MWANAMKE AKIKUJIBU HIVI ACHANA NAE

Wanawake wa uswahilini wa siku hizi wamekuwa na swagger ya aina moja wanapotongozwa.utasikia “MIMI NAWAOGOPA WANAUME”,ukiuliza wewe ni bikra kwani? Atajibu hapana,ukiuliza kwa nini unawaogopa wanaume wakati we sio bikra atakujibu” NISHATENDWA SANA”. ndugu yangu nakushauri,kama ukijibiwa hivo basi ondoka fasta ujue hapo hakuna mwanamke kabisa,kwa sababu haiwezekani mtu atendwe yeye tu na kila mwanaume,ujue …

Vitu 12 ambavyo wanaume wengi sana huvifanya kitandani ambavyo huwafanya wanawake kuigiza wameridhika!.

Takwimu tofauti zinaonesha, na ni jambo ambalo hufaamika kwamba sio wanawake wote huwaga wanafika kileleni kila wakati wanapofanyamapenzi! Lakini pia, wanaume wengi hupenda kuigiza na kujifanya kwamba wao ni wataalam sana wa mapenzi! Na wanaume wa haina hii, hujisifia kwamba wao ni wazuri kiasi gani kitandani, na kwamba hakuna mwanamke yeyote ambaye alishalala nae ambaye …

8 Relationship Checks All Couples Should Have for a Healthy Love Life

Have you ever talked to your guy, or even just stood in his presence, and had this nagging feeling that something was a little bit off? Call it a sixth sense or an unspoken undercurrent, but sometimes you just know when the train is beginning to run off the tracks. “There aren’t usually flashing red warning …

SABABU 4 ZA KUOA/KUOLEWA NA KUISHI MAISHA YA FURAHA BAADA YA NDOA

Kama upo katika uhusiano wa muda mrefu kwa sasa na unajiuliza kwamba kweli unaweza kuuvaa huu wajibu mpya wa kuishi na mtu maisha yako yote kwa kitu kinachoitwa ndoa, zifuatazo ni sababu 4 za kuingia katika ndoa ambazo unapaswa uzizingatie. Kama utazitafakari kwa makini hizi sababu, utaelewa upande mzuri wa ndoa na utajua kama upo …

24 things to do when your husband doesn’t satisfy you in bed

Sex is not just about the man alone, women too have sexual needs. Failing to acknowledge this has led to many women feeling sexually starved and frustrated. What do you do as a wife when your husband doesn’t last an erection, doesn’t make to love to you to your satisfaction, thinks only about his sexual …

Mama kuwa makini House Girl Yaweza Kuwa Mke Mwenzio

Hivi ni vibaya House girl kuolewa na baba mwenye nyumba? karibu kwenye makala hii maalumu, nimeamua kuandika habari hii ili kujaribu kupunguza mifarakano kwenye familia zetu especially familia zenye wafanyakazi wa ndani wanaojulikana kama house girl. Katika mada hii nimekuwa nikikutana na maswali mengi sana ambayo mda mwingine yalikuwa yakituchanganya hata sisi wenyewe katika kuwajibu …

Haya ndio Madhara ya Kufanya Mapenzi Kupita Kiasi

Katika hali ya kawaida kufanya mapenzi kuna faida nyingi, lakini linapokuja suala la kuzidi kiasi tunapata matatizo ya msingi ambayo huleta madhara kwa watu wanaoendekeza sana ngono. Kuna watu ambao hawezi kulala bila kufanya mapenzi na huku wengine wakikosa uwezo wa kuvumilia hata kwa siku mbili au tatu.Hilo linaweza kuwa jambo jema kwa upande mwingine, …

Hizi Hapa Mbinu za Kujitibu Tatizo la Nguvu za Kiume

Tatizo la nguvu za kiume limekuwa ni tatizo kubwa sana, tumekuwa tukishudia michepuko mingi ikiongezeka kila kukicha huku wengine wakithubutu hata kuvunja mahusiano yao hii ni kwa sababu ya tatizo hili, hivyo ili kuweza kuondokana na tatizo hili ipo haja ya kutambua namna ambavyo tunaweza kujitibu tatizo hiloZifutazo Njia 13 za kujitibu tatizo la kupungukiwa …

ACHANA NA UBIZE USIO NA MAANA, TENGA MUDA WA KUWA NAYE

NI Ijumaa nyingine tu­napokutana katika uwanja wetu huu mzu­ri, tukijuzana na kuelimishana kuhusu mambo mbalimbali ya­husuyo mapenzi. Mada yetu ya leo ni kama inavyojieleza hapo juu. Je, mara ya mwisho kwa wewe na mpenzi wako kupata muda wa kukaa pamoja au kutoka ‘out’ ilikuwa ni lini? Una desturi ya kutoka na umpendaye, mkaenda mahali tulivu …

Enyi Wanaume Ishini na Wake Zenu Kwa AKILI” La Sivyo Mwanamke Atakukoroga Maisha Yako Yote

BIBLIA ILIPOSEMA “Enyi Wanaume Ishini na wake zenu kwa AKILI” Mungu alikuwa anajua anachosema.Kama huna akili Mwanamke atakukoroga maisha yako yote na utaishia kusema “Women are so Complicated”Wanawake huwa wanaongea vitu ‘Kirahisi-rahisi tu’ lakini huwa vinamaanisha ‘Vitu Vigumu Ajabu’Wanawake wanaweza kukwambia “Mi nataka Mwanaume anipende tu BHAASSS!!Ukidhani kwamba Upendo wako unatosha kwake UTAKUWA UMEFELIWanawake wanahitaji …

Design a site like this with WordPress.com
Get started