Hii ndio Thamani ya MWANAMKE

Mwanamke ni kama Jua unaweza usione umuhimu wake, yaani kila siku unaenda mjini jua lipo tu,unaliangalia lakini huangalii umuhimu wake kwako. Wakati mwingine likiwa kali unaanza kulalamika kuwa linachoma na lina kera. Lakini ukitafakari kidogo tu utajua kuwa bila jua maisha yasingekuwepo. Chakula tunachokula ni kwasababu ya Jua, mvua ikinyesha sana mafuriko yakitokea tunatamani jua,kwenye …

Jinsi yakujua Mwanamke ambae hajatulia

Mwanamke ambaye ni muhuni kwa hapa mtaani kwetu huwa anaitwa majina mengi sana, wengine humuita danga, kicheche, kiwembe na mengineyo mengi. Hata hivyo pamoja na kuwapo kwa majina hayo wengi wa wanaume bado hawajajua ni kwa namna gani wanaweza kumjua mwanamke ambaye hajatulia, makala haya ni jibu tosha.Hivi ndivyo utakavyoweza kumjua mwanamke ambaye hajatulia: Siyo …

Zijue Hatua Za Kumfanya Mwanamke Akutamani

Ungehisi vipi kama kila unapoamka asubuhi mwanamke unayemjua anakuwa wa kwanza kukutumia jumbe za kimahaba na kukuambia, “Jana sikulala, nilikuwa nakufikiria wewe”?Ama je, kila ukikutana na huyu mwanamke anakwambia, “bebi usiende, nataka muda mwingi na wewe. Nakumiss sana”? Ni raha iliyoje hii? Sasa fikiria ungekuwa na uwezo wa kufanyia hivi mwanamke yeyote yule unayekumbana naye! …

Ukiyaona haya Kwa mwenza wako tambua ana mtu nje

1.Nakupenda lakini Sina Hisia nawe(Kwa wale ambao bado hawajaoana)Hii ni dalili kwamba Mpenzi wako ana mtu mwingine nje na inawezekana kabisa kwamba yeye ndo anapendwa zaidi yako wewe hata kama muda mwingi upo nae! Anakutumia tu huyo ! 2Sisi ni Marafiki tu!Kwa ambao bado hawajaoana Ukimuuliza Mpenzio unanichukuliaje au mimi ni nani kwako anakuwa anasuasua …

Jiulize unataka mwanamkegani mwaishani mwako

Wadada wengi wanaolia kisa mahaba,,,wengi wao ni wale wanaopenda wakaka/wanaume wa show off yaani wanaolelewa na wazazi wao,,,Wewe unashoboka na mwanaume/mkaka anayelala kwa mama yake hata akikujaza mimba hana pa kukupeleka wala hawezi kukuhudumia,,,,,Na msipojielewa mtaishia kuwa mabango ya shabaha za mapenzi mpaka kiama,,,,Tulia weka malengo unataka aina gani ya mwanaume maishani mwako na akija …

Ulishajiuliza Unapenda Nini Kwa Mpenzi Wako?

Mnatafuta nini ndani ya wenza wenu ni kitu gani mnaangalia/mnakiona ndani ya mtu unayeamua kuwa naye kama mchumba/mume/mke. Je, ni macho yake au tabasamu, ama ni muonekano wake, uchangamfu au upole, ni kitu gani unachokiona ndani ya mtu kinachokuvutia. Wengine wanavutiwa jinsi mtu anavyofikiria, au mwili wake, wewe je? Unaweza ukawa umevutiwa na kitu kimojawapo, …

AutMANENO MATAMU YA MAPENZI YA KUMWAMBIA MSICHANA.o Draft

Kwa hili naamini maneno matamu, wakati ule unapokuwa unajaribu kupata msichana umtakae maishani mwako ili uuteke moyo wake awe wako, unahitaji kujifunza  jinsi ya kutumia  maneno matamu. Lakini ukumbuke si kila neno linaweza kuugusa moyo wa mwanamke. Lakini maneno matamu  hufanya vitu vya kushangaza sana , humtoa nyoka pangoni. Wakati wanaume wengine wanalalamika  ni jinsi …

AINA 10 YA WANAWAKE WANAOPENDWA NA WANAUME

1. WENYE MSIMAMOWanawake daraja la kwanza wanaopendwa zaidi na wanaume ni wale wenye msimamo, uelewa mkubwa wa mambo na maamuzi sahihi, wako makini kwenye matendo yao na siku zote hufanya vitu kwa ajili ya kupata mafanikio. 2. WAPENDA USAWAAina ya pili inayohitajika katika katika ulimwengu wa kimapenzi ni wanawake wanaoheshimu usawa wa jinsia, walio tayari …

IFA ZA MWANAMKE MNENE AWAPO KITANDANI NA RAHA YAKE.

Mwanamke mnene ni mtamu sana, ana joto kali sana ndani ya uke, ana nyamanyama ambazo hazimuumizi mwanaume wakati wa kutoa mastyle, mwanamke mnene akikaa style ya chuma mboga basi lile sponji la nyuma loooote lasababisha maangamizi ya ………………………………..Watu wanasema eti wanawake wanene wananuka na huwa na fangasi?Aliewaambia wanene wananuka nani? wanaonuka ni kwa sababu hawajui …

HIZI HAPA FAIDA 10 ZA KUFANYA MAPENZI ASUBUHI

Wanasayansi wamekuwa wakifanya tafiti mbalimbali zinazohusu maswala ya Mapenzi na wengi wao wanagundua kuwa kufanya ngono ama mapenzi si tu kujihisi au kujisikia vizuri. Pia inaweza kuwa nzuri kwa ajili ya Afya zenu. Hapa ni kile ambacho maisha ya kimapenzi kiafya yanaweza kufanya kwa ajili yenu au yako. Soma zaidi ufahamu faida hizi za kushangaza …

Design a site like this with WordPress.com
Get started