Sio kwamba hana hisia, Unasababisha asikutake.

Kwa mwanamke mapenzi ni hisia, hisia za yeye kukuwaza wewe, hisia ya kutaka kukuona kwa sababu hajakuona na anatamani kukuona, hisia ya yeye kuwa na wasiwasi kuhusu mpenzi wake, ukiondoa hicho kitu cha kumfanya akuwaze, basi muda si muda utaanza kumtoka kichwani.

Kuna sehemu kwenye maisha mwanaume kama mwanaume inabidi uwe mwanaume, ujitenganishe kati ya hisia unazojisikia, uweke utofauti kati ya kile kifurushi ulichonacho cha muanguko wa kihisia na ukweli uliopo, ufanye maamuzi sio kwa sababu ya upendo ila kwa sababu ya kutengeneza mazingira ya kiuhalisia kwa mapenzi ulionayo kwa msichana wako.

Kuachana na maamuzi ya presha ambayo moyo huyafanya kwa uwoga wa kumpoteza mpenzi wako, kwa kuhisi mapenzi kwa mpenzi wako yatapungua na kujikuta unafanya kitu ambacho badala ya kuyaweka mapenzi yako na yule umpendae pazuri, yanakufanya uonekane fala na mtu usiekuwa na maamuzi ya msingi na unayepaparuka kwa kuendeshwa nahisia kiasi cha kumfanya msichana wako haisi utofauti juu yako, kwake unakuona unafanya mambo kupitiliza, kiasi cha kuzidi mipaka unaanza kuboa.

Kwa historia na ufahamu, tokea uumbaji wa binadam, mabadiliko ya kibinadam hutokea sababu tu, binadam hubadilika kwa kuangalia mazingira aliopo, sio sababu tu anakurupuka kufanya kitu ili kutimiza mazingira yanavyoitaji, kwa mfano mwingine ua likisinyaa sio kufanya juhudi la kulifanya lisisinyae ila ni kufanya maamuzi ya kulibadilishia mazingira kama udongo na mbolea ili lichanue.

Hata mahusiano ni hivyo, mambo sikuzote lazima yabadilike, zile stori za kupendana sana ipo siku lazima zitaanza kufifia, na ule ukaribu wa kila dakika kutumiana sms ya “Nakumisi”, utabadilika utakuwa wa saa au kwa siku nzingine utakuwa mara moja kwa siku au kutokuwepo kabisa.

Utofauti huu ukianza na ukaanza kuhisia umbali kati yako na msichana wako unaanza kutokea, sio ndo ufikie maamuzi ya kukurupuka na kupagawa, badala ya kuonyesha upendo uliokua nao wa kawaida unaanza kuingiza shauku na kujipa mawazo na wasiwasi ya kuwa upendo wake umepungua, hivyo kwa asilimia kubwa sana kutokana na wasi wako unaanza kuingiza maamuzi ya kuongeza zaidi kiasi cha kumpenda bila wewe kujijua, unajikuta wewe ndo unaanza kupiga simu zaidi kuliko yeye, unaanza kumtumia meseji zaidi hata kabla hajajibu umesha tuma meseji tano.

Unayafanya mapenzi kuanza kuwa ya upande mmoja kwa kutompa pumzi ya kupumua msichana wako, na kusababisha zile hisia alizonazo kwako kuanza kupungua maana unafanya mambo mengi kwake, japo wewe unaona kawaida ila kwake unaanza kumboa maana hata ule mda wa kumfanya yeye akumisi anakua hana tena, ule muda wa kumfanya yeye akuone kimya na kuanza kukuwaza “Hivi anafanya nini sasa hivi, mbona yupo kimya?” anakuwa hana tena maana kila muda wewe unakuwa unammwagikia kwa meseji na simu mpaka anaanza kusahau hisia zake mwenyewe kwako.

Kwa mwanamke mapenzi ni hisia, hisia za yeye kukuwaza wewe, hisia ya kutaka kukuona kwa sababu hajakuona na anatamani kukuona, hisia ya yeye kuwa na wasiwasi kuhusu mpenzi wake, ukiondoa hicho kitu cha kumfanya akuwaze, basi muda si muda utaanza kumtoka kichwani.

Mazoea ya wewe kuwa ndo unamtumia meseji yeye tu kila saa na kila wakati, kutamfanya yeye asiwe anakutumia maana anajua na kutarajia baada ya dakika kadhaa lazima mlio wa sms yako atausikia, hivyo ile hali ya yeye kukuweka kipaumbele inakwisha kwake, na sio sababu anataka iwe hivyo bali wewe ndie unaesababisha, kama ujuavyo “demu akikufata fata na kukusonga kwa kila jambo, hata kama unampenda itafikia kipindi ataanza kukuboa na thamani yake kushuka”, basi hicho pia hutokea upande wa pili wa shilingi iwapo tukiwafatilia kupita kiasi na kutojiamini kwa kuwa wanaume dhabiti..

SABABU ZINAZOMFANYA MWANAMKE KUCHEPUKA

SABABU ZINAZOMFANYA MWANAMKE KUCHEPUKA 
Kuna sababu zinazomfanya mwanamke amsaliti mwenza wake,

Ni muhimu kutambua kuwa mwanamke ni kiumbe mwenye hisia kali na daima huhisi raha na amani pale anapooneshwa upendo, anapoona hapati upendo hufanya usaliti ili kuziba pengo la upungufu unaotokea katika maisha yake. Zifuatazo ni sababu kubwa ambazo zinamfanya amsaliti mumewe.

1. KUTOMPA KIPAUMBELE NA KUTOMTHAMINI
Tunatambua kuwa mke anafanya kazi kubwa sana ambayo lau kama ingekuwa ni kampuni basi pange hitajika watu zaidi ya 10 kuzifanya, mke humtunza
mume, watoto, nyumba na familia kwa ujumla.

Wakati fulani mume anaweza akampuuza na asimthamini, licha ya kujitoa kwa moyo wote kumtunza na kuihudumia familia,Hivyo, kutotoa kipaumble kwa mke ni kosa kubwa ambalo linaweza likamgharimu mume, mke akipata mtu anayempa kipaumbele na kumuonesha thamani hakika hatoacha kuitumia
hiyo fursa.

2. UKOSEFU WA MAHABA
Kwa asili mwanamke ana silika ya hitajio la kupendwa, mwanamke anahitaji kupendwa,Mwanamke anahitaji kupetiwa, anahitaji kudekezwa, anahitaji aambiwe maneno yenye ladha adimu mwanamke anataka hivyo, anataka aone kama anapendwa, anataka aone mtu anamwambia vile alivyo maridhawa amueleze hisia zake.

3. USALITI WA MUME
Miongoni mwa mambo ambayo huibadilisha roho ya mwanamke ni pale anapogundua kuwa mumewe kipenzi anamsaliti, hapo mwanamke anaweza akabadilika kabisa wapo wanao samehe, lakini wapo wanaolipiza kisasi.

4. KUTOJIAMINI
Mwanamke anahitaji mwanaume anayemfanya ajiamini iwapo mumewe hatekelezi jukumu hilo, akimpata mtu anayemfanya ajiamini, yanaweza kutokea mengine kabisa,hivyo, nasaha zangu kwa kaka zangu kuyaangalia kwa makini mambo haya

JINSI YA KUIFANYA MICHEZO YA KIKUBWA KWA MUDA MREFU BILA KUFIKA KILELENI WAKATI WA TENDO

Kwenye tendo la ndoa wanaume wengi inawachukua dakika 3 adi 7 kufikia mshindo lakini asilimia 87 ya wanawake hupendelea kufanya tendo la ndoa kwa muda mrefu zaidi.Hapo ndipo wanaume wengi huzalilika kwa wake/wenzi wao na kuonekana sio wanaume wa kweli kwa kushindwa kufanya mapenzi au tendo la ndoa kwa muda mrefu.(1). MAZOEZI YA MASHINE YAKO MWANAUME
Zoezi la kwanza : Wataalamu wa mambo ya mahusiano na mapenzi wamethibitisha zoezi la misuli ya uume liitwalo (PHYSIOTHERAPY) ambalo hurudisha uwezo wa nguvu za kiume za asili. Zoezi hili halina madhara kiafya
na unaweza kulifanya mahali popote au muda wowote ule.
WASILIANA nasi kwa namba 0658091718 tukuelekeze mazoezi haya kwa mwezi mmojaFAIDA YA ZOEZI HILI
(a). Husaidia mzunguko wa damu kuingia kwenye uume na kuufanya utanuke na kuwa mgumu zaidi.
(b). Misuli ya mashine yako yatakuwa mara na kuweza kuzuia manii na kukuwezesha kumridhisha mpenzi wako kila mnapofanya tendo la ndoa.
(c). Kuimarisha mashine na kuufanya isimame kwa mda mrefu bila kulegea.ZOEZI LA PILI
Inua juu na kushusha mashine yako,Uchezeshe juu chini, chini juu mara 5 hadi 10, uwe unaiminyaminya kidogo wakati huo huo unavuta hewa kwa pua na kuitoa kwa mdomo, fanya zoezi hili mara kwa mara na litakusaidia kuimarisha mashine yako.(2). UFANYAJI WA TENDO LA NDOA MARA KWA MARA
Ufanyaji wa tendo la ndoa mara kwa mara huimarisha moyo, ubongo na misuli ya mashine, wanasayansi wamethibitisha hili kuwa ufanyaji wa mara kwa mara husaidia uume kupata nguvu (Zipo tofauti kati ya uwezo wa mwanaume mwnye mke mmoja na mwenye
wake wengi).(3). PUNGUZA MSONGO WA MAWAZO (STRESS)
Katika vitu vinavyochangia kutoweza kumridhisha mwenzi wako basi ni Stress. Huwezi ukafanya vitu viwili kwa wakati mmoja hasa kutokana na tendo husika kuhusisha mwili na akili. Jitaidi kupunguza msongo wa
mawazo na kukutana na washauri wa masuala ya ushauri.(4). ACHA KUJICHUA(MASTURBATION)
Ukija kwenye vitabu vyote vya dini, kuanzia Qu’ran takatifu na biblia, vyote kwa pamoja vimekataza kufanya hili tendo na kutoa onyo.TIBA YA MAZOEZI NA KULA MATUNDA KWA MTU MWENYE TATIZO LA NGUVU ZA KIUME.
Tiba ya mazoezi ya misuli ya mashine yako na kula matunda ni tiba bora na ya uhakika kabisa kwa mtu aliye na tatizo hili. Tiba hii hufanya mambo yafuatayo:
A) Kuimarisha mishipa na misuli ya mashine ilio
legea na hivyo kuurejeshea uwezo wake wa asili
B) Hutibu tatizo la mashine kurudi ndani na kuwa kama wa mtoto mdogo
C) Humaliza tatizo la kusimama kwa mashine
ikiwa legelege
D) Hutibu na kuponya kabisa tatizo la kufika
kieleleni haraka.
E) Huongeza hamu ya kufanya tendo la ndoa hata baada ya raundi ya kwanza.

WEWE KAMA MWANAUME WA KWELI UNAPENDELEA ZAIDI MWANAMKE WA AINA GANI KATI YA HAWA?

Hebu niambieni bandugu mnapendelea mwanamke wa aina gani kati ya hawa unapotongoza?

1) Yule ambaye anakukatalia na kujibu kashfa na matusi huku akifoka unapomtongoza?2) Msumbufu na umempata baada ya kumfuatilia kwa muda mrefu bila kukata tamaa?3) Kigeugeu mara ndio au nimebadili mawazo au mpaka uje kwa wazazi?4) Anakubali lakini No sex mpaka tuoane?
5) Maharage ya Mbeya Ukigusa tu yupo tayari kwa lolote iwe kufanywa kimada wa pembeni, kuchezewa au kuolew

Introduce Yourself (Example Post)

This is an example post, originally published as part of Blogging University. Enroll in one of our ten programs, and start your blog right.

You’re going to publish a post today. Don’t worry about how your blog looks. Don’t worry if you haven’t given it a name yet, or you’re feeling overwhelmed. Just click the “New Post” button, and tell us why you’re here.

Why do this?

  • Because it gives new readers context. What are you about? Why should they read your blog?
  • Because it will help you focus you own ideas about your blog and what you’d like to do with it.

The post can be short or long, a personal intro to your life or a bloggy mission statement, a manifesto for the future or a simple outline of your the types of things you hope to publish.

To help you get started, here are a few questions:

  • Why are you blogging publicly, rather than keeping a personal journal?
  • What topics do you think you’ll write about?
  • Who would you love to connect with via your blog?
  • If you blog successfully throughout the next year, what would you hope to have accomplished?

You’re not locked into any of this; one of the wonderful things about blogs is how they constantly evolve as we learn, grow, and interact with one another — but it’s good to know where and why you started, and articulating your goals may just give you a few other post ideas.

Can’t think how to get started? Just write the first thing that pops into your head. Anne Lamott, author of a book on writing we love, says that you need to give yourself permission to write a “crappy first draft”. Anne makes a great point — just start writing, and worry about editing it later.

When you’re ready to publish, give your post three to five tags that describe your blog’s focus — writing, photography, fiction, parenting, food, cars, movies, sports, whatever. These tags will help others who care about your topics find you in the Reader. Make sure one of the tags is “zerotohero,” so other new bloggers can find you, too.

Design a site like this with WordPress.com
Get started