Mungu alimfanya mke kutoka kwa mume, awe mwenziwe na msaidizi wake akaye pamoja naye, kumfurahisha, kumtia moyo na kumpendeza, naye mume amepaswa kuwa msaidizi wake imara. Wote wanaoingia katika umoja wa ndoa wakiwa na kusudi takatifu mume kuyapata mapenzi safi ya moyo wa mke, na mke kulainisha na kuikuza vizuri tabia ya mumewe na kuikamilisha …
Category Archives: mapenzi
NOGESHA MAHUSIANO YAKO YA KIMAPENZI KWA KUFANYA MAMBO HAYA
Kutengeneza uhusiano wenye nguvu ni moja ya mambo yenye changamoto kubwa. Japo hakuna maelekezo maalum, kuna mambo machache na rahisi ambayo unaweza kumwambia mpenzi wako yakaujenga zaidi. Weka desturi ya kusema mambo haya kwa mpenzi wako na muda mfupi tu mtakuwa couple itakayowapa wivu marafiki zetu. NakupendaNakupenda ni kitu rahisi na cha wazi cha kumwambia …
Continue reading “NOGESHA MAHUSIANO YAKO YA KIMAPENZI KWA KUFANYA MAMBO HAYA”
SENTENSI 14 ZA UWONGO WA WANAWAKE:
1. I love u baby2. nipo singo3. nipo serious kuhusuwewe4. sikuwa na credit5. nitafanya chochote kwa ajili yako6. nataka unioe,7. NIAMINI…8. sinto achana na ww9. naomba usinache10. Usipge, Ntakupigia baada ya mda kidooogo,11. subir npo na baba12. nyumbani kulikuwa na wageni nkashindwa kutoka13. NAAPA..! we ndo pekee … 14. nipo period bby nitakuambia nikimaliza.wizi mtupu>>>>nimezikuta …
MBINU 7 ZA KUWAVUTIA WANAUME BILA KUTAMKA NENO LOLOTE
Ushawahi kujikuta katika hali ambayo unashindwa kujua utaanza vipi kuongea na mwanamke? Ni mwanamke mzuri ambaye moyo wako unamtamani lakini akili yako inashindwa kutengeneza mawazo ya jinsi utakavyoanzisha stori na yeye. Unabakiwa ukimuangalia akikupita mbele yako, ama mbaya zaidi anakuja kuchukuliwa na wanaume wasiokuwa na thamani yeyote kwa maisha yake. Unabakia na majutio na mawazo …
Continue reading “MBINU 7 ZA KUWAVUTIA WANAUME BILA KUTAMKA NENO LOLOTE”
UKIONA HIZI DALILI SITA UJUE MIMBA YAKO IMEHARIBIKA…
kuna sababu nyingi sana zinazoweza kuharibu mimba ya mama ikiwemo ugonjwa wa malaria, kaswende, kazi nyingi, magonjwa ya zinaa, u.t.i dawa fulani fulani mfano albendazole, misoprostol, metronidazole na kadhalika. lkiujumla sababu nyingi ambazo zinasababisha mimba kutoka huweza kuzuilika kwa kwenda kliniki mapema yaani pale tu unapohisi una mimba hata kama ni wiki mbili na kufuata …
Continue reading “UKIONA HIZI DALILI SITA UJUE MIMBA YAKO IMEHARIBIKA…”
UNATAKA KUDUMU PENZINI ?SIRI HII HAPA
WATU wengi wanatamani kudumu kwenye uhusiano lakini bahati mbaya huwa inashindikana. Mtu ambaye hadumu kwenye uhusiano, si kwamba anakuwa hapendi bali inatokea tu kutokana na sababu mbalimbali. Inatokea kwa sababu, huenda pengine ni kutokana na tabia zake au za mwenzake. Mfano, yawezekana akawa na ‘mdomo’ sana, yawezekana akawa mbinafsi. Au ana hulka ya ugomvi lakini mwenzake …
JINSI YA KUWAEPUKA WALAGHAI WA MAPENZI
MAISHA yanaenda kasi sana huku suala la ndoa likiwa ni kipaumbele cha kwanza na kigumu kwa wanawake. Wengi hujikuta wakichanganyikiwa pindi tu wanapotangaziwa ndoa. Mwanamke akiambiwa nakuoa, akili yote inamruka.Hana muda wa kuhoji mara mbili, cha muhimu ni kusikia tu ile kauli ya ‘nitakuoa’. Hiyo kwake ni kauli pekee inayomfanya atembee kifua mbele. Anakukabidhi moyo …
Fahamu Hizi Hapa ni Aina 7 Ya Vyakula Vinavyoongeza Nguvu za Kiume.
Mwanaume 1 kati ya 3 wana matatizo ya nguvu za kiume – hii ni kulingana na utafiti uliofanyika. Upungufu wa nguvu za kiume unasababishwa na mambo mengi ikiwemo ukosefu wa virutubisho muhimu mwilini. Ni jambo linaloweza kupata ufumbuzi kwa urahisi kama utazingatia kula vizuri na kufanya mazoezi.Ili kuongeza stamina kwenye mapenzi si lazima kutumia madawa …
Continue reading “Fahamu Hizi Hapa ni Aina 7 Ya Vyakula Vinavyoongeza Nguvu za Kiume.”
MWANAMKE AKIKUJIBU HIVI ACHANA NAE
Wanawake wa uswahilini wa siku hizi wamekuwa na swagger ya aina moja wanapotongozwa.utasikia “MIMI NAWAOGOPA WANAUME”,ukiuliza wewe ni bikra kwani? Atajibu hapana,ukiuliza kwa nini unawaogopa wanaume wakati we sio bikra atakujibu” NISHATENDWA SANA”. ndugu yangu nakushauri,kama ukijibiwa hivo basi ondoka fasta ujue hapo hakuna mwanamke kabisa,kwa sababu haiwezekani mtu atendwe yeye tu na kila mwanaume,ujue …
ATHARI ZA MWANAMKE KUSHINDWA KUFIKA KILELENI NA CHANZO CHAKE
TATIZO hili la mwanamke kutofikishwa kileleni wakati wa kujamiiana huitwa ‘Female Orgasmic Disorders’ kufika kileleni tunaita ‘orgasm’ au ‘climax’. Kila mwanamke ni lazima afike kileleni wakati wa tendo hili. Hii ni hali ya kimaumbile ambayo imeumbwa na Mungu.Mwanamke hufika kileleni pale anapokuwa amesisimka kwa kiwango cha hali ya juu. Hali ya msisimko kwa mwanamke tunaita …
Continue reading “ATHARI ZA MWANAMKE KUSHINDWA KUFIKA KILELENI NA CHANZO CHAKE”