Ishawahi kutokea kwa kila mwanamke ya kuwa kuna mwanaume mmoja ambaye anakutongoza ilhali unamchukia. Halafu mbaya zaidi ni kuwa mwanaume kama huyu haskii kabisa, kila ukijaribu kumkataa ndivyo anavyozidi kukuapproach.Mara nyingi huwa inaanza hivi. Anakuapproach, anakutongoza halafu unamkubali kiasi cha kuwa unataka kumsoma akili yake. Baada ya kutoka out ama deti mara kadha ukakuja kugundua …
Continue reading “Jinsi Ya Kuwaepuka Wanaume Wanaokutongoza Ilhali Unawachukia”