Jinsi Ya Kuishi Katika Mahusiano Marefu Na Mpenzi Wako

Kuwa katika relationship ni ngumu na pia ni rahisi. Kuna watu ambao hujaribu kuingia katika relationship lakini baada ya siku mbili tatu unaona wamekosana na mwisho kuachana. Pia utapata wengine wanakuwa katika relationship miaka mitano hata kumi na zaidi.

Hapo unaachwa na maswali yasiyokuwa na majibu ukijiuliza ni mbinu gani inayowafanya wapenzi hao wawili kudumu katika mahusiano marefu kama hayo.

Well, kama wewe umeingia katika mahusiano na unataka yawe marefu basi kuna sheria na masharti ambayo unapaswa kufuata ili kuhakikisha mahusiono yako yatakuwa marefu. Baadhi ya mambo ya kufuata na kuzingatia ni kama yafuatayo:

1. Kuwa na nafasi binafsi. Katika mahusiano, yawe mapya ama ambayo yameshamiri, lazima uwe na nafasi yako binafsi. Hii inatumika kwa yeyote ambaye hayuko single. Kama mnaishi pamoja basi unahitaji kuwa na nafasi ya kuwa kivyako. Hakikisha kuwa unameet na marafiki zako, nenda kafanye mazoezi, soma vitabu ili mradi tu unakuwa na uhuru wa kufanya mambo kivyako.

2. Chagua vitu vya kupigania. Kama mmekuwa mkiishi pamoja na mpenzi wako, kufikia sasa najua kuna mambo mengi ambayo unayajua kumhusu mpenzi wako unayoweza kuyatumia dhidi yake, jambo ambalo si zuri.

So badala ya kugombana kila wakati kuhusu mambo madogo madogo, ni bora kurudi nyuma na kufikiria ni mambo gani muhimu ambayo yanahitaji kupiganiwa.

3. Mazungumzo yaendelee kunawiri. Wengi katika mahusiano huchukulia kuwa wamekuwa katika mahusiano muda mrefu na wapenzi wao hivyo hawaoni umuhimu wowote wa kuwasiliana na wapenzi wao. Unachohitajika nikuendeleza kiwango cha mawasiliano na mpenzi wako muda wote. Usibahatishe hata mara moja.

4. Tokeni deti. Kutoka deti kuna umuhimu kwa kuwa mnapata kukumbana na mambo mapya. Mpenzi wako atafurahia kwa kuwa unaleta misisimiko mipya katika maisha yenu. Hivyo kumtoa mpenzi wako deti kuangalia sinema, mkahawa ama kwenda katika sehemu za kujipumbaza kunafungua maisha mapya kati yenu.
5. Usitarajie chochote. Ukimsapraize mpenzi wako na ua ama zawadi yoyote hupaswi kutarajia chochote kutoka kwake. Kuwa katika mahusiano hakumaanishi kuwa ukitoa unapaswa kunufaika, la. Wewe unapaswa kutoa ili umfurahishe mpenzi wako. Inaonyesha kuwa unamkubali mpenzi wako, na watafurahi katika mahusiano yenu.
6. Wewe si mtu wa kusuluhisha matatizo. Hapa ndipo wengi hukosea. Wakati umekuwa na mpenzi wako kwa muda mrefu, huwa inafikia mahali flani tunayachukulia matatizo ya wapenzi wetu kama ni yetu. Ni kweli kuwa matatizo yao kwa njia moja au nyingine yanaweza kutuathiri, lakini ukweli ni kuwa hupaswi kumsaidia. Mwache apigane na matatizo yake hadi mwisho. Wewe unachotakiwa kufanya ni kumpa sapoti tu. Ukiwa mtu wa kumtatulia matatizo yake basi unapoteza kile cheo cha kuwa mpenzi wake.
7. Gombana naye kijanja. Kugombana na mpenzi wako kwa kawaida huwa ni njia mnayofanya ili kutafuta suluhisho. Lakini wakati unapogombana naye lazima uwe mjanja. Tabia ya kumpigia kelele na kumuita majina machafu hakufai kabisa. Ukiwa mkweli na ukiongea na mpenzi wako vizuri kutatatua matatizo yenu haraka sana.
8. Heshimu mipaka yenu. Kina mtu huwa ana mipaka yake ikija katika mahusiano hivyo hakikisha unaijua mipaka ya mpenzi wako na hupaswi kuivuka. Kama utamtania basi jua kile kiwango ambacho kinahitajika na wala usipitishe.
9. Kuwa na malengo yako. Hili ni muhimu. Uko katika mahusiano lakini pia wakati huo huo wewe ni mtu binafsi. Kama unataka kuwa mtu bora basi ni lazima uwe na malengo yako katika maisha. Kufanya kazi ili utimize ndoto zako kutakufanya kuwa mtu mzuri katika mahusiano.
10. Mpenzi wako atabadilika. Ama labda anaweza asibadilike. Lakini jua na mapema ili isikuwe kama saprize kwako. Watu hubadilika na kuwa wakubwa. Hivyo ni jambo huwezi kuliepuka. Unachohitajika kufanya ni kuhakikisha kuwa unamsaport mpenzi wako wakati wa mabadiliko ya maisha ambayo atayapitia.
11. Mapenzi yatabadilika. Unaweza kukumbuka mara ya kwanza venye mapenzi yalipokuwa yamenoga. Mapenzi hubadilika. Lakini haimaanishi kuwa upendo wenu umepungua, la. Huwa ni hatua ambayo lazima uipitie katika mahusiano. Kuna wakati ambao mapenzi yanashika na wakati ambapo yanapungua pia.
12. Chekeni pamoja. Hili ni jambo muhimu katika mahusiano. Unahitajika kucheka na mpenzi wako. Kucheka pamoja huwa tamu zaidi kuliko tendo la ndoa. Kumbushaneni yale mambo ambayo mmepitia na mcheke pamoja.
13. Muamini mpenzi wako. Kufikia mwisho wa siku hakuna kitu muhimu katika mahusiano marefu kuliko kumuamini mpenzi wako. Kama huwezi kumuamini mpenzi wako basi huwezi kutumia haya mawaidha yetu hapa Nesi Mapenzi vile inavyohitajika. Kama unataka kujenga uaminifu na mpenzi wako basi lazima uwe muwazi, mkweli na mdhaifu mbele zao.

Mambo 39 Yanayovunja Ndoa

Mambo 39 Yanayovunja Mahusiano Ya Kimapenzi Au Ndoa1. Kutokuwa na mawasiliano ya karibu na mwenzi wako.
2. Kutojali maumivu ya mwenzi wako.
3. Ubishi usiokuwa na maana.
4. Kupenda kujihesabia haki.
5. Kutokubali makosa.
6. Kutokuwa na roho ya msamaha.
7. Kutokuwa muwazi kwa mwenzi wako.
8. Usaliti wa mapenzi.
9. Kuigiza kupenda.
10. Kutomheshimu mwenzi wako.
11. Kuwa mjuaji kila kitu unajifanya unajua.
12. Kutokutambua uthamani wa mwenzi wako katika maisha yako.
13. Kuwa na jeuri.
14. Kutokuwa na kifua cha kuficha mambo ya nyumbani. [chumbani]
15. Kuto kujali watu wa nyumbani kwako [ndugu,watoto n.k]
16. Kujiamulia kufanya vitu bila ushauri wa pamoja.
17. Kutokuwa na faraja na mwenzi wako [kutokujua jinsi ya kumfariji mwenzi wako]
18. Kutomridhisha mwenzi wako kimapenzi.
19. Kuwa na amri kwa mwenzi wako hata kwa mambo yasiyokuwa na maana au malengo katika                maisha yenu.
20. Ugomvi wa muda mrefu usiokuwa na suluhu.
21. Kuwa na ahadi za uongo.
22. Kumdhalilisha mwenzi wako mbele za watu.
23. Kupenda starehe kuliko kuujenga uhusiano wa kudumu [love]
24. Uchafu kutojipenda na kupenda mazingira yako.
25. Maudhi ya mara kwa mara.
26. Kutoonyesha hisia kali hisia kali za mapenzi kwa mwenzi wako.
27. Kutokuwa karibu na mpenzi wako mara anapokuwa katika msongo wa mawazo.
28. Kutokuwa mbunifu wa maisha mapenzi.
29. Kutokuwa na msimamo katika maamuzi yako [kutoendeshwa na watu]
30. Kutokuwa na muda na mwenzi wako.
31. Kutokuwa na shukrani.
32. Kutokujua gharama za upendo.
33. Kuwa na wivu wa kijinga.
34. Kuwa mbinafsi.
35. Kujifanya kuwa [busy] na kushindwa kumtunza na kumjali mwenzi wako
36. Kutokuwa na imani juu ya mwenzi wako.
37. Kutokubaliana na hali halisi ya maisha yenu.
38. Kutokukubali kujifunza.
39. Kutokutambua maana ya mapenzi na umuhimu wake.

Tabia hizo ndizo zinasababisha mahusiano ya watu wengi kuvunjika, hata ndoa kuharibika maana huyu mtu unayemfanyia hivi ipo siku atachoka, maana hana moyo wa jiwe bali ana moyo wa nyama. Kuvumilia nako kunamwisho wake, hizo tabia ndizo zimechangia maumivu, vidonda vya mapenzi, vifo vya watu wengi na kuwafanya watu wengine kuchukia kupenda na kupendwa katika maisha yao

HIZI NDIO MBINU ZA KUMUWEZA MWANAMKE ALIYE MGUMU KUTONGOZEKA

wakati mwingine, vitu huweza kumaanisha zaidi ya tuwezavyo kutamka kwa vinywa vyetu MWANAMUME yeyote anapotaka kumtongoza mwanamke hulazimika kwanza kumwonesha – japo kwa matendo – kuwa anampenda, au kwamba amevutiwa naye, hata kama ni kimwili tu. Hatua hii ndiyo yenye changamoto kubwa zaidi kwa mwanamume, maana ndipo wakati anapokuwa anajaribu kufikisha ujumbe kwa mlengwa huku yeye mwenyewe akijihakikishia kuwa haharibu mambo.

Mwanamume anapokuwa anajaribu kufikisha ujumbe wa “nakupenda” kwa mwanamke, mapigoya moyo yanaweza kumwenda mbio, hususan kama mwanamke mwenyewe anaonekana kuwa “maji marefu”. Hata hivyo, ni kazi ambayo kila mwanamume hulazimika kuifanya.Kazi  hii ya kufikisha ujumbe kwa mara ya kwanzahuhitaji umakini. Bahati njema, shughuli yenyewe ina sayansi yake, ambayo ina misingi katika mahusiano ya kijamii. Ukifahamu sayansi hii inaweza kuwa rahisi zaidi kwako kufikisha ujumbe kwa mtarajiwa wako – na kufanikiwa.


1. KUKUTANISHA MACHO NI MUHIMU

Kawaida, mambo yote huanzia – na pengine kuishia – katika kukutanisha macho. Mwanamke atakapobaini kuwa hujajaribu kumwangalia japo kwa sekunde mbili mfululizo, ataondoa mawazo na hisia zake kwako hata kabla hujasema neno lolote.Macho ndizo zana muhimu zaidi mtu anapokuwa anataka kufikisha ujumbe kwa mwenzake kuwa anampenda, au amevutiwa naye. Hii ni kwa sababu macho ndiyo vipitisho na visambazaji muhimu vya ishara baina ya mtu na mtu, hata kama si katika masuala yanayohusiana na mapenzi.Kukutanisha macho na mtu wa jinsia nyingine unayevutiwa naye au anayevutiwa nawe ni jambolenye nguvu za ajabu katika kuanzisha uhusiano.

Kwa sababu hiyo, hata unapofanikiwa kumtazama moja kwa moja machoni mwenzako hutarajiwi kutumia zaidi ya sekunde mbili, kutokana na nguvu iliyomo katika mawasiliano haya.Katika hili, wanaume mahiri hufahamu ni wakati gani wa kumwangalia mwanamke na ni wakati gani wa kutomwangalia. Mara nyingi, ni vizuri zaidi kumwangalia zaidi mwanamke wakati anapozungumza, huku ukikwepesha macho kidogo pale unapozungumza wewe.


2. UNATAKIWA UWIANO, UKWELI KATIKA MAZUNGUMZO

Ni jambo lisilopingika kwamba wanaume na wanawake wanatofautiana katika maana ya dhana ya mawasiliano. Hata hivyo, bado inawezekana kuendesha mazungumzo shirikishi na yenye kuburudisha ukiwa na mwanamke, bila kuonekana wa bandia.

Watu wa jinsia zote mbili wanaweza kutuhumiwa kwa kupindisha ukweli na kujaribu kuficha tabia na mienendo yao wanapozungumza na wapenzi watarajiwa. Naam, katika mazungumzo ya kwanza baina ya wapenzi au wachumba watarajiwa uwongo – ukiwemo ule usiotarajiwa – huwa mwingi.Katika mazungumzo ya kwanza ni kawaida kwa mwanamume kubadilisha matendo yake na mtindo wake wa kuzungumza kwa maslahi ya kumpata mwanamke, jambo ambalo huifanya hulka yake ya wakati huo kuwa ya bandia. Lakini pia wasichana/wanawake husema “Nakupenda” bila kumaanisha, pengine kwa ajili ya kumfurahisha mwanamume, au kusikia mwanamume  atasemaje.

Jambo la muhimu katika mazungumzo ya awali baina ya mwanamume na mwanamke ni kuepukamichezo ya kudanganyana na kukwepana, badalayake, yafanye mazungumzo kuwa rahisi na halisi.Hapo ndipo mwanamume hujitofautisha na wanaume wengine na kupendwa kwa sababu hiyo.


3. USIPUUZE NGUVU YA LUGHA YA MATENDO

Wakati mtu anapokuwa akijaribu kuwasilisha ujumbe wa “Nakupenda” kwa mwenzake, lugha ya matendo yake huzungumza kwa sauti kubwa zaidi kuliko maneno yake. Hili limeweza kuthibitishwa kwa nyakati mbalimbali kutokana na tafiti mbalimbali.

Katika muktadha wa kujaribu kufikisha ujumbe wa “Nakupenda” kwa mlengwa, lugha ya matendo ndiyo yenye nafasi kubwa zaidi. Kwa hakika, asilimia kubwa ya ujumbe unaowasilishwa kwa mlengwa huwasilishwa kwanjia ya matendo ya mwili na si maneno.

Ni asilimia ndogo tu ya ujumbe inayowasilishwa kwa maneno – na wakati mwingine maneno huweza kuleta matatizo maana katika kuzungumza kuna kujikwaa kwingi, kwani ulimi hauna   mfupa.Iliuweze kufanikiwa katika kueleza nia yako kwa mwanamke, lazima ujue jinsi ya kutumia lugha yamatendo yako. Na pengine hutatumia nguvu, maana watu husema penzi kikohozi – kama unalo litaonekana tu machoni pa mlengwa.Ukitafakari kwa makini utabaini kuwa huhitaji kusema sana ndipo uweze kupendwa, kwani maneno huchangia asilimia kidogo tu. La muhimuni kuhakikisha kuwa mlengwa wako anakusoma na kukuelewa vizuri kwa kuangalia matendo ya mwili wako.


4. ACHA ASILI ICHUKUE MKONDO WAKE

Katika nadharia mbalimbali za kijamii na kidini ni jambo la kawaida kusikia kuwa binadamu wote nisawa. Hata hivyo, katika muktadha wa kimapenzi,kila mtu mmoja mmoja anafahamu kabisa kuwa si kila mwanamume/mwanamke ni sawa na mwenzake.

Methali yenye asili ya kimagharibi husema “Uzuri wa mtu uko katika macho ya yule anayemtazama.” Hii ina maana pia kwamba, kila mtu anavyo vigezo vyake vya uzuri kwa kuzingatia maumbile yake. Pia jamii zinavyo vigezo vya uzuri, lakini hutangulia kwanza vigezo binafsi.Unapokuwa umekaa na mwanamke ambaye anakuvutia kwa mwonekano wake, sauti yake na kadhalika, si rahisi sana kujizuia kuonesha kuwa anakuvutia.

Hii ni kwa sababu si wewe, bali ni nafsi yako inayokusukuma. Na yeye mwenyewe atakusoma kwa kuangalia lugha ya matendo yako na kukwelewa, utakaobaki ni uamuzi wake tu.Katika jamii kuna vigezo kuhusiana na kiuno, miguu, maziwa, makalio na kadhalika. Wengi wa wanajamii huvizingatia na kuongeza vyao. Huu niukweli wa kibiolojia ambao hauwezi kupingika. Mwanamke mwenye vigezo vinavyokubalika zaidikatika jamii yake atawavutia wanaume wengi zaidi. Hapa mwanamume hahitaji kutumia nguvu nyingi – asili ya maumbile itamsaidia humtambulisha mwanamke kuwa amempenda.


5. TUMIA CHANGAMOTO YA WALAKINI

Mara nyingi changamoto kubwa katika suala zima la mtu kubainisha nia yake kwa mwanamke hutokana na ukweli kwamba katika mchakato mzima huwa kuna wasiwasi na walakini. Kwa hakika, jambo hili ni la “pengine” au “labda” kutokana na kutoweza kufahamu kirahisi mwenzako anawaza nini.Unapoonesha nia yako ya kumpenda mwanamke,ni kama unaamsha hisia zake kwako na ni kama vile unamuuliza: “Ungependa kuwa nami?”

Kwa njia hii ni kama utakuwa unafungua mlango wa kupata jibu la “ndiyo” au “hapana” kwani huyo unayemwonesha kuwa unampenda na yeye ana matakwa yake na mapendeleo yake.Kimsingi hakuna kanuni wala sheria rasmi unazopaswa kuzingatia wakati wote. La muhimu ni wewe mwenyewe kujiachia na kuingia katika maji usiyofahamu kina wala mwisho wake, bali wewe nenda na mkondo wake huku ukitarajia kuwa lolote linaweza kutokea. Hiyo ndiyo sehemuya raha yake.


6. DHIBITI HISIA, MIHEMKO

Tofauti na mwanamke, mwanamume anayejaribukuonesha nia yake hatakiwi kujiweka katika mkaowa mwanamitindo. Wanawake ndio hufahamika zaidi kwa mikao yao “ya kula” wanapokuwa katika mawindo (japo wengi hubisha), lakini si mwanamume.

Wanawake ndio hutarajiwa kujieleza zaidi kwa njia ya matendo na mikao, lakini wanaume hutarajiwa kudhibiti hisia na mihemko yao .

Tofauti katika lugha ya matendo baina ya watu wa jinsia mbili hutokana na maumbile ya kujenetiki pamoja na utamaduni wa jamii husika. Yote yakizingatiwa, matakwa ya mwanamke ndiyo hupewa kipaumbele zaidi. Kwa ufupi, matendo ya kutongoza ya mwanamke huwa wazi zaidi, lakini mwanamume hulazimika kuficha hisia na mihemko yake.Wajibu wa kufikisha ujumbe kwa mtu wa jinsia tofauti ni wa kila mmoja – mwanamume na mwanamke.

Hata hivyo, wanaume ndio wenye jukumu kubwa zaidi la kuanzisha, kwa kuzingatia utamaduni wa jamii nyingi. Unaweza ukaona ugumu, lakini ipo sayansi itakayokusaidia. Kama una wasiwasi na uwezo wako, ni vizuri kuyazingatia yote yaliyobainishwa hapa.

JE UNAHISI MPENZI WAKO AMEPOTEZA MSISIMKO KWAKO?FANYA HAYA KUNUSURU HALI HIYO

MSISIMKO ni jambo la msingi kwa walio kwenye uhusiano wa mapenzi.

Ndiyo muongozo wa kihisia kwa wapenzi. Kwa maneno mengine kama mmoja akipoteza msisimko kwa mwenzake ni hatari kubwa sana inayoweza kugharimu uhusiano.Rafiki zangu, katika mapenzi ni jambo la kawaida kabisa kugombana na kufikia hatua ya kutengana kwa muda.

Naomba hapa niweke wazi kitu kimoja, nazungumzia zaidi kwenye uhusiano wa mapenzi, kabla ya ndoa. Nazungumza na wachumba zaidi.Inawezekana kukawa kumetokeakutokuelewana baina yenu, mkaachana.

Ukiwa nje ya uhusiano wako, ukagundua kwamba chanzo cha matatizo yote ni wewe.Inategemea umemfanyia nini? Labda umemtukana sana, umeharibu samani zake nk, lakini mwisho wa siku unagundua kwamba wewe ni chanzo cha matatizo hayo ya kutengana.

Kama kweli mna mapenzi ya dhati, mnaweza kukutana na kujadiliana pamoja, halafu mwisho wasiku mkajikuta mmeamua kurudiana.Kinachowarudisha pamoja ni mapenziya dhati pekee na si kitu kingine chochote, lakini pamoja na penzi hilo, unatakiwa kufahamu kwamba mwenzako atakuwa na majeraha ndani ya moyo wake, atakuwa na vidonda ambavyo vinapaswa kuwekewa dawa ili apone kabisa.

Mwenye wajibu wa kumwekea dawa ni wewe mwenyewe! Maneno yako makali, tabia zako mbaya, vituko vya kila aina na hasara ulizomsababishia, zinaweza kuwa sababu ya kumjeruhi moyo wake.

Majeraha pia yanaweza kusababishwa na jinsi usivyo msikivu kwake, wakati akiwa anaamini kwamba wewe ndiye mpenzi wa maisha yake   yote.Sawa  , ameamua kurudiana na wewe, kwa sababu anakupenda lakini bado anahisi kama utaendelea na matatizo yako ya zamani. Hakuamini. Anaona anaweza kuwa anatwanga maji kwenye kinu, ambapo ukweli ni kwamba mwishowe maji yote yatamwagika chini.


UTAMTAMBUAJE?Yapo mengi, lakini kwa uchache sana,atapunguza mahaba na wewe. Ninaposema mahaba sina maana ya ngono, namaanisha mambo ya kimapenzi.

Anakuwa mgumu kupokeasimu yako, hata akipokea hazungumzimaneno ya kimahaba kama zamani.Ukimwambia: “I love you dear,” yeye anaweza kukujibu kwa kifupi: “Ahsante,” tofauti na zamani ambapo alikuwa akikujibu kwa mahaba mazito:“

I love you too my sweetie.” Meseji zako hajibu, hata kama akijibu, atakujibu kwa mkato sana. Anaonekana hana msisimko na wewe.atakuwa mzito hata kuachia tabasamu akizunguza na wewe, hakuamini sana. Hakufuatilii sana, mara nyingi anaonekana mwenye mawazo mengi akiwa na wewe.

Hafurahii anapokuwa na wewe na hata uchangamfu wake unapungua.Kikubwa hapo ni kwamba hana imani kama ni kweli umeamua kwa dhati kubadilika na kurudi kwake mzima-mzima! Moyo wake unaendelea kukiri ndani kwamba anakupenda, lakini anashindana na imani kwamba yawezekana usibadilike, anachohofia yeye ni wewe kurudia makosa yale yale! Kama ukiona dalili zote hizo ujuewazi kwamba bado ana wasiwasi na wewe, moyo wake umejeruhiwa.

Kufahamu ni hatua ya kwanza, nzuri na muhimu sana kwako, kwani angalau sasa utakuwa unajua upo kwenye uhusiano na mtu wa aina gani, huku ukiwa makini katika kutafuta suluhisho la tatizo lenyewe.

BAINISHA TATIZO

Kitu cha kwanza kabisa unachotakiwakufanya ni kuonesha kwamba umeshafahamu kwamba hakuamini na hana msisimko tena na wewe. Unatakiwa umfanye ajue kwamba unatambua kinachoendelea, lakini unakiri kwamba ni haki yake kufanya hivyo, maana ni kweli kwamba mkosaji ulikuwa ni wewe.

USIMLAUMU

Katika makosa makubwa ambayo hutakiwi kufanya ni pamoja na kumlaumu! Hutakiwi kabisa kumlaumu kwamba anakosea kufanyaanavyofanya.

Lakini kwa vitendo, unatakiwa kuanza kumbadilisha taratibu huku ukionesha kumhurumia kwa hali aliyokuwa nayo.Si tatizo kubwa sana marafiki, lakini linahitaji subira wakati ukilishughulikia.

UFAFANUZI

Yapo maudhi madogo madogo ambayo mtu anaweza kuwa hayapendi, lakini kwa sababu yanajirudia mara kwa mara yanazidisha chuki na hatimaye kupoteza msisiko kabisa.Kuna maudhi/makosa makubwa ambayo mwenzi anaweza kuoenekana amesamehe lakini kumbebado yanafukuta kwenye moyo wake.

Haya mambo yapo marafiki zangu. Ni vyema kufuatilia ili kufahamu tatizo   lilipo.Yote kwa yote, hapa tunadili zaidi na suala la kupoteza msisimko ambalo sasa, kwa kuwa unaupenda uhusiano wako ni kazi yako kuhakikisha unamrudisha mwenzi wako katika haliyake ya kawaida. Wiki iliyopita nilishauri kuacha kabisa kulaumu badala yake kushughulikia tatizo husika.Sasa twende tukaone zaidi juu ya mada hii ambayo naamini itawatoa wengi gizani.

ULIMI WAKO VIPI?

Kuna watu wengine wanashindwa kuelewa kwamba kauli chafu pekee inatosha kabisa kumuudhi mpenzi na akapoteza hisia za mapenzi kwa mwenzake.

Majibu ya hovyo, kauli nyepesi ambazo hazina uungwana na heshima zinatosha kabisa kumkimbiza mpenzi wako.Ufanye ulimi wako uwe mtamu, zungumza na mwenzako kwa mapenzi motomoto. Achana na kauli moto au zile zilizokosa mahaba.

Jenga mapenzi kwa mwenzako, achana na mazoea.Maana kuna wengine, kwa sababu ameshazaa, basi utasikia mama naniii, baba Joseph n.k.

Achana na majina hayo, mwite kwa majina ya kimapenzi au jina lake halisi, utafaulu kudumisha hisia za mpenzi wako.

DHARAU NI MBAYA

Hata kama mpenzi wako si mwerevu katika maeneo fulani, usimwoneshe dharau. Inawezekana ana udhaifu fulani katika mambo yake, hupaswi kumuonesha kwamba yeye si lolote. Jambo kubwa kwa mwenzi wa aina hiyo ni kumfundisha.Yes! Kumpa ujuzi, maana umeshagundua kwamba ana udhaifu katika eneo fulani, mwoneshe njia.

Mtu yeyote akigundua kwamba anadharauliwa, haonekani kama ana mchango katika jambo fulani, huchukia.Ataanza kwanza kujichukia mwenyewe, halafu mwisho wake atamchukia mtu ambaye anamshusha thamani kwa kumdharauhalafu hatma yake, atapoteza msisimko kwa mtu huyo. Akimuona tu, moyoni anajisikia huzuni. Hawezi kuwa na furaha kwa mtu ambaye anamdharau.J

ENGA TABIA YA KUMSIFIA

Hakuna mtu ambaye hapendi kuonekana anaweza. Akijua anaonekana anaweza, hujiamini sana.Huu ndiyo ukweli ambao hakuna anayeweza kuukimbia. Hata wewe bilashaka unapenda kusifiwa kwamba unaweza kitu fulani.Mmwagie sifa mpenzi wako, akivaa vizuri mwambie, akitengeneza nywele vizuri msifie…kifupi mfanye ajione kwamba yeye ni muhimu kwako. Atakapogundua kwamba yeye ni muhimu kwako, utakuwa umefanikiwakwa kiasi kikubwa sana kuteka hisia zake.

FARAGHA SASA

Namna ya kuwasiliana faragha pia husababisha kupoteza au kuamsha hisia za mpenzi wako. Utakuta mwingine anamwambia mpenzi wake bila woga, kwamba hawezi mapenzi, hilo ni kosa kubwa sana kwa   wapenzi.

Ni sawa na kumtukana. Katika hali ya kawaida, ukimwambia mpenzi wako hawezi mapenzi, ni dhahiri utakuwa umekata moja kwa moja hisia zake. Hata mkikutana siku nyingine atakuwa hajiamini, atajiona anakwenda kukutana na mtu ambaye hawezi kumridhisha.Kuliko kumsema, ni bora kumfundisha.

OMBA MSAMAHA

Kuomba msamaha ni kiunganishi kikubwa cha mapenzi. Hapa sitazungumza sana, maana naamini kila mmoja anafahamu maana ya msamaha na wakati muafaka wa kuutumia. Usibaki na vitu moyoni, kama unajua kweli umemkosea mwenzako, haraka sana mwombe msamaha na muendelee na mambo mengine.Kubaki na vinyongo husababisha hasira ya kudumu, ambayo mwisho wake hutafuna msisiko na hivyo kukosa furaha katika uhusiano wenu.Haya ni mambo ya msingi kabisa kwako kuyazingatia ili uweze kuwa bora na kuhakikisha msisimko kwa mwenzi wako unakuwa wa kudumu. Ndiyo nguzo ya penzi.

HIZI NDIZO SHIDA TATU KUBWA ZA MWANAMKE MWENYE MAKALIO MAKUBWA AWAPO KWENYE KITANDA CHA 6X6….SOMA HAPA

Imezuka tabia ya wanaume wengi kupenda sana wanawake wenye makalio makubwa,siku hadi siku tabia hii inazidi kuwa sugu kwani kwa sasa mwanamke mwenye makalio makubwa yaliyojazia sawasawa huonekana anasoko kuliko wale wenye makalio ya wastani.

Licha ya kuwa watu wengi huzimika na wanawake wenye makalio makubwa lakini ukweli upo tofauti kabisa kwani wanawake hawa wamekuwa na kero kadhaa ambazo ni sugu sana,zifuatazo ni kero zao kuu tatu.*Mwanaume huwa hapati mwanya au nafasi nzuri ya

kumwingizia uume na ukafika kunako kwani mara nyingi ukubwa wa makalio huzuia uume kusakua uke kisawasawa hivyo badala ya kupata burudani unakesha ukihangaika kupekenyua tu makalio na kujikuta umemwaga hata bila ya kula mzigo inavyotakiwa.

KAMA MPENZI WAKO KAKASIRIKA MFANYIE HAYA

MPUNGUZE MHEMKO
Hasira hujaza kifua, huathiri mzunguko wa damu na ufahamu. Mtu aliyekasirika huwa vigumu kwake kusikiliza au kutazama mambo kwa jicho la tatu. Mwenye hasira huwa hafikirii matokea yajayo badala yake hutazama zaidi tukio na jinsi ya kupata ushindi iwe kwa maneno au kwa mapambano.


Katika hali ya namna hiyo, mtu mwingine akija na busara za kutaka kumgeuza haraka haraka hawezi kumuelewa. Muhimu hapo ni kuacha kumwadama, kujibizana naye, kumshawishi asikilize badala yake mpe nafasi ya kusema atakavyo, abwate ajuavyo huku wewe ukimuitikia na kumkubalia lawama zake. “Basi mpenzi mwenye makosa ni mimi.” Kauli za aina hii zitampunguza hasira kwani atajiona msindi.


MSOME SAIKOLOJIA YAKE
Kwa kuwa unamfahamu mpenzi wako kwa kina itakuwa rahisi kwako kumtambua kuwa amepunguza hasira na kurudi katika hali yake ya kawaida. Ukisha fahamu hilo chukua jukumu la kumsoma kisaikojia ili kujua kama yuko kwenye hali nzuri ya kusikiliza yale uliyotaka kumwambia wakati alipokuwa na hasira.

Zoezi hili linaweza kuchukua saa kadhaa na wakati mwingine hata siku mbili. Lengo ni nini? Ni kupata matokeo sahihi ya kuondoa chuki za mwenza wako na kumfundisha madhara ya kukasirika kwenye uhusiano wenu wa kimapenzi. “J, nakupenda sana, lakini juzi uliniumiza, uliniambia mimi malaya kwa kosa ambalo sikufanya?” Bila shaka muda huo atakusikiliza zaidi kuliko ungebishana naye alipokuwa na hasira.


MRUHUSU AKUJIBU
Pamoja na kumsoma kisaikojia na kumwambia kinagaubaga makosa yake, usimzuie kujitetea, mpe nafasi ya kuzungumzia kilichomkasirisha. “Unaona bado unanitukana, sasa naamini siku ile ulikuwa umedhamilia.” Usisiseme hivyo, mwache ajibu hoja hata kama atakuwa anakukandamiza na kuzidi kujijengea ushindi. Mvumilie aoshe ubongo wake.


EPUKA MARUMBANO
Kama nilivyosema kwenye hapo juu, wapenzi wengine huwa wagumu kuelewa, ni watu wa kuficha udhaifu wao na kutopenda kuonekana wamekosea. Watu wa namna hii unapowarejeshea mazungumzo wanaweza kujikuta wanahamaki tena.
“Kwa hiyo ulikuwa unasemaje…nilifanya ndiyo,… wewe unaamuaje?” Mkifika kwenye alama hiyo usikubali kurumabana naye mwache aseme halafu wewe ingia kwenye hatua ya tano.


MUOMBE MSAMAHA
Hata kama atakuwa yeye ndiye mwenye makosa na amekataa kukiri, usijali, chukua jukumu la kumuomba msamaha na kueleza tena nia yako ya kumazungumzo ilikuwa ni kuelewana si kugombana. Kumbuka hata kama amekiri kosa, bado unatakiwa kumuomba radhi kwa kurejea yaliyopita. “Mpenzi inawezekana nikawa nimekuudhi kwa niliyosema, nakuomba sana tusameheane

Mambo 8 Yanayomfanya Mtu Kupendwa na Watu

Kila mtu anahitaji kupendwa kama mtu,mzazi,mwenza,mtoto au mfanyakazi.

Inaleta raha na faraja kubwa moyoni. Lakini wakati mwingine si rahisi sana kupendwa na watu wengi. Wengine wanasema kuwa haiwezekani kupendwa na kila mtu,kwasababu kila mmoja ana vigezo tofauti vya kuchagua nani anampende na kinyume chake.

Ila kuna vigezo ambavyo watu wengi wanathiriwa navyo juu ya maamuzi yao ya kupenda. Kwakweli maamuzi haya si ya hiyari ila yanakuja kwa hisia zaidi kutoka katika mawazo ya kina ambayo yanaongoza hisia za watu.Hisia hizi zinajijenga taratibu ndani ya moyo wa mtu kutokana na matukio yanayotokea kila siku au kila mara na kuwekwa katika mawazo ya kina.

Ili upendwe na watu unatakiwa kujenga tabia amabazo watu watazipenda na hivyo wewe mwenyewe kupendwa. Kumbuka unatakiwa kujenga tabia na si kufanya kama roboti. Haya yanatakiwa kutoka ndani ya moyo wako. Unatakiwa kuwa halisi na sio kuigiza vinginevyo hutapata matokeo mazuri.


         Tabia 8 Kuu za Kupendwa na Watu

Kuna mambo mengi ambayo yanachangia kupendwa lakini haya ni yale ambayo nimeyaona yanamchango mkubwa na kama yakifanywa kwa ukamilifu yataweza kukupa matokeo mazuri na ukafanikiwa sana katika kuishi na kufanya kazi na watu sehemu yoyote iwe ni kazini nyumbani au sehemu nyingine za kijamii.

Gusa nyoyo zao-Shiriki Hisia zao

Binadamu wanaongozwa na hisia zaidi,maamuzi mengi bado yanategemea hisia kuliko utashi.Ingia katika nyoyo zao na ufahamu nini kimo ndani na uwe mshiriki.Fahamu kuhusu afya zao kwa kwenda zaidi ya salamu ya kawaida.

Uliza juu ya watu wanaowapenda sana na wanaomaanisha maisha yao kama watoto,wenza au wazazi.Uliza maswali kama “Watoto wanaendeleaje? Wako darasa la ngapi?” ukiweza taja majina yao katika mazungumzo “John na Maria wanaendeleaje? Wameanza shule?”Kama ni kazini ulizia kuhusu mradi wa mfanyakazi mwenza wako, “Umefikia wapi na mradi wako wa kutokomeza malaria?”Shiriki katika mambo ya kijamii,sikukuu za kuzaliwa,misiba na sherehe kama harusi.

Kuwa Msikivu

Katika mazungumzo,jenga tabia ya kusikiliza zaidi kuliko kuongea. Ongea pale mwingine anapokuwa amemaliza kusema. Usifanye kitu chochote kingine ukiwa unaongea na mtu kama vile kutuma ujumbe katika simu na muangalie usoni.

Kwa namna hii unaonesha kujali anachosema na hukupandisha katika alama za kupendwa.Kama uko katika nafasi za uongozi iwe nyumbani,kazini au sehemu nyingine,toa nafasi kwa watu kuongea na kutoa mawazo na hisia zao,kisha toa mtazamo wako au ushauri juu ya suala husika. Wakati unafanya hivyo usioneshe hata kidogo kuwa mawazo yao hayana maana. Sababu kila jambo lina maana,kama simkwako basi kwa aliyeliongea. Jali mawazo ya kila mtu.

Kuwa Mkweli na Timiza Ahadi

Sema kweli mara zote,ukweli utalkuweka huru lakini kubwa zaidi watu watakupenda na watakuwa wakweli kwako pia.Ahidi kilichopo ndani ya uwezo wako na utimize kwa wakati uliosema kuwa utafanya.

Onesha Mfano,Tembea Katika Maneno Yako

Ongoza kwa mfano,fanya yale unayoamini na unayoyasema. Katika nafasi za uongozi ni vizuri kufanya japo kwa kiasi fulani kile unachowapangia wengine kufanya. Katika mazingira ya nyumbani unaweza ukaamua kulisha mifugo wikiendi mojaau kukata majani viungani.

Toa Msaada

Saidia pale inapowezekana. Saidia wasiojiweza kama katika majumba ya kutunza wazee,walemavu au watoto wenye mazingira magumu.Saidia ndugu na jamaa katika shida zao za msingi kama elimu au masula mengine ya kijamii kama misiba na magonjwa .Saidia watoto katika masuala yao ya masomo,unaweza kuchagua somo moja kama kiiengereza au hesabu na kuwafundisha angalau kwa wiki.Msaidie mweza wako katika kazi mbalimbali nyumbani. Kama wewe ni Baba basi msaidie mkeo kazi za nyumbani kama kufua kunyosha n.k kila inapowezekana.

Toa Shukurani na Pongezi

Shukuru kwa kila jambo zuri hata kama likiwa dogo kwa namna gani. Sema “Asante” neno hili lina maajabu makubwa ambayo hatuyatumii inavyopaswa.Kushukuru kunaonesha kujali juhudi za mwingine na zinafanya urahisi wa kupata tena siku nyingine au mara nyingine. Inasemwa kuwa kushukuru ni kuomba tena.Kutoa pongezi ni namna nyingine ya kuvuta upendo toka kwa watu. Katika kila kizuri kinachofanya na mtu usisite kutoa pongezi. Unapopongeza huongeza nguvu na jitihada kwa mlengwa na kuweza kufanya bora zaidi.Wapongeze watoto kwa kufanya vizuri shuleni au mwenza wako kwa kupendeza na kuwa mke au mume mwema na msaidizi mzuri kwako.

Kuwa Halisia

Unesha uhalisia katika maneno yako na mwonekano wako. Usifanye mambo yaliyo nje ya uwezo wako na yasiyoonesha hali au uwezo wako halisi. Usilazimishe kuishi kitajiri au kisomi wakati sio kweli. Ishi ndani ya uwezo wako na onesha sura halisia kwa watu.

Tabasamu

Tabasamu halimtupi mtu,onesha furaha kwa watu. Tabasamu unapoongea nao na bila shaka watatabasamu pia. Kuna maajabu makubwa katika kitendo hiki. Jaribu leo na uone, kwa kila utakayempa tabasamu ni lazima atafanya hivyo hivyo kwako-ni uhakika.

Tabia za Kupendwa na Watu Zinafundishika

Kupendwa na watu ni jambo muhimu sana katika maisha ya mtu yeyote. Ni muhimu katika utendaji wa majukumu yako ya kila siku iwe kazini,nyumbani kama mwanafamilia na katika mambo mengine ya kijamii na zinafundishikaUkipendwa na watu ni rahisi kutoa ushawishi juu ya mambo utakayoyatoa kwao. Katika kutafuta masoko,uongozi wa watu au siasa kupendwa na watu ni jambo la muhimu sana.Fuata mbinu hizi kujenga tabia zitakazokufanya kupendwa na watu siku zote.

Hii ni njia rahisi kugundua kama mpenzi wako katoka kukusaliti!

Miongoni mwa mambo yanayowafanya wapenzi wakose amani ni suala la usaliti. Katika makala zangu nyingi ambazo nimekuwa nikiandika kupitia ukurasa huu, kila nilipogusia ishu ya usaliti nilipokea simu na sms nyingi.

Wengi wamekuwa wakilalamikia jinsi wanavyoumia pale wanaposalitiwa au hata kuhisi kwamba kuna mtu mwingine wanashea penzi. Kiukweli hakuna kitu kibaya kama mtu unayempenda kujua ana mtu mwingine, inauma sana!

Inauma kwa sababu ishu ya uhusiano inaleta suala la uchoyo f’lani hivi kwamba ukiwa na mtu wako iwe ni yeye na wewe, asitokee wa kukumegea wala hata kunyemelea, mtu anayetaka amege penzi lako lazima utamgeuza adui.

Lakini licha ya hali hiyo, bado kila kukicha wapenzi wamekuwa wakisalitiana, kwa siri na hata kwa wazi. Kwa nini? Kwa sababu uaminifu umepungua kwa kiwango kikubwa sana. Swali ni je, mtu anawezaje kumzuia mpenzi wake asichepuke? Jibu ni kwamba ni ngumu sana.

Mtu mwenye nia ya kukusaliti, asiyetosheka na penzi unalompa, mwenye tamaa za kijinga akiamua kukuzunguka anaweza kufanya hivyo na wala usigundue.

Ndiyo maana leo hii wapo wengi sana ambao wanasalitiwa lakini bado wamejenga imani kubwa kuwa wapenzi wao wametulia.Na kwa taarifa yako sasa, bora usalitiwe ukiwa hujui kuliko kila mpenzi wako anapotoka unajua kabisa huko anakoenda si salama.

Utaumia sana na kila wakati utakuwa huna amani ukijua kuwa hauko peke yako.Swali lingine ni je, kama mpenzi wako ametoka kukusaliti, kuna namna yoyote ya kuweza kumgundua?

Kwamba kama mumeo au mkeo karudi na huko alikotoka alikuwa na kamchepuko, unaweza kutambua?Kimsingi katika hili kuna ugumu kidogo. Hata uwe makini vipi, kubaini kwamba ametoka kukusaliti inaweza kukuwia vigumu kutokana na kwamba, wasaliti wenyewe wako makini sana.

Ni tofauti na enzi zile ambazo mwanaume anaweza kwenda kuchepuka, asioge kisha akarudi nyumbani akiwa na lipsitick shavuni, love bites shingoni au ananukia ‘pafyumu’ ambayo hakutoka nayo nyumbani. Siku hizi watu wameerevuka, ataenda kwenye mambo yake na akirudi kama siyo yeye vile.

Ndiyo maana wataalam wa masuala ya mapenzi wanaeleza kuwa, usijihangaishe kumchunguzachunguza mwenza wako eti ili kutaka kujua kama alikotoka ni salama.


Wapo ambao mumewe akirudi nyumbani cha kwanza atachukua simu yake na kuanza kusoma meseji.

Hivi unadhani ni mwanaume gani ambaye atarudi nyumbani akiwa na sms za mchepuko?Wakati wewe unaichukua, mwenzako ameshafuta kila kitu hadi namba alizopiga na kupokea.

Sasa ukijifanya unakimbilia simu ili kumtafuta mwizi, utakuwa unapoteza muda wako bure.Kipi cha kufanya?Hakuna mbinu za wazi za kubaini kama mwenza wako ametoka kukusaliti, sanasana unaweza kutumia akili zako. Kama siku kajisahau karudi na ‘love bites’, hapo ndipo unaweza kujua.

Au amerudi akiwa amechoka kuliko siku zote na ukimuangalia anakwepesha macho, yaani anakuwa hajiamini, jua umeibiwa.Hapo kidogo unaweza kumtilia shaka, lakini pia anaweza kukuambia amechoka kutokana na kazi za kutwa nzima. Ndiyo maana kunakuwa na ugumu wa kugundua.

Na kwa taarifa yako sasa, hata kama atarudi na ‘love bite’ shingoni, unaweza kushangaa anakataa kabisa kwamba ametoka kufanya mambo yake, atakuwa tayari hata kuapia.

Sasa mkifikia hatua hiyo utakuwa na kipi cha kushika?Ndiyo maana tunasema, uhakika wa asilimia zote kwamba mwenza wako anakusaliti ni mpaka utakapomfuma laivu, lakini hizi dalilidalili wakati mwingine zinatupotosha.Cha msingi hapa ni kuepuka kuishi huku ukimfikiria vibaya mweza wako.

Hii kumchunguza kila wakati, kumnusa kila akirudi nyumbani, kumkagua mwili na kukimbilia simu yake akirudi nyumbani ni kujipa presha bure. Kama anakusaliti, ipo siku Mungu atakuangazia utagundua.Lakini sasa, tukeshe tukiomba sana ili hata kama wale ambao tumetokea kuwapenda wanatusaliti, tusijue!

Hivi unajisikiaje kujua kwamba mtu ambaye unampenda sana anakusaliti?Je, ukigundua utakuwa na ujasiri wa kuchukua uamuzi wa kumuacha? Hakika ni ngumu sana kwani kumuacha mtu ambaye moyo wako umemzimikia si kazi rahisi.

Ndiyo maana leo hii unaona mtu anamfumania kabisa mkewe au mumewe lakini anapiga moyo konde, anamsamehe na kuyaacha maisha yaendelee.Hii yote ni kwa sababu, endapo kila utakapobaini kuwa unasalitiwa unaacha, basi utaacha wengi na kamwe hutapata mtu wa kutulia naye.

Nasema hivyo kwa sababu hakuna utakayempata ambaye ametulia kwa asilimia zote, na kama yupo basi ni mmoja kati ya watu kumi.Labda kwa kumalizia niseme tu kwamba kwenye mapenzi kuna sarakasi nyingi.

Kusalitiwa kumekuwa kukishamiri kila kukicha kiasi kwamba huwezi kusimama leo na kujiaminisha kwamba uliyenaye hakusaliti.Kikubwa ni wewe kujenga imani naye, kutopenda kumfuatilia sana huku kila kukicha mkikumbushana juu ya umuhimu wa kutulizana.

Madhara ya kuchepuka ni mengi kiasi kwamba ukigundua kuwa mwenza wako hatosheki na penzi lako, ana tamaa za kijinga, haoni hatari kukutengeneza ‘mtungo’, bora umuache ili asije akakuingiza kwenye matatizo makubwa.

Hizi hapa Sababu Kuu 10 za Ugomvi kati ya Mke na Mme Katika Mahusiano

Ugomvi baina ya wapenzi katika mahusiano ni kitu cha kawaida kutokana na watu hao wawili kutoka katika malezi na mazingira tofauti ya ukuaji toka wakiwa wadogo hadi watu wazima.

Wawili hao wanapoaanza kujenga mahusiano na kukaa pamoja kama familia,kuna vitu kadhaa ambavyo kila mmoja wao huvitazama tofauti na hivyo kuleta migongano.

Migongano ambayo inaweza ikarekebishika kama wenza hao watamua kuifanyia kazi na kuelewana.Kuna vitu vingi ambavyo husababisha ugomvi na migongano ndani ya mahusiano ya mke na mme na hapa tunaeleza sababu kuu ambazo kwa kawaida hutokea karibu katika kila mahususiano

1. Wivu na Kukosa KujiaminiWivu unatokana na jinsi ambavyo mpenzi mmoja anavyohusiana na watu wengine wa jinsia tofauti. Inaweza ikawa marafiki,wafanyakazi wenza au wapenzi wa zamani.

Vyovyote vile itakavyokuwa ni kwamba wivu unasababisha ugomvi katika mahusiano mengi.Kunatakiwa kuweka mipaka ya kutosha na iliyo wazi ili kujenga uaminifu kwa mpenzi wako na kumpa kujiamini.

Mpenzi ambaye hajiamini ni tatizo kubwa kwani uwezekano wa kuanzisha ugomvi ni mkubwa.

Hivyo ni vizuri ukamjengea mweza wako katika mapenzi kujiamini kwa kuwa mwaminifu.Uaminifu ni kitu kimoja kikubwa sana katika mapenzi. Kama mwenza wako akikuamini hakutakuwa na wivu wa kupita kiasi na pia atakuwa anajiamini kuwa yeye peke yake ndio chaguo lako na hakuna mwingine.

2. Mawasiliano FinyuMawasiliano yanapovunjika katika mahusiano ugomvi ni kitu cha kawaida kutokea.Mawasiliano ya kawaida kati ya wapenzi husaidia sana kutoa wasiwasi wa nyendo za mwenza wako. Huleta amani na kujenga uaminifu kwa mpenzi kwako.Kuzungumza juu ya mipango yako ya mendeleo kama ujenzi au biashara ni vitu ambavyo ni muhimu sana kuvifanya vinginevyo utajenga wasiwasi kwa mweza wako na itasababisha ugomvi wa mara kwa mara.

Kuwa muwazi kwa mipango ya maendeleo binafsi,ya familia yako na ndugu.Utafiti unaonyesha kuwa wapenzi wanaoongea na kusikilizana mara kwa mara hawagombani mara nyingi kama wale wasio na mawasiliano ya kutosha.

3. Masuala ya FedhaJapokuwa fedha si msingi wa mapenzi,lakini ni kitu ambacho kinahitajika sana katika maisha ya kila siku ya kila mtu na ya familia. Na kimekuwa ni mojawapo ya vitu ambavyo wapenzi katika mahusiano au ndoa hugombana sana juu yake.Mwenza mmoja anapokuwa mtumiaji mbaya wa fedha na mwingine siyo,huibua malalamiko na ugomvi.

Baadhi ya wapenzi hasa wanawake hawataki kuchangia kwa kiasi kikubwa katika mahitaji ya msingi ya nyumbani na badala yake kuwaachia mzigo mkubwa wanaume.

Hili linaibua malalamiko mengi kwa baadhi ya wanaume,na wakati ungine toka kwa wanawake. Matumizi makubwa ya fedha kwaajili ya pombe na sharehe nyingine kwa wanaume na baadhi ya wanawake kumekuwa mojawapo ya sababu za ugomvi juu ya fedha katika mahusiano.Ni muhimu kwa wenza wawili kupanga jinsi ambavyo fedha zao zitapatikana na kutumika. Vipaumbele vya kufanyika kwanza na kiasi cha kutumika kwajili ya starehe na urembo kwa wanawake kwa mfano.

4. Masuala ya FamiliaFamilia ya nani ianze kwanza na ipi ifuate ni tatizo kubwa katika mahusiano. Upendeleo wa upande mmoja ambao kwa asili huwa unatokea tu ni chanzo cha ugomvi ndani ya nyumba.Mitazamo tofauti kati ya mmojawapo katika wapenzi na familia ya mwenza wake husababisha kutoelewana kwa wapenzi hao ndani ya nyumba.

Mbaya sana inakuja pale wanandugu wanapoingilia mambo ya ndani ya nyumba yenu. Wazazi wa kike na mawifi mfano, wamejulikana kusababisha matatizo mengi kwenye familia za watoto na kaka zao.Kuepukana na hili ni muhimu kwa wapenzi ndani ya nyumba kuweka mipaka kwa ndugu ambayo haitaathiri uhusiano nao kama ndugu.

Pia ni muhimu kwa wenza hao kuweka mikakati ya pamoja juu ya kuhusiana nakusaidia ndugu toka katika familia zao mbili.

5. Suala la UnyumbaJapo kuwa suala kufanya mapenzi si kila kitu kwa wapenzi ndani ya nyumba lakini linachangia sana katika kuleta ugomvi aina yao. Kufanya mapenzi kupita kiasi au mara chache kunaleta matatizo kwa wapenzi hasa ambao wana uhitaji tofauti.

Wengine wanaona kama mpenzi ambaye hahitaji kufanya mapenzi mara nyingi na mwenzake labda anauhusiano na mtu mwingine zaidi yake.

Au hamvutii tena kama zamani na huenda akaanza kuangalia nje.Hii inajenga kutojiamini na kupoteza uaminifu,ambalo ni tatizo jingine kubwa katika mahusiano kama tulivyoonesha mwanzoni.

6. Vipaumbele katika MaishaWapenzi wawili wanapokuwa na mipango na malengo tofauti ni tatizo kubwa. Watu wanapokuwa katika uhusiano ambao ni wa kuishi daima,malengo na vipaumbele vyao ni lazima vioanishwe na juhudi za kila mmoja zilenge katika kufanikisha mipango hiyo ya pamoja.Kunapotokea kuwa kila mmoja ana malengo tofauti basi hata vipaumbele vitakuwa tofauti na hapo ndipo shida zinapoanzia.

7. UaminifuUaminifu katika mahusiaono ni jambo la muhimu sana. Bila uaminifu ni ngumu sana kwa mahusiano yoyote kudumu.Uaminifu ni kitu ambacho hujengwa kwa muda mrefu na kikipotea ni ngumu sana kukirudisha. Japo inawezekana kujenga upya uaminifu lakini huchukua muda mrefu sana.

8. Wapenzi,Marafiki na Maisha ya ZamaniMojawapo ya vyanzo vya ugomvi kati ya wapenzi ni wapenzi wa zamani.

Mawasiliano ya aina yoyote na wapenzi wa zamani huleta wasiwasi mkubwa kwa mpenzi wa sasa. Ni kitu ambacho wapenzi wawili wanahitaji kuongea na kupanga jinsi ya kuepukana na matatizo ambayo yanaweza kusababishwa na historia zao za maisha.Kuepukana na hii ni vyema kuvunya uhusiano wa aina yoyote na wapenzi wa zamani labda tu kama wapenzi hao ni wazazi wenza au mnafanya kazi pamoja na ni ngumu kutokuonana au kuwasiliana.

Suala linalofanana na hili ni uhusiano na baadhi ya marafiki wa jinsia moja ambao wanachukuliwa kuwa mfano mbaya na mpenzi wako. Kama haiwezekani kutowasiliana na kuonana na wapenzi wa zamani au marafiki, basi ni vyema wakawa marafiki wa familia nzima na mawasiliano yoyote kati yenu nao yawe wazi pasipo kificho.

9. WatotoSuala la uleaji na ukuzaji wa watoto linasababisha ugomvi mara nyingi kati ya wazazi. Jinsi gani mtoto avae au shule ipi aende linapelekea wazazi wengi kugombana.Ni jambo la muhimu sana kukubaliana juu ya mambo ya msingi juu ya malezi ya watoto.

Tofauti za wazazi ziangaliwe kwanza vinginevyo zitaingilia malezi ya watoto na kusababisha ugomvi juu yao.

10. Kazi za NyumbaniImekuwa kama utamaduni kwa waafrika kuacha kazi nyingi kama si zote za nyumbani kwa mke. Kwa Wanawake ambao wanafanya kazi pia inakuwa ngumu sana.

Hili linasababisha pia ugomvi kwa wapenzi nyumbani. Kama nguo ambazo mume anazivaa na kuzichafua tu bila ya kujali kuwa mweza wake ataumia wakati wa usafi na ikiwa yeye mwenyewe hajishughulishi na kufanya baadhi ya kazi za nyumbani ni wazi itasababisha ugomvi.

yNi vyema wanaume kuchukua baadhi ya majukumu nyumbani hata kama kutengeneza bustani au kulisha chakula mifugo.Faida ya Ugomvi kati ya Mke na Mme Katika MahusianoJapokuwa ugomvi ni kitu cha kuepuka,lakini kina uzuri wake katika mahusiaono kama kikichukuliwa vizuri na kutumika kama kioo.Kama mtu anagombana na mpenzi wake kwa madhumuni ya kuboresha ni kitu kizuri.

Hii inaonesha kuwa anahitaji kuwa na wewe na anahitaji amani.Ugomvi na mifarakano pia inatoa nafasi kwako kujiangalia vizuri na kama kinacholalamikiwa na mwenzio kina ukweli basi ni nafasi ya kujirekebisha.Ni mategemeo kuwa kuna kipindi ambapo ugomvi utakuwa mkubwa na baadae wapenzi hao wataelewana na kurekebisha mambo yao.i. 

Ugomvi Unatoa Nafasi ya Kuongea Mambo MagumuWakati mwingine mazungumzo ya kawaida hayatoi nafasi ya wapenzi wawili kusema yale ya ndani na yanayozizonga nafsi zao.

Ugomvi hufungua milango ya hisia za ndani na huenda vyanzo vya matatizo vikawekwa wazi na hivyo kufanyiwa kazi.ii. Ugomvi unaonyesha Kuwa Mnajali na Mnataka MaboreshoKatika uhusiano ambao wenza hawajali,au hawana malengo ya muda mrefu huwa hawatoi duku zao juu ya utofauti na wapenzi wao.Hivyo wapenzi wanaogombana wanaonesha kuwa wana nia ya dhati na mwenzao na sio tu kupitisha muda.iii.

Ugomvi Unaboresha UhusianoKwa muwa ugomvi unaibua hisia zilizojificha toka kwa wapenzi,ni wakati mzuri kuona matatizo ya kila mmoja.

Na kama wapenzi hao wana nia ya dhati ya kuwa pamoja basi watafanyia kazi tofauti na mataizo waliyonayo. Hivyo kuboresha mahusiano yaoKuna sababu nyingine nyingi ambazo zinachangia ugomvi kati ya mke na mme katika mahusiano lakini haya ni yale yanayotokea katika mahusiano mengi.Je wewe unasababu nyingine inayosababisha ugomvi na mwenza wako?

Shiriki nasi na tuandikie katika sanduku la maoni.Nawatakia mahusiano mema na wapenzi wenu

ZIJUE FAIDA UNAZOPATA UNAPOJAAMIANA

Kujamiana (ama tendo la ndoa) ni moja ya mambo muhimu sana    
katika maisha ya mwanadamu. Ni ukweli usiofichika kwamba wengi wetu tungependa kuwa na mwenza ambaye mnaridhishana katika tendo la ndoa. Si hivyo tu, bali tendo hili huleta maelewano katika uhusiano wowote ule.   

Lakini, kuna faida zozote za kiafya za kufanya tendo hili? Ndiyo! Zipo faida kadhaa zinazotokana na kujamiana. Katika makala hii, mwandishi wako Dk. Khamis Hassan anajaribu kutueleza faida za kujamiana kiafya kama ambavyo imewahi kuonekana katika tafiti kadhaa zilizofanyika sehemu mbalimbali duniani.   

1. Hulinda mwili dhidi ya magonjwa ya moyo: Wanawake ambao hufika kilele (orgasm) angalau mara mbili kwa wiki kila wanapojamiana, wana uwezekano mdogo sana (30% tu) wa kupata maradhi ya moyo tofauti na wale wasiofikia kilele.    
Hii ni kwa vile homoni ya endorphin inayotolewa wakati wa kujamiana hupunguza msongo wa mawazo na hivyo kumuepusha mtu na magonjwa wa moyo. Aidha kujamiana angalau mara tatu kwa wiki, husaidia kupunguza uwezekano wa kupata shambulio la moyo (heart attack) na kiharusi.    
Uwezekano wa kupata mshtuko wa moyo wakati wa kufanya mapenzi ni mdogo sana, ni asilimia 1 tu ya vifo vyote vinavyotokana na mshtuko wa moyo ndivyo uhusishwa na kujamiana.   
Aidha, sababu nyingine inayoongeza uwezekano wa kupata mshtuko wa moyo ni kuwa na uhusiano nje ya ndoa ambapo huchangia karibu asilimia 75 ya vifo vinavyotokana na kujamiana, na karibu asilimia 90 ya vifo hivi hutokea kwa wanaume wazee.    
Uwezekano wa kupata shambulio la moyo wakati wa kujamiana huongezeka ikiwa mtu ana miaka zaidi ya 50, uzito uliopitiliza na matatizo ya afya. Hii ni sawa na kusema unaanza kufanya mazoezi mazito kwa ghafla wakati mwili na umri haviruhusu.   

2. Huongeza ukakamavu wa mifupa: Wanawake waliokoma kupata hedhi (menopausal women) ambao pia hujamiana angalau mara mbili kwa wiki wana kiwango kikubwa cha homoni ya oestrogen mara mbili zaidi ya wale ambao hawajamiani.   

Homoni hii husaidia kulinda mifupa na kwa wanawake waliokoma kupata hedhi wakosapo homoni hii hupata ugonjwa wa mifupa ujulikanao kama osteoporosis.   

3.Hupunguza msongo wa mawazo: Kujamiana hupunguza msongo wa mawazo na shinikizo la damu na humfanya mtu kupata usingizi mnono. Kufikia kilele ni sawa na kunywa 2-3mg za dawa ya diazepam (kumbuka diazepam hufanya mwili kupumzika, muscle relaxant), na hii ndiyo sababu kuu ya kwa nini watu hupata usingizi mzito baada ya kujamiana.   

Watu wanaojamiana huweza kuhimili vizuri msongo wa mawazo tofauti na wale ambao hawafanyi hivyo. Aidha watu wanaojamiana huwa na kiwango cha kawaida cha shinikizo la damu kuliko wale wasiojamiana.   

Pia kuwepo kwa viasili vyaprostaglandins katika shahawa husaidia kupunguza msongo wa mawazo. Viasili hivi hunyonywa na sehemu za siri za mwanamke. Shahawa pia zina madini ya zinc, calcium, potassium, fructose na protini ambavyo vyote ni muhimu kwa afya njema.   

4. Hupunguza maumivu: Kufikia kilele (orgasm) wakati wa kujamiana ni tiba ya maumivu. Homoni ya Oxytocin inayotolewa kwa wingi kabla na wakati wa kujamiana pamoja na viasili vya endorphins hupunguza maumivu ya kichwa, mgongo, kipandauso, baridi yabisi pamoja na dalili zinazotokea baada ya kukoma hedhi (post menopausal syndrome symptom).   

5. Hupunguza uwezekano wa kupata saratani ya tezi dume kwa wanaume: Wanaume walio na umri wa miaka 50 na zaidi na ambao hujamiana mara kwa mara wana uwezekano mdogo wa kupata saratani ya tezi dume (prostate cancer) hali inayotokana na kusafisha tezi dume mara kwa mara wakati wa kujamiana.   
Aidha kutoa shahawa wakati wa kujamiana mara 21 au zaidi kwa mwezi kunahusishwa na uwezekano mdogo wa kupata saratani ya tezi dume kwa wanaume wenye umri mkubwa ikilinganishwa na kutoa shahawa mara 4 mpaka 7 kwa mwezi.   

6. Huongeza uwezo wa kunusa: Baada ya kujamiana, kiwango cha homoni ya prolactin huongezeka, ambayo hufanya seli za ubongo (brain stem cells) kutengeneza seli mpya katika sehemu inayohusika kunusa na kutambua harufu (brain olfactory bulb).   

7. Hupunguza uzito na kumfanya mtu kuwa na afya njema: Kujamiana ni mazoezi mazuri. Wakati wa kujamiana, mapigo ya moyo huongezeka kutoka wastani 70/dakika mpaka 150/dakika ambayo ni sawa na mtu anayefanya mazoezi kwa kiwango cha juu. Kujamiana huchoma karibu 200 calories sawa na kukimbia dakika 15 katika mashine ya tredmill. Mwanamke anayefika kilele huchoma calories 47 zaidi.   

8. Huongeza kinga ya mwili: Kufanya mapenzi mara moja au mara mbili kwa wiki huongeza kiwango cha seli za kinga aina ya immunoglobulin A kwa robo tatu, na hivyo kumkinga mtu dhidi ya mafua na magonjwa mbalimbali.   

9. Kufanya mapenzi huongeza urembo wa mwanamke: Wanawake wanaojamiana angalau mara nne kwa wiki huonekana kuwa na umri mdogo ikilinganishwa na umri wao kwa miaka 7 mpaka 12, hii inatokana na ukweli kuwa kujamiana huongeza homoni ya oestrogen ambayo hufanya nywele za wanawake kuwa na afya nzuri na ngozi zao kung’aa.    

10. Hudhibiti mzunguko wa hedhi kuwa wa kawaida: Wanawake ambao hujamiana angalau mara moja kwa wiki (isipokuwa siku ambazo wako kwenye hedhi) huwa na mzunguko wa hedhi wa kawaida ikilinganishwa na wale ambao hufanya mapenzi kwa nadra au wale ambao hawafanyi kabisa   

11. Tendo la ndoa huongeza hali ya kujiamini: Ikiwa litafanyika baina ya wapendao, na tendo lenyewe likawa la furaha na upendo, kujamiana huongeza kujiamini.   

12. Huongeza ukakamavu katika misuli ya nyonga (pelvic floor muscles): na hivyo kuzuia mwanamke kupata matatizo ya mkojo au ugonjwa wa kibofu cha mkojo. Wanawake ambao wamekoma kupata hedhi, kufanya mapenzi mara kwa mara huondoa tatizo la kusinyaa kwa sehemu za siri za mwanamke (vagina atrophy) na hivyo kumwepusha na maambukizi katika njia cha mkojo (Urinary Tract Infection ).

Design a site like this with WordPress.com
Get started