AKINA DADA MSIJIDANGANYE LA SIVYO MTABAKI KUFUNULIWA MPAKA AKILI ZIWAKAE SAWA

Leo nimeona niwape vipande vyao hawa akina dada kuanzia umri wa miaka 30 na kuendelea ambao bado hawajaolewa, utakuta mdada mtu mzma kabisa ana umri wa miaka zaidi ya 30 anatafuta wanaume wa kumuoa kwa kuweka masharti lukuki tena magumu Kinoma   

Mara nataka Mwanaume Handsome, Mcha Mungu, mwenye elimu ya degree, awe ameajiliwa au anabiashara.   

Nabaki kuwashangaa sana nyiyi viumbe, unataka mwanaume mcha Mungu je wewe ni mcha mungu? Ungekuwa na tabia nzuri ungefikisha umri huo ukiwa nyumbani?   

Tambua kuwa kitendo cha kufikisha miaka 30 nyumbani na huna mume wala mchumba inabidi ujiulize mara mbili ulikosea nini huko nyuma Kwasababu Kupata Mume umri huo kwa sasa ni Bahati , Wengine Kabisa wanakataa wachumba wakiwa kwenye early 20’s Wakijua watastay young Forever…   

Utakuta mwingne alizalia nyumban halafu anakuja naye na sifa zake eti nataka mwanaume mnyenyekevu na ambaye hajawai kuoa nyambaaafu wewe umezalia nyumban halafu leo unataka mwanaume ambaye hajawahi kuoa for what?   

Mimi nawaambia msijidanganye hata kidogo, mkitaka masharti hayo mtaishia kufunuliwa tu mpaka akili ziwakae sawa.

UKITAKA USINYANG’ANYWE MCHUMBA KUWA MWELEDI CHUMBAN

Wanavyosimulia vidosho ni kwamba wanaume hao huachilia goli moja na kuishiwa na nguvu huku wakiacha wachumba au wake zao wakitamani ngoma zaidi.

Ukweli mchungu ni kuwa wanaume kama hao huwa na wasiwasi wakunyang’anywa wachumba au wake zao na mafisi wanaojua kuwashaghulikia propa na kukata kiu cha uroda.Kuachilia goli moja kwa dakika tatu humuacha mwanamke akiwaka na anaweza kukuchukia sana na hata kukunyima asali.

Mwanamke hupenda kukolezwa uroda sio kumuamsha hisia na kushindwa kuzizima.Ukiwasha moto, unafaa kujua kuuzima na kama hajui kuuzima, la busara ni kutouwasha.

Hofu ya wanaoshindwa kuwarithisha wapenzi wao kupokonywa na wanaume wengine ni ya kweli.Mwanamke kama huyo akiangukia mwanamume anayejua kulima shamba kikamilifu ni rahisi kumtema mtu wake.Ajabu ni kwamba akifikia uamuzi huo, mwanamke huwa hakumbuki mazuri mengine ambayo mwanamume huwa amemtendea.Anamdharau hadharani.

Utasikia mwanamke akimwambia mumewe hafai kutajwa wanaume wanapotajwa.

Lugha kama hiyo huwa ya wanawake wanaochepuka yaani wale ambao wameonja asali nje na wanakolezwa utamu wake.Wanaume wasiotamba chumbani mara nyingi huwa na hasira wanawake wao wakiwadharau na baadhi yao huchukua hatua zinazowaletea majuto.Kuna wanaojitia kitanzi, kuwaua au kuwajeruhi wake zao.

Hizi ni hatua ambazo hazisaidii chochote. Wanachofaa kufahamu ni kwamba kuna njia nyingi za kumfanya mwanamume kunguruma chumbani katika tendo la ndoa na kukata kiu cha mpenzi au mke wake.

Ili kufanya hivi hatua ya kwanza na muhimu kabisa ni kuelewa kinachokufanya kuwa bwege wakati wa shughuli au kutotamani ngoma au kutoimudu.

Uking’amua tatizo, ni rahisi kupata dawa yake. Na simaanishi ni lazima mtu apate dawa. Amini usiamini, tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume mara nyingi halihiitaji dawa mbali huwa ni la kisaikolojia.Tafiti zimeonyesha kuwa wengi wanaoshindwa kuwika kitandani huwa na mfadhaiko, yaani wale wanaume wanaojibebesha mzigo wa mamilioni ya tani katika mawazo yao.

Kama stress ni ya kazi, iwache ofisini au kiwandani, usiipeleke nyumbani.Tenganisha kazi na mapenzi, tenganisha masuala yote na uwe na wakati wa uroda.

Inasemekana kuwa mwanamume akikose kupata shibe la uroda au asiyejiweza chumbani hawezi kufanikisha lolote.Pengine ni kweli.

Hili ni suala ambalo tutaendelea kuangazia katika meza ya mapenzi lakini kwa sasa, wanaume, wacheni   stress, zinazima jogoo. Wacheni ulevi wa kupindukia, sigara na mihadharati

Nikiwa na Msichana Namkinai, Hivi Nina Pepo au ni Tamaa tu?

Kuna rafiki yangu yupo kwenye mahusiano na msichana wake kwa miaka saba tangu wakiwa sekondari mpaka leo wamemaliza chuo kikuu wanaendelea poa.

Mimi maishani mwangu sijawahi kuwa kwenye ahusiano kwa zaidi ya miezi sita
nikilala na mwanamke mara mbili au tatu hata kama angekuwa mzuri vipi namkinai na nitamfanya visa mpaka aniache natafuta mwingine nae hivyohivyo
kuna mmoja aliniweza akanikaba mpaka kivuli huyu nilikaa nae muda kidogo lakini miezi sita haikuchukua.

Wakati mwingine nikishawakinai nafuta nambazao utakuta ananipigia nikiuuuliza wewe nani anakasirika wakati angejua nimeshawafanyia wenzake kama ishirini sasa hilo ni pepo au ni kujiendekeza wengine wamediriki kutishia kujiua baada ya kuwa nao kwa muda mfupi wakitarajia ndoa lakini wakaambulia visa na kuachwa….

Wenye uzoefu nishaurini sipendi ila najikuta tuu….

Hii Ndio Jinsi ya Mwanamke Kuepuka Kuwa Mchepuko

Mara nyingi asilimia kubwa ya wanawake hupenda kuwa na wanaume wanaojiweza kiuchumi. Lakini baadae wanapotambua kwamba mwanaume huyo ameshaoa hushangaa sana, huumia na kusema waliwaamini kuwa wako single na kwamba wanaume wote ni mbwa tu.

Wanaume sio mbwa au paka shume, ni nyie wenyewe ndio mnashindwa kuwaelewa na hamtaki kufanya uchunguzi. Mlishaambiwa kwamba nyuma ya mwanaume mwenye MALI na MAFANIKIO kuna mwanamke. Na wewe unataka mwanaume aliyefanikiwa. Unategemea nini?

Kama utakutana na mwanaume ambae ni handsome, ana mali, anaendesha gari nzuri, yuko vizuri kiuchumi, basi huyo sio mumeo mtarajiwa, huyo ni mume wa mtu fulani kwa muda huo. Ni agharabu sana kukutana na mwanaume anayejiweza halafu akawa single, either uwe shareholder au unyang’anye share zote za mwanamke mwenzako kitu ambacho sio busara hata kidogo.

Mume wako mtarajiwa yupo anahangaika kutoka na maisha, anapigania ndoto zake. Huenda yupo shambani, Konda wa Dala dala, yupo anauza duka mahali, anapiga kitabu chuo, au yupo anabeti. Kimsingi yupo anapigania kuchomoka kimaisha. Anakusubiri tu wewe umpe support na back up ya kutosha ili atoke katika umaskini

Naomba Ushauri: Mama Mkwe Amemtafutia Mke Wangu Mchepuko

Naomba Ushauri: Mama Mkwe Amemtafutia Mke Wangu Mchepuko

Nina jamaa yangu mpaka hivi sasa dunia anaiona chungu na hajui achukue uamuzi gani dhidi ya mkewe na mkwewe

Jamaa ameoa mwanamke ambae tayari alishaolewa na kuzaa mtoto mmoja ila kutokana na maisha kuwa ya tabu mume aliondoka kuelekea mozambiq kuchimba madini na hakurudi tena mpaka jamaa yangu alipojitwisha majukumu ya kuoa

Tatizo linalomsumbua jamaa yangu ni pindi alipooa aliamua kwenda kuishi na mke wake nyumbani kwao lakini pale kwao ikatokea sintofahamu na dada wa jamaa yangu ikabidi waende wakapange chumba,kule mama mkwe ikawa kila asubuhi lazima aje ashinde pale home kwa gia ya kujifanya anacheza na wajukuu na jioni anabeba chakula

Kupita kama miezi sita tangu ule mchezo uanze mama mkwe akatoa ushauri kwanini wasihamie kule nyumbani yaani ukweni sababu nyumba ipo na nafasi na yeye mama mkwe atapunguza msafara wa kuja pale daily,jamaa yangu akashauriwa akakubali wakahamia ukweni sasa baada ya kuingia pale jamaa yangu ndio ameanziwa visa vya kuweza kuua mtu

Jamaa yangu yeye ni dereva wa daladala sasa siku moja alipata udhuru akarudi nyumbani akakuta mlango wa chumba chake umefungwa na mama mkwe yupo pale barazani anafanya shughuli zake jamaa kuuliza akaambiwa mke ametoka akapiga simu haikupokelewa jamaa akaondoka siku nyingine akarudi tena hali ni ile ile jamaa akamuuliza mama mkwe kwani mama zuberi akiondoka haachi funguo

Akajibiwa haachi basi jamaa jioni ikabidi angushe mtiti, kumbe pale kuna jirani anauona mchezo mzima ikabidi amg’ate sikio jamaa yangu ya kwamba kuna jamaa huwa anaingia pale na mama mkwe anawafungia kufuli kwa nje mpaka wanapomaliza shughuli zao na hawakuanza leo

inavyoonekana mkwe anampenda mwizi zaidi kuliko mkwe halali

Sasa mpaka muda huu jamaa amechanganyikiwa na mama mkwe amesema jamaa akitaka ahame yeye mwanawe abaki pale na mke ana mpenda na anafikiria watoto wake

Naomba tumsaidie ushauri maana ameathirika kisaikolojia

SABABU ZA KITAALAMU NA ZA KISAYANSI KWANINI WANAUME WAOE WANAWAKE WENGI NA WATOKE NJE YA NDOA

1.Takwimu za kidunia zinaonyesha kuna idadi kubwa ya wanawake kuliko wanaume ,wanawake wamewazidi wanaume kwa 20%.Tukichukua ratio kila mwanaume asimame na mwanamke basi 20% ya wanawake watabaki pekee yao,je kila mwanaume aoe mwanamke mmoja hawa 20% wataolewa na kusitiriwa na nani?

unakuta mwanamke ana miaka 36 yupo single siyo kwamba kapenda ila Takwimu za kidunia zimemfanya awe single.

2.Takwimu zinaonyesha wanaume ndio wanafungwa jela sana tofauti na wanawake,ukienda magereza mbali mbali na kutafuta idadi ya wafungwa basi utaona wafungwa wa kiume wapo wengi kuliko wa kike ,asilimia 90 ya wafungwa ni wanaume na 10% ni wanawake 

3.Sababu nyingine ni matukio ya vifo ni wazi kwamba wanaume wanakufa mapema na kwa wingi kuliko wanawake,idadi ya vifo ya wanaume kwenye vita ni kubwa ,

Mara nyingi kwenye vita wanaume ndio hupelekwa mstari wa mbele kupigana na machafuko yote wanaume ndio hupigana na idadi kubwa ya wapiganaji hupoteza maisha pia wanaume hufa sana kwenye ajali kama za pikipiki Leo hii ukienda hospitali za muhimbili na

mwananyamala na kutafuta idadi ya waliokufa kutokana na bodaboda basi asilimia kubwa ni wanaume ,ukienda migodini idadi ya watu wanaofukiwa na vifusi ni wengi,mapigano baina ya wakulima na wafugaji wanaopoteza maisha wengi ni wanaume bado

hatujazungumzia wanaokufa maji kutokana na shughuli za uvuvi .Wanaume pia huongoza kuuliwa kutokana na wizi na ujambazi ,mifano tunayo mingi mamia ya watu huchomwa moto,hupigwa mpaka kufa kutokana na uporaji,ukwapuaji nk na 99% ni wanaume 

4.sababu nyingine ni ongezeko la mashoga ni wazi kwamba kwenye ulimwengu wa sasa wa utandawazi kumekuwepo na matatizo ya wanaume kugeuzwa kuwa wanawake na tumeona mataifa makubwa duniani yakipigania haki za mashoga na kumekuwa na NGOs nyingi zinazopigania haki za mashoga kama umebahatika kuona maandamano ya lgtb huko

USA hakika utaona msururu wa maalfu ya wanaume mapusti yakipigania haki zao na hata huku Tanzania kuna idadi kubwa ya mashoga ukienda mitandaoni utawakuta wengi tena wengine wanajitangaza wazi,ukienda kwenye njenje,taarabu,klabu nk utakutana na wanaume wasioridhki wengi.

.5.Kuna idadi kubwa ya wanaume wasiokuwa na uwezo wa kuzalisha na wana upungufu mkubwa wa nguvu za kiume,

Leo hii ukipita barabarani utakutana na matangazo mengi ya kutibu nguvu za kiume,wauzaji wa mihogo mibichi wameongezeka nk,uwepo wa vyakula feki zenye sumu na mafuta mengi yamewafanya baadhi ya watu kupoteza nguvu za kiume na uwezo wa kuzalisha.

6.ongezeko ya watumiaji wa dawa ya kulevya “mateja”. Hakika dunia ya leo imekumbwa na idadi kubwa ya watu wasiokuwa na mbele wala nyuma “mateja” tuchukulie mfano hapa kwetu

Tanzania tumeona vijana wengi walioathiriwa na dawa za kulevya walivyopotea ,watizame mateja waliopo stendi za mabasi,mitaani walivyochoka na kudhoofika na teja siku zote hawazi mwanamke yeye

mwanamke wake ni heroin na teja haoi ,kuna mateja wa aina nyingi hawa mateja matajiri tuwaache tuwazungumzie mateja wasiokuwa na pesa ambao wanashinda stendi,vibarazani,vichochoroni nk na wapo wengi sana ,Takwimu zinasema wanawake wapo wengi kuliko

wanaume duniani na shirika la utafiti duniani wamesema wanawake wamewapita wanaume kwa wingi wa 20% ,Leo hii kila mwanaume apewe msichana 1 hakika 20% ya wanawake watabaki single ..Sasa kama wanawake wapo wengi kwa 20% kuliko wanaume ukijumlisha na ongezeko kubwa la mashoga,idadi kubwa ya vifo kwa

wanaume,idadi kubwa ya wafungwa wanaume kuliko wanawake,idadi kubwa ya mateja wasiokuwa na future,idadi kubwa ya watu

wasiokuwa na uwezo wa kuzalisha na wenye upungufu mkubwa wa nguvu za kiume. Hakika wanawake wengi zaidi watakosa wanaume..kama ki idadi tu wanawake wengi wapo single kutokana na upungufu wa idadi ya wanaume, je vipi factors 5 hizo zingine si

itakuwa hatari zaidi ,ongezeko ya wanawake wengi kuwa single itakuwa kubwa zaidi NB: ewe mwanamke ukimuona mwanaume wako anachepuka usikasirike sababu wanawake wenzako pia wanahitaji kusitiriwa sababu nature wanaume wapo wachache sana je wewe

ukiwa mchoyo wenzako watapata huduma wapi na pia watakuwa single milele Pia nashauri wanaume tuoe wanawake wengi au tuchepuke sababu demand ya wanaume ni kubwa ,supply ni chache kutokana na scarcity ya wanaume iliyopo .

.hivyo tusipo oa wengi na kuchepuka tutakuwa hatuwatendei haki wanawake

MAMBO YA KUZINGATIA KABLA YA NDOA

Mungu alimfanya mke kutoka kwa mume, awe mwenziwe na msaidizi wake akaye pamoja naye, kumfurahisha, kumtia moyo na kumpendeza, naye mume amepaswa kuwa msaidizi wake imara. Wote wanaoingia katika umoja wa ndoa wakiwa na kusudi takatifu mume kuyapata mapenzi safi ya moyo wa mke, na mke kulainisha na kuikuza vizuri tabia ya mumewe na kuikamilisha hulitimiza kusudi la Mungu kwao.

YAFUATAYO NI MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA KABLA YA NDOA

1.TATHMINI YA MAISHA YAKO
Itakuwa ni vema kabla ya kutafuta mwenzi wa maisha ujitathmini kwanza wewe mwenyewe na hili unaweza kulifanya kwa kutafuta marafiki wanaokufahamu vema na uwape uhuru wa kukuambia ni wapi una mapungufu na ni wapi unafanya vema. kwa yale unayoyafanya vizuri muombe Mungu akusaidie uendelee kuyafanya kwa ubora zaidi lakini kwa yale mapungufu tafuta namna ya kuyarekebisha. Kumbuka kuwa ni vigumu kujijua mwenyewe.

    “Moyo huwa mdanganyifu kuliko vitu vyote, una ugonjwa wa kufisha; ni nani awezaye kuujua

2.UCHUMBA
Unapomchagua mvulana au msichana kuwa mchumba wako ni vizuri kuchunguzana kujua uzuri na udhaifu wa kila mmoja. na mkishayafahamu kila mmoja anawajibika kuboresha uzuri alionao na kwa maombi mengi kurekebisha udhaifu alionao. Kumbuka kuwa huwezi kurekebisha madhaifu yote bali unaweza kuyamudu yasilete madhara kwa mwenzako hasa pale unapoyagundua. Pia Mungu ni suluhisho kwa kila jambo kwani hata katika udhaifu anaweza kuleta nuru njema.
 Katika uchumba pia zingatia yafuatayo.

            I.Uaminifu
        Je mchumba wako ni mwaminifu katika mambo yote? hili ni jambo la msingi sana lakini hili litawezekana kwa kumtazama kama ni mwaminifu kwa Mungu wake. Ikiwa ni mwaminifu kwa Mungu wake ni dhahiri kabisa anaweza kuwa mwaminifu kwako. Kamwe msifanye ngono na ikiwa mchumba wako atahitaji hilo basi tambua kuwa hawezi kuwa mwaminifu katika ndoa yako.

        II.Tabia
hakikisha kuwa yule mume au mke mtarajiwa ana tabia njema. Mwandishi mmoja anasema “Utu wa Mtu unatokana na tabia yake” pia ameendelea kwa kusema “Tabia ya mtu huundwa utotoni na ni vigumu sana mtua kuacha tabia yake”. hivyo kuwa makini katika tabia ya mchumba wako.

      III. Kupenda kazi
mtu kama hapendi kazi atakuwa mzigo kwako hivyo hakikisha anayetaka kukuoa au kumuoa anapenda kazi. kumbuka mtu mvivu ni kikwazo kikubwa sana kwa mchapa kazi na kwa maendeleo ya nyumba yenu.

     IV. Imani moja Nawe
Hata kama atakuwa dini moja na wewe mfano mkristo kwa mkristo ni lazima uhakikisha ni dhehebu moja na wewe. Tofauti ya imani ya kidini inaweza kuleta mtafaruku mkubwa sana kati ya mtu na mwenzi wake wa maisha. na usidanganyike kwamba utambadilisha. Kumbuka ni Mungu pekee ndiye anayeweza kumbadilisha mtu na sio wewe.

     V. Kutopitana sana kielimu
hili linagusa sana upande wa akina dada. inavyoonekana wanaume wengi ndio wanaoweza kuishi na wanawake wenye elimu ya chini sana, lakini ni mara chache ukute wanawake wanaoweza kuishi na wanaume wenye elimu ya chini sana. hili linaweza kuleta mtafaruku mkubwa sana.

    VI. Kutopitana sana kiumri
hapa kwanza ni kimtazamo, mnapopitana sana umri kila mmoja anakuwa katika ulimwengu wake na hivyo kutofautiana sana kwa mwenendo na mambo yanayozungumziwa sana katika umri husika. pia mwanaume akiwa mkubwa sana atakufa mapema na kumuacha mke wake akiwa bado mdogo na huwa ni vigumu sana kuolewa tena, wakati wanaume wao wanaweza kuoa tena wanapofiwa na wake zao.

     VII. Muonekano unaokupendeza
kila mmoja ana namna yake anayotazama na ana vitu vyake anavyovipenda kwa kijana wa kiume au wa kike. usichumbie tu kwa sababu unataka kuoa lakini tazama pia muonekano unaokupendeza ili kila unapomtazama mwenzi wako uwe ni mtu wa kufurahi na sio kuogopa kutembea naye barabarani. Kumbuka watu wote ni wazuri, inategemea uzuri wako umelenga katika mambo gani.

    VIII. Hali ya kipato
kama kijana anatoka katika familia tajiri hakikisha unafanya kazi kwa juhudi kubwa ili asiishi maisha ambayo hayajazoea tokea utoto wake. kwa maisha yakiwa tofauti sana na alivyozoea hapoa awali, kuna uwezekano wa upendo kupungua.

3. SHEREHE ZA ARUSI
usifanye arusi ya gharama kubwa kuzidi uwezo wako

karibu tena katika mada zinazokuja
shukrani kwa mwl wangu Pr Mange kwa kitabu chake
MAHUSIANO MEMA(mengi nimeyatoa humo)

NOGESHA MAHUSIANO YAKO YA KIMAPENZI KWA KUFANYA MAMBO HAYA

Kutengeneza uhusiano wenye nguvu ni moja ya mambo yenye changamoto kubwa. Japo hakuna maelekezo maalum, kuna mambo machache na rahisi ambayo unaweza kumwambia mpenzi wako yakaujenga zaidi. Weka desturi ya kusema mambo haya kwa mpenzi wako na muda mfupi tu mtakuwa couple itakayowapa wivu marafiki zetu.

Nakupenda
Nakupenda ni kitu rahisi na cha wazi cha kumwambia mpenzi wako. Hakikisha tu kuwa unamaanisha. Jaribu kulisema neno hilo pindi mpenzi wako anapokuchekesha au pale anapofanya kitu kinachokukumbusha kwanini mko pamoja.

Nilikuwa nakuwaza
Ni muhimu kumjulisha mpenzi wako kuwa unamuwaza hata kama hamko sehemu moja. Ukiona kitu kizuri au cha kuchekesha katika siku yako ambacho kinakufanya umkumbuke, mjulishe.

Siku yako ilikuaje?
Muulize masuala ambayo mpenzi wako anakutana nayo katika shughuli za kila siku. Muulize kuhusu huyo mfanyakazi mwenzie anayemkera au kazi kubwa waliyokuwa wakifanya. Kumpa nafasi mpenzi wako kushare sehemu zingine za maisha yake kutasaidia kuunganisha dots kati ya muda mnaokuwa pamoja.

Nakuunga mkono
Mpe moyo mpenzi wako kwa kumjulisha kuwa unaunga mkono maamuzi yake. Unaweza ukaenda mbali zaidi kwa kujaribu kumsaidia afanikishe malengo aliyojiwekea. Maisha yamejaa vikwazo vingi, na ile hisia kuwa una mtu mwingine upande wako zinaweza kukusaidia kuvivuka. Msiwe couple tu, kuweni timu. Kumkumbusha mpenzi wako kuwa upo nyuma yake kutaimarisha uhusiano wenu.

Umependeza
Kama umekuwa kwenye uhusiano kwa muda mrefu, ni rahisi kujisahau katika mengi. Ni muhimu kumkumbusha mpenzi wako kuwa anakuvutia. Kumjulisha kuwa ‘gauni hilo limekupendeza sana’ kutamfanya ajisikie vizuri na kukumbusha kwanini ulimchagua yeye.

Samahani
Kila mtu hukosea wakati fulani. Wakati mwingine hujikuta tukiongea maneno kwa hasira na baadaye kugundua kuwa hatukuwa sahihi. Ubishi hauna nafasi kwenye uhusiano wenye furaha, hivyo omba msamaha unapofanya kosa. Omba msamaha kwa kukasirika. Omba msamaha kwa kuumiza hisia za mpenzi wako. Omba msamaha hata kwa vitu ambavyo sio kosa lako.
Hakuna kama wewe
Mpenzi wako anatakiwa kuwa rafiki yako. Kama hautaki kutembea naye, basi hamkupaswa kuwa kwenye uhusiano. Mfanye mpenzi wako ajue kuwa yeye ni bora na hakuna kama yeye.

Napenda mawazo yako
Mwambie mpenzi wako kuwa unapenda mawazo yake. Mjulishe kuwa unaona ana akili, mcheshi, anajua kupenda na ana kipaji.

Nakuheshimu
Kama ulivyo uhusiano wa marafiki, heshima ni kitu muhimu kwako na mpenzi wako. Mpe nafasi ya kukushauri au kukupa mawazo kwenye mambo yanayokutatiza. Mtu anapohisi anaheshimiwa, hujisikia pia furaha na salama, vitu ambavyo ni muhimu kwenye uhusiano wowote mzuri.

Usiku mwema
Tunaishi kwenye wakati ambapo mawasiliano ni rahisi mno. Kwa kubonyeza tu kitufe tunaweza kutuma ujumbe kuvuka bahari, hivyo hakuna kisingizio cha kushindwa kusema ‘usiku’ mwema.
Haimjulishi mpenzi wako tu kuwa unataka kulala, bali pia inamjulisha kuwa unamfikiria. Hata kama hamjaongea siku nzima na hasa kama mmejibizana, maliza siku na kishindo chanya.

SENTENSI 14 ZA UWONGO WA WANAWAKE:

1. I love u baby
2. nipo singo
3. nipo serious kuhusu
wewe
4. sikuwa na credit
5. nitafanya chochote kwa ajili yako
6. nataka unioe,
7. NIAMINI…
8. sinto achana na ww
9. naomba usinache
10. Usipge, Ntakupigia baada ya mda kidooogo,
11. subir npo na baba
12. nyumbani kulikuwa na wageni nkashindwa kutoka
13. NAAPA..! we ndo pekee … 14. nipo period bby nitakuambia nikimaliza.
wizi mtupu
>>>>nimezikuta mahali nikaona niwashirikishe<<<<

MBINU 7 ZA KUWAVUTIA WANAUME BILA KUTAMKA NENO LOLOTE

Ushawahi kujikuta katika hali ambayo unashindwa kujua utaanza vipi kuongea na mwanamke? Ni mwanamke mzuri ambaye moyo wako unamtamani lakini akili yako inashindwa kutengeneza mawazo ya jinsi utakavyoanzisha stori na yeye.

Unabakiwa ukimuangalia akikupita mbele yako, ama mbaya zaidi anakuja kuchukuliwa na wanaume wasiokuwa na thamani yeyote kwa maisha yake. Unabakia na majutio na mawazo ya “kama ningeweza kujiamini mbeleni si ningem….” Well, tatizo hilo halijawahi kutokea kwako pekee bali kwa kila mwanaume wakati flani katika maisha yake na hatutaki lijitokeze tena mbeleni.

So chanzo cha wewe kutoweza kumtongoza huyu mwanamke ni kuwa akili yako ilikataa kutoa mazungumzo ambayo ungeweza kuyatumia kwa huyo mwanamke. Well, waonaje kwa mara moja tukubaliane na akili yako na tusitumie maongezi kuapproach mwanamke, na badala yake tutongoze kimya kimya?

Kutongoza kimya kimya ni mbinu rahisi sana, mwanzo ni rahisi kwa kuwa unapata kujua kama mwanamke anakupenda au la. So bila kupoteza wakati, hebu tuchambue mpango mzima.

Zama nami!

1. Kwa kutumia macho
Kila mtu anajua nishati inayotokana na kutumia macho. Macho ni kiungo ambacho wanaume wamebarikiwa nacho na akikitumia vizuri kinajeuka kama silaha nzito wakati ambapo unaitumia kwa mwanamke. Ushawahi kujiuliza ni kwa nini wakati mwingine mwanamke anashikwa na aibu/haya wakati unapomwangalia? Ama je ushawahi kumskia mwanamke akisema kuwa usimwangalie machoni mwake? Hii ni kwa sababu macho yanaweza kutumika kuongea maneno ambayo mdomo unaweza kushindwa kuongea.

Wakati utajipata ukimwangalia mwanamke, mwangalie machoni halafu utoe tabasamu. Kumuangalia kunaonyesha unajiamini. Kutabasamu unamwonyesha kuwa wewe ni salama na anaweza kuongea na wewe. Unaweza kusoma chapisho letu la awali ambalo linafafanua mbinu ya kutumia macho kuapproach mwanamke kwa kina.

2. Mfanye akugundue kupitia kutangamana kwako
Njia nzuri ya kusimama ili wanawake waweze kukutambua ni kupitia utangamano wako na wengine. Kujizunguka na wanawake wengi (haswa wale warembo) kutaashiria ya kuwa wewe ni aina ya mwanaume ambaye wanawake wanapenda kuwa naye. Hii itawafanya wanawake wengine katika hio sehemu kuwa na shauku ya kutaka kujua ni kitu gani ambacho kinakufanya wanawake wapende kuwa na wewe. Hii automatically itawafanya wanawake kuwa na umbea kukuhusu, kuvutiwa kwako, na hata kuingiwa na wivu wa kwa nini haujawaingiza katika kundi lako.Mbinu hii ni moja wapo ya sosholojia ya wanawake, kimaumbile wanawake hupenda vitu ambavyo wanawake wengine hupenda. Hivyo kama wewe unamtaka mwanamke flani na hutaki kutumia maongezi, anza kutangamana na marafiki wake wote isipokuwa yeye, mwishowe utamwona akijileta yeye mwenyewe, tena ujitayarishe na mapema kwa kuwa atakuja na presha ambayo kama hukujipanga vizuri inaweza ikakulemea.
3. Matumizi ya banta bila kuongea
Banta ni mbinu ya kuonyesha ucheshi, mchezo na mzaha wakati wa kuongea na mtu. Mbinu hii pia inaweza kutimizwa bila kutumia mazungumzo ili umfanye mwanamke aweze kuvutiwa kwako. 

Kwa mfano, kama ulishatumia mbinu ya macho kuwasiliana na mwanamke na unataka kuendeleza shughli kwa kutumia banta, njia rahisi ni kumuonyesha nyuso za ucheshi. Jifurahishe na uwe mcheshi – toa ulimi wako nje – pinda macho yako – weka uso wowote ule wa kipuzi ambao unajiskia. Hii ni njia rahisi ya kumfanya mwanamke atabasamu akiwa mbali, na itakuwa rahisi kwako kumuapproach na kuendea na yeye iwapo ataonyesha dalili za kupendezwa na wewe. 

4. Mvutie na mwonekano wako
Ukitaka kumvutia mwanamke kiurahisi basi ni muhimu kubadilisha mwonekano wako. Mbinu hii tuliieleza kwa kina katika chapisho la jinsi ya kubadilisha mwonekano wako uwavutie wanawake. Kwa kawaida, wanawake wanapenda kushufu wanaume ambao wanavalia kinadhifu. 

Lakini hapa usichukulie makosa. Kubadilisha mwonekano hakumaanishi ya kuwa unapaswa kuvalia nguo ghali ama za thamani ya juu. La hasha. Kubadilisha mwonekano kunamaanisha kuvalia nguo safi, nadhifu na ambazo zinaashiria hulka yako. Usijitese kuvalia nguo ambazo haziwiani na wewe kwani kwa mwanamke ni rahisi kukugundua kama umejeuka mwigo. 

5. Ishara ya mwili wako 
Wanawake wanaweza kujua mengi kukuhusu kwa kuangalia miondoko yako ya mwili pekee. Kama unataka kuonyesha ujiaminifu ambao utamfanya mwanamke akutambue, basi ni lazima mwili wako uonekana vile unapaswa kuonekana. 

Kuonyesha confidence katika mwili wako unapaswa kufanya yafuatayo: 

i) Simama wima – mwanaume thabiti akisimama anakuwa hivi; masikio yako yawe nyuma ya mabega yako, mabega yako yawe nyuma ya kiuno chako, kiuno chako kiwe nyuma ya kiwiko chako. 

ii) Kaa kwa kujitanua – wakati umekaa katika kiti, hakikisha ya kuwa unachukua nafasi yote ambayo unaweza kuitimia. Egemea kwa kiti, itanue miguu na mikono yako, kichwa kiweke kiangalie juu. 

iii) Jinsi unavyokaa – Usisogee sogee kama huna sababu zozote, usikunje miguu wala mikono, usiangalie chini, usijikune kichwa ama kutafuna tafuna. 

iv) Unavyotembea – Tembea na sababu, tembea kwa kujiamini, tembea na njia thabiti. 

Kuweza kukontrol mwili wako inakusaidia kuonekana mtu mwenye nguvu, wa kujiamini ambaye anapendwa na wanawake. 

6. Kuwa na hadhi ya juu
Mpaka sasa hili chapisho linaongea kuhusiana na kuwasiliana na mwanamke bila kuongea naye. So iwapo unataka mwanamke akunotice, wakati mwingine inahitajika kuwa na jitihada za ziada. Kukaa sehemu moja kungojea mwanamke akugundue haitakuwa ya fanaka kama vile ambavyo utaamka na kujifanya uonekane wewe mwenyewe. 

So utafanyaje mpaka mwanamke akunotice ? 
Tangamana na marafiki, jamiiana na kila mtu ambaye unamjua. Wakati umetoka matembezi au sehemu yako ya kujivinjari, ongea na kila mtu – wanaume, wanawake, wateja, wafanya kazi nk. Wanawake watauona uwezo wako wa kutangamana na kila mtu na watakuwa na interest ya kuongea na wewe. Ziada ni kuwa utakuwa unaonyesha ujiaminifu, urafiki, na uko na uwezo wa kujicontrol katika jamii – tabia zote ambazo wanawake wanaziona nzuri katika mwanaume. 

7. Wafanye wanawake wakufukuzie
Kufanya wanawake wakufukuzie inaweza kuwa rahisi sana. Kile ambacho unahitajika ni kutoka nje umakinike na kujifurahisha muda wote. Weka tabasamu katika uso wako na ujiinjoy wewe mwenyewe. Hii itamfanya mwanamke kukunotice na kutamani kuungana na wewe ili muinjoy pamoja.

Design a site like this with WordPress.com
Get started