MAMBO YA KUZINGATIA KABLA HAUJAWA MJAMZITO

UJAUZITO ni safari ndefu inayomchukua mwanamke miezi tisa au majuma arobaini hadi kujifungua. Ni safari yenye mikikimikiki na hatari nyingi kwa mama na mtoto.

Tusichukulie suala la ujauzito kama jambo la kawaida ingawa pia ni wajibu kwa mwanamke.Ujauzito siyo hali ya hatari au kutisha endapo mambo ya msingi yatazingatiwa kabla ya kuwa mjamzito na kipindi cha ujauzito hadi baada kujifungua.

Katika kipindi cha ujauzito kuna mambo mengi ambayo ni mabadiliko humtokea mama na mtoto aliye tumboni.Katika makala haya tutazungumzia mambo ya kuzingatia kabla ya kuamua kubeba mimba, siyo kila mwanamke anaweza kubeba mimba kwa sababu wengine huwa na matatizo katika mfumo wao wa uzazi, aidha homoni zao hazifanyi kazi vizuri na mayai hayazalishwi au hayapevuki.Huenda pia mirija ya uzazi imeziba au ana matatizo ndani ya kizazi.

NINI CHA KUFANYA?

Ni vyema upange sasa unataka kuwa mjamzito au mwezi fulani unataka kushika mimba, uwe na mpango. Hata hivyo, hakikisha umri wako upo zaidi ya miaka 20 kwa usalama zaidi wa afya yako. Mshirikishe mwenzi wako na mwambie ungependa upate ujauzito, siyo vizuri kushtukiza kwani inaweza kukupa ‘stress’ wewe mwenyewe au mwenzako endapo mmoja wenu hajajiandaa kisaikolojia.

CHEKI AFYA YAKO

Hakikisha una afya njema, huna magonjwa sugu kama kisukari, shinikizo la damu, magonjwa mengine ya moyo, kansa, HIV, kifafa, pumu, siko seli au grupu lako la damu ni RH Negative.

Endapo una matatizo haya hapo juu, basi haraka wasiliana na daktari wako wa masuala ya uzazi akupe ushauri kwani magonjwa mengine yatakusumbua wakati wa ujauzito, au magonjwa yenyewe yatamwathiri mtoto.

Hakikisha huna magonjwa au matatizo katika viungo vya uzazi, mfano kutokwa na uchafu ukeni wenye muwasho na harufu mbaya, vipele au vidonda sehemu za siri, maumivu wakati wa tendo la ndoa, kutokwa na damu au usaha ukeni. Vile vile mfumo wako wa uzazi uwe vizuri, matatizo katika mfumo wa uzazi ni kama vile maumivu ya tumbo chini ya kitovu, kuvurugika kwa mzunguko wa hedhi, kutopevusha mayai na kukosa hamu ya tendo la ndoa.

VILEVI ACHA

Epuka unywaji wa pombe na uvutaji wa sigara, hili hata kwa mwanaume anayetaka mtoto.

Mwanamke kabla ya kuwa mjamzito hakikisha unakula sana mboga za majani ili upate kiwango kizuri cha vitamin ya Folic Acid, ni vema ule sana mboga za majani au upate virutubisho vya Folic Acid.

Endapo hutakuwa na kiwango kizuri cha Folic Acid, kuna hatari ya kuzaa watoto wenye matatizo.

MAZOEZI

Fanya mazoezi mepesi mara kwa mara ili kuimarisha nyonga na viungo vyako vingine na usipate matatizo wakati wa kujifungua. Pata ushauri wa daktari kipindi muafaka.

Tibu magonjwa yanayoathiri mfumo wa uzazi, mfano maumivu ya korodani, maumivu ya njia ya mkojo, upungufu au ukosefu wa nguvu za kiume. Kutoa manii mepesi sana kiasi kwamba baada ya tendo la ndoa manii zote zinatoka ukeni.

Ulishajiuliza Unapenda Nini Kwa Mpenzi Wako?

Mnatafuta nini ndani ya wenza wenu ni kitu gani mnaangalia/mnakiona ndani ya mtu unayeamua kuwa naye kama mchumba/mume/mke. Je, ni macho yake au tabasamu, ama ni muonekano wake, uchangamfu au upole, ni kitu gani unachokiona ndani ya mtu kinachokuvutia. Wengine wanavutiwa jinsi mtu anavyofikiria, au mwili wake, wewe je?

Unaweza ukawa umevutiwa na kitu kimojawapo, lakini unajua uhusiano mzuri haujengwi na vitu hivi tu, kuwa na uhusiano mzuri na mwenza wako inahusisha vitu vingi sana tofauti na tabasamu lake iwe unatafuta mtu wa kuwa naye au kama tayari upo katika uhusiano hakikisha mnakubaliana vitu muhimu ambavyo mkividharau kisa umempenda kwa sababu ya shepu yake au ucheshi wake vinaweza kuharibu uhusiano huko mbele ambapo ni pagumu zaidi.
Vitu unavyotakiwa kuangalia zaidi

Hivi ni baadhi ya vitu unavyotakiwa kuangalia ndani ya mwenza wako kama unataka uhusiano mzuri na kama kweli atakuwa mke au mume, epuka kuangalia vitu vya awali kama hivyo nilivyovitaja hapo.

Anakupa heshima yako, haijalishi kama yeye ni mkubwa kwako, na hapa heshima siyo salamu kama wengi mnavyodhani.

Anaheshimu maamuzi yako, kama ni katika kazi au kitu unachoamua kufanya na siyo kukucheka au kukudharau.

Hakukatishi tamaa anakuunga mkono kwenye kila jambo na kukupa moyo wa kushinda kila wakati.
Hakasiriki ukijipa muda na marafiki au familia yako, unatakiwa kuwa na uhuru wa kujichanganya na watu wengine siyo yeye tu.
Anasikiliza mawazo yako na kukushauri

Mnashea vitu unavyovipenda kama vile kuangalia muvi, aina ya muziki, kucheza. Angalau muwe na kitu kimoja ambacho wote mnapenda ili muwe na kitu cha kufanya pamoja, vitu vingine mnaweza kutofa-utiana haina shida kwa sababu hata mapacha waliozaliwa pamoja kuna wakati huwa wanato-fautiana lakini iwe kuna kitu mnaendana ambacho mtashiriki pamoja.

Mpenzi huyo asiwe mkaidi kwa kila kitu unachomwambia, hii inawahusu wapenzi wote si wanaume ama wanawake tu.

Awe anaheshimu mipaka yako, siyo atake kujua kila kitu chako kama vile kukagua simu au wapi unapokuwa saa 24, kama mpo katika uhusiano mnatakiwa mheshimiane maana mwanzo wa kufuatiliana saa zote ndiyo mwanzo wa ugomvi usiyoisha.

Asiogope kukuambia anavyojihisi, hii itawasaidia hata pale mtakapokuwa na matatizo ili muweze kusuluhisha mambo yenu, itawaondoa kwenye hali ya kila mtu kumuwekea mwenzake kinyongo.

Kumbuka uhusiano unahusisha watu wawili, wewe na patna wako muwe na usemi ndani ya uhusiano wenu na msiogope kuambiana mnachohisi na kusikilizana pia.

Ndani ya kila uhusiano kuna kugombana, hiki ni kitu cha kawaida kabisa. Wale mnaowaona wana furaha katika uhusiano wao wameweza kujua jinsi ya kuyamaliza matatizo yao.

RAHA YA MCHEZO NI MAANDALIZI YA KISAIKOLOJIA SIYO UCHAWI

JUMAA ya leo ningependa tujadiliane jambo la tofauti kidogo! Kabla ya yote, tukubaliane kwamba usiri na kukosa uwazi kwenye mambo yahusuyo faragha, ni tatizo ambalo limesababisha uhusiano na ndoa nyingi kuvunjika.  

Unakuta mtu ana tatizo kubwa kati yake na mwenzi wake, kwa sababu alishaaminishwa kwamba mambo haya ni siri na hayatakiwi kuzungumzwa popote, anabaki akiugulia ndani kwa ndani na mwisho uzalendo unapomshinda, anaamua kubwaga manyanga.

Wahenga walisema mficha maradhi, kifo humuumbua, usiwe miongoni mwa watu ambao wanaficha matatizo yao ya ndani, wakati mengine ni ya kawaida na yanatibika kwa urahisi! Maisha yamebadilika na sasa tunaishi kwenye zama nyingine kabisa, za ukweli na uwazi.

Nimeanza hivyo kwa sababu nimekutana na visa kadhaa, vyote vikiwa vinafanana kutoka kwa watu wa rika mbalimbali.T

atizo ambalo leo ningependa kulizungumzia, ni idadi kubwa ya wanandoa, hasa wanawake kulalamika kwamba wanapokuwa kwenye uwanja wa fundi seremala, wenzi wao hawawapi kile wanachokitarajia na matokeo yake, ile raha ya tendo la ndoa wamebaki kuisikia kwenye bomba.

Tukubaliane kwamba ni kweli wanaume wengi siku hizi wana tatizo la nguvu za kiume na hilo nimeshalizungumzia mara kadhaa, ikiwa ni pamoja na kupeana mbinu za namna ya kupambana na tatizo hilo.Hata hivyo, itakuwa si sawa kuwa kila siku tunazungumzia upande mmoja tu, kwamba ikitokea mwanamke ameshindwa kufikia kilele cha raha katika tendo, basi lawama zinabaki kwa mwanaume!

Upo ushahidi wa wanaume waliokamilika, kwa maana ya wasio na tatizo kabisa la nguvu wala maumbile lakini bado wenzi wao wanalalamika kwamba hawafurahii ngoma zaidi ya kuumia na kuchukia mchezo mzima.

Labda nizungumze kwa lugha nyepesi, wakati wanawake wengine wakilalamika kwamba wenzi wao wanawahi kwenye tendo na hawawapi raha wanayoitarajia, wapo wanawake wengine ambao wanalalamika kwamba wawapo kwenye tendo, hawafurahii chochote zaidi ya kusikia maumivu makali mpaka kufikia hatua ya kulichukia tendo

.Sasa ukizitazama pande hizi mbili, utagundua kwamba japokuwa suala la nguvu ni tatizo, bado lipo tatizo lingine kubwa ambalo ndiyo ningependa leo kulizungumzia.

Tendo la ndoa linahusisha hisia na ili ulifurahie, ni lazima hisia zako ziwe zimetulia, usiwe na mawazo, usiwe na hofu, hasira, majuto wala chuki ndani ya moyo wako, yaani akili yako ifikiria jambo moja tu, raha ya mapenzi.

Related image

Hata hivyo, bahati mbaya ni kwamba si wote wanaoweza kutuliza akili zao wawapo kwenye tendo kwa sababu mbalimbali lakini kubwa ikiwa ni maandalizi kabla ya tendo.

Upo ushahidi kwamba, hata kama ulikuwa na mawazo, hasira, chuki, kinyongo au hisia zozote mbaya kabla ya tendo, mwenzi wako akitumia muda wa kutosha kufanya maandalizi, hisia zote huyeyuka kama barafu juani na hatimaye kufikia utulivu wa kiakili.

Akili ikitulia, ndipo unapoweza kulifurahia tendo na pengine jitihada kidogo tu za mwenzi wako, zinaweza kukufanya uhisi kama unaimiliki dunia nzima.

Kwa hiyo, jambo la msingi ambalo kila mmoja anapaswa kulizingatia, ni maandalizi ya kimwili, kiakili na kihisia kabla ya tendo.Je, wewe unafahamu nini kuhusu maandalizi kabla ya kuingia uwanjani? Huwa unafanya kwa kiasi gani?

Umewahi kuzungumza na mwenzi wako kuhusu mambo yenu ya faragha au ndiyo unaugulia ndani kwa ndani? Hebu tubadilishane mawazo kupitia namba za hapo juu na wiki ijayo tutahitimisha kwa kuelekezana nini cha kufanya ili kufurahia tendo.Tukutane wiki ijayo.

SMS-TAMU-MPYA-ZA-MAHABAaft

SMS nzuri ya usiku mwema kwa sweet wako

Usiku wa leo uwe ni wenye faraja kwako, utawaliwe na usingizi wa mahaba kwenye kope zako, naomba ujenge taswira yangu katika mawazo yako, Usisahau kuniota sweet wangu. USIKU MWEMA

🔥♥♥♥


SMS nzuri ya kumsihi mpenzi wako asikuchoke na asichoke kukupenda kwani unampenda sana

Thamani ya Mapenzi yako nikubwa kwangu, haifanani nachochote kwenye huu ulimwengu, sina budi kumshukuru mungu, kwa kunijaalia mpenzi mwema unaejali hisia zangu, USICHOKE KUNIPENDA MPENZI

🔥♥♥♥


SMS kali ya kimahaba kumwambia mpenzi wako unavyoogopa kwa kuwa unampenda sana

Mpenzi kwa mara ya kwanza nilipokuana niliogopa kukuambia,
hata nilipokuambia niliogopa kukupenda, nilipokupenda sasa
naogopa mno kukupoteza. Kusema kweli siko tayari kukukosa
katika maisha yangu.

🔥♥♥♥


Ujumbe wa kimahaba kuhusu upendo wa kumwambia mpenzi wako

upendo ni jibu kwamba kila mmoja anataka… .
upendo ni lugha ,
kwamba kila mmoja anaongea,
upendo hauwez kununuliwa,
na isiyo kadirika na ya bure,upendo kama uchawi safi,ni
siri ya maisha matamu
nakupenda mpenzi

🔥♥♥♥


SMS nzuri ya ujumbe wa kumtumia mchumba au mke wako mtarajiwa kumwambia asisikilize ya watu

Joto ndio kitu nachotarajia kutoka kwao mke wangu
mtarajiwa, usisikilize maneno yakuambiwa, ni wewe tu
mwenye thamani kwangu katika hii dunia.

🔥♥♥♥


SMS ya kumuomba mpenzi wako asikuache

Mapenzi ni matamu napia yana raha, wewe hauni ishi hamu, siku zote wanipa raha, wewe kwangu ni mtu muhimu, unaeng’aa moyoni mwangu kama nyota ya jaha. “NAKUOMBA USINIACHE MPENZI WANGU”

🔥♥♥♥


Ujumbe kwa mpenzi wa kimahaba

yapitayo mdomon yametokea moyon,uyaonayo hadharani
nimeagizwa na manani yakuridhishayo nafsini ni utamu wa
yakini.

🔥♥♥♥


SMS ya kimahaba kwa mpenzi wako kumwambia unampenda sana hutaki hata sekunde ipite bila kumpenda

Kama mapenzi huweza kukimbiwa kwa kufumba macho yetu tu,
basi nisingefunika macho kabisa. Sitaki sekunde ipite bila
kukupenda wewe.

🔥♥♥♥

Faida zitokanazo na kufanya mapenzi pekee,

Kufanya mapenzi ni jambo muhimu sana katika mahusiano. Huwakutanisha na kuwaweka pamoja wewe na mpenzi wako. Mapenzi hulifanya penzi lenu kuwa hai.

Kufanya mapenzi ni kichocheo muhimu cha kuamsha hisia zenu za kimahaba. Hii ni mada kuu inayopendwa na huongelewa sana na wanaume pamoja na wanawake.

Ni kitu ambacho kila mtu hukifikiria hata kama hawako katika hali ya mapenzi. Kwa kweli ni muhimu tu kama uaminifu na mawasiliano.

Zifuatazo ni baadhi ya sababu kwa nini kufanya mapenzi ni muhimu katika mahusiano;

Hukuza urafiki baina yenu na kuimarisha mahusiano.
Kuwa na mpenzi ambaye ni rafiki yako ni jambo zuri sana katika mahusiano. Kuwa katika mahusiano pasipo kufanya mapenzi na mwenza wako ni kama tu kuwa na rafiki yako. Mahusiano hujawa na uchu, wapenzi hutaka furaha na kuridhika. hivyo kufanya mapenzi na mwenza wako huchochea hisia nzito baina yenu, huburudisha na kuyafanya mahusiano kuwa bora.

Huondoa mawazo
kufanya mapenzi husaidia kuondoa mawazo, ufanyapo mapenzi homoni zinazokupa furaha hutengenezwa kwa wingi mwilini. Kumbuka unapokuwa na furaha ndivyo unavyoweza kufanya kazi kwa ufanisi.

Huyafanya mahusiano kuwa hai.
Kujamiiana ni kitu ambacho unaweza kufanya ili kujifurahisha wewe pamoja na mwenzi wako. Hukuza urafiki na kuwa na hakika, vile vile huwafanya mujione kuwa kila mmoja anahitajika na mwenzake.

Kufanya mapenzi ni njia nzuri ya kuwasiliana, huwafanya mpendane zaidi na kuuona umuhimu wa kila mmoja katika maisha yenu ya mahusiano.

Hukufanya uwe na usingizi mwanana.
kufanya mapenzi hukufanya ulale usingizi mzuri. Siyo kwa sababu ya uchovu wa shughuli nzito mliyoifanya. Unapomaliza kufanya mapenzi kemikali iitwayo ‘oxytocin’ huachiwa na mwili. Hii hukufanya kulala usingizi mzuri na wa raha.

Hukupa furaha.
Watu wanaofanya mapenzi mara kwa mara huwa na furaha zaidi ya wale wanaofanya mara chache au wasiofanya kabisa. Vile vile hukuongezea kujiamini na kuwa na mtazamo chanya katika maisha.

Humpa furaha mwenza wako.
Kufanya mapenzi huwafanya wanaume wanapokuwa na msongo wa mawazo, kujisikia furaha. Kama uko kwenye mahusiano na huwa hamfanyi mapenzi mara kwa mara, kuna hatari kuwa mwenza wako hapati furaha 100%. Hivyo kama hamtofanya mapenzi, kuna uwezekano wa yeye kwenda kutafuta mtu mwingine wa kufanya nae mapenzi. Hivyo ili kumfurahisha ni vyema muwe mnafanya mapenzi mara kwa mara.

AutMANENO MATAMU YA MAPENZI YA KUMWAMBIA MSICHANA.o Draft

Kwa hili naamini maneno matamu, wakati ule unapokuwa unajaribu kupata msichana umtakae maishani mwako ili uuteke moyo wake awe wako, unahitaji kujifunza  jinsi ya kutumia  maneno matamu. Lakini ukumbuke si kila neno linaweza kuugusa moyo wa mwanamke. Lakini maneno matamu  hufanya vitu vya kushangaza sana , humtoa nyoka pangoni.

Wakati wanaume wengine wanalalamika  ni jinsi gani ilivyo vigumu kuuteka moyo wa msichana, jibu ni rahisi sana , ni kwa sababu hawatumii  maneno sahihi. Watu wengi pia wanakosa maneno, wengine hata hawajui  wapi  pakuanzia  na wataanzaje,  ngoja tuanze na haya maneno yafuatayo, maneno matamu ya kumwambia  msichana.

1.Macho yako ni mazuri sana, yananivuta, nashindwa  la kufanya, lakini  yananifanya nipotelee kwako.

2.Unanifanya niwe mwanaume bora, kwa hio naweza kustahili kwenye  penzi letu.

3.Unaonekana mzuri kama malaika,  nahisi nikikushika nitakuchafua.

4.Napatwa na woga ndani ya tumbo langu , natetemeka unapoweka mikono yako juu ya uso wangu.

5.Umefanya ndoto zangu ziwe za kweli.6.Sijawahi kukutana mtu mzuri na mwenye kujali kama wewe.

7 Nakupenda sana, kiasi kwamba siwezi kujielezea hata kama nikijaribu.8 Wewe ni msichana mzuri  ambae  kamwe  sikuwahi kukutana nae.

  1. Unafanya  huzuni zangu kupotea  kwa tabasamu lako zuri.
  2. Hapana, wewe sio mnene, uko poa na ndivyo nipendavyo.

11.Ungeweza kupata mwanaume yeyote ulimwenguni na bado umenichagua mimi.

12.Unanipa maana ya maisha yangu.

13.Sitaki kufikiria maisha yangu bila wewe katika hili.

14.Unakuaje mzuri muda wote?

15.Unanifanya nijione mwenye bahati ninapokuwa na wewe.

16.Magoti yangu huishiwa nguvu kila nikugusapo.

17.Wewe ni rafiki yangu wa kweli,  najifunza kwako, na ni mtu ambae najua nitakuwa nawe, ni mpenzi wa maisha yangu, niwewe tu nilienae. Ni kila kitu kwangu.

18.Siwezi kuamini kama mtu mwema kama wewe usingeweza kuwa na mimi.

19.Sijui kama unaelewa kiasi gani ninavyokupenda.

20.Natamani niwe na wewe maisha yote, lakini  muda hautoshi wa kukupenda vya kutosheleza.

Auto DraftJUA MAMBO MUHIMU WAKTI WA KUFANYA TENDO LA NDOA (KWA WANENE TU)

Mmoja kati ya wanasayansi maarufu hapa duniani amegundua kuwa watu wanene wanapata raha zaidi katika tendo la ndoa ukilinganisha na watu wembamba. 

Mwanasayansi huyo aitwaye Dr. James Watson ambaye amekwishawahi kushinda tuzo za NOBEL kwa ubingwa wake ulipelekea ugunduzi wa muundo wa DNA,anaamini kabisa kuwa watu wanene wana uwezo mkubwa wa kufurahia tendo la ndoa kuliko wembemba.

Watu wanene wanazo sababu za kibiology zinazowafanya waweze kupata raha zaidi wafanayapo tendo la ndoa. 

Katika uchunguzi wake wa kemikali mbalimbali zilizomo kwenye wa mwanadamu Dr. Watson ameona kuwa mafuta ya mwili yanaongeza kemikali iitwayo ENDORPHIN inayosababisha mtu ajisike raha. 

Kwa watu wembamba aligundua kuwa upungufu wa mafuta mwilini ulisbabisha ubongo usiapate ENDORPHINS za kutosha hivyo kupelekea kuwepo na upungufu wa raha katika tendo la ndoa. 

Watu wanaosema kuwa kufanya tendo la ndoa na watu wanene hakuna raha na ni kazi ngumu ni waongo kabisa. 

Ukweli ni kwamba raha ya tendo la ndoa haipungui utamu wake kutokana na unene wa mtu, bali hupungua kutokana na ukosefu wa ufundi na hofu zisizo na msingi wowote.

Hofu ya kushindwa kumridhisha mwenzio siku zote lazima itakuzuia usipate raha kamili katika jambo lolote lile.

Ukosefu wa ufundi wa kufanya tendo la ndoa huleta hofu,na hata kiasi kidogo tu cha hofu huweza kusababisha mtu kushindwa kufanya tendo la ndoa kwa ufanisi na hivyo kushindwa kupata raha kamili.

Dr. Helen singer ambaye ni mwanasaikolojia maarufu anasema” kama mwanamume huyu atakuwa hajui umuhimu wa kinembe kilicho sehemu ya juu ya uke akafanya tendo la ndoa na mwanamke mnene atashindwa kabisa kumridhisha mwanamke huyo. 

Mwanaume wa aina hiyo akishasimamisha uume wake atauingiza kwa mwanamke na harahara atapizz(kumwanga shahawa) bila kufikiria kuwa mwanamke huyo atakuwa bado hajafika kileleni”. 

Wanawake wengi wanene wameogopa kuanzisha mahusiano na wanaume kwa hofi ya kudharauliwa na hata wakifanikiwa kuanzisha uhusiano wanakuwa na wasiwasi kuwa uhenda wataachwa kwa sababu ya maumbile yao makubwa. Utawaone wanawake wanene wakivaa mavazi yasiyoleta 

Mvuto kwa wanaume kwa sababu imani kuwa kwa sababu ya unene wao hawapendeki. 

Wanawake wengine wapatapo wapenzi wakti wa kufanya mapenzi hupendelea kufanya mapenzi baada ya taa kuzimwa,wanaona giza litaficha ubaya wa unene wao, jambo ambalo huondoa kujiamini na kupunguza mvuto kwa mwanaume yeyote.

Wanawake wengi wanene wanajiona kuwa hawathaminiki kwa wanaume kutokana na unene wao, hali hiyo usababisha kuharibu mvuto wao na wengi huachwa sio kwa sababu ya unene wao,bali kwa sababu ya kukosa uchangamfu utokanao na hali ya kujiamni.

Mtu akiwa na historia ya kuachika anajenga hofu ya kuchika katika uhusiano wowote ule, na hofu humfanya apoteze matumaini. 

Hali ya kutokuwa na matumaini humpunguzia mguvu ya kujiboresha yeye mwenyewe na kuboresha uhusiano anaoanzisha. 

Iwapo wanawake wanene hawaamini kuwa wao pia wanastahili mambo mazuri zaidi, basi watabaki 

AINA 10 YA WANAWAKE WANAOPENDWA NA WANAUME

1. WENYE MSIMAMO
Wanawake daraja la kwanza wanaopendwa zaidi na wanaume ni wale wenye msimamo, uelewa mkubwa wa mambo na maamuzi sahihi, wako makini kwenye matendo yao na siku zote hufanya vitu kwa ajili ya kupata mafanikio.

2. WAPENDA USAWA
Aina ya pili inayohitajika katika katika ulimwengu wa kimapenzi ni wanawake wanaoheshimu usawa wa jinsia, walio tayari kubeba majukumu ya kifamilia kwa ulinganifu sawa na wanaume, wenye uwezo wa kuongoza jamii kwa asilimia 50 kwa 50.

3. WANAOJUA MAPENZI
Wanawake wajuzi wa mambo ya faragha wanapendwa sana. Sifa yao kubwa ni uwezo wa kutosheleza katika tendo la ndoa. Tafiti zinaonyesha kuwa wanaume hupenda sana wanawake watundu katika mchezo wa sita kwa sita. Mara nyingi wanatajwa kuwa na uwezo wa kuteka akili za wanaume bila kujali sifa zao za nje au za ndani.
4. MARAFIKI
Wanawake wenye sifa sawa na rafiki ni aina ya nne inayowavutia wanaume. Wao hutegemea zaidi nguvu ya kushawishi inayotokana na namna wanavyojali na kujitolea kuhakikisha wanakuwa marafiki wa kweli kwenye shida na raha kwa wapenzi wao. Si wakorofi, waungwana na wapenda amani.
5. WA WAZI
Aina nyingine ya wanawake inayowavutia wanaume ni wenye msimamo na uwazi. Si wepesi wa kuburuzwa katika maamuzi ya msingi kwa kisingizio cha wao ni wanawake. Utafiti unaonesha wanawake wa aina hii wamekuwa muhimu hasa kwa wanaume wenye tabia za ubabe na udhaifu katika uelewa wa mambo.
6. WANAOJITEGEMEA 
Wanawake wanaojitegemea wana soko kubwa kwa wanaume tofauti na akina naomba vocha kila siku. Uchunguzi unaonyesha kuwa wanaume wa leo hawapendi wanawake tegemezi, wasiokuwa na kazi na wanaoendekeza starehe za upande mmoja.
7. WASIO NA PRESHA
Nikisema wanawake wasiokuwa na presha namaanisha wasiolazimisha vitu vitokee haraka haraka. Wao siku zote huacha mambo yatokee yenyewe na kazi yao kuwa ni kutenda sehemu ya majukumu yao kama wapenzi.

8. MARIDADI 
Kundi lingine la wanawake wanaopendwa na wanaume ni wanaozingatia usafi na kujiremba. Wanaokwenda na wakati katika mavazi na mvuto wa nje. Lakini pia ni welewa wa mazingira, si wasamba. Wanapendeza kwa muonekano.
9. WANAORIDHIKA
Wanawake ambao hulidhika na hali walizonazo ni kivutio kikubwa kwa wanaume, hili ni kundi linalohitajika sana katika ulimwengu wa mapenzi kwa upande wa wanaume ambao maisha ya sasa yamekuwa yakiwageuza kutoka juu kwenda chini au chini juu. Kukubali hali zote bila kubadili tabia ni sifa njema ya mwanamke.
10. WA MMOJA
Wanawake wanaochagua mara moja na kutosheka na kuwa tayari kukwepa kila aina ya vishawishi toka kwa wanaume ambao kimtazamo wana vitu vya ziada zaidi ya waliowachagua mwanzo wanahitajika sana. “Niliye naye ananitosheleza kwa kila kitu sitaki mtu mwingine.” Kundi la wanawake wa aina hii ni adimu na muhimu sana.

IFA ZA MWANAMKE MNENE AWAPO KITANDANI NA RAHA YAKE.

Mwanamke mnene ni mtamu sana, ana joto kali sana ndani ya uke, ana nyamanyama ambazo hazimuumizi mwanaume wakati wa kutoa mastyle, mwanamke mnene akikaa style ya chuma mboga basi lile sponji la nyuma loooote lasababisha maangamizi ya ………………………………..
Watu wanasema eti wanawake wanene wananuka na huwa na fangasi?
Aliewaambia wanene wananuka nani? wanaonuka ni kwa sababu hawajui kujisafisha.Kama mwanamke hajisafishi au sio msafi kiujumla ndio ananuka na hata kupata fungus.


Mkubali mkatae wanaume nao wana machaguo yao, kama ni wembamba ua unene, kila mtu ana chaguo lake…ila ziwa na tako ndio mpango mzima.


ukiwa kimbau mbau hata ukipita hustui watu.

HIZI HAPA FAIDA 10 ZA KUFANYA MAPENZI ASUBUHI

Wanasayansi wamekuwa wakifanya tafiti mbalimbali zinazohusu maswala ya Mapenzi na wengi wao wanagundua kuwa kufanya ngono ama mapenzi si tu kujihisi au kujisikia vizuri. Pia inaweza kuwa nzuri kwa ajili ya Afya zenu. Hapa ni kile ambacho maisha ya kimapenzi kiafya yanaweza kufanya kwa ajili yenu au yako. Soma zaidi ufahamu faida hizi za kushangaza za kufanya mapenzi asubuhi.

FAIDA ZA KUFANYA MAPENZI ASUBUHI 
 1. Husaidia kuweka mfumo wa kinga yako vizuri

2. Inaongeza hamu ya kufanya mapenzi zaidi/    boosts libido

3. huimarisha cha kibofu cha mkojo kwa Wanawake. 
4. Hupunguza shinikizo la damu. 
5. Huhesabika kama moja ya Zoezi. 
6. hupunguza hatari ya kupata shambulio la moyo. 

7. Hupunguza maumivu ya mwili 

8. Inaweza kupunguza uwezekano wa kupata kansa ya tezi dume / Prostate Cancer 

9. Inaboresha hali ya usingizi 

10Hupunguza Msongo wa Mawazo 

hii ni kwa wanandoa 

Design a site like this with WordPress.com
Get started