N I Alhamisi nyingine nzuri tunapokutana katika uwanja wetu huu mzuri, kujuzana na kujadiliana kuhusu mambo mbalimbali yanayohusu uhusiano wa kimapenzi. Leo nataka tujadiliane kitu tofauti kidogo ambacho huenda kikawaudhi baadhi ya watu na kuwafurahisha wengine. Lakini, kwa kuwa lengo letu ni kuwekana sawa, ni lazima tulizungumzie. Napenda kuzungumza zaidi na wanawake. Kama wewe ni mwanamke, umewahi …
Continue reading “USIMLAUMU KWA KUCHEPUKA YAWEZEKANA WEWE NDO CHANZO”