Unapochagua mpenzi wa maisha unatakiwa kuhakikisha unachagua mpenzi ambaye mtaendana naye kitabia, wengi wa wanawake na wanaume wengi wao utawasikia wakisema mimi nataka mpenzi asiye mlevi wakati huo yeye mwenyewe ni mlevi, kwa kufanya hivi kama utapata mpenzi, ni lazima mapenzi hayo hayatadumu kwa sababu utakuwa umepata mtu ambaye hamuendani kitabia na kihisia pia. Hivyo …
Category Archives: mapenzi
Sababu za wanaume wengi kukimbiwa na wanawake
Imezoeleka katika jamii kwamba wanaume hukimbiwa na wanawake kwa kukosa kipato au alichonacho ni kidogo, au muonekano na maumbile ya mwanaume bila kuzingatia kwamba wanawake huangalia vitu vingine zaidi ili kugundua kama wanaweza kuishi na aina hiyo ya mwanaume. Zifuatazo ni sababu zinazowafanya wanawake wakimbie mahusiano na wanaume wenye tabia hizi:- Kulazimishwa au kusukumwa kwenye …
Continue reading “Sababu za wanaume wengi kukimbiwa na wanawake”
Hizi Ndio Amri 10 Za Kumfanya Mwanamke Awe na Furaha.
1. MPIGIE SIMU HATA MARA 1 KWA SIKU KUMJULIA HALI. UKIBANWA SANA, JARIBU KUMTUMIA HATA UJUMBE MFUPI KUONYESHA UNAMJALI. 2. MSIKILIZE KWA MAKINI WAKATI AONGEAPO. 3. CHUNGUZA KWA MAKINI VITU ANAVYOPENDA NA ASIVYOPENDA. 4. MSIFIE/MPONGEZE VIZURI NA KWA DHATI MARA NYINGI IWEZEKANAVYO. 5. MNUNULIE KADI AMA MAUA, WAKATI MWINGINE.SIO LAZIMA VYA BEI MBAYA. 6. MPELEKE …
Continue reading “Hizi Ndio Amri 10 Za Kumfanya Mwanamke Awe na Furaha.”
SIO KILA MPENZI ANAWEZA KUWA MUME AU MKE
MUNGU ni mwema, ni siku nyingine tunakutana katika uwanja wetu wa mahaba. Hapa tunapata kujifunza, kujadiliana na kuweza kupeana ushauri wa maswala ya mahusiano. Ulimwengu wa sasa una changamoto nyingi. Ni vigumu sana kumpata mtu sahihi maana kila mtu ana maumivu yake. Watu wengi wamejeruhiwa, wanajuta kupenda kutokana na waliyoyapitia. Lakini nikutie moyo tu wewe unayesoma sasa, …
MWANAUME KAMA HUNA PESA NA UNATAKA USIFE MAPEMA USIFANYE HIVI
Kama wewe ni Mwanaume na unamalengo ya kuoa ila huna Pesa, hakikisha usioe mwanamke kisura. Kila mwanaume anatamani kumiliki mwanamke kisura kiasi kuwa kila atakapokuwa anapita haoni shobo kumtambulisha mkewe. Tatizo linakuje pale huna pesa lakini unataka uweke mrembo ndani. Ndugu yangu, usijidangaje hata siku moja kuwa wapo wanawake wasiopenda pesa na wanapenda maisha ya …
Continue reading “MWANAUME KAMA HUNA PESA NA UNATAKA USIFE MAPEMA USIFANYE HIVI”
MWANAMKE ZINGATIA HAYA KABLA YA KUOMBA HELA KWA MWANAUME ILI USIJE ONEKANA KICHECHE
Ukweli ni kwamba raha ya mapenzi ni pamoja na kupunguziana makali ya maisha. Na katika kupunguziana uko makali ya maisha ndio matumizi pesa yanapochomoza. Kusaidiana ni kwa pande zote iwe kwa mwanamke kwenda kwa mwanaume au kinyume chake, Ingawa kwa kiasi kikubwa ni wanaume ndio wanawajibika zaidi kutunza wapenzi au wake zao. Nilichotaka kuwakumbusha wanawake zaidi …
HIZI HAPA SABABU KUU 10 ZA UGOMVI KATI YA MUME NA MKE KATIKA MAHUSIANO
Ugomvi baina ya wapenzi katika mahusiano ni kitu cha kawaida kutokana na watu hao wawili kutoka katika malezi na mazingira tofauti ya ukuaji toka wakiwa wadogo hadi watu wazima.Wawili hao wanapoaanza kujenga mahusiano na kukaa pamoja kama familia,kuna vitu kadhaa ambavyo kila mmoja wao huvitazama tofauti na hivyo kuleta migongano. Migongano ambayo inaweza ikarekebishika kama …
Continue reading “HIZI HAPA SABABU KUU 10 ZA UGOMVI KATI YA MUME NA MKE KATIKA MAHUSIANO”
TABIA 12 TATA AMBAZO MWANAUME ANAPENDA TOKA KWAKO
Kuna aina ya wanawake ambao kila mwanamume angependa kuwapeleka nyumbani kwao kukutana na wazazi wake. Hii ni aina ya wanawake ambao tabia zao zinapendeza na za kumfanya awe mwanamke wa ndoa ya milele. Pia kuna ile aina nyingine ya wanawake ambayo kila mwanamume angetamani kuwa nayo. Hii ni aina ya mwanamke ambayo kila mwanamume ndotoni …
Continue reading “TABIA 12 TATA AMBAZO MWANAUME ANAPENDA TOKA KWAKO”
MBINU ZA KUJIWEKE ILI MWANAUME AKUTONGOZE HARAKA
Je umekuwa ukijiuliza kwa nini haukuwi approached na wanawaume kama unavyotaka? Blog ya Nesi Mapenzi imeamua kukuandalia mbinu na maujanja ya kutumia ili uonekane mwanamke ambaye anaweza kufukuziwa na mwanaume kwa urahisi. Owk….Kando na itikadi ambazo umekuwa ukifikiria, kuapproachiwa ama kufukuziwa na mwanaume si gemu ya bahati nasimu ambayo mtu anaingojea ijitokezee.Na pia kando na …
Continue reading “MBINU ZA KUJIWEKE ILI MWANAUME AKUTONGOZE HARAKA”
Huu Ndio Utundu Komesho Kwa Mwanamke KitandaniAuto Draft
Karibuni katika somo jingine ndugu wapenzi wa Elimu Kuhusu Mapenzi na Mahusiano kumekuwa na maombi kama huwezi kumfikisha mwanamke kileleni basi unausika katika hili somo!!!!…Wengi wakitaka kujua ni namna gani ya kumfikisha mwanamke kileleni kwa kuzani hawana nguvu za kuhimiri kufanya tendo kwa muda mrefu bila kufikiri kuwa kumuandaa mwanamke kabla ya tendo kunaweza kukusaidia …
Continue reading “Huu Ndio Utundu Komesho Kwa Mwanamke KitandaniAuto Draft”