Mambo muhimu ya kufanya ili kumfurahisha mwanamke katika mahusiano ya mapenzi

Hakuna kitu chenye thamani kubwa kwa msichana yeyote yule  kama kumfanya mtu huyo afurahi, hivyo kila wakati mwanaume unatakiwa kumfanya mpenzi wako afurahi ili uwezo kuongeze asilimia nyingi za upendo kutoka kwake kuja kwako.

Yafautayo ndiyo mambo ya kufanya ili kufurahisha mwanamke katika mahusianao ya mapenzi;

Mtanie 
Unapoongea na msichana, ni rahisi sana kumfanya na yeye aongee na wewe hatakama hakupenda mwanzo. Lakini hiyo haitoshi. Kama unataka kujua ni jinsi gani ya kuongea na msichana/mwanamke, utapaswa kumfanya yeye ajisikie huru na mwenye kujiamini(confortable), lakini pia mfanye ajue kuwa unampenda hatakama haujamwambia.

Kumbuka, kama utaongea nae kama rafiki, lazima awaze na ajue kuwa wewe ni mwanaume noma sana(great guy), lakini hatahisi kwamba wewe ni mwanaume unaeweza kumchangamsha au kumfurahisha. Ili kuonekana kama mwanaume anayefurahisha kwa mwanamke yeyote, inatakiwa akuone kama mtu muhimu wa kukutana nae, na ili kufanya hivyo, msukume sukume hata bega katikati ya maongezi. Lakini usizidishe sana utaishia kumboa, fanya hivyo pale tu anapoongea jambo linalochekesha au lenye utani ndani yake.

Ila usiende na kumwambia maneno ya kawaida kama “unamuonekano mzuri”, “wewe ni mzuri sana”, au maneno yenye kufanana na hayo. Inawakera sana na haioneshi utofauti na watu wengine wa mtaani. Badala yake, jaribu kuwa specific wakati unamuambia jambo fulani mnapokutana. Mwambie maneno kama “umependeza sana leo. Huo ni mtindo mpya wa nywele?”, Hayo ni maneno mazuri sana kwa mwanamke kwa sababu ni wanaume wachache sana huyatumia kwao. Kwa hiyo unavyosema “leo umekua mrembo zaidi” inamfanya ajue ni jinsi gani unamaanisha mpaka umevunja ukimya.

Kwa kumtania huko  unaweza kufanya mambo matatu. Unaweza kumshtua na kumfanya atabasamu. Unaweza kumfanya ajue kwamba wewe unamuona mtu wa tofauti sana. Au tatu, unaweza kumfanya atambue kwamba umemwona wa kuvutia sana. Kumbuka hayo yote unamfanya yeye aone ni mtu mzuri ambaye anaweza kudate na wewe.

Kuwa mcheshi
Baada ya kumfanya atabasamu na kuyafurahia maongezi yako na yeye, ni muda wa kumuingia ndani zaidi kidogo. Kila mmoja wetu ana mambo yake ya siri ambayo hatupendi watu wote wajue labda mtu ambaye tunamwamini sana. Ili kumfanya ajiamini kwako, unatakiwa kumfanya awe na good time sana na wewe. Sasa hatuwezi kukuambia kabisa jinsi ya kumfanya mwanamke acheke. Lakini tunaweza kukupa mambo mawili ya kutumia. Usimwambie utani wowote wakati unaongea nae. Kuwa mwenye furaha muda wote unaoongea nae.

Hii inaweza kukutatiza kidogo. Kwanza kuongea utani wa moja kwa moja kama mtu aliyekariri ni ujinga. Badala yake, ongea nae maongezi yatakayomfanya aone unamtania, na hapo naye ataanza utani.

Jitahidi kuonesha unafurahia maongezi wakati unaongea nae kama unataka kumchangamsha. Ukiwa na furaha, dunia nzima inatabasamu pamoja nawe!. Kama unatabasamu na kujisikia furaha, naye atatabasamu pia na kuwa na furaha. Lakini kama unauoga, utamfanya naye awe  mwoga (unconfortable).

Unaweza kumsukuma kidogo kati kati ya maongezi 
Najua unaelewa ninaposema kusukumana, hii utokea mara nyingi pale mvulana na msichana wanapukua wamezoeana, kwa hiyo kuifanya na mwanamke kwa mara ya kwanza inatakiwa uwe mwangalifu na makini ili usije kuharibu. Unapofanikiwa kufanya hivyo, jitahidi isiwe kila saa maana utamkera kama nilivyosema hapo awali.

Ili uweze kufanya hivyo inatakiwa uwe wa kawaida, chukulia kama ni mtu wa kawaida japo wewe unajua ni special. Muulize alifanya nini weekend au baada ya kutoka kazini, muulize anapenda kwenda wapi akitoka out au ni mgahawa gani anaupenda au anatamani kwenda au kitu kingine chochote ambacho ni binafsi(very personal).

Mshike. 
Huu ni uwanja hatari sana, lakini ni kitu unachopaswa kujifunza kwa sababu unataka kujua jinsi ya kumchangamsha msichana, si ndiyo? Hivyo kumshika katika muda muafaka inakamilisha point ya hii ya mambo ambayo unapaswa kuyajua wakati unataka kumfurahisha mwanamke. Kama utafanikiwa kulifanya hili kwa usahihi, utakua umejichukulia point kubwa sana.

Sasa kumshika msichana ni kama kucheza na moto. Ukiushika fasta hauwezi kusikia joto, lakini ukiushika muda mrefu utaungua! Unaona ilivyo hatari?  Unaweza kumshika bega au mikono kama tayari ushamfurahisha vya kutosha. Lakini kumbuka hili, mshike tu pale unapokua na sababu ya kumshika, mfano mshike masikio kama unayasifia masikio yake au nywele kama unazisifia nywele zake, au mfute koti lake kama kuna kauchafu hatakama hana hako kauchafu, au mshike begani kama unatembea nae barabarani/ mtaani.

Kumbuka kumshika mtu ni very personal, hivyo inabidi uwe makini sana na uangalie anamuitikio gani wakati unamshika kabla haujamshika tena. Kama unataka kujua jinsi ya kumchangamsha msichana, yatumie haya mambo matano wakati utakapokutana na mwanamke next time. Na baada ya hapo utaona ni jinsi gani unavyoweza kumfurahisha mwanamke na kumfanya ayapende maongezi yako kwa mara ya kwanza!.

Huyu Mwanamke Anapenda Mapenzi Kuliko Kawaida Mpaka Nakuwa Mtoro Kazini

Kuna jambo linanishinda hapa mwenzenu huyu mwanamke anapenda mapenzi sana mpaka nataka nihame nyumba.

Kitu kinachonishinda nikiwa faragha na huyu mwandani wangu…. nikishamaliza huwa nakuwa nimechoka na kizunguzungu. sasa kama siku tatu zilizoissha niliitwa na bosi wangu kuhusu tabia nayoionyesha. nilijitetea sana.

Nikaanzisha mtindo, namuomba work mate wangu anisainie kissha nakuja baadaye. kwa kweli hili swala la mapenzi kila siku nimelishindwa.

Nikitoka kazini napita sehemu flani napoteza muda saa ziende. nikifika nyumbani nakuta nasumbiriwa kama kitoweo. ukimkaushia mara akutekenye, akukalie, fujo tupu unajikuta ushafanya. kwa kweli hapa pamenishinda, nakosa nguvu nakuwa kama mgonjwa.

Nitumie mbinu gani angalau ipungue ata kwa mwezi mara mbili maana nashindwa sasa.

HIZI NDIZO TOP 4 YA STAILI ZA KUFANYA MAPENZI ZITAKAZOKUSAIDIA USIKOJOE MAPEMA,SOMA HAPA KIJANA NIKUJUZE.

stairi kufanya mapenzi huko mtaani,lakini sio zote ni nzuri kwa ajili yako na kwa ajili ya kumridhisha mpenzi wako,labda kama unataka kukojoa mapema.

Kama unachelewa kukojoa kunastaili ambazo ni bora kwa ajili yako ili uweze kuwahi mapema,lakini kama unajua huwa hudumu kitandani na mpenzi wako basi kuna aina aina ya stairi ambazo unatakiwa kuzitumia ili angalau zikusogeze kidogo kuliko kutoa haraka.

Kama unataka kuchelewa kukojoa tunahitaji kukwambia siri ambazo zitakusaidia kuchelewa kukojoa mapema kabla ya kuingia kwenye mada moja kwa moja

Kama unataka kuchelewa kufika kileleni basi epuka kutumia POMBE,SIGARA,UTUMIAJI WA SUKARI ULIOPITILIZA PAMOJA NA UTUMIAJI WA MADAWA YA KULEVYA,pia usifanye mapenzi kwa haraka haraka wakati wa mahaba,nenda taratibu,hatahivyo wanawake wanapenda taratibu na kwa uhakika.

Ingawa hizi stairi zitakusaidia kuweza kudumu kwa muda mrefu bila kukojoa mapema,lakini kama hautaelewa mbinu chache sana,basi haitakusaidia hatakidogo.Unachotakiwa kuelewa ni kwamba tukio lote linategemea ubongo wako na kila kitu unachokifanya kiko pale.Kwa hiyo kila kitu unachokifanya kinategemea na kiasi cha hisia,pawa ya kupampu,kupumua pamoja na kontrol ya misuli yako.

Kwa hiyo kabla hujafanya chochote,hakikisha unafanya msawazo wa ubongo wako na usilifikirie tendo hilo sana,kwa sababu kama ukilifikiria sana tendo hilo nguvu nyingi zitaenda kule.

Pia Kama unamatatizo ya kuzaliwa au ugonjwa uliokusababishia kuwa hivyo  mbinu hizi hazitakusaidia kabisa.Tunaamini tumekupotezea muda ngoja sasa tuingie kwenye mada moja kwa moja kwa haraka bila kuchelewa hizapa chini ni stairi  4 muhimu sana zitakazo kusaidia kuchelewa kufika kileleni
1. MSICHANA AWE JUU.
Kama umewahi kugundua hilo,wanawake wanapokuwa juu,pawa yao ya kupampu juu chini sio kalai sana kama ya wanaume mara nyingi wanakuwa wako pole pole na kwa ufasaha zaidi
Kama mwanamke  nae anaijua hii stairi kuwa itamsaidia mwanamme wake anaweza kufanya hiki kitu kwa ajili ya kumsaidia mpenzi wake,anaweza kumshika tumboni kwa vidole vinne na hili likaweza kumsaidia kuchelewa kufika kileleni.
2. NDANI-KWA-MUDA.
Stairi hii mara nyingi hufanyika mwanamme akiwa juu,pia ni njia ya kukusaidia kuchelewa kufika kileleni kwa haraka.
Mbinu hii itakusaidia kubadili muda wa kupampu kati ya ndani sana na kwa juu  juu ya sehemu za msichana Kwa sababu mipigo mifupi mifupi itakusaidia kuchelewa kufika kileleni kwa sababu misuguano inakuwa midogo.
Pia unashauriwa kutumia mbinu ya mipigo 10.Kufanya hivyo piga 9 mifupi na mmoja ndani zaidi ya u***k**E,tunaposema mifupi tunamaanisha uum**e unaingia ndani kwa levo ya nusu au kichwa tu basi.
3.LAMBA-LAMBA.
Wakati wa kufanya mapenzi,na unapokaribia kifika kileleni,unaweza ukachomoa haraka haraka na kuanza kumlamba sehemu zake vizuri,hii itakusaidia ku re-relax na kuzia kukojoa mapema pia hili litamfanya mpenzi wako awe na mudi pia.Baada ya muda kupita zitakuwa zimerudi, unarudi tena na itakuwa kama unaanza tena upya kugegeda hehehehe!!!(wengine mtaona kama kinyaa ndo mapenzi hayo utafanyaje sasa hehehehe!!)

4.KIBIRITI-NGOMA.
Hii ni stairi nzuri sana na unasaidia sana kwa ajili ya kumfanya mpenzi wako nae afike kileleni mapema sana kabla yako.Kujifunza stairi hii ya kibiriti ngoma 

Jinsi Ya Kus3xchat Na Mwanamke apandwe na hamu.

Kama mwanaume hajui kuanza kumsexchat mwanamke, kwa kawaida kuna mambo mawili ambayo huweza kutokea.

Aidha hatowahi kujaribu, hivyo kukosa hatua muhimu ipasayo kutumika katika mchakato wa kutongoza mwanamke, ama atakuwa na wakati mgumu kujenga uhusiano kati yake na mwanamke wa maisha yake.

Kama unataka kujua jinsi ya kujifunza kuanza kusexchat mwanamke kwa njia ambayo itamfanya avutiwe na afurahishwe, hii hapa ndio njia ya kufuata.

Jinsi ya kusexchat na mwanamke

#1 Jenga mpangilio wa toni. Kuanza kuonyesha hisia zako za sexting bila mpangilio wowote ni hatua mbaya ya kutumia sababu utamshika mwanamke kwenye mataa. Balada yake, wakati unapoanza kutaka kusexchat lazima uje na hatua ya upole bila pupa. Weka toni ambayo itafanya chat yako ionekane imetoka naturally bila kuonekana kama imelazimishwa.

Njia nzuri ya kuanzisha mazungumzo ya jumbe ambazo zinalenga kusexchat bila kuzua mukshili ni kwa kutafsiri majibu yake kwa njia ambayo itadokeza kuwa anajaribu kukutongoza. Wewe unapaswa kufasiri yale anayokuambia kuonekana kwamba anajaribu kukutongoza. Yeye ndie anayezua mada ya kuonyesha kuwa analeta hisia za mahaba katika mazungumzo ya kawaida. Kufanya hivi kunaleta tenshen ya mapenzi katika mazungumzo yenu huku mkifanya kuwa ni mchezo au mzaha. Kufanya hivi kunajenga nguzo muhimu ambayo itafikia mahali flani kusexchat itakuwa hakuwezi kukwepa.

Kwa mfano, kama mwanamke atakuomba mkutane ili mkajiburudishe na vinywaji, unaweza kuleta ucheshi kwa kumwambia kuwa unaijua njama ambayo anataka kukufanyia ya kutaka ulewe ili akutumie vibaya. Njia hii ya ucheshi wa maneno huwa inaenda vizuri na pia hujenga vizingiti muhimu vya kumfanya mwanamke kuwa wazi kueleza hisia zake za kimapenzi.

#2 Matumizi ya kujenga tenshen. Ok najua kuna watu wanaweza kushangazwa kuona tukifundisha jinsi ya kusexchat mwanamke. Najua wengine wetu wangeuliza, “Si kusexchat inapaswa kuja automatically? Well, itategemea na mbinu ambazo unazitumia kusexchat. Hii mbinu ya fasiri-hasi (kujeuza maneno anayokwambia kumaanisha kivingine) ni njia nzuri, rahisi, na ya moja kwa moja ambayo wanaume wengi hutumia kutext mwanamke. Mwanzo ni mbinu nzuri ambayo huleta mazungumzo ya uliza-nikujibu na ambayo huleta cheshi katika kuvuta hisia za mapenzi.

Mbinu nyingine nzuri ambayo unaweza kutumia kupenyeza sexchat katika mazungumzo yako ni kwa kutumia maneno ya “tufanye”. Kama atakutumia jumbe kama, “Nataka kwenda kuoga sahizi” wewe utamjibu, “Naja tuoge pamoja” Akijibu, “nakungojea”  wewe mwambie, “Ok nafika sahizi. Lakini nataka uhakikisho wako kuwa hatutafanya mapenzi…coz siko tayari sahizi :)” Mbinu kama hii inakufanya wewe ujitokeze kama kiumbe cha mapenzi bila kuonekana kama tishio kwake.

#3 Kuwa thibiti. Kama unataka kujifunza jinsi ya kusexchat mwanamke lazima ujue jinsi ya kujenga tenshen ya mapenzi kiucheshi. Ijapokuwa kutongoza mwanamke katika chat ni kitu bora, kuna hatua flani katika mazungumzo yako unapaswa uwe thibiti na kuonyesha matamanio yako kama mwanaume.

Wakati wake ukifika – na utajua wakati kama huo umefika – unaweza na unapaswa kumwambia kile ambacho unafikiria, unahisi, na kutaka. Kufanya hivi kunaweza kuwa jambo gumu kwa wanaume wengi, lakini ni jambo la lazima kufanya. La sivyo unaweza usione mabadiliko yoyote katika mazungumzo yako na wanawake.

Kwa kukusaidia kuchukua hatua kama hii hatari, lazima kwa akili yako uweke kuwa kila mtu hufanya makosa wakati mmoja au mwingine. Unaweza kusema jambo flani halafu halikuenda sawa kama ulivyotarajia. So lazima utarajie chochote kutoka kwa mwanamke wakati utaamua kueleza hisia zako kwake.

Halafu kumbuka kuwa kila hatua hatari unayoichukua kwa mwanamke, ni bora zaidi kwa kuwa itakuwa inajenga vile ambavyo  utawasiana naye mbeleni. Pia huwezi kujua kama hio text utakayomtumia ndio itakayomfanya asisimke na kutaka zaidi kutoka kwako.

#4. Share ndoto zako. Je wataka mwanamke afunguke aanze kukueleza ndoto zake za ubunifu za mapenzi? Wataka akueleze kila kitu ambacho ashawahi kufikiria ukiufanyia mwili wake? Kumfanya afunguke lazima kwanza umuandae katika hali ambayo atajihisi huru na salama kufanya hivyo. Na njia nzuri ya kufanya hivyo ni kwako wewe kufunguka na kumwambia ndoto zako na ubunifu wako – hivyo kumfanya naye pia kufuata mkondo wako.

Pindi mazungumzo yenu yameanza kufuata hatua za mapenzi basi unapaswa kuanza kugawa mawazo yako machafu umbayo unayo kumhusu. Tumia maneno ya kueleza kwa upana. Nenda polepole, achilia tenshen ijijenge hatua kwa hatua na usiingiwe na aibu ya kueleza chochote (yale mawazo na hisia unayoyafikiria kwa akili yako unapomvua shati lake kimtindo, vile unavyomwona akireact, sehemu ya mwili wake inayokusisimua, na kila kitu ambacho unawazia unaufanyia mwili wake…)

#5 Je kama hataki kufuata mawimbi yangu? Usitie shaka hapa. Kama tulivyotangulia kusema awali ni kuwa kuna wakati mwanamke anaweza hapendi kile ambacho unamwambia na anaweza hata kukasirika. Kama jambo hili litatokea usiogope. Kujinasua katika hatua mbaya kama hii ni rahisi sana.

Kama hakupenda njia uliyoifuata unapaswa ukubali hisia zake halafu uendelee. Usianze kuingiwa na uoga wa kuwa hataongea na wewe tena ama kuona umeharibu bahati yako.

Kama umemwona amekasirika unaweza kumwambia, “Samahani kama nilichokwambia kimekuudhi, ni vile tu umenisisimua kwa hili jambo.” Huwezijua – labda kumwambia maneno kama haya ndio yanaweza kuiamsha hamu yake kwako. Kama sivyo, basi unaweza kubadilisha mada na kuendelea mazungumzo mengine. Usikubali makosa uliyoyafanya kukuzuia kuendelea mbele. Ukiwa mkweli, mwenye utu na heshima huwa kuna faida yake mwishoni.

#6 Akili ya kus3xchat. Wanaume wengi huwa wanasitasita ikija katika maswala ya kusexchat. Huwa wanaogopa kueleza hisia zao za kimapenzi. Kukwepa zimwi kama hili kukuandama, ni muhimu kuiweka akili yako katika hali ya kuwa imejiandaa kusexchat.

Pili ni lazima uweke wazi kwa fikra yako mambo unayotamania kutoka kwa huyu mwanamke. Matamanio haya yote lazima yajitokeze kwa texts zako. Kama mwanamke anakupenda atataka kuona ile sehemu yako ya ndani. Badala ya kuchukua muda wako mwingi kufikiria kile ambacho unahisi anataka husikia, wewe mweleze vile unahisi na mambo ambayo unaona yanakusisimua kutoka kwake. Miliki hisia zako na wala usione haja ya kuomba msamaha kwa kuwa unamwona anavutia kimapenzi.

Mambo haya mawili kwa fikra ya mwanamke yatamfanya ahisi kuwa unamheshimu na pia kumsisimua, na itakuwa njia ya haraka kumfanya aanze tusexchat na wewe.

Mwanamke Mwenye Kiu Utamjuaje? Ishara Zote 12 Tunazo

Kama unataka kujiridhisha haraka basi hawa ndio wanawake unaweza kuwafukuzia na utakuwa na uhakika wa juu ya kuwa utafaulu katika azma yako. Lakini iwapo unataka mwanamke wa kumpeleka nyumbani kwenu na mwishowe kumuoa basi epuka na aina hii ya mwanamke.

Mwanamke mwenye kiu na uchu utamjua na tabia zifuatazo.

#1 Ulimpata katika baa/klabu.  Hapa sisemi kuwa wanawake wazuri hawapatikani katika baa ama vilabu, la. Ninachosema ni kuwa ukipata mwanamke sehemu hizi halafu baada ya usiku mwingi kuingia anakubali kwenda na wewe nyumbani kwako basi ujue ni mwenye kiu. Labda lengo lake kuu ilikuwa nikuenda klabu na kupata mtu wa kulala naye.

#2 Alikuwa amekujaajaa. Hii ni njia ya moja kwa moja kuonyesha kuwa mwanamke aina hii anajionyesha ili umchague. Mwanamke ambaye anataka mahusiano ya kweli hawezi kuwa na hisia za kukushika ama kukuingia mwilini wakati wote. Mwanamke mwenye kiu atafanya hivi ili akuvutie umpende haraka.

#3 Ulilala na yeye haraka. Kuna wanawake wengi ambao wanaweza kuingiliana haraka na wewe halafu wakaendelea na mahusiano marefu, lakini mara nyingi wanawake hawa huwa wanataka tu kula uroda. Wana kiu cha kutambulika na pia kutaka zaidi. Wanawake wengi hudhania kuwa kulala na mwanaume ni njia ya kumfanya akutambue haraka, jambo ambalo si kweli.

#4 Anakupigia simu usiku wa manane. Hii hufanyika iwapo mwanamke ana uchu na wala hana lengo la kuwa katika mahusiano. Wanawake aina hii watakupigia usiku wa manane ili watimize tamaa zao za uchu. Ukiwaambia waje kwako nyakati hizo za usiku watakuja mara moja.

#5 Mawasiliano yenu ni ya mlalano.  Kiufupi mahusiano yenu ni ngono, ngono, ngono. Hata kama mmeenda out kuangalia filamu mwisho wa siku mtafanya ngono. Hakuna cha ziada ambacho mtakuwa mnaongea. Hii ni ishara kuu ya kutambua iwapo mwanamke huyu ana kiu kisichoisha.

#6 Anataka kujua kila kitu kukuhusu. Hapa mwanamke aina hii hatakupa time. Ana tamaa ya kukufahamu kila kitu kwa lengo la kuingia katika mahusiano na wewe. Atakuwa anakuuliza maswali yasiyokuwa na mwisho. Epuka mwanamke kama huyu sababu kiu chake kukimaliza si rahisi.

#7 Anasuka kila mwanaume anayemuona. Utamjua ni mwanamke mwenye kiu kwa kuwa anatafuta atenshen. Ni kama ana njaa isiyoisha hivyo kila mwanaume atakayekutana naye atakuwa anarusha ishara za kutongoza hata kama unatembea ama uko na yeye.

#8 AnakuSMS kwa mpigo bila kusita. Aina hii ya mwanamke atakuwa anataka kuwasiliana na wewe kila wakati. Ukiona mwanamke anakutumia meseji mara kwa mara, kila wakati basi fahamu anataka atenshen. Kiu chake kwako bado kiko kingi.

#9 Anasema kuwa nyinyi ni wapenzi mara ya kwanza kuongea naye. Hata kama uko mshapu kiasi gani katika kutongoza wanawake, ukiona ya kwamba mwanamke anajitokeza na kujitambulisha kuwa wewe na yeye mko pamoja na hata hujapiga hatua ya maana kumtongoza basi hapo fahamu kuwa kuna tatizo. Itakuwa ni wale aina ya wanawake wanaotaka kuonekana kama wana wapenzi. Huyu ni mwanamke mwenye kiu cha kuwa na uhusiano bila hata kufikiria.

#10 Anakuashiria maneno ya mapenzi. Labda mnaongea tu mambo ya kikawaida halafu ghafla mwanamke aina hii akaanza kukutajia maswala ya mambo anayopenda kitandani, filamu za ngono, uroda nk bila hata kufikiria. Well, huyu atakuwa anarusha nyavu kuangalia kama itanasa chochote. Hapa ukizubaa tu utanaswa, na kiu chake hakitamalizika.

#11 Anahakikisha anakuona mara kwa mara. Kila wakati yeye anapiga mahesabu ya sehemu ambazo anaweza kukutana na wewe mpaka inafika mahali unaudhika. Well, huyu ni mwanamke ambae kiu chake bado hakijakamilika vilivyo.

#12 Yuko rahisi. Si kila mwanamke ambaye utakumbana naye atakuwa rahisi kumtongoza. Na si kila mwanamke unayelala naye kirahisi anaweza kuingia katika mahusiano marefu na wewe. Lakini ukiona kuwa huyu mwanamke anakufungulia chupi haraka, utahitaji uwe na tashwishi na unahitajika kumchunguza zaidi iwapo ataonyesha ishara tulizoziorodhesha awali kuhakikisha kuwa ni mwanamke mwenye uchu.

Wanawake Mlioolewa Never Underestimate The Power Of Nyumba Ndogo

Seriously wanawake mlioolewa wengi Wenu mnaboa sana sana Aisee, Mnadharau sana Nguvu ya Nyumbandogo, Mnaviona Kama vimalayaflani visivyo Na Bahati. Na kurukia waume Za watu. Sure I am telling you stop this. Never underestimate the power of nyumbandogo.

Umebweteka tu, ukirudi home umejitupia Kwa bed ukiguswa unamaka Eti umechoka, mumeo yuko bize Na simu down night we unaona poa tu, Kwamba ni jiwe la mtoni weye Maji yatapita yataliacha, frendie umebug mama. Tena Kama ni reli imegeuka tope, Nyumbandogo zina nguvu sana..

Ukibahatika sana waweza kudhibiti mshahara lakini unajua marupurupu mengine yanapo elekea?, lunch, OT, mishemishe Za kiofisi unajua fedha Yake ni zaidi ya Mara tano Na kitu ya kimshahara chake! Unajua zinaelekea wapi!?!, acha Ushamba, unadhani kuna maisha mengine zaidi ya Haya.

Sijui mmelewa mvinyo gani, aliyewadanganya kawalogea Kwenye uongo , Nyumbandogo zina power sana sana. Wanaume all days hukimbizia Fedha zao Kule wanakoinjoi love. Imagine Kwenye Kitabu Cha Biblia, palikuwa Na Mfalme mmoja aliyeitwa Daudi.. Aliyekuwa Na wake Saba wa ndoa Za Kishindo.. Wote walibweteka wakimsubiria Mfalme amteue Mtoto wa mmoja wapo awe mrithi wake.. But what happen, Mwanamke Mwingine we can say Nyumbandogo (Bathsheba) aliyekuwa Mke wa bwana mmoja askari Uriya, akapenetrate within the David Kingdom , akawa the 8th wife Na Kuutwaa Urithi wa Ufalme Kwa mwanae Solomon., wale wengine wakabakia mimacho pyuu, Then Nyie Leo mnadharau hii kitu. Chezea pesa, hata Kazi chezea but usichezee mume. Itakucost.Kazi yaweza potea ukasaka nyingine mume akikuponyoka siku akirudi haji peke Yake ameshajifungashia zigo la Gonjwa, anakugawia Na wewe.. Nambie kama utaona Raha ya Kazi tena, Kama utaona Raha ya Shule unayoikazania. Kila siku openiyunivaste-yunivaste itageuka klose-yunivaste.

Hapana aisee , badilikeni, mkeep bize mwanaume at your Body, mmassage, make him happy, is the only husband an pet man you have. Mwanamke mmoja makini akinambiaga Yeye mumewe anamtendea “vitu” kiasi hata akienda nje hawezi kuta Kama hivyo ampavyo. But wengine maadam keshaolewa, Na ndoa zenyewe hizi Za kikristu, one wife , Basi anaona kafikaaa, Umelogwaje,wakati wa Mchana mchane Na Whatsapp mwenyewe akome sio kuwaachia wengine wamuwatsapp utajuta.

Kazi, Watoto, Ndugu Na majukumu mengine yasikufanye ukapoteza lulu yako ya Kuwa Na happy time Na Mumeo..

Ni kweli Wanaume Wanapenda Wanawake Wenye Matiti Makubwa ?

Kwa mujibu wa utafiti wa kisayansi uliofanywa hivi karibuni nchini Marekani na Uingereza kisha kuripotiwa na Jarida la New Study umebainisha kwamba, wanawake wenye matiti makubwa huwasisimua zaidi wanaume kimapenzi kuliko wengine.

Jane Pincott Mwandishi wa masuala ya sayansi amekiri katika kitabu chake cha ‘Do Gentleman Really Prefer Brondes’ kwa kueleza kinagaubaga juu ya utafiti huo kuwa, nguvu ya mvuto wa wanawake wa aina hiyo ni kubwa na kufafanua kwamba ina uwezo maradufu wa kuteka hisia za wanaume.

“Hakuna mwenye kupinga kuhusu hili, dunia nzima inafahamu na hasa wanaume wenyewe…kigezo cha kwanza cha kumtambua mwanamke ni matiti, …kadri yanavyokuwa makubwa utambulisho wake hukua na mvuto huongezeka.

Mwanamke kuwa na sura nzuri peke yake haitoshi…ingawa wanaume hupenda hilo pia, lakini si jambo linaloamsha hisia zao za mapenzi haraka, tumetafiti na kubaini ukweli huu tunaoueleza,” alisema Pincott alipozungumza na jarida hilo la New Study.

Timu ya wataalamu iliyoendesha utafiti huo, ilihusisha zaidi ya wanaume 4,000,kwa kuwaweka kwenye chumba chenye picha za wanawake wenye matiti makubwa na madogo, ambapo ilibainika asilimia 79 ya waliotazama picha za wanawake wenye matiti makubwa walisisimka kimapenzi.

Naye Dk. Grazyna Jasienska wa Chuo cha Harvard aliongezea nyama kwenye uchunguzi huo kwa kusema kuwa, mwanamke mwenye matiti makubwa ana uwezo wa kushika ujauzito haraka kuliko n mwenye matati madogo.

Ripoti hiyo ya watafiti wa nje inaweza kuwa na ukweli hata kwa wanawake wa kibongo ambao nyakati hizi wamekuwa wakiacha nje sehemu kubwa ya matiti yao makubwa, bila kubainisha sababu hasa za kufanya hivyo.

Mimi nakubaliana kwa kiasi fulani na utafiti huo kwa sababu za kitaalamu, matiti ni kiungo nyeti chenye hisia za mapenzi, kinapoonekana kwa wazi huvutia, hii haijalishi kama matiti ni makubwa au madogo.

Lakini kwa kuwa matiti makubwa huonekana kirahisi mwanamke anapokuwa amevaa nguo, hiyo inaweza kuwa sababu ya wenye matiti hayo kuvutia, hili halina ubishi.

Lakini pamoja na uweli huo bado suala hili linabaki kwenye mtazamo wa kila mwanaume, kwani wapo wanaopenda wanawake wenye matiti madogo, lakini kama nilivyosema kuonekana kwa matiti hayo kunabaki kuwa ni jambo pekee linaloweza kuamsha hisia za mwanaume.
Hii ina maana kwamba hata kama mwanamke atakuwa na matiti madogo na akayaweka wazi atakuwa amefanya kile kile kinachoweza kufanywa na mwenye matiti makubwa.

HIVI NDIO VIGEZO WANAVYOTUMIA WANAWAKE KUPENDA

Watu wengu hujisikia vizuri wanapowavutia wenzao wa jinsia nyingine. Je, unafikiri ni kitu gani kinachomfanya mwanamke aonekane wa kuvutia?Kuna vitu vingi vinavyojulikana vizuri zaidi kwa upande wa mwanamke kama vile; mwili mzuri, sauti yenye mvuto, nywele, mikono mizuri na mengineyo mengi.

Lakini, kuna vingine ambavyo siyo vya kawaida vinavyohusu mwanaume kumvutia mwanamke.

Je, ni vitu au mambo gani ya kipekee ambayo, humfanya mwanamke aguswe na mwanaume fulani na huku mwanamke mwingine akishangaa ni kwa nini mwanamke mwenzake ameguswa sana na huyo jamaa?Inawezekana yapo mengi ambayo, huyajui. Kwa mfano, mwanamke anaweza akavutiwa na jina la kwanza au la ukoo la mwananume fulani.

Hapa mwanamke hufikiri kwamba, huyo mwenye hilo jina hawezi kuwa mtu wa kawaida, na kila kitu anachofanya ni lazima kiwe cha ajabu.Labda ni kutokana na jina hilo kuwa ni la kigeni au anatoka kwenye ukoo ambao ni bora au wa kipekee au anafikiri labda huyo mwanaume atamwezesha kile ambacho, mara nyingi amekuwa hakipati.Lakini, inawezekana kabisa kwamba, mwanamume huyo si mzuri sana wa kuvutia au ni mbaya sana kuliko wengine.

Hakuna anayejua, labda anachotaka mwanamke huyo ni kujaribu bahati yake ili aone kitakachotokea kwa uhakika ziadi.Inawezekana pia kuwa, mwanamke anaweza kuchanganyikiwa zaidi baada ya kuona umbo la mwanamume huyo au gari lake.

Pengine mambo hayo ndiyo ambayo, amekuwa akiyapenda zaidi. Inawezekana ikawa ni dalili ya bahati kwake kwamba, ametokea katika maisha yake mtu ambae, kwa muda mrefu amekuwa akitamani kumpata.Upo uwezekano pia kwamba,

mwanamke akavutiwa na mwandiko au sahihi ya mwanamume fulani. Wakati mwingine mwanamke hutokea kuwa na uhakika zaidi na kuamini yale anayoambiwa kuhusu tabia ya mwanaume huyo, bila hata kufanya uchunguzi wa kina. Hata hivyo, ukweli ni kwamba, upo uwezekano wa kuisoma tabia ya mwanaume huyo kwenye sahihi au mwandiko wake.Mwanamke pia huvutiwa na lafudhi ya mwanamume, fani yake, hobi, na kitu kingine kisicho cha kawaida ambacho

mwanamume huyo anakipenda na kukifanya. Hata hivyo, mwanamke anatakiwa awe mwangalifu mno na upande wa pili wa mtu huyo ambao, yeye haujui. Hapa ikiwa na maana kuwa , pamoja na sifa zote hizo alizozibaini kutoka kwake, anapaswa kujua kwamba, mwanamume huyo kama binadamu asiyekamilika pia ana mapungufu na udhaifu mwingi.Kuufahamu ukweli huu, kutamsaidia katika kuimarisha zaidi na kumfanya awe makini anapotafuta mwanaume wa kuishi naye.

Na akumbuke kuwa, wapo wanaume ambao huficha makucha yao au kasoro zao kwa wapenzi wao.Kuna mwanamke mwingine hupenda mwanaume mwenye vituko, kilema au mwenye kasoro nyingine za kimwili. Yote hayo hutokana na asili ya mwanamke. Na ni mambo yanayoongea ndani mwake kwamba, anataka kumjali na kumhurumia mwanaume huyo.Kwa kawaida, mwanamke huvutiwa zaidi na kwa urahisi, pale mwanaume anapoonyesha tabia ya usikivu na utulivu. Hata hivyo, mtazamo huu kwa upande wa mwanamke, huhesabika kuwa ni ushindi kwake.

Hali kadhalika, mwanamke huvutiwa na tabia fulani ya kipekee ambayo, mwanaume anayo. Kwa mfano, jinsi mwanaume huo anavyoutumia mkono wake wa kushoto, kwani watu wengi wanatumia mkono wa kulia. Ukweli ni kwamba, labda huyo ndiye mwanaume ambae mwanamke huyo anamtaka,

kwani pia wanawake wengine hawawezi kujizuia kuwapenda wanaume wenye macho ya bluu. Hilo pia ni jambo la kawaida.Mwanamke anaweza kumpenda mwanaume kutokana na jinsi anavyofanya kazi za nguvu au kutokana na mwili wake kuwa na misuli. Ni jambo la kawaida kwa wanawake kufurahia wanaume waliojazia, na inavyoonekana wanawake huwaona wanaume ambao ni lainilaini kuwa wana haiba ya kike au ni mashoga.Hapo ndipo mwanamke anapolazimika kufikiria kwa makini, kuhusu mwanaume anayetumia muda mwingi kujipodoa na fedha nyingi kwa mambo ya urembo na vipodozi kuliko hata mwanamke, kama kweli anamvutia na anamfaa.

Na kitu kingine ni kwamba, mwanamke humpenda mwanaume anayesaidia kufanya kazi za nyumbani. Kwa kufanya hivyo, mwanamke huamini kwamba, mwanaume huo anamjali na kumthamni.Kwa kumalizia ni kwamba, mambo mengi yanayomchanganya mwanamke kuhusiana na mwanaume anayemtaka, kwa kweli ni ya kipekee sana na wakati mwingine huonekana kuwa ni kituko, ingawa wakati mwingine yanaweza yakaeleweka vizuri. Mara nyingi vigezo hivyo huonekana kuwa sahihi, iwapo tu mwanamke huyo atajisikia vizuri na kupata ridhiko la nafsi yake.

TUMIA MBINU HII KUMSHANGAZA MPENZI WAKO AKUPENDE ZAIDI

Ufunguo wa moyo wa mwanamke huwa ni kupitia kwa rafiki zake, kama rafiki zake wakipendezwa na wewe, huyo mwanamke aliekukonga moyo basi nawe utakuwa umeanza kuuteka taratibu, kiufupi utakuwa umeupata kila kitu kuhusu yeye, namba ya mwenye nyumba wake mpaka namba ya jirani yake, ukiwafurahisha rafiki zake basi barabara yako ya wewe na yeye imeshaanza kuwa nyeupe”

Hakuna kitu kinachomjulisha mwanamke unayemtongoza au uliye nae kuwa umetumwa na Mungu kuwa mpenzi wake kama kukuona wewe ukiwa unapatana na marafiki zake. Marafiki wa karibu wa mwanamke ndio majaji wanaokujaji kuwa ukoje, unatabia gani na kama unafaa kweli kuwa kipenzi cha rafiki yao mpenzi, maana wao ndio wanaomshauri na wao ndio nguvu ya umaa ya kimawazo kwenye kichwa cha huyo msichana umpendae.

Ila kuna sanaa ambayo kiumeni.com leo hii inataka kukufahamisha, kukujuza na kukuelekeza, sanaa ambayo ni nyepesi kueleweka na wala usiwe na shaka.Kuwa unajua iwapo ukiparamia mti na kwenda kwa papara lazima zikutokee puani kwa mawili.

Ukienda kwa kujifanya wewe ndio unaojua kutengeneza urafiki na kuwa rafiki kupitiliza lazima wakushitukie na kuondoa shauku yako kwako kwa kukuona ni mfuatiliaji tu wa kupotezea mda au mzushi flani unayewachimba kwa sababu ya rafiki yao, na pia iwapo ukienda kwa ukimya utaonekana kauzu, unaojidai na kuwaona wao sio lolote sio chochote na iwapo wakikuendekeza utamfanya rafiki yao wanao mjua tokea kitambo kabla ya wewe kuonyesha sura yako ajitenge na wao.Nachojaribu kukufahamisha unatakiwa uwe kama maji, usiwe ya moto na usiwe ya baridi, na kiumeni.com itakusaidia kukupa maelezo ya kina ya jinsi ya kuwaingia.1. Waulize majina yao. Kumbuka majina yao na ukiwa unayatumia usiyatumie kuwaita kwa ufupi, fanya hivyo iwapo watu wote wengine wanafanya hivyo pia.2. Waulize maswali kuhusu wao. Uliza maswali mengi hata kama mengine yanaboa, kama kuna jambo ambalo wanataka kulifanya kwa pamoja jifanye kabisa kama unataka kulijua kwa marefu na mapana, na hakikisha ukiwa unauliza jambo hilo kuwa kama ndo umevutiwa na jambo kuliko ambavyo umeweza kuvutiwa na kitu chochote katika maisha yako.3. Waambie jinsi ambavyo rafiki yao kipenzi anavyokuvutia na kukuchanganya. 

Hakikisha lugha unayoitumia sio kwa kuwalingishia kuwa huyu rafiki yao ndo mzuri kupita wao, tafuta rugha nzuri nyepesi maana unaongea na wanawake vile vile, kwa rugha isiwe kana kwamba unawaringanisha. Jua jambo moja kwa yote utakayoyaongea hapo

yatakuwa kichwa cha habari baada ya wewe kuondoka, watakuongelea na kuyapima maneno yako kwa kina.Muongelee rafiki yao kama ni mtu uliependezwa nae na amekushika rohoni, waambie kuwa jinsi unayoendelea kumjua rafiki yao ndivyo unavyoendelea kumpenda zaidi.4. Wasifie. Ila hakikisha unakuwa na mpaka, wasifie kuhusu nguo zao, kazi zao au radha yao kwenye vitu flani flani walivyonavyo,

hakikisha sifa zako zisiongelee miili yao au nyuso zao, iwapo ukifanya hivyo ujue watakuhukumu kama mtu unaevutika na kila mwanamke anaekatisha kwenye macho yako, na juu ya yote unaanza kuonyesha

hisia za kuwatongoza mbele ya rafiki yao.5. Kama upo umetoka nao kwenye mtoko, wanunulie vinywaji na kama anaishi na marafiki zake, njoo na chupa ya waini ya dompo au saint anna siku nyingine ukija, hii inamaanisha utakuwa umejitengenezea picha nzuri na kuonekana mtu muungwana, mwenye roho nzuri, usio na choyo na unamapenzi ya

kweli na rafiki yao.Kuwafanya rafiki wa mpenzi wako uliyenae au mtarajiwa wakupende na kitu kimoja ambacho kitakupa sifa nzuri sana, maana hata kama msichana hajapendezwa sana na wewe harafu marafiki wamekupenda ujue utatetewa vizuri na uhakika wa kuwa na huyo msichana umpendae utakuwa mkubwa, na kitu kimoja kuhusu wanawake, wanawake wanategemea sana ushauri kutoka kwa marafiki zao, hivyo hata kama ukiwa umekosea jambo na upo kwenye uhusiano

na huyo msichana umpendae, ukiwa upo poa na marafiki zake ujue utakuwa na watetezi wa kufanya msamaha wako uwe nje nje kupitishwa.

MAMBO YQ KUZINGATIA WAKATI WA KUCHAGUA MCHUMBA

Hamna raha ya pekee kama kuwa kwenye mahusiano ambayo mume na mke au ‘boyfriend’ na ‘girlfriend’ wanaelewana vizuri. Ni vigumu kupata mtu ambaye mnaelewana kila jambo.Sio lazima kama mwenzako anasapoti

Arsenal na wewe usapoti Arsenal. Wataalamu wa masuala ya mahusiano wanashauri kuwa, ili uweze kuishi vizuri na mtu kama mume na mke ni vizuri kuwa mnaelewana kwenye masuala ya msingi na mnashea visheni moja ya maisha.Kati ya masuala ya msingi ambayo ni muhimu kuwa kwenye ukurasa mmoja ni

Matumizi ya fedha na kujamiiana. Haya ndio mambo makuu mawili ambayo yanasababisha ndoa nyingi sana kuvunjika. 

Utajuaje matumizi ya mtu ya fedha kama ndio wachumba na bado hamjaanza kuishi pamoja? 
Ni rahisi, utakuwa unajua mwenzako anafanya kazi wapi, dadisi kwa watu kuwa kazi kama anayofanya mwenzako ina mshahara kiasi gani pamoja na dili nyingine anazofanya, ukishajua hilo anza kuchunguza matumizi yake, vitu anavyonunua, mavazi anayovaa, gari analoendesha na mambo mengine kama hayo.

Kama matumizi yake yako juu kuliko kipato chake, jaribu kuongea naye na kumshauri kuhusu matumizi yake.Tunakuja kwenye swala ya kujamiiana, hili ndio jambo la pili ambalo linaongoza kwa kusababisha mahusiano kuvunjika hasa kwa kizazi kipya. Miaka kama 30 iliyopita, watu wengi walikuwa wanaoana wakiwa bado bikra.

Jambo zuri la kuoana mkiwa bado bikra ni kwamba wote mnaingia mkiwa hamna ujuzi na hamna wasichana au wanaume wengine ambao umelala nao wa kulinganishe ujuzi wao na mke wako au mume wako. Tatizo lipo siku hizi ambapo watu wanaoana wakiwa na ujuzi tofauti

(diffetent experience level) ndio maana michepuko imezidi.Wanadamu tumezoea kulingalisha vitu, pale utakapoanza tu kulinganisha utaalamu wa mwenzako na wanawake au wanaume wako wa zamani ndio utakapoanza kumuona mwenzako hafai. Jitahidi kutolinganisha uhusiano wako na watu waliopita, hamna watu wawili wanafanana kila kitu humu duniani.

Kabla sijamalizia, napenda kusisitizia kuhusu umuhimu wa mawasiliano, sio kupigiana simu na kuandikiana message kwenye whatsapp, kutaneni mahali, wekeni simu zenu mbali na sio unaangalia picha instagram wakati unaongea na mwenzako.Tafuteni sehemu iliyotulia mara mbili kwa wiki mzungumze na kupanga maisha yenu, usiogope wala kuona haya kuuliza swali lolote.

Design a site like this with WordPress.com
Get started