Makosa Wanayofanya WANAUME Walio Kwenye Ndoa

Kuja na vimada mpk home na kumuacha ndani ya gari Kuingia ndani na viatu vya matope wakati kumeshadekiwa Kuvurugua nguo au vitu wakati wa kutafuta kitu kabla ya kuuliza kilipo. Kumtambulisha mtoto wako kwa kimada wako. Kumleta rafiki yake kuja kula bila kutoa taarifa. Kumsifia rafiki au ndugu wa mke wa kike kuwa anavutia bila …

Kina Kaka Acheni Ujinga, Hakuna Mwanamke Asiyetaka Kuhongwa! Shauri Lako

Wakaka acheni ujinga, ukitaka dem wa peke yako basi jua kugharamia. Nakwambia wanawake asilimia kubwa hukumbuka fadhila za mtu anayemgharamikia kuliko wanaume wa ai lavii yuu maneno. Usidanganyike hakuna mwanamke asiyependa kuhongwa, kuna wanawake natural hawawezi kuomba,ila anakua anataka ujiongeze, sasa kama wewe ni wale ambao akikwambia “baby kifurushi kimekata” unajibu “basi mumy pls ukiweka …

Jinsi ya Kuepuka Vizinga vya Mwanamke

Siyo ajabu kumsikia mwingine akisema; “Mimi nina kibuzi changu bwana kila ninachotaka kinanipa, kinajua kisiponipa nitakitosa tu, yaani nakichuna kama sina akili nzuri, maisha yanaendelea. Yaani ni full kujiachia.” Si hivyo tu, wapo wanaume ambao ni kero kwa wapenzi wao, yaani wamegeuka wanaume kama mabinti kwa tabia zao za kutegemea kupewa kila kitu na wapenzi …

Faida Zitokanazo na Kufanya Mapenzi Mara Kwa Mara

Kufanya mapenzi ni jambo muhimu sana katika mahusiano. Huwakutanisha na kuwaweka pamoja wewe na mpenzi wako. Mapenzi hulifanya penzi lenu kuwa hai.  Kufanya mapenzi ni kichocheo muhimu cha kuamsha hisia zenu za kimahaba. Hii ni mada kuu inayopendwa na huongelewa sana na wanaume pamoja na wanawake.  Ni kitu ambacho kila mtu hukifikiria hata kama hawako …

Muache Ajisikie Kwanza ndo umuingie

Kuna tofauti kubwa sana ya maana na mwitikio wa mapenzi kati ya mwanaume na mwanamke.Wanaume kawaida wanauwezo wa kutenganisha mwili na moyo. Kwa upande wa wanawake tunaweza kusema wao wamekomaa kimapenzi kuliko wanaume kwa sababu kwao kutenganisha mwili na moyo inakuwa vigumu na wakati mwingine haiwezekani.Mwanamke anapompenda mwanaume huanza na hisia za ndani za moyo …

Jinsi Ya Kuwavutia Wanawake Bila Kutamka Neno

Ushawahi kujikuta katika hali ambayo unashindwa kujua utaanza vipi kuongea na mwanamke? Ni mwanamke mzuri ambaye moyo wako unamtamani lakini akili yako inashindwa kutengeneza mawazo ya jinsi utakavyoanzisha stori na yeye. Unabakiwa ukimuangalia akikupita mbele yako, ama mbaya zaidi anakuja kuchukuliwa na wanaume wasiokuwa na thamani yeyote kwa maisha yake. Unabakia na majutio na mawazo …

Sababu 25 za Uhakika Kwanini ni rahisi Mwanamke Kumsaliti Mpenzi wake

Tokea kuumbwa kwa dunia, kidini na kihistoria, mwanamke amevunja rekodi kuwa kiumbe dhaifu na rahisi zaidi hasa katika nyanja ya usaliti, mtoto wa kiume uzaliwapo na ukafikisha umri wa barehe jambo na usia mkuu uambiwao na baba yako au kusikia tokea kwa wazee ni moja na linatiliwa sana mkazo “Usimwamini mwanamke”.  Leo  tumetilia mkazo kuangalia …

Sio kwamba hana hisia, Unasababisha asikutake.

Kwa mwanamke mapenzi ni hisia, hisia za yeye kukuwaza wewe, hisia ya kutaka kukuona kwa sababu hajakuona na anatamani kukuona, hisia ya yeye kuwa na wasiwasi kuhusu mpenzi wake, ukiondoa hicho kitu cha kumfanya akuwaze, basi muda si muda utaanza kumtoka kichwani.Kuna sehemu kwenye maisha mwanaume kama mwanaume inabidi uwe mwanaume, ujitenganishe kati ya hisia …

SABABU ZINAZOMFANYA MWANAMKE KUCHEPUKA

SABABU ZINAZOMFANYA MWANAMKE KUCHEPUKA Kuna sababu zinazomfanya mwanamke amsaliti mwenza wake, Ni muhimu kutambua kuwa mwanamke ni kiumbe mwenye hisia kali na daima huhisi raha na amani pale anapooneshwa upendo, anapoona hapati upendo hufanya usaliti ili kuziba pengo la upungufu unaotokea katika maisha yake. Zifuatazo ni sababu kubwa ambazo zinamfanya amsaliti mumewe. 1. KUTOMPA KIPAUMBELE NA …

JINSI YA KUIFANYA MICHEZO YA KIKUBWA KWA MUDA MREFU BILA KUFIKA KILELENI WAKATI WA TENDO

Kwenye tendo la ndoa wanaume wengi inawachukua dakika 3 adi 7 kufikia mshindo lakini asilimia 87 ya wanawake hupendelea kufanya tendo la ndoa kwa muda mrefu zaidi.Hapo ndipo wanaume wengi huzalilika kwa wake/wenzi wao na kuonekana sio wanaume wa kweli kwa kushindwa kufanya mapenzi au tendo la ndoa kwa muda mrefu.(1). MAZOEZI YA MASHINE YAKO …

Design a site like this with WordPress.com
Get started