Mwanamke Mwenye Kiu Utamjuaje? Ishara Zote 12 Tunazo

Kama unataka kujiridhisha haraka basi hawa ndio wanawake unaweza kuwafukuzia na utakuwa na uhakika wa juu ya kuwa utafaulu katika azma yako. Lakini iwapo unataka mwanamke wa kumpeleka nyumbani kwenu na mwishowe kumuoa basi epuka na aina hii ya mwanamke. Mwanamke mwenye kiu na uchu utamjua na tabia zifuatazo. #1 Ulimpata katika baa/klabu.  Hapa sisemi kuwa …

Jinsi Ya Kuishi Katika Mahusiano Marefu Na Mpenzi Wako

Kuwa katika relationship ni ngumu na pia ni rahisi. Kuna watu ambao hujaribu kuingia katika relationship lakini baada ya siku mbili tatu unaona wamekosana na mwisho kuachana. Pia utapata wengine wanakuwa katika relationship miaka mitano hata kumi na zaidi. Hapo unaachwa na maswali yasiyokuwa na majibu ukijiuliza ni mbinu gani inayowafanya wapenzi hao wawili kudumu …

Njia rahisi za Kumgeuza Rafiki kuwa ‘Mpenzi Wako’ wa Dhati

Kumpenda mtu ni kitu kingine lakini kumfanya awe na hisia kama zako juu yako ni kitu ambacho kinahitaji zaidi ya mahesabu na porojo za kumshawishi mtu huyo.Kwa bahati mbaya, wanaume au warembo wengi wamewahi kusikia karibu maneno yote yanayotafsriwa kama ‘kuimbisha au kutongoza’, jirani zetu wa Kenya wanaita ‘Kukatia’.Hivyo, Ni vigumu kumshawishi mtu kwa maneno …

Mambo 15 ya kumfanyia mwanaume unaempenda akuwaze muda wote!

Kuweza kumpata na kumteka mwanaume akili zake siyo kazi rahisi.  Kwa masumbuko ya sasa kimaisha na ulimwengu ulivyoendelea kiteknologia kumfanya mwanaume unayempenda akupende sana inakuwa viumu kidogo! Huwezi kujua wanatafuta nini na ni nini wanakipenda hasa. Mwanaume ni kiumbe cha ajabu na ni rahisi sana kumchota akili zake kama unampenda, japo wana mambo mengi sana magumu …

SMS TAMU ZA KUMTAKIA USIKU MWEMA MPENZI WAKO

Uzuri wa usiku si giza lifunikalo dunia wala si kimya kinachotawala mazingira bali ni njozi njema zenye maono na matarajio yenye mafanikio. Nakutakia ucku mwema *°·.¸¸.°  ♥  °·.¸¸.°* Kama jicho langu halija kuona basi moyoni daima nakukumbuka na ikiwa dua zangu hazijakulinda basi mungu daimaatakulinda,nami cna budi kukutakia usiku mwema.*°·.¸¸.°  ♥  °·.¸¸.°*  Upendo ni tiba maradhi hukimbia. Salamu …

TABIA ZINAZOFANYA WADADA MSIOLEWE MAPEMA

1. CHOKOCHOKOWanaume wengi huwa hawapendi chokochoko. Hawapendi mwanamke ambaye yeye kila wakati ni kuanzisha chokochoko ambazo zinazalisha ugomvi. Wanaume wengi hawapendi mabishano. Hawapendi ugomvi hivyo mwanamke anapokuwa hodari wa kuleta chokochoko, huepukwa.Ni vyema basi mwanamke akachunga kauli. Akawa si mtu wa kuchimbachimba vitu ambavyo havina kichwa wala miguu. Asiwe na kisirani. Kinywa chake kitawaliwe na …

JIZUIE KUFIKA KILELENI MAPEMA KWA NJIA HIZI RAHISI

Sababu ya tatizo hili huweza kuwa ya Kibaiolojia na Kiakili. Kama wewe pia ni moja yao na unapenda kujua jinsi ya zuia hali hii, endelea kusoma. Kufanya mazoezi:Mwili wenye afya nzuri daima hufanya kazi vizuri, kwahiyo kitu rahisi cha kufanya ni kujenga tabia ya kufanya mazoezi ambayo husaidia kukujengea afya njema na kukupa mzunguko mzuri wa …

Zifahamu Siri Nzito Zilizopo ndani ya Wanawake Katika Mahusiano.

Kuna wakati mwanamke ana weza kukosa amani kabisa katika mahusino , sio kwa sababu anakuwa amekosea kuingia katika mahusiano lakini ni kwa sababu ana mengi kichwani mwake ambapo hawezi kuyasema kwako mwanaume au kwa watu wake wa karibu.sio lazima aanze kulalamika ili uweze kumfanya mwenye furaha jambo la msingi ni kujua haya yafuatayo ambayo umfanya …

JINSI YA KUMDHAIFISHA MWANAMKE ILI AKUPENDE

Ukija katika maswala ya udhaifu katika mwanamke, huwa kuna baadhi ya mambo ambayo huwa tofauti katika kila mwanamke.Hebu mwanzo tuanze kwa kusema kuwa kila mwanamke yuko tofauti. Si kila mwanamke anataka kitu kimoja kwa kila mwanaume. Lakini, kuna baadhi ya mambo ambayo huwa yanajitokeza juu zaidi katika udhaifu wa mwanamke. Kama mwanaume atafanya mambo vile …

NJIA 5 ZA KUJENGA MAHUSIANO MAZURI NA YENYE NGUVU

1.Wasiliana na mpenzi wakoUsipende kuweka mambo moyoni,,kama amekuudhi mueleze badala ya kuhifadhi vitu na kukaa na hasira ukisubiri mpaka yeye ajue kuwa ana makosa. 2.Onyesha shukraniKama mwenza wako amekusaidia kitu hata kama ni kimawazo tu,jaribu kuwa mtu wa kuonyesha shukrani. 3.Achia vitu vidogo vidogoKama amesahau kufanya kitu fulani alichoahidi kufanya,mkumbushe badala ya kukaa na kinyongo. …

Design a site like this with WordPress.com
Get started