Kujamiana (ama tendo la ndoa) ni moja ya mambo muhimu sana katika maisha ya mwanadamu. Ni ukweli usiofichika kwamba wengi wetu tungependa kuwa na mwenza ambaye mnaridhishana katika tendo la ndoa. Si hivyo tu, bali tendo hili huleta maelewano katika uhusiano wowote ule. Lakini, kuna faida zozote za kiafya za kufanya tendo hili? Ndiyo! Zipo faida kadhaa zinazotokana na kujamiana. Katika makala hii, mwandishi wako Dk. Khamis Hassan anajaribu kutueleza faida za kujamiana kiafya kama ambavyo imewahi kuonekana katika tafiti kadhaa zilizofanyika sehemu mbalimbali duniani.1. Hulinda mwili dhidi ya magonjwa ya moyo:Wanawake ambao hufika kilele (orgasm) angalau mara mbili kwa wiki kila wanapojamiana, wana uwezekano mdogo sana (30% tu) wa kupata maradhi ya moyo tofauti na wale wasiofikia kilele. Hii ni kwa vile homoni ya endorphin inayotolewa wakati wa kujamiana hupunguza msongo wa mawazo na hivyo kumuepusha mtu na magonjwa wa moyo. Aidha kujamiana angalau mara tatu kwa wiki, husaidia kupunguza uwezekano wa kupata shambulio la moyo (heart attack) na kiharusi. Uwezekano wa kupata mshtuko wa moyo wakati wa kufanya mapenzi ni mdogo sana, ni asilimia 1 tu ya vifo vyote vinavyotokana na mshtuko wa moyo ndivyo uhusishwa na kujamiana. Aidha, sababu nyingine inayoongeza uwezekano wa kupata mshtuko wa moyo ni kuwa na uhusiano nje ya ndoa ambapo huchangia karibu asilimia 75 ya vifo vinavyotokana na kujamiana, na karibu asilimia 90 ya vifo hivi hutokea kwa wanaume wazee. Uwezekano wa kupata shambulio la moyo wakati wa kujamiana huongezeka ikiwa mtu ana miaka zaidi ya 50, uzito uliopitiliza na matatizo ya afya. Hii ni sawa na kusema unaanza kufanya mazoezi mazito kwa ghafla wakati mwili na umri haviruhusu.2. Huongeza ukakamavu wa mifupa:Wanawake waliokoma kupata hedhi (menopausal women) ambao pia hujamiana angalau mara mbili kwa wiki wana kiwango kikubwa cha homoni ya oestrogen mara mbili zaidi ya wale ambao hawajamiani. Homoni hii husaidia kulinda mifupa na kwa wanawake waliokoma kupata hedhi wakosapo homoni hii hupata ugonjwa wa mifupa ujulikanao kama osteoporosis.3. Hupunguza msongo wa mawazo:Kujamiana hupunguza msongo wa mawazo na shinikizo la damu na humfanya mtu kupata usingizi mnono. Kufikia kilele ni sawa na kunywa 2-3mg za dawa ya diazepam (kumbuka diazepam hufanya mwili kupumzika, muscle relaxant), na hii ndiyo sababu kuu ya kwa nini watu hupata usingizi mzito baada ya kujamiana. Watu wanaojamiana huweza kuhimili vizuri msongo wa mawazo tofauti na wale ambao hawafanyi hivyo. Aidha watu wanaojamiana huwa na kiwango cha kawaida cha shinikizo la damu kuliko wale wasiojamiana. Pia kuwepo kwa viasili vya prostaglandins katika shahawa husaidia kupunguza msongo wa mawazo. Viasili hivi hunyonywa na sehemu za siri za mwanamke. Shahawa pia zina madini ya zinc, calcium, potassium, fructose na protini ambavyo vyote ni muhimu kwa afya njema.4. Hupunguza maumivu:Kufikia kilele (orgasm) wakati wa kujamiana ni tiba ya maumivu. Homoni ya Oxytocin inayotolewa kwa wingi kabla na wakati wa kujamiana pamoja na viasili vya endorphins hupunguza maumivu ya kichwa, mgongo, kipandauso, baridi yabisi pamoja na dalili zinazotokea baada ya kukoma hedhi (post menopausal syndrome symptom).5. Hupunguza uwezekano wa kupata saratani ya tezi dume kwa wanaume:Wanaume walio na umri wa miaka 50 na zaidi na ambao hujamiana mara kwa mara wana uwezekano mdogo wa kupata saratani ya tezi dume (prostate cancer) hali inayotokana na kusafisha tezi dume mara kwa mara wakati wa kujamiana. Aidha kutoa shahawa wakati wa kujamiana mara 21 au zaidi kwa mwezi kunahusishwa na uwezekano mdogo wa kupata saratani ya tezi dume kwa wanaume wenye umri mkubwa ikilinganishwa na kutoa shahawa mara 4 mpaka 7 kwa mwezi.6. Huongeza uwezo wa kunusa:Baada ya kujamiana, kiwango cha homoni ya prolactin huongezeka, ambayo hufanya seli za ubongo (brain stem cells) kutengeneza seli mpya katika sehemu inayohusika kunusa na kutambua harufu (brain olfactory bulb).7. Hupunguza uzito na kumfanya mtu kuwa na afya njema:Kujamiana ni mazoezi mazuri. Wakati wa kujamiana, mapigo ya moyo huongezeka kutoka wastani 70/dakika mpaka 150/dakika ambayo ni sawa na mtu anayefanya mazoezi kwa kiwango cha juu. Kujamiana huchoma karibu 200 calories sawa na kukimbia dakika 15 katika mashine ya tredmill. Mwanamke anayefika kilele huchoma calories 47 zaidi. 8. Huongeza kinga ya mwili:Kufanya mapenzi mara moja au mara mbili kwa wiki huongeza kiwango cha seli za kinga aina ya immunoglobulin A kwa robo tatu, na hivyo kumkinga mtu dhidi ya mafua na magonjwa mbalimbali.9. Kufanya mapenzi huongeza urembo wa mwanamke:Wanawake wanaojamiana angalau mara nne kwa wiki huonekana kuwa na umri mdogo ikilinganishwa na umri wao kwa miaka 7 mpaka 12, hii inatokana na ukweli kuwa kujamiana huongeza homoni ya oestrogen ambayo hufanya nywele za wanawake kuwa na afya nzuri na ngozi zao kung’aa.10. Kudhibiti mzunguko wa hedhi kuwa wa kawaida:Wanawake ambao hujamiana angalau mara moja kwa wiki (isipokuwa siku ambazo wako kwenye hedhi) huwa na mzunguko wa hedhi wa kawaida ikilinganishwa na wale ambao hufanya mapenzi kwa nadra au wale ambao hawafanyi kabisa.11. Tendo la ndoa huongeza hali ya kujiamini:
Ikiwa litafanyika baina ya wapendao, na tendo lenyewe likawa la furaha na upendo, kujamiana huongeza kujiamini.12. Kuongeza ukakamavu katika misuli ya nyonga (pelvic floor muscles): Na hivyo kuzuia mwanamke kupata matatizo ya mkojo au ugonjwa wa kibofu cha mkojo. Wanawake ambao wamekoma kupata hedhi, kufanya mapenzi mara kwa mara huondoa tatizo la kusinyaa kwa sehemu za siri za mwanamke (vagina atrophy) na hivyo kumwepusha na maambukizi katika njia cha mkojo (Urinary Tract Infection).13. Kufanya mapenzi huongeza kasi ya mzunguko wa damu mwilini:Unapojamiana na kufikia kilele, mzunguko wa damu huongezeka maradufu, hivyo kuongeza mzunguko wa hewa aina ya oksijeni kwenda kwenye viungo muhimu kama moyo, ubongo na figo hivyo kusaidia kuondoa uchafu na sumu mbalimbali mwilini.14. Huongeza hali ya kujithamini au kuthamini mwili wako:Hakuna kitu kizuri kama mtu kutambua ana maumbile mazuri na ya kuvutia, haya yote hupatikana wakati mtu yupo uchi wakati wa kujamiana na mwenza wake kumwambia kwamba ana maumbile mazuri na ya kuvutia, hii huongeza hali ya kujithamini na kujipenda kwa binadamu yoyote.15. Husaidia kuishi kwa muda mrefu:Kufanya mapenzi angalau mara mbili kwa wiki hurefusha maisha yako. Kila unapofikia kilele, homoni aina ya DHEA (Dihydroepiandrosterone) hutolewa kwa wingi kutokana na raha ya tendo na kufikia kilele. DHEA huongeza kinga ya mwili, hurekebisha tishu zilizoharibika (hutibu vidonda), huongeza kiwango cha ufanyaji kazi cha ubongo, huiweka ngozi kuwa na afya bora na hupunguza msongo wa mawazo. Kwa hiyo, kuongeza kufikia kilele kuna uwezekano wa kurefusha maisha yako.16. Kujamiana huongeza upendo na msisimko katika mapenzi, kutokana na kuongezeka kwa homoni ya oxytocin (love hormone), ambayo huleta mshikamano, uaminifu, na unyenyekevu katika uhusiano au kwenye ndoa.17. Uongeza uwezo wa kuzaa au kutunga mimba: Mara nyingi watu huuliza kama urefu wa uume una uhusiano wowote na uwezo wa kutunga mimba. Jibu zuri ni hapana! Kufanya mapenzi mara kwa mara huboresha shahawa za mwanamume, huzifanya kuwa katika kiwango kizuri, na kama unataka kupata mtoto, ni bora kufanya mapenzi mara kwa mara sio kutumia shahawa zilizokaa kwa muda wa siku nne.
KWANINI WANAWAKE HUKIMBILIA BAFUNI/CHOONI KABLA YA KUNGONOKA?
Kumekuwa na kasumba kubwa sana kwa wanawake wa ki bongo kukimbilia kunawa chini kabla tu hamujaanza kugegenana.
Wengi wao husema kuwa mara wametembea sana hivo jasho mara ooh siko konfotabo n.k ila ukweli ni kwamba jamani K ni chafu muda mbaya. Wanawake wanajua.
Hata uwe sasa ivi na baada ya dk 5 inagenerate harufu. Harufu huja automatically. Na wao huepuka kwa 100% mwanaume asisikie harufu ya k. Kwa uchafu wa K ndo maana mitaani kwetu ni tusi pale mtu anapokwambia kuwa wewe ni K
Hata hivo; wanaume tulowengi huwa hatupendi katabia haka ka mwanamke kukimbilia kunawa chini na kukuacha wewe umalala uku mzee nzima amesimama. Pia pale arudipo anakuwa na ubaridi kwa maji alotumia hivo basi kuleta katha fulani.
Unashangaa mmeingia chumbani na mko sita kwa sita na malomanzi yameshakolea unasikia mwanamke anakwambia eti ngija niende kujisaidia haja ndogo/ kukojoa!!! Hapo sasa ndo hasira huja. Na yeye anakomaa kabisa akisema kuwa amebanwa kumbe anaenda kunawa chini!!!
Wanaume wengine huwa na imani haba kwa mwanamke anaenda kunawa chini kabla ya kuduu kwani hudhani kuwa mwanamke ni malaya na kuanza kuhisi kuwa labda siku hiyi hiyi kagegenana na mtu mwingine na yeye yuko kwenye Foleni na ni wa mwisho kwa siku hiyo!
Jamani wanaume tusiwe tunawahoji maswali mengi wenzi wetu pale wanapoomba kwenda kukojoa tuwe tunawaelewa kwani huenda kujitayarisha na kusafisha K kwani hawajiaminigi sana na harufu ya Bibi!!
MAMBO YA KUZINGATIA KABLA YA KUINGIA KWENYE UCHUMBA-3
HUU ni uwanja wa boyfriend and girlfriend ambao hutoa mwanga kwa wasichana na wavulana walio kwenye uhusiano na ambao wanatarajia kuingia kwenye uhusiano ili waweze kupata mwongozo sahihi.
Naamini mnanufaika na mafundisho yanayopatikana hapa. Somo ambalo tunamalizia leo ni kuhusu mambo ya msingi ya kuzingatia kabla ya kuamua kumpa mtu moyo wako na kuingia kwenye uhusiano naye moja kwa moja. Tayari tumeshaona mambo kadhaa katika matoleo ya awali, leo wakati tunamalizia, tuangalie vipengele vilivyosalia…
IMANI YA DINI…
Vijana wengi wakianzisha uhusiano huwa wanakwepa au hawaangalii kabisa suala la dini. Huambiana wanapendana na kuanza mapenzi huku wakijua wazi wana imani mbili za dini tofauti.
Mwisho wa siku mapenzi yakikolea, fikra za kuanza kuishi pamoja zinapokuja ndipo wawili hao watakapoanza kukulizana kuhusu dini! Hili ni kosa kubwa sana, ni vyema kuwa na mpenzi ambaye mna imani moja ya dini! Haijakatazwa watu wa imani mbili tofauti kuwa wapenzi, lakini mtakapofikia katika mchakato wa ndoa tatizo hili mtaliona na litakuwa kubwa sana kwa wakati huo.
Hapo kila mmoja atataka mwenzake ahamie katika dini yake ili waweze kufunga ndoa, lakini mwisho wa yote ni kwamba mtaishia kufunga ndoa ya Bomani. Si vibaya sana, lakini unatakiwa kufahamu kwamba ndoa ya Bomani ina athari zake, kubwa zaidi ni kwa watoto wenu; watafuata dini ya nani?
Hata hivyo wakati mwingine mtakapokuwa na matatizo katika ndoa yenu itakuwa rahisi zaidi kumaliza mambo hayo Kanisani au Msikitini kulikoni Bomani. Hili ni jambo la msingi ambalo wewe kijana unayetarajia kuoa unatakiwa kuwa makini kuliangalia.
Mnapoanza tu uhusiano wenu, kati ya vitu vya kwanza kabisa ambavyo mnapaswa kuvizu-ngumzia ni pamoja na dini. Kama mna imani mbili tofauti basi ni vyema mka-fanya shauri la mmoja wenu kuingia katika dini ya mwenzake mapema. Ikiwezekana jambo hili wazazi washirikishwe, hii itawasaidia kuepuka migogoro isiyo ya lazima pindi mtakapoamua kufunga ndoa. Mkiliweka wazi mapema, itawapunguzia mzigo mzito hapo baadaye.
BARAKA ZA WAZAZI
Ni tatizo kubwa sana kuwa na uhusiano na mpenzi ambaye wazazi hawamkubali. Katika kizazi cha sasa, ambacho vijana wamepewa jukumu la kuchagua wenzi wanaowataka, hili limekuwa tatizo kubwa. Utakuta mwingine anasema: “Ah! Mpenzi wangu nimempenda mwenyewe lakini wazazi wangu wananizuia kumuoa, mimi simsikilizi mtu, nausikiliza moyo wangu bwana! Ndoa nafunga hata kama wazazi wangu hawajaridhika, mimi ndiyo nimeamua!” Hili ni kosa kubwa sana.
Hakuna kitu cha msingi kama kupata baraka za wazazi katika ndoa. Ikiwa wazazi wako wanamkataa mchumba wako, zungumza nao taratibu, waulize polepole, nini tatizo na kwanini hawataki ufunge naye ndoa. Bila shaka watakueleza sababu za wao kumkataa. Lazima ukumbuke kwamba, kuna koo nyingine zina matatizo, sasa inawezekana wazazi wako wanaijua vyema familia hiyo na wanakuepushia matatizo, ndiyo maana wanakataa usiishi na mpenzi wako.
Wazazi ni kila kitu, usipowasiliza na kuwaheshimu wao, unatarajia nini kama siyo laana? Jambo hili unaweza kuwa nalo makini kuanzia mwanzoni, tengeneza mazingira ya mpenzi wako kukubalika na wazazi pamoja na ndugu zako, lakini pia na wewe inakubidi ufanye jitihada za kukubalika kwao, ili mwisho wa siku muweze kuishi katika ndoa safi, yenye baraka za wazazi wa pande zote mbili.
Usikubali kuutesa ubongo wako, naamini inawe-zekana. Fanya mabadiliko kijana ili utakapoingia kwenye ndoa hapo baadaye, iwe yenye amani na furaha na matarajio chanya! Joseph Shaluwa ni Mshauri wa Uhusiano anaye-andikia Magazeti ya Global Publishers. Ameandika vitabu vingi, vikiwemo True Love, Let’s Talk About Love na Maisha ya Ndoa vinavyopatikana kwa oda.
KULA MKE WA MTU KWA STYLE HII NI MBAYA SANA
Wapo wanawake ambao wao wanajua kila siku ni Ijumaa, yaani hawatambui kwamba kuna Jumamosi na Jumapili pia. Watu hawa ni wale wanaodhani maisha ni raha tupu na kwamba wanaoishi kwenye shida ni wajinga.Ukweli hauko hivyo, maisha yana changamoto nyingi sana. Kuna siku mambo yanaweza kuwa si mazuri lakini siku nyingine mambo yakawa supa. Mwanamke wa kuoa lazima ajue hivyo.
Vifuatavyo ndiyo vigezo vitakavyomfanya mwanamke aolewe mapemaHana tamaa na pesa.
Katika maisha ya sasa mwanamke anayependa sana pesa ukikubali awe mkeo mtasumbuana sana. Kwa maana hiyo mwanamke ambaye utagundua hana tamaa ya pesa, kwamba ikiwepo, ikikosekana anabaki kuwa yeye, huyu ni ‘wife material’.
Hayupo tayari kukuona hauna amani.
Mwanamke ambaye unaona kabisa unapokuwa na matatizo anaumia, anahaha kuhakikisha anakurudisha kwenye hali ya kawaida, huyo anafaa kuwa mkeo
Hupenda watoto
Utajuaje kama ana mapenzi na watoto? Iko hivi; katika uhusiano wenu ukiona ni mtu wa kupendapenda sana watoto wa marafiki zake, kuwanunulia zawadi, kuwashauri wenzake namna nzuri ya kuwalea watoto, hata akija kupata wa kwake itakuwa ni hivyohivyo.
Huwa anamuheshimu kila mtu
Msichana ambaye anaheshimu kila mtu, mdogo na mkubwa, anawapenda na kuwaheshimu ndugu, jamaa na marafiki zako, huyu ana sifa ya kuwa mkeo pia.
Anajishusha
Ogopa sana mwanamke ambaye anataka usawa. Anayekufaa ni yule anayejua yeye ni mke, na wewe ni mume. Anayetambua kuwa, mwanaume ndiye kiongozi wa familia.
Anakuongoza kwenye mambo mema.
Kama mpenzi wako ni wa kukutaka kila siku muende baa au mfanye madili hatari ili mpate pesa, huyu hana sifa ya kuwa mkeo. Mke ni yule ambaye atakuongoza kwenye kutenda mema na kuacha mabaya.Kwa mfano kama unakunywa pombe atakushauri uache, kama siyo mtu wa ibada, atakushawishi umjue Mungu wako na mambo mengine kama hayo.
Anajua maisha na mapenzi kwa ujumla.
Mapenzi yanachukua sehemu kubwa ya maisha ya binadamu. Kwa maana hiyo mwanamke anayekufaa wewe ni yule ambaye anayajua mapenzi vilivyo lakini pia anajua maisha. Kama yeye ni mtaalam wa majamboz tu lakini linapokuja suala la mambo ya kimaendeleo hayumo, huyo hafai. Pia akiwa yeye ni mtu wa mambo ya kimaendeleo tu lakini linapokuja suala la mapenzi ni sifuri, pia hakufai.
JIZUIE KUFIKA KILELENI MAPEMA KWA NJIA HIZI RAHISI
Sababu ya tatizo hili huweza kuwa ya Kibaiolojia na Kiakili. Kama wewe pia ni moja yao na unapenda kujua jinsi ya zuia hali hii, endelea kusoma.
Kufanya mazoezi:
Mwili wenye afya nzuri daima hufanya kazi vizuri, kwahiyo kitu rahisi cha kufanya ni kujenga tabia ya kufanya mazoezi ambayo husaidia kukujengea afya njema na kukupa mzunguko mzuri wa damu. Kama una mwili wenye afya basi inaweza kukusaidia kwa namna ya kifikra ambazo huchangia kwenye swala zima la kuwahi kufika kileleni. Hii hutokana na kuongeza kujiamini na kujihusudu.
Pumua vizuri na kikamilifu: Kiungo chochote cha mwili huhitaji nguvu kamili ili kufanya kazi na ndivyo ilivyo kwa habari ya viungo vya uzazi! Unapo pumua vizuri na kwa ukamilifu, kiungo hiki hupata nguvu za ziada. Mbinu mbalimbali za kupumua kama pranayama hujajwa kusaidia sana kujifunza jinsi ya kuzuia kufika kileleni mapema. Baada ya kuinza tu (wakati wa tendo), jaribu kupumua kwa ufasaha ili mwili uweze kupata hisia kabla ya kuanza kufanya msuguano
Mshirikishe mwenzako kikamilifu: Kuridhika kimapenzi ni tukio ambalo wote wawili mnaridhika kikamilifu. Ili kujifunza kujizuia kufika kileleni haraka, ni vizuri kuwasiliana na mwenzi wako wa kimapenzi. Anaweza akakusaidia kushinda tatizo hili la kiaibu, kila unapohisi unataka kukojoa mapema, sema ‘ngoja’ na usitishe kwanza shughuli zote kwa muda kidogo.
Maandalizi kifikra: Pia kabla ya kwenda kuanza tendo kwa mfano upo ofisini na unajua jioni unakwenda kufanya sex, basi jitahidi usiwaze hayo mambo chukulia kama ni kitu cha kawaida. Hii ni kwa sababu kuongeza concentration ya kuwaza ngono inaongeza stimulation kiasi kwamba ukimgusa mpenzi wako tayari umekwishaachia hata kabla ya kuingiza.
Angalia movie: Kuangalia style zenye kuchochea kufika kileleni haraka …. etc hii ni ngumu kujizuia kukojoa hasa kwa bao la kwanza maana panakuwepo na constriction ya hali ya juu very tighten kiasi kwamba ukigusa tu tayari ..so ni vizuri style kama hizi zikafuata baada ya bao la kwanza ili uweze ku-enjoy vizuri zaidi.
Mazoezi ya kubana mkojo: Fanya mazoezi ya kukojoa na kubana mkojo mara kwa mara… hii ina maana kuwa unapokojoa mkojo unaachia then unakatiza unaendelea tena alafu unakatiza tena . Fanya mara tatu kila unapokwenda kukojoa. Hii ni muhimu kwa ajili ya kuongeza strength ya misuli ya uume na kupunguza relaxation yake … njia hii imewasaidia wengi na wamepona kabisa
Meseji ya kumbembeleza mpenzi wako aje kwako
mpenzi usiende mbali nami,njoo ufaidi utamu usioisha
hamu,nitakupa mwili wangu ukeshe nao,nitakulisha
unachokitaka,sitakubania naogopa wengine wataniibia. .
.njo leo uniambie unataka nini?
Unajua Kwanini, Umemtongoza na Anasema Anakuchukulia Kama Rafiki?
“Hataki muwe zaidi ya hapo, anakuchukulia kama rafiki!”
Stori inakwenda hivi; baada ya kumwangalia kwa muda mrefu, huyumwanamke anambae anakuuwa pole pole kwa mvuto wake, ambae anakila kitu ambacho wewe macho yako kwako unaona ndo kile kinachoitwa na kutengeneza uzuri usiopimika, ubongo wako
unaamini ya kuwa mnaendana kwa kila kitu ila kinachokuchanganya ni wewe kutokua na uhakika iwapo na wewe unampendeza yeye, Kijana wa watu unajituma na kupiga moyo konde, leo hii unajikaza kiume na kwenda kumwambia yale yote yaliyo moyoni mwako… mara… ‘kwaaa…’ anakujibu, “Oho, lakini mbona mie siku zote huwa nakuona na kukuchukulia kama rafiki, kama rafiki.. rafiki tu!”, moyo unapigwa na radi ya maumivu, na huamini kilichokupata, huku kichwani sauti ya “kama rafiki” ikijirudia rudia!.
Kama kungekua na kitu cha kuzuia hii dhihaka, ungetumia na kurudisha muda nyuma, kiume.com tumekusanya dalili zote za kuangalia kabla ya kupiga moyo kode na kwenda kumwambia yanayokusibu moyoni…
Anajiamini sana akiwa na wewe mpaka mazoea yake yamepitiliza…Msichana akiwa anajiamini sana kwako, ujue hapo umeshapoteza unachotamani na umeishia kunawa, kwa msichana akimuona mtu anayempenda kweli, utaona dalili…!, utaona hatulii, mara akae vizuri, na anakua anajihisi tu mda wote, atashika nywele zake kuangalia kama ziko vizuri, mapenzi asikuambie mtu kaka, mapenzi yanaleta kutokujiamini, na iwapo anajiamini sana kwako na ashtuki akikuona, wala atikisi hata ukucha basi hapo tafuta kitu kingine tu cha kufanya.Anakupa hadithi za wanawake wengine… Msichana ambae yupo singo hana mpenzi, halafu ukiwa nae anakua anakupa stori za wasichana wengine, hapo anatumia janja ya nyani, hapo anakubadilisha akili usimwazie yeye na uwawazie hao
wasichana wengine anaokupigisha stori, achana kabisa na haya maongezi, anaweza kukwambia.. “ooho, unaonaje nikikupigia pande kwa rafiki yangu Janeti, si ni mzuri eeh?”, kaka hapo unapoteza mda tu.Hafanyi kile unachotaka…Ukiona msichana hasikilizi kile unachotaka, yeye siku nzima anakuomba umsaidie hichi, twende pale.., we ukimwambia ya kwako anaruka maili tisa, ujue hapa huna chako, we upo pale ili akutumie tu na kwa sababu hana hisia nawe hajiulizi hata huyu jamaa anajisikiaje!.
Anatukana bila kujari uwepo wako…Maneno anayotumia ni kama yupo namwanamke mwenzie, na wala hashituki!, kaka hapa umeshakwenda na maji, mapenzi yana heshima na anayekupenda huwa anashituka akiona tu uwepo wako, na aibu yake sikuzote hua ipo karibu.
Hataki kuonekana na wewe sehemu za wazi…Ukimwambia tutoke wote, anakua na visingizio. Ukimwambia twende wote nikusindikize uendako, hata kama ni sokoni… utamsikia “ohhoo, mi nilishazoea kutembea mwenyewe wakati wote, mama atanielewa vibaya”. Hapa ni kwamba anaogopa utamwalibia chansi ya kukutana na mwanaume wa ukweli achana na wewe masuruali tu, mama gani ambae hapendi mwanae aolewe?.
Anakuomba misaada mda wote… Msichana mwenye hisia nawe hawezi kukuomba misaada ovyo hovyo, kwanza atakua hajiamini na hujiuliza maswali kama “Hivi atanionaje na atajifikiliaje nikimuomba hiki?”.
Anakufanya kama spea tairi…Siku akikubali kutoka mtoko nawe, utashangaa kaja na mashoga zake!, hii anakua anafahamu kabisa kwa hio anakua anajihami ili usije ukapata chansi ya kuwa wewe na yeye. Yeye saa zote ni vicheko tu…, kidogo tu mara anaenda chooni, mwisho wa siku mbaba unaagwa usiku umeingia sie tunaenda.hafanyi michezo yeyote ya kuwa karibu nae…Mwanamke akikupenda anatamani saa zote awe karibu nawe, mara mjikute mmeshikana mikono mda mrefu mpaka jasho, sasa huyu yeye atakua anakulia taimingi, anakua anahakikisha hakuna mguso wa ajabu ajabu, kaka mguso huleta hisia, na kama hana hisia kwako hawezi kufanya hivyo.
Anaongea na wanaume wengine mbele yako…Hivi hili si linaonekana kabisa, hili halina haja hata la kuliongelea, ila mtu akiwa amependa inawezekana kabisa asilione hata hili, anakua anajipa matumaini hewa!, huku kichwani akilipa sababu nyingine kabisa, “Oooh yuko sosho sana!”.Kaka hapo kama msemo wa kiumeni.com usemavyo, “umeshaliwa kekundu”.
Hakutambulishi kwa rafiki zake…Hana hisia nawe atakutambulisha kwa nini?, labda kwa sababu vocha zote zinatoka kwako!, samahani kwa kuongea hivi najua nakukera ila ndo ukweli wenyewe, na hata ukitambulishwa, utatambulishwa kama rafiki tu, na hivyo ndo utabaki kuwa.
Cha kufanya jiongeze, na hata kama yeye ndo huwa anakupigia simu au anakufata na anaonyesha hisia ujue kuna kitu zaidi ya wewe kinachoendelea kumweka kwako.
Tatizo sio Size Ndogo ya Dudu lako Tatizo ni Kukosa Ubunifu
Kwa wanaojua Mchezo wa Soccer; Kitu cha Msingi si Size ya Kiatu, Bali ni Skills za Mchezaji Mwenyewe ndiyo Zinawezesha Mchezo uwe mtamu na Kisha Magoli ya Kutosha.
Maswali ambayo huwasumbua sana Wanandoa wengi na yamefika mezani kwa madaktari wa mambo ya afya na mahusiano ni kuhusu wanawake kutofika kileleni na wanaume kumaliza haraka tendo la ndoa na pia, je kuna uhusiano wowote kati ya mwanamke kufika kileleni na size ya kiungo nyeti (Mashine) ya mwanaume?
Ukiangalia haraka unaweza kusema hayo mambo mawili yanafanana; kwani kama mwanaume anaweza kumaliza haraka (kukojoa au kufika kieleleni), ina maana ni dhahiri mwanamke atakosa kufika kilele kwani mwanaume anakuwa alishamaliza zamani,Lakini ukweli ni kwamba kama mwanaume atamuandaa mwanamke vizuri basi hata kama huwa anawahi kumaliza haraka (dakika 2) itakuwa haina shida.
Pia watu bado wanajiuliza, ni size gani na urefu gani unafaa kwa kiungo nyeti cha mwanaume kuhakikisha mwanamke anafika kileleni?Je ni udogo kiasi gani unafaa kumwezesha mwanamke kufika kileleni?
Wapo wanaume kutokana na walivyoumbwa kuwa na umbile dogo automatically hujasikia inferior au vibaya na kujiona kama vile hawana uwezo wa kuwapa wapenzi wao mapenzi halisi na kuwafikisha kule wanataka na matokeo yake wengi huwa hawapo wazi kujiachia kwa wake zao au wanaogopa hata wake zao kuona na kuwapa uhuru kukifurahia hicho kiungo nyeti na adimu wakati wa tendo la ndoa.
Kila mwanaume ana kiungo tofauti kama ilivyo kwa alama za vidole vilivyotofauti kwa kila binadamu.
Ukubwa au kimo cha kiungo si msingi wa ufanisi wa utendaji wa tendo la ndoa bali muhusika mwenyewe ndiyo msingi wa mafanikio katika tendo la ndoa.Huhitaji kuwa mjinga kiasi hicho kudhani kwamba urefu au ufupi, unene au wembamba wa Mashine ndiyo unafanikisha mke wako wako au mpenzi wako kufikia kilele; badala yake unaweza kumsababishia maumivu na kumkosesha raha ya mapenzi.
Hata mwanaume mwenye Mashine ndogo anaweza kuwa mtaalamu wa kumfikisha mke wake katika furaha ya kweli katika tendo la ndoa.Njia pekee ni kijifunza jinsi ya kufanya mapenzi vizuri, jinsi ya kuwa partner mzuri.
Huo ni mwili wako upende, jifunze kuutumia, jitahidi kuutumia kwa ubunifu na kwa kimahaba zaidi.Mbusu na kumpa mgusu wa mwili mpenzi wako kwa muda mrefu hadi unahakikisha amenyegeka vizuri kwa kumchezea sehemu zote ambazo ukimgusa anapata raha inayomuwezesha kuwa hot kwa kuwa ni partner wako; mwili wake wote ni mali yako na ni wewe, hivyo safiri kila sehemu ya kiungo cha mapenzi kwa kadri unavyoweza kuliko kukimbilia kumwingilia wakati hata hajanyegeka.
Amini, usiamini kila mwanamke anapenda mwanaume au mume ambaye ana kipaji, talent, ana ubunifu, aliyemtaalamu anayeweza kumpa mahaba ya uhakika na si kuwa na mashine kubwa tu bila ujuzi then baada ya dakika 2 upo pembeni unapiga usingizi wakati partner wako anaugulia kwa kuachwa kwenye mataaa.
Hapo ndipo utasikia mwanamke anasema hajisikii k
ama unampenda anaona kama vile unamtumia tu ili kutimiza matakwa yako ya mapenzi.
Kuwa na kiungo kidogo siyo kosa wala uhalifu bali umeumbwa hivyo na kuujua mwili wako na kujua majibu sahihi ya mahitaji ya kimahaba kwa mke wako hiyo ndiyo akili na unaonekana mwanaume Smart kwani wewe ndo unajua kupenda, unajua mapenzi.
Kuhusu mwanaume kumaliza haraka, pia si kosa wala uhalifu hata kukufanya ujione si lolote, badala yake elekeza jitihada katika kukabiliana na hilo tatizo na inawezekana kwa kupata ushauri wa daktari au kufanyiwa maombi.
Kitu cha msingi unatakiwa kujua kwamba kuna tofauti kubwa sana za kijinsia kati ya mwanaume na mwanamke.Kwa asili mwanaume hupenda mara mwanamke akiwa mtupu yeye mara moja aingize na kuendelea na mchezo wakati mwanamke yeye anahitaji maandalizi, jitahidi kuwa na muda wa kutosha wa foreplay kwa mke wako zaidi ya dakika 10-15 ili awe tayari kwa tendo la kuingiliwa na wewe.
Na kila mwanamke ana namna yake ya kufikishwa kwenye raha mwingine atapenda aina fulani ya mkao na mwingine atapenda aina nyingine ya mkao, mwingine atapenda achezewe ki…mi na mwingine atapenda achezewe maziwa, na mwingine atapenda sehemu nyingine hivyo mwanaume anahitaji kuwa mvumilivu na sharp kumsoma mke na kujua ni kitu gani anahitaji na wapi anahitaji kuguswa zaidi ili afike huko kunako raha yenyewe.
Pia mawasiliano wakati wa faragha yenyewe ni muhimu; kwa maneno na vitendo wengine hawasemi bali wanakuelekeza kwa mkono.
JE WAJUA !?:KUTOVAA CHUPI KUNA FAIDA NYINGI IKIWEMO HII AMBAYO NI MUHIMU
Leo naomba nikukumbushe somo la Afya ya uzazi. Somo hili litafafanua faida na hasara au madhara yatokanayo na uvaaji wa nguo za ndani hasa Chupi. Uvaaji wa chupi kihistoria ulianza karne ya 19 baada ya uvumbuzi wa viwanda na mapinduzi yake yaliyoambatana na mapinduzi ya teknolojia.
Enzi za mama zetu na babu zetu uvaaji wa chupi haukuwepo hapa Tanzania. Uvaaji wa chupi uliletwa na wamisionari na wakoloni wakati wanaleta dini Africa. Kabla ya hapo waafrica hatukuwa na utamaduni wa KUVAA chupi
Enzi za mama zetu na babu zetu uvaaji wa chupi haukuwepo hapa Tanzania. Uvaaji wa chupi uliletwa na wamisionari na wakoloni wakati wanaleta dini Africa. Kabla ya hapo waafrica hatukuwa na utamaduni wa KUVAA chupi.
Mtoto akizaliwa hakuvalishwa chupi kamwe kama ilivyo Leo. Mwanamke pia enzi hizo alikuwa havai chupi. Mwanaume naye pia alikuwa havai chupi? Watu wote walikuwa hawavai chupi. Mwanamke alikuwa hachuchumai chini pindi akijisaidia kutokana na kwamba hawakuwa wanavaa chupi hivyo wakitaka kujisaidia haja ndogo walikuwa wanasimama tu na kupanua miguu na kuanza kukojoa.
Nyakati za leo ambapo uvaaji chupi kwa wanaume na wanawake uko juu sana kuanzia watu tunapokuwa watoto wadogo hali ya Afya ya viungo vya uzazi imeendelea kuwa mbaya sana. Yafuatayo ni baadhi ya madhara ya kuvaa chupi :
1. Magonjwa ya “Urinary tract infection” au UTI hayataisha kwako.
Hii hasa ni kwa wanawake wanavaa nguo nyingi kwa wakati mmoja na kwa muda mrefu zaidi ya saa kumi. Unavaa chupi, lakini tight, suruali ya jinzi, nk halafu unashinda na hizo nguo kuanzia asubuhi unapoenda kazini hadi saa mbili usiku unaporudi home. Hiyo ni hatari sana.
Mwanamke anayefanya kazi zinazompasa kuwepo kazini zaidi ya masaa 8 namshauri asiwe anavaa chupi kabisa. Chupi ivaliwe nyakati za hedhi tu. Kama hauko kwenye siku zako vaa suruali tu bila chupi. Au vaa underskirt pekee yake kwa ndani na ndoo uvae nguo yako ya kawaida. Hii itakuepusha na kuugua UTI. Ukiacha sababu za ngono UTI husababishwa na bacteria wanaopendelea mahali penye unyevu na joto. Kwa hiyo mwanamke akivaa nguo nyingi bacteria hao hujipatia joto la kutosha kuzaana.
Mwanamke ni vyema ukaepuka kuvaa nguo za kubana mwili sana ili kuepukana na uwezekano wa kupafanya ukeni pawe na joto sana na ikitokea bacteria mmoja tu akaingia humo atazaa haraka sana na kujikuta UTI inakuwa rafiki yako. Vaa sketi bila chupi au kama kuvaa suruali ni lazima hakikisha unavaa suruali peke yake. Jizoeze tu utazoea. Na ukizoea kuvaa nguo bila chupi utainjoi sana.
2. Magonjwa ya kuvu au fungus hayatakoma kwako.
Bado niko kwa wanawake, kama nilivyoeleza mwanzo hapo magonjwa ya fungus yanasababishwa pia na kuvaa chupi kwa muda mrefu. Chupi inayovaliwa kwa zaidi ya saa 8 lazima italeta ukungu au uvundo sehemu nyeti. Huo uvundo waweza kuleta fungus ukeni. Fungus za ukeni hazina tofauti na zile za miguuni kwa wanaume wanaovaa viatu kwa muda mrefu bila usafi miguuni wa kutosha.
Chupi inakuwa kama socks za wanaume. Mwanamke avaae chupi muda mrefu bila kuruhusu upepo upite ndani ni watapata fungus ukeni sawa na mwanaume anayevaa socksi zisizofaa kiafya. Chupi au socks zinazofaa ni zile za pamba au cotton.
Of course sababu za kupata ugonjwa wa fungus kwa mwanamke siyo tu kuvaa chupi inayobanaaaa kwa muda mrefu ni pamoja na kutawadha kwa kutumia maji.
Wanawake wengi hawajui kutawadha kwa kutumia maji. Wengi wamalizapo kujitawadha haja kubwa ndipo hurudi kujisafisha ukeni. Hii ni hatari sana kwani bacteria watokanao na kinyesi unawahamisha kutoka nyuma na kuwaleta mbele.
Mwanamke unapaswa kutawadha kwanza mbele kisha umalizie nyuma. ����
Yaani hakikisha kuwa uchafu wa nyuma unaoweza kuwa umebakia kwenye vidole vyako usiuingize ukeni kwa namna yoyote. Tawadha pande zote lakini uhakikishe kuwa haviingiliani mbele na nyuma. Sawa dada yangu? Uko poa hapo?
Kikubwa hapa ni usafi wa mbele na nyuma. Usafi wa chupi zetu. Uvaaji chupi wetu.
Kwa mfano uwapo safarini tena safari ndefu ya zaidi ya saa 8 ni vyema ukasafiri bila kuvaa chupi isipokuwa tu kama uko kwenye siku zile za adabu. Hata kama uko kwenye siku za adabu ni vyema ukasafiri bila kuvaa manguo mengi sana yanayobana mwili. Vaa chupi na sketi au suruali isiyoubana sana mwili wako.
3. Chupi husababisha ugumba kwa wanaume.
Sababu nyingi za ugumba tunaweza ukizipata kutoka kwa madaktari wetu wa hospitali zetu. Lakini ukija kwangu mimi Daktari wa magonjwa ya tabia (Lifestyle Based Diseases Doctor) nitakuongezea sababu nyingine ya ugumba wa wanaume kuwa ni kuvaa chupi zinazobana sana.
Mwanaume shujaa havai chupi. Anavaa kaptura badala ya chupi. Tena havai kaptura inayobana sana. Anavaa isiyobana viungo muhimu kwa uzalishaji wa watoto. Mbegu za kiume huzalishwa kwa wingi wakati wa baridi. Kuvaa chupi inayobana kwa muda mrefu husababisha pumbu kuchemka sana na kushindwa kuzalisha mbegu nyingi. Mwanaume mwenye mbegu chache hushindwa kutungisha mimba kwani mbegu zake zinakwenda ukeni kwa uchache na kushindwa kuogelea ukeni.
4. Chupi husababisha miwasho sana kwenye mapaja ya mwanaume na mwanamke. Epuka kuvaa chupi zinazobana ili kuepukana na miwasho.
5. Chupi husababisha michubuko ya mapaja.
Ukivaa chupi kwa muda mrefu utajikuta umepata michubuko mapajani karibu na uume au uke .
6. Uvaaji chupi usiku huchelewesha tendo la ndoa.
Mwanaume anapohitaji vitu adimu usiku wakati mwingine anapaswa kujichotea tu kirahisi kwani ni mke wake halali lakini akikutana na chupi inakuwa kikwazo. Mwanamke usilale na chupi usiku. Unaogopa nini? Hakuna majambazi wala moto. Nani alikwambia ulale na chupi eti unajihami na ajali za moto usiku.? Mbona tangu umelala na chupi usiku hakuna ajali ya moto iliyokwishatokea.
Acheni kuvaa chupi enyi wanawake ili ikitokea waume zenu tunahitaji naniii usiku tujipatie kwa wepesi! Au Siyo?
Tangu niache kuvaa chupi sijawahi tena kuwashwa mapajani wala mke wangu hajawa na taarifa za fungus na UTI kama zamani alipokea hajalielewa somo hili. Na wewe pia nakushauri uache kuvaa chupi kuanzia leo Uwe na afya bora maeneo yote nyeti
HIZI NI DALILI KWAMBA MWANAMKE WAKO ANATOKA NJE YA MAHUSIANO , KUWA MAKINI
Wataalamu wa maswala ya mahusiano wanaamini kwamba, mwanamke anapotoka nje ya ndoa yake, inakuwa rahisi sana kubainika au kufumaniwa kuliko ilivyo kwa
mwanaume.
Hii inatokana na ukweli kwamba, hisia zinakuwa na nafasi kubwa sana kwa mwanamke, kwani mwanamke huishi kwa hisia zaidi kuliko mwanaume. Bado nasisitiza kwamba, haipaswi na siyo sahihi mtu kuchukulia dalili hizi kama ushahidi wa mpenzi wake kutoka nje ya ndoa. Uchunguzi wa kina kufuatia dalili hizi ni muhimu sana.
Zifuatazo hapa chini ni baadhi ya dalili zinazoweza kuonyeshwa na mwanamke ambaye anatoka au yupo kwenye harakati za kutoka nje ya ndoa yake:
1.KUCHELEWA: Kuna wakati mwanamke anaweza kuaga kwamba anakwenda saluni au kusuka, badala ya kurejea kwa muda ambao umezoeleka, anachukua muda mrefu hata mara tatu zaidi. kuna wakati kwenda sokoni huchukua saa kadhaa bila kujali soko liko umbali gani. Kama ni mara moja sawa, lakini ikishakuwa zaidi ya mara moja huenda kuna tatizo la kukosa uaminifu.
2.KUBADILI MAENEO: Hebu chukulia kwamba, mwanamke amezoea kwenda soko fulani la karibu, hospitali fulani ya karibu, saluni fulani ya karibu na hata nyumba fulani ya ibada ya karibu. Unapoona anahama maeneo ya karibu ya huduma na kwenda ya mbali, bila sababu ya msingi, huna budi kuanza kutuhumu mwenendo mbaya.
Siyo lazima kuhama kokote kuwe na mwenendo mbaya, lakini kama kuhama kwenyewe kunatia shaka kwa sababu maelezo ya kuhama huko hayana msingi, mwanaume ana kila sababu ya kuchunguza kama hakuna usaliti unao anywa.
3.UNUNUZI USIO WA KAWAIDA: Kama mwanamke anatoka nje ya ndoa yake kwa ajili ya kupata fedha, basi atakuwa na mabadiliko makubwa katika mtindo wake wa manunuzi.
Atakuwa ananunua vitu vya thamani kubwa kuliko uwezo wake, atakuwa na fedha nyingi tofauti na ambazo angekuwa nazo na pengine kumiliki mali kama nyumba kwa siri.
4.KUANZISHA VURUGU: Kuna wakati mwanamke anayetoka nje ya ndoa huanzisha vurugu za makusudi na mumewe. Lengo la kuanzisha vurugu hizo ni ili apate nafasi ya kujifanya amezira na kuondoka nyumbani kwa muda.
Huo muda anapoondoka nyumbani
kujifanya kakerwa na vurugu hizo ndiyo muda ambao anautumia kwenda kwa hawara yake.
5.KUSITISHA UAMINIFU: Mwanamke anayetoka nje ya ndoa, mara nyingi husimamisha kumwamini mumewe, yaani hayuko tayari kushiriki masuala ya siri, ambayo wanandoa huwa wanashiriki.
Husita kumshirikisha mumewe kwenye mambo yake mengi. Lakini pia husita kumuomba mumewe ushauri, kama alivyokuwa akifanya siku za nyuma.
6.KUACHA KUVAA PETE: Kuna sababu nyingi ni kwa nini mwanamke anaweza kuacha kuvaa pete yake ya ndoa. Moja ya sababu hizo ni kusalitiwa na mumewe au ndoa yake kuwa kwenye misukosuko mikubwa sana.
Lakini nje ya misukosuko mikubwa ya ndoa, sababu nyingine inayoweza kumpelekea mwanamke kuvua mara kwa mara au moja kwa moja pete yake ya ndoa, ni kuwa na uhusiano nje ya ndoa yake.
7.KUONESHA WASIWASI: Kama mwanamke anatoka nje ya ndoa yake , ni lazima atakuwa na wasiwasi na mashaka yasiyo na sababu mbele ya mume wake.
Anaweza kuonesha kutotulia kwa aina fulani kana kwamba, anahofia kuna siri itatoka au kuna kitu ambacho tayari mume wake anakijua dhidi yake. Mara nyingi wasiwasi na mashaka humtawala sana mwanamke anayetoka nje , hasa katika hatua zake za awali za kutoka nje.
8.KUZUNGUMZIA KUACHWA: Kuna wakati mwanamke anaweza kuwa anatoa kauli za kuonesha kwamba, kama mwanaume anaona vipi , wanaweza kuachana.
Kama kila penye ugomvi kidogo tu mwanamke anakimbilia kusema, “kama ni kuachana, tuachane tu” hiyo inaweza kuwa ni dalili mbaya kwa mwanamke anayetoka nje ya ndoa kwa sababu hana tena upendo na mumewe.