Jinsi Ya Kumfanya Mwanaume Amsahau Mpenzi Wake Wa Zamani Ili Aje Kwako

Naamini hii hali ishawahi kukutokea wakati mmoja au mwengine, kuna mwanaume flani ambaye umependezwa naye lakini bado fikra zake ameziweka kwa mpenzi wake wa zamani. Ama umeanza kuchumbiana na mwanaume halafu baadae ukagundua kuwa huyu mwanaume mara kwa mara anamtaja mpenzi wake wa zamani katika maongezi yenu. Leo kama Daktari Mapenzi tumeamua kukomesha hili janga …

Mbinu za kumfanya mwanamke akukubaliMbinu za kumfanya mwanamke akukubali

Uwe na muonekano mzuriWanawake wanapenda wanaume wasafi na watanashati kwa hiyo ukiwa msafi na mtanashati utakua na mvuto kwake. Hivyo utakapoamua kumshawishi kufanya mapenzi itakua rahisi yeye kuwa rahisi kukubali. Mfanye ajisikie huru Ni rahisi mwanamke kufanya mapenzi na mtu anayejisikia huru mbaele zake na ambaye yupo huru kuongea na kufanya nae mambo mengine ya …

Vitu 4 abavyo Vitakufanya upewe Mapenzi Zaidi na Mpenzi wako Wikiendi Hii.

Watu wengi siku hizi huwa wanaanza kuiwaza wikiendi pale tu jua la jumatano linapokuwa linaanza kuzama. Usije kuwalaunu watu hawa maana huwa ni kawaida. Ni kawaida maana wikiendi ni siku ambazo watu wengi huweza kukutana na wawapendao bila kuwa na mashaka au mawazo mengine ya kiofisi au shughuli yoyote nyingine. Mihangaiko na jinsi mambo yanavyokuwa …

Njia rahisi za kuwavutia wanawake kihisia na kufanya wakupende, Je unazijua?

Mwanamke hutumia muda mdogo sana kuamua kama una uzito wowote wa kumfanya yeye atoke na wewe kutokana na vitu vidogo vidogo unavyofanya na vile ambavyo huvifanyi ndo vinamsaidia kufikia kwenye maamuzi yake. WaulizeWanaume imejaribu kukusanya njia rahisi za kumshika kihisia mwanamke ambazo sio ngumu wala za kupoteza mda na zitatoa tofauti kubwa kati ya kuangaliwa …

Dalili za mwanamke anayetoka nje ya ndoa

Wataalamu wa maswala ya mahusiano wanaamini kwamba, mwanamke anapotoka nje ya ndoa yake, inakuwa rahisi sana kubainika au kufumaniwa kuliko ilivyo kwa mwanaume.Hii inatokana na ukweli kwamba, hisia zinakuwa na nafasi kubwa sana kwa mwanamke, kwani mwanamke huishi kwa hisia zaidi kuliko mwanaume. Bado nasisitiza kwamba, haipaswi na siyo sahihi mtu kuchukulia dalili hizi kama …

Fahamu jinsi ya kupata mpenzi bora

Unapochagua mpenzi wa maisha unatakiwa kuhakikisha unachagua mpenzi ambaye mtaendana naye kitabia, wengi wa wanawake na wanaume wengi wao utawasikia wakisema mimi nataka mpenzi asiye mlevi wakati huo yeye mwenyewe ni mlevi, kwa kufanya hivi kama utapata mpenzi, ni lazima mapenzi hayo hayatadumu kwa sababu utakuwa umepata mtu ambaye hamuendani kitabia na kihisia pia. Hivyo …

Upendo wa Mapenzi unahitaji vitu hivi

Asante sana kwa kuendelea kutembelea Muungwana blog siku ya  leo tunataka kuzungumza na wewe mambo muhimu yatakoyokufanya uweze kudumu katika mahusiano.,Ili uweze kudumu katika masuala ya mahusiano ya kimapenzi ni lazima ujue ya kwamba ipo haja ya kujua mambo haya yatakayokusaidia wewe kudumu katika mahusiao hayo. 1. ImaniUpendo unahitaji imani ni kuwa na uhakika wa …

Huu Ndio Utundu Komesho Kwa Mwanamke Kitandani

Karibuni katika somo jingine ndugu wapenzi wa Elimu Kuhusu Mapenzi na Mahusiano kumekuwa na maombi kama huwezi kumfikisha mwanamke kileleni basi unausika katika hili somo!!!!…Wengi wakitaka kujua ni namna gani ya kumfikisha mwanamke kileleni kwa kuzani hawana nguvu za kuhimiri kufanya tendo kwa muda mrefu bila kufikiri kuwa kumuandaa mwanamke kabla ya tendo kunaweza kukusaidia …

YAJUE MAMBO MANNE YA KUFANYA BAADA YA KUMALIZA KUFANYA TENDO LA NDOA!

Namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunijaalia siha njema na pia kwa kunipa mwangaza wa kuandika hiki ninachokusudia. Pia niwashukuru wapenzi wasomaji wa safu hii ambao tumekuwa tukiwasiliana na kushauriana hili na lile katika tasnia hii adhimu ya mapenzi. Nawakaribisha sana! Labda kwa wale wasiofahamu niwaambie tu kwamba dhana ya mapenzi ni dhana yenye wigo mpana sana …

Yafahamu mambo ambayo ni sumu katika mahusiano yako na mpenzi

Katika harakati zako za kutafuta mpenzi, unaweza kukutana na mwanamke ambaye kwa sababu moja au nyingine anakwondolea uwezo wako wa kufikiri, kutumia mantiki na pia kutumia akili yako ya kuzaliwa. Si lazima awe amekufanyia kitu, lakini inaweza kuwa ni ulevi wako tu unaosababisha ufanye mambo yasiyo ya kawaida. Pengine ndiyo maana baadhi ya wasanii huzungumzia …

Design a site like this with WordPress.com
Get started