SIRI MUHIMU UNAZOTAKIWA KUZIJUA KUHUSU WANAWAKE

Wanawake wana siri nyingi sana mioyoni mwao na kwa kawaida huwa hawawezi kuonesha hisia zao za ndani moja kwa moja. Ni watu ambao mara nyingi hupenda kuwasilisha vilivyomo ndani yao kwa ishara. Kwa mtindo wa maisha ya wanaume wengi wa sasa ni vigumu kusoma ishara hizo na kujua mahitaji ya mwanamke husika. Bahati mbaya ni kwamba, …

JINSI YA KUIFANYA MICHEZO YA KIKUBWA KWA MUDA MREFU BILA KUFIKA KILELENI WAKATI WA TENDO

Kwenye tendo la ndoa wanaume wengi inawachukua dakika 3 adi 7 kufikia mshindo lakini asilimia 87 ya wanawake hupendelea kufanya tendo la ndoa kwa muda mrefu zaidi.Hapo ndipo wanaume wengi huzalilika kwa wake/wenzi wao na kuonekana sio wanaume wa kweli kwa kushindwa kufanya mapenzi au tendo la ndoa kwa muda mrefu. (1). MAZOEZI YA MASHINE …

HIZI NI DALILI ZA MWANAMKE ANAYEKUPENDA KWELI TOKA MOYONI ILA HAWEZI KUKUAMBIA

Kumekuwa na imani potofu kwa wanawake kwamba hawawezi kumwambia ukweli mwanaume anampenda kwanza mpaka mwanaume aanze lakini ukweli usiopingika ni kwamba wao pia hupendi na mara nyingi wao wakianza kupenda hupenda kweli kufikia stage hata ya kuhisi kuumwa. Hizi ni dalili za mwanamke anaekupenda ila anagoma kukwambia tu. 1. KUKUTEGA ILIKUJUA THAMANI YAKE KWAKOHufanya mambo …

FAIDA TANO MUHIMU ZA WEWE KULALA BILA NGUO

Binadamu alivyoumbwa na Mungu anapaswa kujisitiri kwa kuvaa mavazi yatakayofunika mwili wake. Lakini mavazi haya hayapaswi kuvaliwa kwa muda wote (masaa 24 kwa siku), kutokana na sababu mbali, za kiafya au za kawaida kama ilivyo asili ya uumbaji.Nchi zenye ukanda wa hali joto ikiwemo Tanzania, kulala huku ukiwa umevaa nguo ni moja ya vitu hatari …

ZIJUE FAIDA 17 KIAFYA ZA KUFANYA MAPENZI SALAMA

Kujamiana (ama tendo la ndoa) ni moja ya mambo muhimu sana katika maisha ya mwanadamu. Ni ukweli usiofichika kwamba wengi wetu tungependa kuwa na mwenza ambaye mnaridhishana katika tendo la ndoa. Si hivyo tu, bali tendo hili huleta maelewano katika uhusiano wowote ule. Lakini, kuna faida zozote za kiafya za kufanya tendo hili? Ndiyo! Zipo …

KULA MKE WA MTU KWA STYLE HII NI MBAYA SANA

Wapo wanawake ambao wao wanajua kila siku ni Ijumaa, yaani hawatambui kwamba kuna Jumamosi na Jumapili pia. Watu hawa ni wale wanaodhani maisha ni raha tupu na kwamba wanaoishi kwenye shida ni wajinga.Ukweli hauko hivyo, maisha yana changamoto nyingi sana. Kuna siku mambo yanaweza kuwa si mazuri lakini siku nyingine mambo yakawa supa. Mwanamke wa …

JIZUIE KUFIKA KILELENI MAPEMA KWA NJIA HIZI RAHISI

Sababu ya tatizo hili huweza kuwa ya Kibaiolojia na Kiakili. Kama wewe pia ni moja yao na unapenda kujua jinsi ya zuia hali hii, endelea kusoma.Kufanya mazoezi:Mwili wenye afya nzuri daima hufanya kazi vizuri, kwahiyo kitu rahisi cha kufanya ni kujenga tabia ya kufanya mazoezi ambayo husaidia kukujengea afya njema na kukupa mzunguko mzuri wa damu. …

Unajua Kwanini, Umemtongoza na Anasema Anakuchukulia Kama Rafiki?

“Hataki muwe zaidi ya hapo, anakuchukulia kama rafiki!” Stori inakwenda hivi; baada ya kumwangalia kwa muda mrefu, huyumwanamke anambae anakuuwa pole pole kwa mvuto wake, ambae anakila kitu ambacho wewe macho yako kwako unaona ndo kile kinachoitwa na kutengeneza uzuri usiopimika, ubongo wako unaamini ya kuwa mnaendana kwa kila kitu ila kinachokuchanganya ni wewe kutokua …

Umuhimu wa kusema samahani katika mahusiano ya mapenzi

Wanapokuwa watu wawili kwenye mahusiano, lengo lao linakuwa ni moja ambalo ni kupendana. Lakini kuna misunderstanding ambayo huwa hahikosi kwa wawili hawa hata kama ni wakamilifu kiasi gani. Cause no one who is perfect always!! Ila kuna jambo ambalo huwa lipo katikati yao pia ambalo ni kuelewana, na safari inaendelea. Kwenye mapenzi kuna njia tofauti …

Mambo yatakayomfanya mpenzi wako asikuache kamw

Upendo ni kitu ambacho hakizuiliki. Napale patakaposhikilia ule upendo ipasavyo ndo husikii wala huoni utakaloambiwa juu ya akupendaye. Matendo mbalimbali yanayofanywa na wale wapenzi moja kwa moja huchochea upendo wa moyoni ambao hudumu milele, ndio hapo utasikia keshapewa madawa, mara mke wake kamkalia kila atakachoomba lazima apewe na mengine mengi ambayo umekumbana nayo au kuyashuhudia …

Design a site like this with WordPress.com
Get started