1.NI KITU GANI AMBACHO UNAJUTIA SANA KUKIFANYA NA KAMWE HUWEZI KURUDIA TENA KUKIFANYA? 2.NI TABIA GANI UNAYO INAYO KUKERA HATA WEWE MWENYEWE? 3.RAFIKI YAKO MPENZI NI NANI? 4.KATIKA MAISHA YAKO NI KITU GANI UNAKIOGOPA SANA? 6.KUMBU KUMBU GANI ZA UTOTONI HUWA ZINAKUFURAHISHA SANA UKIKUMBUKA? 7.UNAPENDA MPENZI WAKO AWE NA SIFA GANI? 8.KITU GANI UNAPENDA KUKITIMIZA …
Category Archives: mapenzi
SABABU YA NDOA ZA SASA KUVUNJIKA MAPEMA
NAMSHUKURU Mungu kwa kunilinda, kuniongoza na kunijalia pumzi bure ili nizungumze nawe kupitia safu nzuri ya maisha na uhusiano ya XXLove. Mpenzi msomaji wimbi la kuvunjika kwa ndoa nyingi za zama hizi ni kubwa mno, tena wanandoa wenyewe wanaachana kwa kuvunjiana heshima, kukashifiana, kufikishana mahakamani na mambo mengine kadha wa kadha yanayoacha majeraha yasiyopona mioyoni …
MAKOSA YANAYOFANYWA NA WANAWAKE WENGI KATIKA MAHUSIANO YA KIMAPENZI
Hakuna kitu kizuri kwenye uhusiano kama kuishi vizuri, uhusiano usiwe na ugomviugomvi wa kila mara. Kila mmoja aujue wajibu wake kwa mwenzake, amsome mwenzake ni mtu wa aina gani ili kuweza kujua namna ya kuishi naye. Mathalan ni vyema kumsoma mwenzi wako kama ni mtu wa hasira sana, ujue namna ya kuishi naye. Anapokuwa na …
Continue reading “MAKOSA YANAYOFANYWA NA WANAWAKE WENGI KATIKA MAHUSIANO YA KIMAPENZI”
DALILI KUU MBILI ZA MWANAMKE ANAPOKARIBIA KUFIKA KILELENI
Siku zote katika mapenzi hakuna kitu kizuri kama kuridhishana hususan katika tendo la ndoa, ukweli uliopo ni rahisi sana kwa mwanaume kuwahi kufika kileleni kuliko mwanamke hii inatokana na sababu nyingi kwa upande wa mwanaume suala la kuwahi kumaliza mapema linaweza kusababishwa na tatizo la nguvu za kiume na kukurupuka katika tendo kwa maana ya …
Continue reading “DALILI KUU MBILI ZA MWANAMKE ANAPOKARIBIA KUFIKA KILELENI”
MAMBO WANAYOPENDA KUFANYIWA WANAWAKE MUDA WOTE MKIWA PAMOJA.
Mapenzi yanataka elimu,lakini si wote wanaojielimisha namna ya kuwafanya wapenzi wao wajione kuwa ni salama na hivyo kuyafanya mapenzi yao kudumu kwa muda mrefu. Wanaume wa siku hizi wamekuwa hawafahamu ni vitu gani ambavyo wanawake wanapenda kuvipata kutoka kwao,,kushindwa kuwa na elimu hii,wanaume wengi wamejikuta wakitumia ukali kuwatawala wake zao,jambo ambalo limekuwa likizidisha migogoro ya …
Continue reading “MAMBO WANAYOPENDA KUFANYIWA WANAWAKE MUDA WOTE MKIWA PAMOJA.”
SHORT LOVE MESSAGES GIRLS MOST LOVE
Sharing these charming and short love messages with your partner can fill their heart with joy. Meeting you was fate, becoming your friend was a choice, but falling in love with you was beyond my control. You may not love me like I love you,You may not care for me like I care for you But …
MAMBO AMBAYO WANAUME HUKOSEA WAKATI WA KUTONGOZA
1.PAPARA wanaume wengi tumekuwa na haraka sana tunapokuwa tukitaka kuaproach hali inayomfanya mwanamke akuwekee ugumu.mfano umekutana na dada mzuri mmesalimiana hapo hapo unamuomba namba yake.mjomba hata akikupa ujue utasumbuka sana kumpata coz atakufikiria sana juu ya uharaka wako. 2.KUJIFAKE wanaume wengi tumekuwa tukijipandisha au kujionyesha tofauti na hali zetu.ukiwa unaaproach jaribu kuwa real.huwezi kumwambia mdada unafanya kazi …
Continue reading “MAMBO AMBAYO WANAUME HUKOSEA WAKATI WA KUTONGOZA”
HUYU NI SHEMEJI YANGU KABISA, MKE WA KAKA YANGU LAKINI UTANI WAKE UMEPITILIZA
Kuna ule utani wa mashemeji lakini utani wa shemeji yangu huyu umezidi ndugu zangu. Siku moja nilikuwa natoka zangu kwenye mizunguko yango ya kila siku mjini, nilipofika nyumbani nilimkuta shemeji yangu nyumbani, kaka alikuwa bado hajarudi. kama kawaida yake akaanza.“Haya mume wangu kipenzi leo umeniletea nini” Nikamwambia leo sina kitu wife kesho nitakuletea bonge la …
Continue reading “HUYU NI SHEMEJI YANGU KABISA, MKE WA KAKA YANGU LAKINI UTANI WAKE UMEPITILIZA”
Have an Amazing Orgasm: Eat Right for a Bigger O!
A bigger O could be a few bites away. Incorporate these healthy foods into your diet for a crazy-good climax There’s a reason why romantic dates often involve wining and dining, says dietician Torey Jones Armul: “Eating causes the release of oxytocin, which is associated with feelings of pleasure. The act of eating, like a …
Continue reading “Have an Amazing Orgasm: Eat Right for a Bigger O!”
The benefits of sleeping next to the one you love
1. You get to share warmth. 2. The most intimate and personal conversations happen in bed, head on pillow. You two will get to know each other deepest there. 3. People are most real in bed. No make up, no trying to look polished for the world. In bed, everything is raw and vulnerable, you …
Continue reading “The benefits of sleeping next to the one you love”