama unataka mpenzi bora na sahihi kwako unatakiwa kwanza wewe mwenyewe uwe bora kwanza katika kila eneo ambalo wewe linakuhusu ndipo na wewe utakapopata mwenza bora pia. Hii si kwa wanawake tu bali hata kwa wanaume pia kama unataka msichana ambaye ni bora anza kwanza wewe kuwa bora ndipo mambo mengine yatafuta.

Lazima na wewe ujiheshimu.
Utasikia wadada / kwa wakaka wakisema mimi nataka mtu ambaye anajiheshimu, ni heshima gani ambayo unaizungumzia wakati wewe mwenyewe huna heshima hiy?. Kila wakati kumbuka huwezi kupata heshima unayoitaka kama wewe hauna heshima hiyo, kumbuka kila kitu unachokitaka kutoka katika jinsia tofauti ni lazima wewe uwe wa kwanza kuwa na tabia hiyo kabla ya kumuangalia mtu mwingine.

Kama unataka mwenye gari hakikisha na wewe unalo la kwako.
Hii ni kwa wadada utasikiawa kisema oooh mimi nataka mkaka mwenye gari, binafsi huwa najiuliza wewe unalo kama unalo basi una haki ya kusema hivo, kama unataka mtu mwenye gari basi na wewe uwe nalo ili muwe nayo mawili. Acha kujifanya unachagua watu wenye mali wakati wewe hizo mali hauna ni kapuku wa kutupwa. Kumbuka mali hutafutwa.

Ukitaka msomi hakikisha na wewe umesoma
Maara utasikia ooh mimi nataka msomi, mmmh ni usomi upi unaouzungumzia wakati wewe mwenyewe elimu yako huwezi hata kutamka hata mbele ya mtu?. kila wakati acha kujifanya bingwa wa kuchagua vitu ambavyo wewe huna, kama unataka msomi basi hakikisha na wewe ni msomi.

Mwisho naomba kwa kusema maisha ya mahusiano siyo vitu bali ni hisia, ukijifanya bingwa wa kuchagua vitu kuliko kusikiliza hisia zako zinasema nini basi neno ndoa utakuwa ukilisikia kwa waliopo ndoani pekee,

Upendo wa Mapenzi unahitaji vitu hivi

Asante sana kwa kuendelea kutembelea Muungwana blog siku ya  leo tunataka kuzungumza na wewe mambo muhimu yatakoyokufanya uweze kudumu katika mahusiano.,Ili uweze kudumu katika masuala ya mahusiano ya kimapenzi ni lazima ujue ya kwamba ipo haja ya kujua mambo haya yatakayokusaidia wewe kudumu katika mahusiao hayo.

1. Imani
Upendo unahitaji imani ni kuwa na uhakika wa mambo yatarajiwayo ni bayana ya mambo yasio onekana unatakiwa kuwa na imani na mwenzi wako imani katika mausiano ni muhimu sana kuaminiana toa wasiwasi kwa mwenzi wako mwamini kuwa amekuchagua wewe hakuna mwingine ukopeke yako.

2. UjasiriUpendo unahitaji uwe jasiri katika hali zote uajasiri katika kunena ujasiri kutenda, ujasiri katika kuuzungumzia upendo kwa mwenzi wako upendo unamhitaji mtu jasiri sio kitu rahisi kama wengine wanavyozungumzia.
3. Mawasiliano
Upendo unahitaji mawasiliano maana mawasiliano hutengeneza mahusiano bila mawasiliano huku na mahusiano ili ujenge msingi mzuri mzuri wa mahusiano yako unahitaji uwe mtu mzuri katika mawasiliano- mawasiliano yana uwezo mkubwa sana wa kutunza mahusiano hivyo upendo unahitaji mawasiliano.

4. Asante
Upendo unahitaji neno asante kwa mwenzi wako kwa lolote atakalo litenda kwako kama atakupa zawadi asante hasa kwa mpenzi wako ni neno muhimu sana na linaongeza nguvu ya mapendo uwe unatumia neno hili asante kwa mpenzi wako maana upendo unahitaji neno hili ASANTE. Hata baada ya kutoka katika tendo la ndoa sema asante maana ni tendo la ndoa ni matokeo ya mapendo. Hivyo upendo unahitaji ASANTE.

5. Haki
Upendo unahitaji haki unatakiwa umtendee haki mwenzi wako usimyime haki yake ya msingi kumtunza kumpenda na kumtimizia haki zake zote najua unajua haki za mapenzi wako- upendo ili ukomae unahitaji haki iwapo katika mahusiano yenu.

Hizi Hapa Mbinu za Kujitibu Tatizo la Nguvu za Kiume

Tatizo la nguvu za kiume limekuwa ni tatizo kubwa sana, tumekuwa tukishudia michepuko mingi ikiongezeka kila kukicha huku wengine wakithubutu hata kuvunja mahusiano yao hii ni kwa sababu ya tatizo hili, hivyo ili kuweza kuondokana na tatizo hili ipo haja ya kutambua namna ambavyo tunaweza kujitibu tatizo hilo
Zifutazo Njia 13 za kujitibu tatizo la kupungukiwa nguvu za kiume:

1. Acha mawazo
Mawazo na mfadhaiko huondoa mtiririko mzuri wa damu kwenda kwenye uume na kusababisha nguvu kupungua nguvu za kiume na hata uume wenyewe.I kiwa unasumbuliwa na mfadhaiko au stress uangalifu mkubwa unahitajika kabla ya kuamua kutumia dawa yoyote.

Katika hali ya mfadhaiko wa akili utokanao na hali ya kushuka kwa uchumi kwa mfano, wanandoa wanapaswa kuwa ni wenye umoja na kujaliana zaidi, shida ni pale kama mke akili yake ni ndogo kwani badala ya kufunga na kuomba kwa Mungu huenda akaenda kukutangaza kwa majirani!.

2. Jitibu magonjwa yafuatayo
Kama tatizo limesababishwa na magonjwa kama kisukari, vidonda vya tumbo, shinikizo la juu la damu au uzito kupita kiasi ni vema ukajitibu kwanza maradhi haya. Tatizo ni kuwa watu wameaminishwa kwamba maradhi haya hayana dawa jambo ambalo si kweli.

Kisukari, shinikizo la juu la damu, vidonda vya tumbo na hata uzito kupita kiasi ni magonjwa yanayotibika kabisa hasa kwa kutumia dawa mbadala na kufuata muongozo sahihi katika kula na kunywa kwa kipindi cha majuma kadhaa.
3. Acha vilevi
Kama tatizo linatokana na matumizi ya vilevi, hatua ya kwanza ni kuviacha kwanza hivyo vilevi. Ndiyo kuviacha kwanza, unatakiwa ujiulize mwenyewe kipi ni mhimu kwako ndoa yako au hivyo vilevi? Mtu anayejali vilevi kuliko hata afya yake hafai.

Kuna watu wanajidanganya kwamba ukitumia sijuwi kilevi fulani nguvu zinaongezeka, ni kweli zitaongezeka hapo mwanzoni mwa matumizi ya hicho kilevi lakini kadri siku zinavyoenda ndivyo utakavyoendelea kuwa mtegemezi wa hicho kilevi na itafika siku hata hicho kilevi hakitasaidia kitu na hapo ndipo hatari zaidi ya kutotibika tatizo lako itakapojitokeza.

4. Fanya mazoezi ya viungo
Zingatia sana umhimu wa mazoezi ya viungo. Bila kujishughulisha na mazoezi ya viungo kila siku itakuwa ni vigumu sana kwako kupona tatizo la upungufu wa nguvu za kiume.

Kutengeneza mishipa na kupunguza uzito isiwe ndiyo sababu pekee ya kwenda gym. Kama unahitaji nguvu za kiume na uume wenye afya, unahitaji kujishughulisha na mazoezi ya viungo mara kwa mara ili kusafisha mishipa ya damu na hivyo kuongeza kiasi cha utiririkaji wa damu kwenda kwenye uume.

Kama uzito wako upo juu sana na ni mnene fanya mazoezi ya kukimbia (jogging) kila siku kwa mwezi mmoja mpaka miwili. Kama uzito wako upo sahihi tu kwa mjibu wa urefu wako fanya sana mazoezi ya kuchuchumaa na kusimama. Una chuchumaa na kusimama mara 25 mpaka 30, unaweza kupumzika dakika mbili unaendelea tena kuchuchumaa na kusimama hivyo hivyo unapumzika dakika 2 mpaka mizunguko (rounds) mitano kila siku.

5. Tumia kitunguu swaumu
Chukuwa punje 6  za kitunguu swaumu, menya na uzikate vipande vidogo vidogo kisha meza na maji vikombe 2 kutwa mara 1 kwa mwezi mmoja.

Sifa kuu zinazokifanya kitunguu swaumu kuwa na uwezo na faida nyingi mwilini ni kule kuwa kwake na viasili kadhaa (ingredients) ambavyo vinafanya kazi tofauti tofauti. Uwezo wake wa kiutendaji unatokana na sifa zifuatazo:

Vina uwezo wa kusababisha kutanuka kwa mishipa ya damu (vasodilation) kwa kubadilisha polysulfides zilizopo ndani yake kuwa hydrogen sulfides kwenye seli nyekundu za damu.
Husaidia uthibiti wa kiwango cha sukari mwilini kwa kushusha kiwango cha kemikali ya homocystine na hivyo kupunguza madhara ya kisukari.

Ukivikata vipande vidogo vidogo hivi (chop), vitunguu swaumu hutoa kemikali iitwayo kwa kitaalamu kama ‘Allicin’ ambayo ni dawa dhidi ya bakteria, na ‘Phytoncide’ ambayo huua fangasi mbalimbali mwilini.

6. Kula tikiti maji
Tunda hili lina faida nyingi pamoja na kuwa ni chanzo kikuu cha Protini, Mafuta, Nyuzinyuzi, Wanga,Calcium, Phosphorus, Chuma,Vitamin A,B6,C. Potasium, Magnesium, Carotene, anthocyanins na Virutubisho vingine vingi.

Tunda linasaidia kuwa na uwezo mkubwa wa kuimalika kwa misuli na mfumo wa fahamu kufanya kazi zake vizuri na kuondoa katika hatari ya kupata shinikizo la juu la damu.

Kula tikiti maji kila siku huku ukitafuna na zile mbegu zake, fanya mara hivi mara kwa mara.

7. Kula ugali wa dona
Kula ugali wa dona kila siku. Ni mhimu kuachana na mazoea ya kula ugali wa sembe. Ugali wa dona una virutubisho vingi na mhimu kwa ajili ya afya ya mwanaume. Kama ugali wa dona unakukera jaribu kufanya hivi, chukuwa mahindi kilo 10 ongeza ngano kilo 3 na usage kwa pamoja, ugali wake huwa ni mlaini, mzuri na mtamu na unaweza kula na mboga yoyote tofauti na lile dona la mahindi peke yake. Fanya hivi katika familia yako kwa maisha yako yote.

8. Tumia chumvi ya mawe
Chumvi ya mawe ya baharini ile ambayo haijasafishwa au haijapita kiwandani ina mchango mkubwa sana katika kutibu tatizo hili. Tumia chumvi hii kwenye vyakula vyako kila siku.

9. Kunywa maji mengi kila siku
Kunywa maji ya kutosha kila siku bila kusubiri kiu. Kila mtu anahitaji glasi 8 mpaka 10 za maji kila siku. Maji ni mhimu katika kuongeza damu, kusafisha mwili na kuondoa sumu mwilini.

10. Tafuna mbegu za maboga
Maajabu mengine ya mbegu za maboga ambayo ulikuwa huyajuwi bado. Utaniuliza kivipi zinaondoa tatizo la upungufu wa nguvu za kiume? Kwanza kabisa zinaondoa msongo wa mawazo/stress kitu ambacho ni namba 1 katika kusababisha upungufu wa nguvu za kiume, lakini pia zinashusha lehemu (cholesterol), zinatibu kisukari, zinatibu tezi dume (matatizo kama ya ngiri nk), zina protini nyingi ya kutosha na yenye ubora na mbaya kuliko zote ni kuwa zina madini ya ZINKI madini mhimu kuliko kitu kingine chochote kwenye upande wa nguvu za kiume na kinga ya mwili. Bado huelewi? Zina madini ya chuma pia

Uzuri ni kuwa mbegu hizi hazina uchungu wowote, ni tamu kuzitafuna wakati wowote na mahali popote hata ofisini unaweza kuwa nazo pembeni unatafuna huku unaendelea na kazi zako. Sambamba na hilo kama tulivyoona pale juu kwamba zinaongeza maziwa kwa mama anayenyonyesha kwa upande wa wanaume zinaongeza pia uwingi wa mbegu za kiume (sperm count) ukitafuna mbegu za maboga siku mbili tu utaona ukipiga bao linatoka la kutosha na zito kweli kweli basi ujuwe ni mbegu za maboga.

11. Tumia asali yenye mdalasini
Chukuwa lita moja ya asali safi ya asili ambayo haijachakachuliwa, ongeza vijiko vikubwa 8 vya mdalasini ya unga changanya vizuri pamoja. Acha ndani ya bakuli kubwa ili iwe rahisi kuikoroga vizuri kila unapoitumia. Lamba vijiko vikubwa vitatu kila unapoenda kulala. Fanya hivi kwa mwezi mmoja.

Hata baada ya mwezi mmoja kuisha bado nakushauri uendelee kuitumia asali hivi maisha yako yote au hakikisha haipiti siku bila kunywa au kula chakula chenye asali yenye mdalasini ndani yake. Unaweza kuitumia kila siku kwenye mkate kama mdabala wa siagi au blueband au ukaitumia kwenye juisi na kwenye chai kama mbadala wa sukari. Au unaweza kuweka vijiko vikubwa vitatu ndani ya glasi moja ya maji na unywe yote kutwa mara 2 amabapo husaidia pia kutibu uchovu mwilini.

12. Kunywa chai ya tangawizi
Tangawizi ni chakula ambacho husisimua sana mfumo wa mzunguko wa damu mwilini, na tangawizi zinajulikana sana kwa kusukuma damu kwenda sehemu za viungo vya uzazi yaani uke na uume. Inaweza kuliwa mbichi, au kupikwa au kuanikwa na kuwa kama unga.

Ulaji wa tangawizi mbichi nusu saa kabla ya tendo la ndoa husaidia katika kuongeza hamu na nguvu ya tendo la ndoa. Unaweza ukanywa chai ya tangawizi tu nusu saa kabla ya kuanza tendo au unaweza ukatafuna kipande cha tangawizi mbichi kwa ukubwa wa dole gumba la mtu mzima nusu saa kabla ya tendo.

Kunywa chai ya tangawizi mbichi kila siku, katika chai hiyo unayopika ndani yake weka tu maji na Tangawizi mbichi uliyosagia ndani yake (usiongeze majani ya chai humo), kumbuka tangawizi inaoshwa tu na maji na uisagie ndani ya sufuria pamoja na ganda lake la nje. Sasa badala ya kutumia sukari wewe tumia asali kwenye hii chai yako ya tangawizi na ukiitumia hivi kila siku hutachelewa kuona faida zake. Tangawizi peke yake ni dawa ya zaidi ya magonjwa 72 mwilini!

13. Tumia unga au juisi ya msamitu
Unga au juisi ya msamitu (mtishamba wa porini) ni mzuri sana katika kutibu tatizo la nguvu za kiume na pia unasaidia sana kwa wanaume wenye tatizo la nguvu za kiume hasa lililosababishwa na kujichua au kupiga punyeto kwa muda mrefu kwani unaimarisha sana mishipa ya uume. Pia unaweza kuutumia hata kama unasumbuliwa na tatizo la kisukari. Msamitu unao uwezo mkubwa katika kuongeza hamu ya tendo la ndoa hata kwa kina mama pia.

Msamitu pia unatibu magonjwa yafuatayo bila shida yoyote; Pumu, Chango la uzazi, Kupooza mwili, Unaondoa kabisa gesi tumboni na Kuongeza nuru ya macho kuona.

Msamitu unao uwezo pia wa kuongeza ukubwa wa uume wako. Labda utauliza kwa namna gani?, kwa sababu moja ya kazi zake mwilini ni kuponya mwili uliokuwa umepooza, mwili unapokuwa umepooza ina maana hata damu yako pia inakuwa haitiririki vizuri kama inavyotakiwa na tuliona hapo juu kwenye somo hili umhimu wa mzunguko wa damu ulio bora katika nguzu za kiume.

Kwa kuwa mwili ulikuwa umepooza, Msamitu unapokuja kukutibu unakufanya kuwa mtu uliyechangamka na damu yako itaanza kuwa inatiririka kwa mtiririko mzuri zaidi na kama matokeo yake utaanza kuona hata ukubwa wa mheshimiwa unaanza kuongezeka kidogo kidogo. Na hii ni hasa kwa wale ambao walizaliwa na uume wa kawaida lakini sababu ya punyeto, lishe duni au stress walijikuta maumbile yao yanaanza kusinyaa au kupungua badala ya kuongezeka.

Faida zitokanazo na kufanya mapenzi pekee

Kufanya mapenzi ni jambo muhimu sana katika mahusiano. Huwakutanisha na kuwaweka pamoja wewe na mpenzi wako. Mapenzi hulifanya penzi lenu kuwa hai.

Kufanya mapenzi ni kichocheo muhimu cha kuamsha hisia zenu za kimahaba. Hii ni mada kuu inayopendwa na huongelewa sana na wanaume pamoja na wanawake.

Ni kitu ambacho kila mtu hukifikiria hata kama hawako katika hali ya mapenzi. Kwa kweli ni muhimu tu kama uaminifu na mawasiliano.

Zifuatazo ni baadhi ya sababu kwa nini kufanya mapenzi ni muhimu katika mahusiano;

Hukuza urafiki baina yenu na kuimarisha mahusiano.
Kuwa na mpenzi ambaye ni rafiki yako ni jambo zuri sana katika mahusiano. Kuwa katika mahusiano pasipo kufanya mapenzi na mwenza wako ni kama tu kuwa na rafiki yako. Mahusiano hujawa na uchu, wapenzi hutaka furaha na kuridhika. hivyo kufanya mapenzi na mwenza wako huchochea hisia nzito baina yenu, huburudisha na kuyafanya mahusiano kuwa bora.

Huondoa mawazo
kufanya mapenzi husaidia kuondoa mawazo, ufanyapo mapenzi homoni zinazokupa furaha hutengenezwa kwa wingi mwilini. Kumbuka unapokuwa na furaha ndivyo unavyoweza kufanya kazi kwa ufanisi.

Huyafanya mahusiano kuwa hai.
Kujamiiana ni kitu ambacho unaweza kufanya ili kujifurahisha wewe pamoja na mwenzi wako. Hukuza urafiki na kuwa na hakika, vile vile huwafanya mujione kuwa kila mmoja anahitajika na mwenzake.

Kufanya mapenzi ni njia nzuri ya kuwasiliana, huwafanya mpendane zaidi na kuuona umuhimu wa kila mmoja katika maisha yenu ya mahusiano.

Hukufanya uwe na usingizi mwanana.
kufanya mapenzi hukufanya ulale usingizi mzuri. Siyo kwa sababu ya uchovu wa shughuli nzito mliyoifanya. Unapomaliza kufanya mapenzi kemikali iitwayo ‘oxytocin’ huachiwa na mwili. Hii hukufanya kulala usingizi mzuri na wa raha.

Hukupa furaha.
Watu wanaofanya mapenzi mara kwa mara huwa na furaha zaidi ya wale wanaofanya mara chache au wasiofanya kabisa. Vile vile hukuongezea kujiamini na kuwa na mtazamo chanya katika maisha.

Humpa furaha mwenza wako.
Kufanya mapenzi huwafanya wanaume wanapokuwa na msongo wa mawazo, kujisikia furaha. Kama uko kwenye mahusiano na huwa hamfanyi mapenzi mara kwa mara, kuna hatari kuwa mwenza wako hapati furaha 100%. Hivyo kama hamtofanya mapenzi, kuna uwezekano wa yeye kwenda kutafuta mtu mwingine wa kufanya nae mapenzi. Hivyo ili kumfurahisha ni vyema muwe mnafanya mapenzi mara kwa mara.

Huu Ndio Utundu Komesho Kwa Mwanamke Kitandani

Karibuni katika somo jingine ndugu wapenzi wa Elimu Kuhusu Mapenzi na Mahusiano kumekuwa na maombi kama huwezi kumfikisha mwanamke kileleni basi unausika katika hili somo!!!!…Wengi wakitaka kujua ni namna gani ya kumfikisha mwanamke kileleni kwa kuzani hawana nguvu za kuhimiri kufanya tendo kwa muda mrefu bila kufikiri kuwa kumuandaa mwanamke kabla ya tendo kunaweza kukusaidia katika kumridhisha.

Wanaume wengi huwa hawana maandalizi mazuri kwa wanawake wao kabla ya tendo la ndoa yanayoweza kuwasaidia kama kichochezi cha kuwafikisha kileleni mapema.

Basi njia hizi zinaweza kuwa msaada mkubwa endapo zitatumika ipasavyo na hata yule ambaye ulikuwa umridhishi baada ya somo hili utaweza kumlidhisha ipasavyo kwa kumfanyia yafuatayo.

1.Mpe maneno matamu okimtomasa kwa ulimi sikio lake kimahaba zaidi

  1. Pitisha ulimi wako shingoni kifuani, tumboni, mapajani ni ikibidi zama chumvini walau kwa dakika kumi hivi

  2. Tumia ulimi wako ipasavyo kutomasa kitovu chake

  3. Mnyonye lita kadhaa za mate na huku ukitumia ulimi wako ipasavyo kuuchanganya ulimi wake

  4. Papasa matiti yake huku ukifinya finya chuchu zake na peleka mdomo wako huku ukinyonya kama mtoto

  5. Zungusha viganja vyako karibu kila kona ya mwili wake bila kusahau kubinya binya sehemu za mbavu hips na makalio yake

  6. Chezea ki**mi chake kwa vidole vyako au kwa ulimi ikiwezekana

  7. Mpe koni ya asili ajilambie kwa raha zake

  8. Muweke mkao mzuri wa kupokea zawadi yake

  9. Ingiza taratibu mti shimoni

Hata kama huna uwezo wa kumfkisha kileleni hiyo dozi itakusaidia vilivyo.Naamini kama utayafanyia kazi ipasavyo tatizo la kumridhisha mwanamke litapungua.. ZINGATIA yafuatayo;Maandalizi kwanza:Tumia muda wa kutosha mwanzoni, wanawake wanapenda kuingiliwa taratibu bila pupa. Mbusu, mfanyie masaji na mchezee kwa muda, huku ukim non’goneza maneno machafu masikioni, na tumia mda kumpapasa sehemu nyeti. Anahitaji kuloana hatakabla hujamvua nguo.Mtafutie Style anayoipenda:Najua wengi mnapenda ile ya kumweka juu huku ukimshika matiti yake na makalio. Itunze hiyo utaitumia badae, mwanzoni jaribu kutafuta style ambayo ina mchanganya na kumfurahisha yeye kwanza, kama vipi muulize kwanza

YAJUE MAMBO MANNE YA KUFANYA BAADA YA KUMALIZA KUFANYA TENDO LA NDOA!

Namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunijaalia siha njema na pia kwa kunipa mwangaza wa kuandika hiki ninachokusudia. Pia niwashukuru wapenzi wasomaji wa safu hii ambao tumekuwa tukiwasiliana na kushauriana hili na lile katika tasnia hii adhimu ya mapenzi. Nawakaribisha sana!

Labda kwa wale wasiofahamu niwaambie tu kwamba dhana ya mapenzi ni dhana yenye wigo mpana sana na ndiyo maana hutasikia hata siku moja tumepumzika kuizungumzia. 

Hata hivyo, tunachofanya siku zote ni kukumbushana kwa yale tunayoyafahamu na kushauriana kwa pale tunapohisi wengi hufanya makosa. Baada ya kusema hayo sasa nigeukie mada yangu ya leo ambayo kwa kiasi kikubwa inawahusu wale walio kwenye ndoa na kikubwa nazungumzia yale ambayo wawili waliotokea kupendana kwa dhati wanatakiwa kuyafanya mara baada ya kumaliza kufanya tendo la ndoa.

Nalazimika kuandika makala haya baada ya kubaini kuwa wengi wamekuwa wakifanya makosa na kujikuta wakishamaliza kufanya tendo hilo takatifu, kila mmoja anageukie kwake kisha kuuchapa usingizi.
Sisemi kwamba ni lazima kuyafanya haya nitakayoyaeleza leo ila yakifanywa huwa na manufaa yake na mara nyingi yanaboresha

uhusiano.

Kuoga pamoja
Mtakuwa ni watu wa ajabu kama mtamaliza kufanya tendo hilo kisha kila mmoja kulala na majasho yake. Wapo wasiojali katika hili na kuona kuoga au kutooga ni uamuzi wa mtu. Elewa linapokuja suala la usafi inashauriwa mkimaliza lazima muoge.

Wapo wanawake ambao wakishamaliza hukimbilia kuwaandalia maji wenza wao, wakishaoga ndipo nawo huenda kuoga. Hivi unaona ugumu gani kwenda kuoga na mwenza wako? Unaijua raha ya kuoga na huyo wako wa maisha? 
Wanaofanya hivyo wanajua raha yake na wewe ambaye hujawahi, anza leo. Mmemaliza mambo yenu, chukuaneni kimahaba, elekeeni bafuni kisha ogeshaneni kimahaba.
Baada ya hapo rudini chumbani, mkishajifuta maji pandeni kitandani mkiwa wapesi.

Kusifiana
Hakuna muda maalum uliotengwa kwa ajili ya wanandoa kusifiana. Hilo linaweza kufanyika wakati wowote lakini pale mnapomaliza kufanya tendo la ndoa ni lazima utakuwa na jambo zuri la kumuambia mwenza wako. 
Msifie kwa utundu na ubunifu wake. Msifie pia kwa mapenzi matamu anayokupa na ikibidi mpe sifa ya uzuri wake kiasi cha kukufanya kila unapokuwa karibu yake ujisikie amani ya kupitiliza.

Wapo ambao hawana kabisa kasumba ya kuwasifia wala kuwashukuru wenza wao kwa mazuri wanayofanyiwa. Yaani wao wanachukulia kila kitu poa tu bila kujali kwamba kusifiana kunanogesha mambo.

Kuelekezana
Kwenye kale kamchezo, wapo ambao wanakosea, kuelekezana na kukosoana kwa wapenzi ni jambo la kawaida. Yawezekana mwenza wako alifanya kitu ambacho hakikukufurahisha wakati mkiendelea na burudani yenu, mnapomaliza mwambie lakini kwa lugha ya kimahaba na ya upole. Naamini kwa kufanya hivyo atakuelewa na kubadilika.

Zungumzieni maisha
Huu ni wakati muafaka wa kujadili changamoto na malengo katika maisha yenu. Hapa akili zinakuwa zimetulia na kila mmoja anakuwa na mawazo chanya kwa mwenza wake. Jadilini mambo yenu, wekeni mikakati ya kuliboresha penzi na maisha yenu kwa ujumla.

Hayo ni baadhi ya mambo ambayo mnashauriwa kuyafanya pale mnapomaliza kufanya tendo la ndoa. Yapo mnayotakiwa kuyaepuka ili kutotibua furaha iliyopatikana. Hayo nitakuja kuyaeleza katika makala zinazokuja kupitia ukurasa huu. Niwatakie siku njema na tukutane wiki ijayo!

Design a site like this with WordPress.com
Get started