Habari ndugu msomaji wa makala zangu katika kijiwe cha mapenzi , karibu tena siku ya leo tuweze kujifunza zaidi kuhusu Ndoa na Mahusiano, leo tutazungumzia mahusiano. Mahusiano ni sehemu kubwa sana katika kufanikiwa au kutokufanikiwa kwenye maisha yako, kama hauko kwenye mahusiano mazuri unaweza kukuta ndoto zako zinakufa na unashindwa kuwa yule mtu ambae umepanga …
Continue reading “Jinsi ya kumsahau mpenzi wa zamani pasina gharama kubwa”