Kwa mwanaume hakuna kitu kinakuwa sexy kama mwanamke ambaye anakuwa loud kitandani na si kuwa na vikelele tu bali kujihusisha moja kwa moja kwa mwanamke katika kuongea maneno matamu au sweet words).Mwanaume akiwa kwenye game anapenda sana kujua mke wake anajisikia vizuri kwa kile anafanya na kwamba mwanamke anaonesha total participation, pia vile mke unatamka …
Category Archives: mapenzi
HATUA ZA KUAPPROACH WANAWAKE KATIKA KIKUNDI BILA KUKATAA
Kuapproach wanawake wakiwa katika kikundi ni jambo gumu sana kwa mtu yeyote kutimiza. Hata kwa wale ambao wanajiamini mbele ya wanawake inafikia wakati flani wanapatwa na changamoto moja au nyingine. Lakini kama kawaida mambo kama haya yanaeleweka kwa kuwa unaaproach wanawake wengi wakati mmoja na pia kunaweza kutokea maswala mengine ambayo yanaweza kujeuka changamoto kwako. …
Continue reading “HATUA ZA KUAPPROACH WANAWAKE KATIKA KIKUNDI BILA KUKATAA”
SMS ZA KUELEZEA UNAVYOMPENDA
*********Ask my eyes to stop looking at you… Ask my brain to stop thinking about you.. Ask my imagination to stop dreaming about you.. Ask my heart to stop beating. Ask me everything. But don’t u ever stop me from loving you.******** 🔥♥♥♥ Ugali, pilau, ndizi na nyama si vitamu unajua kwanini? Ukiula haupigi kelele, …
SMS ZA MAHABA
Raha kwako naipata, hakika nimeridhika,Kwako hakuna matata, moyo wangu umefika,Usiku ninakuota, kwako naliwazika,Siogopi kukupenda, hata watu wakisema. 🔥♥♥♥ Upendo uso kipimo, wewe nimekupatia,Moyo unalo tuwamo, raha naipata pia,Kwenye moyo wangu umo, raha yangu ya dunia,Siogopi kukupenda, hata watu wakisema. 🔥♥♥♥ Wenye kusema waseme, waseme hadi wachoke,Roho zao ziwaume, ziwaume wakereke,Mioyoni ziwachome, wachomeke wakauke,Siogopi kukupenda, hata …
PESA INAPOGEUKA KIUNGANISHI KWENYE MAPENZI, HESABU MAUMIVU
IJUMAA imewadia, karibu msomaji wangu kwenye uwanja huu na kama kawaida, mada ya leo ni kama inavyojieleza hapo juu. Uhusiano wa kimapenzi una changamoto nyingi, ukiachana na mambo ya usaliti na kuumizana mioyo, suala la pesa ni tatizo jingine linalowasumbua wengi. Ukizungumza na wanaume wengi, watakueleza wazi kwamba wapo kwenye uhusiano na wanawake ambao wanajua kabisa kwamba …
Continue reading “PESA INAPOGEUKA KIUNGANISHI KWENYE MAPENZI, HESABU MAUMIVU”
Huyu Mwanaume Anakupenda Kweli Mshikilie
Mwanasaikolojia Zick Rubin kutoka Chuo cha Havard nchini Marekani aliwahi kusema kwamba watu wanaopendana hutumia asilimia 75 kutazamana kuliko wasiopendana, ambao kiwango chao ni asilimia 30-50. Hii ina maana kwamba mwanaume anapotumia muda wake mwingi kumtazama msichana na kugeuka taratibu kuangalia vitu vingine kama mtu asiyependa kuacha kumwangalia, ujue anampenda. MIPANGO Mwanaume anayekupenda atakushirikisha kwenye mipango …
KWANINI WANAUME WENGI WACHOVU KITANDANI?SOMA HAPA
Kuna kitu kinanishangaza sana, siku hizi wanaume wengi wamekuwa wakifurika kwa wataalam wa madawa ya asili kwa ajili ya kuweza kudumisha uwezo wao wa kitandani. Inadaiwa kuwa wanaume hao wakienda raundi moja hawawezi kurudia ile ya pili na hata wenye uwezo wa kurudia huwachukuwa muda mrefu sana, kama raundi ya kwanza iliisha saa tano usiku …
Continue reading “KWANINI WANAUME WENGI WACHOVU KITANDANI?SOMA HAPA”
HAYA NDIYO MADHARA YA KUNYONYANA SEHEMU ZA SIRI KWA KUTUMIA MIDOMO
ZAIDI ya nusu ya vijana Duniani wanakumbwa na magonjwa mbalimbali yanayotokana na maambukizi ya virusi vinavyotokana na ngono zembe.Kwa muujibu wa utafii uliofanywa na jopo la Madaktari nchini Marekeni umebaini kwamba, vijana wengi hususan Barani Afrika wanakumbwa na magonjwa ya kuambukiza kutokana na tabia ya kufanya ngono zembe na kunyonyana sehemu mbalimbali za miili yao. …
Continue reading “HAYA NDIYO MADHARA YA KUNYONYANA SEHEMU ZA SIRI KWA KUTUMIA MIDOMO”
MASWALI UNAYOWEZA KUMUULIZA MPENZI WAKO MARA YA KWANZA MNAPOKUTANA
Watu wengi wanakuwa na kigugumuzizi kwa mara ya kwanza anapoenda kukutana na mtu anaempenda, wapo wengine hujikuta wanapata muda mgumu dakika chache kabla ya kukutana na mtu kabla ya kukutana na kuanza kujifikiria ni kitu gani ataenda kuongea anapoenda kukutana na mpenzi wake. Basi usipate shida, haya ni baadhi ya maswali ambayo unaweza kumuuliza mpenzi …
Continue reading “MASWALI UNAYOWEZA KUMUULIZA MPENZI WAKO MARA YA KWANZA MNAPOKUTANA”
Ukiwa na demu chumbani au geti halafu akakwambia maneno haya usipoelewa basi wewe boya
1. Unapokuwa umetembelewa na mwanamke/msichana chumbani kwako kisha anakuambia funga pazia chumba kiwe giza sipendelei mwanga, unafanya hivyo kisha unakuwa kama zimwi ujauelewa ujumbe wake hapo. My broad wewe ni bonafide dumb 2. Pindi akikuambia anajisikia baridi kisha unazima AC unawasha fan. My broad wewe ni bigwa wa kutoelewa ujumbe. 3. Pindi mkiwa mnatazama movie …