JINSI YA KUMFURAHISHA MWANAMKE CHUMBANI .

Hapa ni mambo 10 muhimu, ambayo mwanaume ukiyafanya kwa mwanamke wako, hakika utakuwa umejijengea ulinzi wa yeye mwenyewe kujilinda dhidi ya mwizi au dokozi yeyote huko nje. #1 – Mfanye apate raha kabla hujaanza kumuingilia (kungonoka) Inawezekana likaonekana jambo geni na la kushangaza kidogo, lakini ukweli ndio uko hivyo.Hili ni jambo ambalo wanawake wengi wangelipenda …

SMS ZENYE KUNOGESHA MAHABA KILA SIKU

Natamani ningekuwa chozi jichoni mwako ambapo ningetelemka na kuishia midomoni mwako, lakini kamwe sitamani uwe chozi jichoni mwangu nitakupoteza kila muda niliapo. ******* Naweza kuishiwa ujumbe wa kukutumia. Naweza kuishiwa utani pia. Naweza kuishiwa chaji lakini moyo wangu hauwezi kukosa nafasi ya kukuweka. ******* Unaweza usione kamwe ni kwa kiasi gani ninavyokujali. Unaweza usisikie ni …

MVUTIE MPENZI WAKO KWA MANENO MATAMU

 Imani hufanya mambo yote yawezekane, Matumaini hufufua yaliyopoteza uhai, lakini mapenzi hufanya mambo yote yaonekane mazuri. Sina linalonihuzunisha maishani mwangu kwa kuwa tunapendana!  Love doesn’t make the world go round, it just makes the ride worthwhile. Love is in your heart not to stay, but to be shared.  Mpenzi wangu T tambua kuwa ulimwengu tunaoishi …

9 Things that reveal how your partner truly feels about you

1. “Eye contact” The eyes reveal a lot. If your partner finds you special, you will get lots of eye contact, you will be stared at because you’re getting all the attention, you will feel looked at, desired, attractive, searched out, there will be this fire, this affectionate look. But if your partner has become …

HIZI NDIZO TOP 4 ZA STAILI YA KUFANYA MAPENZI ILI KUKUSAIDIA USIKOJOE MAPEMA

stairi kufanya mapenzi huko mtaani,lakini sio zote ni nzuri kwa ajili yako na kwa ajili ya kumridhisha mpenzi wako,labda kama unataka kukojoa mapema. Kama unachelewa kukojoa kunastaili ambazo ni bora kwa ajili yako ili uweze kuwahi mapema,lakini kama unajua huwa hudumu kitandani na mpenzi wako basi kuna aina aina ya stairi ambazo unatakiwa kuzitumia ili …

KELELE ZA MAHABA KITANDANI

Kwa mwanaume hakuna kitu kinakuwa sexy kama mwanamke ambaye anakuwa loud kitandani na si kuwa na vikelele tu bali kujihusisha moja kwa moja kwa mwanamke katika kuongea maneno matamu au sweet words).Mwanaume akiwa kwenye game anapenda sana kujua mke wake anajisikia vizuri kwa kile anafanya na kwamba mwanamke anaonesha total participation, pia vile mke unatamka …

HATUA ZA KUAPPROACH WANAWAKE KATIKA KIKUNDI BILA KUKATAA

Kuapproach wanawake wakiwa katika kikundi ni jambo gumu sana kwa mtu yeyote kutimiza. Hata kwa wale ambao wanajiamini mbele ya wanawake inafikia wakati flani wanapatwa na changamoto moja au nyingine. Lakini kama kawaida mambo kama haya yanaeleweka kwa kuwa unaaproach wanawake wengi wakati mmoja na pia kunaweza kutokea maswala mengine ambayo yanaweza kujeuka changamoto kwako.  …

Hii ndiyo Namna ya kutongoza msichana yeyote na akakubali fasta!

Muda au Pesa Nyingi!”   Kutongoza ni sanaa ya ushawishi, ambayo lengo lake ni kuanzisha mahusiano ya karibu.  Kuna sanaa zingine za ushawishi kama vile ushawishi wa kibiashara ambapo lengo ni kuuza bidhaa. Na kuna ushawishi wa kisiasa ambapo lengo ni kupata kura.   Wakati sanaa karibia zingine zote za ushawishi ni rahisi kujifunza, sanaa ya kutongoza watu wengi wanasema …

ZIJUE SEHEMU KUU 2 ZA KUMSISIMUA MWANAUME MKIWA FARAGHA

Zifuatazo ni sehemu kuu mbili (2) zenye msisimko katika mwili wa mwanaume: 1. SEHEMU YA KWANZA:Kwenye KIFUA Kifua ni moja ya sehemu alieumbiwa kila mwanadamu jinsia zote na sehemu hii ya kifua inamfumo wa kuamsha hisia katika mapenzi kwa sehemu tofauti kwa wanawake huleta msisimko katika maziwa na kwa upande wa mwanaume ni eneo zima …

JE WAJUA !?:KUTOVAA CHUPI KUNA FAIDA NYINGI IKIWEMO HII AMBAYO NI MUHIMU

Leo naomba nikukumbushe somo la Afya ya uzazi. Somo hili litafafanua faida na hasara au madhara yatokanayo na uvaaji wa nguo za ndani hasa Chupi. Uvaaji wa chupi kihistoria ulianza karne ya 19 baada ya uvumbuzi wa viwanda na mapinduzi yake yaliyoambatana na mapinduzi ya teknolojia.  Enzi za mama zetu na babu zetu uvaaji wa …

Design a site like this with WordPress.com
Get started