Unaweza dhania kuwa kutuma ujumbe mfupi kwa mwanamke ili umsisimue haifai. Lakini kusema kwa hakika, inawezekana kumtumia mwanamke SMS ambayo inaweza kumsisimua na pia kupata atenshen kutoka kwake. đ„â„â„â„ Hii inaweza kufanya kazi vizuri iwapo umeingiwa na kibaridi cha kuongea na mwanamke moja kwa moja.Kabla ujumbe ufupi kuvumbuliwa, wanaume walikuwa wakifuata mbinu nyingine kuonyesha kuwa …
Category Archives: mapenzi
MANENO YA MAHABA KWA MPENZI WAKO….
leo nataka kuzungumzia maneno ya mahaba, jamani tunajuwa ya kwamba ukiwa na mpenzi wako unafurahi zaidi pale japo muda fulani atakupa maneno matamu, na mazuri na yenye kuzidi kukupa moyo wa wewe kuzidi kutaka kuwa naye… sasa kuna wapenzi wengine hata mimi nilishapitia mmoja wakati fulani, jamani wanaume na wanawake wenzangu hebu tujitahidi maneno kama …
ATHARI ZA MWANAMKE KUTOFIKA KILELENI KWENYE TENDO LA NDOA
TATIZOÂ hili la mwanamke kutofikishwa kileleni wakati wa kujamiiana huitwa âFemale Orgasmic Disordersâ kufika kileleni tunaita âorgasmâ au âclimaxâ.Kila mwanamke ni lazima afike kileleni wakati wa tendo hili.Hii ni hali ya kimaumbile ambayo imeumbwa na Mungu. Mwanamke hufika kileleni pale anapokuwa amesisimka kwa kiwango cha hali ya juu. Hali ya msisimko kwa mwanamke tunaita âsexual arousalâ …
Continue reading “ATHARI ZA MWANAMKE KUTOFIKA KILELENI KWENYE TENDO LA NDOA”
Njia rahisi za kuwavutia wanawake kihisia na kufanya wakupende, Je unazijua?
âSaa nyingine ni vitu vidogo vidogo tu ndo vinavyotengeneza mshiko mkubwa kihisia, sifa moja ya akili au ishara ndogo tu inaweza kumshika kihisia mwanamke, vile vile ukitoa sifa mbaya ndo mwisho wako!.âMwanamke hutumia muda mdogo sana kuamua kama una uzito wowote wa kumfanya yeye atoke na wewe kutokana na vitu vidogo vidogo unavyofanya na vile …
Continue reading “Njia rahisi za kuwavutia wanawake kihisia na kufanya wakupende, Je unazijua?”
WANAWAKE WENYE HIPSI NA SHIDA WANAZOKABILIANA NAZO HIZI HAPA
Wanawake wengi wenye hips , ni wanawake ambao si kwa mwanaume tu hata kwa wanawake wenzie husifia kuwa fulani kajaliwa, ki maumbile, ni kweli wana mvuto wa pekee, humwagiwa sifa nyingi za urembo, lakini pia kwa upande mwingine wa shillingi ni matatizo tupu.Sifa: 1. Huwatesa sana wakina baba wanapokuwa katika vyombo vya usafiri kama daladala, treni, …
Continue reading “WANAWAKE WENYE HIPSI NA SHIDA WANAZOKABILIANA NAZO HIZI HAPA”
Fahamu kuhusu tatizo la kukosa hamu ya tendo la ndoa
Ndugu zangu leo napenda tulijadili tatizo la kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa. Tutajadili sababu zinasababisha mwanaume kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa, madhara yanayotokana na hali hiyo na kisha kuona ni nini cha kufanya ili kuongeza hamu ya kufanya tendo la ndoa au kuongeza hamu. Bahati nzuri ni kwamba kuna mambo unayoweza …
Continue reading “Fahamu kuhusu tatizo la kukosa hamu ya tendo la ndoa”
Mambo 5 ambayo wanawake wanatamani mwanaume ajue wakati wa kufanya mapenzi
Hivi ni baadhi ya vitu ambavyo wanawake hutamani sana wanaume zao wawe wanajua katika mapenzi, ili wasipate shida ya kumwambia mara kwa mara, jambo ambalo si wanawake wengi huwa uwezo wa kumwambia mtu, hapo ndipo unakuta mara nyingi mwanamke anaanza kuchepuka na kwenda kwa mtu mwingine wa kawaida tu kupata mahitaji yake baada ya kuona …
Continue reading “Mambo 5 ambayo wanawake wanatamani mwanaume ajue wakati wa kufanya mapenzi”
YAJUE MAMBO MANNE YA KUFANYA BAADA YA KUMALIZA KUFANYA TENDO LA NDOA!
Namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunijaalia siha njema na pia kwa kunipa mwangaza wa kuandika hiki ninachokusudia . Pia niwashukuru wapenzi wasomaji wa safu hii ambao tumekuwa tukiwasiliana na kushauriana hili na lile katika tasnia hii adhimu ya mapenzi. Nawakaribisha sana! Labda kwa wale wasiofahamu niwaambie tu kwamba dhana ya mapenzi ni dhana yenye wigo mpana …
Continue reading “YAJUE MAMBO MANNE YA KUFANYA BAADA YA KUMALIZA KUFANYA TENDO LA NDOA!”
Unayetembea na Mume, Mke wa Mtu Hii Inakuhusu Sana !
LICHA ya kuwepo na msemo wa mke au mume wa mtu ni sumu bado watu wengi wameendelea kutenda tendo hilo. Hawahofii madhara yake. Wanaona kama ni jambo la kawaida. Wanahalalisha jambo hilo utafikiri kufanya hivyo ndiyo jambo jema.Kutembea na mke au mume wa mtu ni tabia. Huanza taratibu na baadaye hukua. Kama vile ilivyo kwa …
Continue reading “Unayetembea na Mume, Mke wa Mtu Hii Inakuhusu Sana !”
Usiforce kupendwa ukiachwa achika
Waziwazi unaonyeshwa kuwa HUPENDWI,HUSIKILIZWI,UNAPIGWA,HUHITAJIKI,UNADHARAULIWA,UNASALITIWA,UNATUKANWA,UNAFUKUZWA,NA UNAKASHIFIWA,,,,, Umemaliza ndugu wote kwa kuwapa malalamiko ya matendo ya mwenza wako bado hajabadilika,,,, mpaka imefikia hatua hata ndugu na marafiki hawapokei tena simu zako,,,,,kwa kujua wazi simu zako wewe ni za malalamiko tu,,,,, lakini bado umengâangâana kama ruba huku ukijiona mvumilivu,,,,,,, huo sio UVUMILIVU huo ni UTUMWA#USIFORCEKUPENDWAUKIACHWAACHIKA.