4 SEX UAL HEALTH TEST THAT CAN SAVE YOUR LIFE

You have a standing appointment with your gynecologist every year-for a pelvic exam, to discuss birth control issues, and to undergo tests. Thing is, some of the testing guidelines have shifted in the last few years, and a lot of women (and some gynos too) missed the memo. That’s scary, because not being screened for …

Maneno ambayo humfurahisha mwanamke katika mahusiano ya mepenzi .

Wakati vijana wengine wanalalamika kuwa ni vigumu kuuteka moyo wa msichana, jibu ni rahisi kwa sababu hawatumii maneno sahihi. watu wengi pia huwa hawana maneno ya kusema na wengine hawajui kabisaaa hata jinsi ya kuanza. Sasa hebu tujifunze haya maneno ya kumwambia msichana unaempenda na unahitaji awe wako milele. 1. Macho yako ni mazuri , …

Have an Amazing Orgasm: Eat Right for a Bigger O!

A bigger O could be a few bites away. Incorporate these healthy foods into your diet for a crazy-good climax There’s a reason why romantic dates often involve wining and dining, says dietician Torey Jones Armul: “Eating causes the release of oxytocin, which is associated with feelings of pleasure. The act of eating, like a …

Mbinu za kumfanya mwanamke akupende pasipo kumtongoza

Ushawahi kujikuta katika hali ambayo unashindwa kujua utaanza vipi kuongea na mwanamke? Ni mwanamke mzuri ambaye moyo wako unamtamani lakini akili yako inashindwa kutengeneza mawazo ya jinsi utakavyoanzisha stori na yeye. Unabakiwa ukimuangalia akikupita mbele yako, ama mbaya zaidi anakuja kuchukuliwa na wanaume wasiokuwa na thamani yeyote kwa maisha yake. Unabakia na majutio na mawazo …

Dalili zitakazokuonesha msichana anayekupenda ila anashindwa kukuambia .

Kwa hivi sasa kumekuwapo na imani potofu kwa wanawake kwamba hawawezi kumwambia ukweli mwanaume anampenda kwanza mpaka mwanaume aanze lakini ukweli usiopingika ni kwamba wao pia hupendi na mara nyingi wao wakianza kupenda hupenda kweli kufikia hatua hata ya kuhisi kuumwa. Hizi ni dalili za mwanamke anaekupenda ila anagoma kukwambia tu; Huwa anapenda kukugusa sehemu …

JINSI Ya Kumtext Mwanamke Hadi Akupigie Simu Wa Kwanza

Kutumia sms kuanzia wiki hadi mwezi bila kupiga simu ni VIBAYA. Unahatarisha kuitwa boyfriend wa sms, na labda hautakuwa boyfriend wake wa ukweli. Kuondoa hizi athari unapaswa kutumia maujanja haya matatu.Mbinu #1: Toa majibu yasiyokuwa moja kwa moja.Wanawake wanapenda majibu ya moja kwa moja kama wanataka kujua kitu flani kutoka kwako. Mwanamke anaweza kukuuliza “Wewe …

Linogeshe penzi lako kwa kuzingatia mambo haya !

WAPENZI wasomaji wangu, naomba leo niende moja kwa moja kwenye mada yangu ya wiki hii ambayo kwa kiasi kikubwa inawagusa wanawake. Nazungumzia mambo ambayo mwanamke anatakiwa kuyazingatia ili aweze kumshika ipasavyo mumewe na kuinogesha ndoa yake. Ni mengi anayostahili kufanya mke kwa mumewe lakini kwa leo nitazungumza machache ambayo naamini yatakuwa na manufaa kwako. Timiza …

Jinsi ya kumfanya mumeo awahi kurudi nyumbani

Inawezekana ukawa upo kwenye mahusiano yenye changamoto ya Mume wako kuchelewa kurudi nyumbani, Zifuatazo ni njia ambazo zinaweza kukusaidia kumrejesha mapema nyumbani. Jambo la kwanza ni vizuri ukajiuliza kama kweli upo katika ndoa sahihi, kwa kutizama chanzo cha mahusiano yenu ni kitu gani kilichowaunganisha lakini Pia ukajiuliza bila kujidanganya wewe na Mumeo mnafahamu maana halisi …

Kanuni kumi ’10’ za kuwa mke mwema

UHALISI WA MAISHA:Maisha halisi ya mwanamke anayetarajia kuwa mke/ mke tayari hii ni kumaanisha kuwa wanawake mashujaa tunapaswa kuishi maisha ambayo yanatutambulisha kama mfano wa kuigwa ili tunapozungumza na kufundisha mabadiliko tuwe tunazungumza uhalisia wa maisha yetu ambao unajengwa na haya yafuatayo; UVUMILIVU:Kuwa mvumilivu katika maisha yake ya kila siku hasa ukizingatia kuwa tunakutana na …

Tahadhari Kwa Wadada Mnaopenda Kuvaa Shanga Kiunoni…

Bwana Yesu asifiwe!!! Wanawake wengi wanapenda kuvaa shanga kiunoni wakiamini zinawavutia wanaume wengi katika mapenzi.Napenda kutoa tahadhali kwa wanaopenda kuzivaa hasa kiunoni kuwa asilimia 80% ya shanga zinazouzwa zikiwa zimeshasokotwa zinatengenezwa na waganga WA kienyeji au watu ambao ni mawakala WA shetani na kuzinuizia mapepo kwa malengo yafuatayo: Kuharibu au kuiba nyota za watuKuwafunga wanawake …

Design a site like this with WordPress.com
Get started