Dalili zitakazowaonesha kuwa mnapendana na mnaendana katika mahusiano ya mapenzi

Wataalamu wa mahusiano wanasema kuwa kuna dalili nne ambazo ukiziona kwenye mahusiano yako basi amini kuwa ninyi mnaendana na pia mapenzi yenu yatadumu mpaka kifo kitakapowatenganisha.

Zifuatazo ndizo dalili zitakazowaonesha wewe na mpenzi wako manendana;

Uhusiano wenu uwe na uwiano. 
Mahusiano ambayo yamefanikiwa ni yale yenye uwiano sahihi. Katika mahusiano mtakuwa tofauti wakati mwingine, na utofauti huu lazima ulete ulingano.

Mfano, kuna ambao hupenda sana kutoka out na marafiki, huyu anahitaji kupata mtu ambaye si mpenzi sana wa kwenda out ili kuleta mlingano. Unatakiwa kuwa na mtu ambaye unakamilika unapokuwa nae, mtu ambaye mkiwa pamoja mkichanganya tabia zenu mnapata tabia moja ambayo imetokana na kuathiriana kwa matendo yenu.

Mnafurahia kusafiri pamoja. 
Njia rahisi kabisa ya kujua kama mnaendeana ni kama mnafurahia mnapokuwa manasafiri pamoja, Watu wanaoendana hupenda kusafiri pamoja na kwenda sehemu tofauti tofauti.

 Kama wewe unataka kusafiri kwa gari, lakini mwenzako anataka kupanda ndege na ubishani wenu unakuwa mkubwa basi ujue ninyi mna tatizo. Wapenzi wanaoendana hukubaliana na njia moja ya kutumia ambayo wote wataifurahia.

Uliyenaye anakufanya ujisikie vizuri.
Kuwa katika mahusiano ambayo yanakufa ujisikie kuwa upo katika ubora wako, sio mahusiano ambayo kila ukiyakumbuka unanuna. Kuwa na uhusiano na mtu ambaye mkikaa pamoja huhitaji kupiga miayo na kujinyoosha ili upate cha kuongea. Kuwa na mahusiano ambayo yanakufanya uone furaha hata kuyazungumzia mbele ya rafiki zako.

Kuna kitu mnachokipenda ambacho mnafurahia kukifanya pamoja. 
Hii ni muhimu kuiona, watu wanaopendana huwa kuna kitu kimoja au zaidi ambavyo wote mnapenda na hufurahia kukifanya pamoja. Hii haimaanishi kuwa basi vitu vyenu kama ni muziki, au vitu vingine vitakuwa sawa, lakini kuna kitu ambacho kitakuwa kinaingiliana kati yenu na ambacho mnafurahia kukifanya.

Kwa ufupi mtakuwa na labda vitu viwili au vitatu mnavyopenda kufanya pamoja mfano kuogelea, kuangalia tamthiliya, muziki, kutembea na vingine. Hii ni ishara kuwa ninyi  mnapenadana.

Fahamu Aina ya Kulala Inavyoelezea Kipimo cha Mapenzi Katika Mausiano.

Wakati wa kulala si lazima wapenzi wafuate utaratibu ule ule kila mara.Hii inawezekana msimamo wa akili ulivyo kwa wakati huo.Fuatilia mitindo ya ulalaji na maana yake
::
KUKUMBATIANA
Mtindo huu hutumika sana kwa miaka 5 ya mwanzo wa ndoa.Mume huweka miguu juu ya mkewe na mikono kumkumbatia eneo la kifuani.Aina hii hupendwa sana na wanawake kwani hujiona yuko salama
Ni alama ya mahusiano bora ya kimapenzi.
::
KUTAZAMANA
Hukumbatiana lakini baada ya saa 2 au 3 hujibagua na kila mmoja kulala upande wake.Ni alama ya kusaidia kuondoa mkinzano unaoweza kujitokeza.
::
MALIWAZO YA MUME
Hushikana mikono na mke kuweka kichwa chake kwenye mabega au juu ya kifua cha mumewe.
Ni alama ya tafsiri ya mapenzi ya dhati ya mume kwa mke.
::
BARAFU WA MOYO
Mke hupanda juu ya mume na wanaweza kujadiliana mambo mbalimbali.Ni alama nzuri nyakati za maelewano.
::
KILA MMOJA UPANDE WAKE
Ikiwa mmoja kaweka mguu mmoja au mkono kwa mwenzake,mtindo huu hujulikana kama daraja la mahusiano.Si alama ya kutiliwa mashaka
::
USINGIZI BARIDI
Pale wanandoa wanapolala kama wasiotambuana bila kugusana pasipo kujielewa ni alama kuwa wako mbali kifikra.Hutokea pale mvuto usipokuwepo
Hali hii isiruhusiwe ikue.
::
VISIWA TOFAUTI
Wanalala bila ushirikiano kwa visingizio vya kuchoka,ni kama visiwa viwili tofauti.
Chanzo chaweza kuwa matatizo ya kimwili,kiakili au kiuchumi.Hali hii ikitokea mara kwa mara huweza hata kuachanisha wapenzi
::
MGONGO KWA MGONGO
Mtindo huu hujitokeza sana kwa wapenzi.Ingawa wanaweza kupeana migongo lakini wanaweza kuwasiliana.Ni alama ya kawaida na wanasaikolojia wanauita mtindo huu “muda wa kupumzika”
::
MZIGO USIOHITAJIKA
Kila mmoja hulala kivyake na mara nyingi ni kama vile wanandoa wanataka kuonyeshana umwamba.Kila mmoja hamjali mwenzake,,hali hii si ya kawaida ni mbaya sana kwani hutengana kuanzia wanapopanda kitandani hadi kunapokucha.Si ajabu hata kununua vitanda viwili au kulala vyumba tofauti.Wanasaikolojia wanaita hali hii kiburi na jeuri.

Sms tamu za mahaba kwa mpenzi wako jioni hii ya leo

Siku zote kwangu ni sherehe ni wewe unishereheshaye,  ukweli usio na kejeli mapenzi yako yanatii kiu yangu, moyoni mwangu nimeridhia… Nakupenda daima mpenzi!****Ahsante Mungu shukrani kwako mama, pongezi kwako mpenzi kuwa wangu mtetezi kwenye jahazi la mapenzi, ufundi na ujuzi unao hasa tuwapo wawili chumbani. Penzi lako halichakai daima huzaliwa jipya.******Mapenzi ni upepo, mimi sivumi na kupotea, mapenzi ni mahaba sili nikamaliza, nikimaliza nitakula nini kesho? Nakuahidi kukupenda leo hata kesho ukiwepo na hata usipokuwepo.

Nogesha mahusiano yako ya kimapenzi kwa kufanya mambo haya .

Kutengeneza uhusiano wenye nguvu ni moja ya mambo yenye changamoto kubwa. Japo hakuna maelekezo maalum, kuna mambo machache na rahisi ambayo unaweza kumwambia mpenzi wako yakaujenga zaidi. Weka desturi ya kusema mambo haya kwa mpenzi wako na muda mfupi tu mtakuwa couple itakayowapa wivu marafiki zetu.

Nakupenda
Nakupenda ni kitu rahisi na cha wazi cha kumwambia mpenzi wako. Hakikisha tu kuwa unamaanisha. Jaribu kulisema neno hilo pindi mpenzi wako anapokuchekesha au pale anapofanya kitu kinachokukumbusha kwanini mko pamoja.

Nilikuwa nakuwaza
Ni muhimu kumjulisha mpenzi wako kuwa unamuwaza hata kama hamko sehemu moja. Ukiona kitu kizuri au cha kuchekesha katika siku yako ambacho kinakufanya umkumbuke, mjulishe.

Siku yako ilikuaje?
Muulize masuala ambayo mpenzi wako anakutana nayo katika shughuli za kila siku. Muulize kuhusu huyo mfanyakazi mwenzie anayemkera au kazi kubwa waliyokuwa wakifanya. Kumpa nafasi mpenzi wako kushare sehemu zingine za maisha yake kutasaidia kuunganisha dots kati ya muda mnaokuwa pamoja.

Nakuunga mkono
Mpe moyo mpenzi wako kwa kumjulisha kuwa unaunga mkono maamuzi yake. Unaweza ukaenda mbali zaidi kwa kujaribu kumsaidia afanikishe malengo aliyojiwekea. Maisha yamejaa vikwazo vingi, na ile hisia kuwa una mtu mwingine upande wako zinaweza kukusaidia kuvivuka. Msiwe couple tu, kuweni timu. Kumkumbusha mpenzi wako kuwa upo nyuma yake kutaimarisha uhusiano wenu.

Umependeza
Kama umekuwa kwenye uhusiano kwa muda mrefu, ni rahisi kujisahau katika mengi. Ni muhimu kumkumbusha mpenzi wako kuwa anakuvutia. Kumjulisha kuwa ‘gauni hilo limekupendeza sana’ kutamfanya ajisikie vizuri na kukumbusha kwanini ulimchagua yeye.

Samahani
Kila mtu hukosea wakati fulani. Wakati mwingine hujikuta tukiongea maneno kwa hasira na baadaye kugundua kuwa hatukuwa sahihi. Ubishi hauna nafasi kwenye uhusiano wenye furaha, hivyo omba msamaha unapofanya kosa. Omba msamaha kwa kukasirika. Omba msamaha kwa kuumiza hisia za mpenzi wako. Omba msamaha hata kwa vitu ambavyo sio kosa lako.
Hakuna kama wewe
Mpenzi wako anatakiwa kuwa rafiki yako. Kama hautaki kutembea naye, basi hamkupaswa kuwa kwenye uhusiano. Mfanye mpenzi wako ajue kuwa yeye ni bora na hakuna kama yeye.

Napenda mawazo yako
Mwambie mpenzi wako kuwa unapenda mawazo yake. Mjulishe kuwa unaona ana akili, mcheshi, anajua kupenda na ana kipaji.

Nakuheshimu
Kama ulivyo uhusiano wa marafiki, heshima ni kitu muhimu kwako na mpenzi wako. Mpe nafasi ya kukushauri au kukupa mawazo kwenye mambo yanayokutatiza. Mtu anapohisi anaheshimiwa, hujisikia pia furaha na salama, vitu ambavyo ni muhimu kwenye uhusiano wowote mzuri.

Usiku mwema
Tunaishi kwenye wakati ambapo mawasiliano ni rahisi mno. Kwa kubonyeza tu kitufe tunaweza kutuma ujumbe kuvuka bahari, hivyo hakuna kisingizio cha kushindwa kusema ‘usiku’ mwema.
Haimjulishi mpenzi wako tu kuwa unataka kulala, bali pia inamjulisha kuwa unamfikiria. Hata kama hamjaongea siku nzima na hasa kama mmejibizana, maliza siku na kishindo chanya.

Wanaume: Mnapokosea kudhani mnawaelewa wanawake..!

Tafiti nyingi zilizofanywa kwa muda mrefu zinaonyesha kwamba wanawake hutofautiana kabisa kimaumbile na wanaume kiasi kwamba inakuwa kama vile ni viumbe wawili tofauti. Mtaalamu mmoja wa mahusiano ya watu John Gray anamuelezea mwanaume kuwa anatoka sayari ya Mars na mwanamke anatoka kwenye sayari ya Venus, akiwa na maana kwamba hawa ni viumbe wawili tofauti kabisa kimaumbile. 

Kimaumbile mwanamke na mwanaume hutofautiana katika kufikiri, hisia, kuyatazama mambo, kupokea taarifa, upendo, utashi na shukurani. Mwanamke hujali sana upendo, yaani kupendwa kuliko ilivyo kwa wanaume. Mwanamke huridhika na yuko tayari kuvumilia ‘yasiyovumilika’ kama anahisi kwamba anapendwa na mwanaume. Ni jambo la kushangaza sana kwamba, mwanamke anapoambaiwa ‘nakupenda’ huwa amepewa zawadi kubwa sana na kujisikia kuwa mshindi katika mahusiano.Wanawake huwa wanaamini katika kusikilizwa zaidi kuliko kupewa ufumbuzi. Ndio maana wanawake wanapokuwa pamoja wakipeana ushauri na kupeana moyo kuhusu matatizo ya kimahusiano yanayowakabili, hawatafuti ufumbuzi bali kutaka wenzao wawasikilize na kuwa pamoja nao katika madhila yao.Mwanamke anaposema jambo ambalo linamkera kumwambia mumewe au mpenzi wake, sio kwamba anataka apatiwe suluhisho, la hasha. Anaposema jambo hilo anategemea kusikia mume au rafiki akionesha kusikiliza au kujali na sio ufumbuzi. Kwa bahati mbaya wanaume huwa wanadhani wanawake hao wanatafuta ufumbuzi kwa yale wanayoyaeleza.Kwa mfano:Mwanamke anapomwambia mumewe au rafiki yake, “siku hizi naona kazi zimenizidi sana” hategemei kupewa ufumbuzi wa hilo, badala yake anataka kusikia mwanaume aua rafiki yake akichangia katika hisia (Kumbuka mwanamke hujali zaidi hisia). Katika hili kwa bahati mbaya mwanaume atasema, “punguza baadhi ya kazi” au“labda utafute msichana wa kazi” au “na wewe unajiumiza bure, kazi nyingine hazina hata maana…..”Kwa kuwa mwanaume ni mtu wa ufumbuzi tu atadhani ndicho mkewe anachohitaji, wakati ukweli ni kwamba, mkewe anahitaji kusikilizwa tu- anahitaji mawasiliano. Mwanamke hapa angefurahi kusikia, “pole sana mke wangu, hebu njoo nikukumbatie kidogo….” Angefurahi kwa sababu anachotaka ni kusikilizwa ambapo kwake ndio thamani yake.Wakati mwanamke anapozungumzia matatizo yenye kumtanza, mwanaume kwa bahati mbaya hudhani kwamba mwanamke huyo anamlaumu yeye au anatafuta ufumbuzi wa matatizo hayo kutoka kwake. Kwa hiyo kwa kadiri mwanamke anavyokuwa na matatizo zaidi ndivyo ambavyo mwanaume anajihisi kulaumiwa. Mwanaume hajui kwamba kimaumbile mwanamke anapozungumzia matatizo au hofu zinazomkabili huwa anataka kusikilizwa zaidi kuliko kutafuta ufumbuzi.Mwanaume hajui kwamba mwanamke hujisikia ahueni kubwa kusikia tu jibu la‘ahaa’ au ‘oh, kumbe’ kutoka kwa mwanaume, linatosha kabisa kumpa ahueni mwanamke.

SABABU KUU 3 KWANINI WANAWAKE WAMEAMUA KUKIMBILIA USAGAJI

Ni aibu sana kwake..Kwa familia…Kwa jamii,na ndio maana wanajificha…Haiko wazi coz its awkward…Wanawake ni viumbe so complicated…They need perfection…Sometimes wamejikuta wakichukua hatua ngumu sana kwa sababu tu hawapati Perfection wanayoitaka katika kitu fulani..Mathalani kwenye masuala ya mahusiano,Wanawake wamekuwa wakilalamika sana,sana sana

especially siku hizi,na wameamua kutumia SHORTCUT…Wameamua kuwa Wasagaji iliwaweze kukabiliana na presha za vitu kadhaa vinavyowanyima raha….Usagaji ni kimeo…kibiblia ni DHAMBI NA CHUKIZO KWA MUNGU….Kibinadamu ndio kabisa,ni AIBU KUBWA….Kihisia ni Uongo mtupu….Kwa nguvu zote tuungane kuupinga usagaji…watoto wa kike wenginewazuri sana,warembo,ukiambiwa ni wasagaji hutaamini,lakini ndivyo!Sababu kuu 3 kwanini Wanawake wanashift na kuamua kuwa Wasagaji ni hizi hapa:
1.WANAUME WANAZINGUA

Hii ndio Falsafa yao Mpya.Wanaume mizinguo! Wanawazinguaje…Hawana true Love…Wanawamixx na mademu kibao,wanaumia feelings…Kwahiyo kimbilio pekee ni kwa wanawake wenzao,maana they can control them…This is so fake…Mungu hakuwa mjinga kukuumba Mwanamke na akamuumba Mwanaume kuwa na Kiungo ambacho Mwanamke hana ili kikune pale,sasa huu mkuno wa Female kwa female,hata kama Wanaume ni mizinguo,sivema kuwa na Temporary Solution kwa Long term problem…Kwani zamani hakukuwa na Wanaume???why nyie tu mje na sababu hizi???

2.WANAUME WANASHINDWA KUKUNA IPASAVYO WAKIPEWA NAFASI 
Hili naweza kuwaelewa.Wanaume siku hizi wamekuwa mariyoo mno…Swagger kibao zimejaa..Mapenzi hayana Swagger,Mapenzi ni kazi,ukipewa Kifusi shindilia,unaleta Swagger Bed???Swagger hazilipi bili….Mtu asubuhi anakula Kababu…mchana chips yai..Usiku Soseji…Utaweza wapi kazi sasa???Wanawake wanataka mzigo,kuremba kwenu…Hili Wanaume mnabeba lawama zoteeeeeee,usipopiga kazi,aidha watapiga Wanaume wanaojua shughuli,au ndo hivi sasa wanaanza kushughulikiana wao kwa wao,maana wanajua wapi pa kugusa mwenzao aje…Wanaume acheni Swagger,ukipewa kazi kamua…

3.KUIGA

Kila kitu cha West nanyi mmo…Ukiomna Marekani wanapromote unatamani kujua nn utamu wake…Mtaiga kila kitu????Iga vya maana,huu upuuzi achaneni nao,wazungu maboya,wanawalisha kasa mnapotea…ukianz hii kitu kuacha ni shughuli pevu sana…Mnaharibu wenzenu,mnaharibu watoto wenu mtakaopata..na mnaharibu jamiiChekini wenzenu hawa maboya hapa chini,sasa ndo nini hii??Raha ya utamu upewe na kidume,

ILA kidume kijue kazi…Wanawake ni kwa ajili ya Mwanaume…Hasina Hasi sio mpango…Mpango mzima Chanya na Hasi…WANAUME….Pigeni kazi,hawa Wanawake hawataki stori mingi…kazi tu,we kula kula michips hiyo uone kazi&t;/div>

Tahadhari Kwa Wadada Mnaopenda Kuvaa Shanga Kiunoni…

Bwana Yesu asifiwe!!!

Wanawake wengi wanapenda kuvaa shanga kiunoni wakiamini zinawavutia wanaume wengi katika mapenzi.

Napenda kutoa tahadhali kwa wanaopenda kuzivaa hasa kiunoni kuwa asilimia 80% ya shanga zinazouzwa zikiwa zimeshasokotwa zinatengenezwa na waganga WA kienyeji au watu ambao ni mawakala WA shetani na kuzinuizia mapepo kwa malengo yafuatayo:

Kuharibu au kuiba nyota za watu
Kuwafunga wanawake uzazi
Kuwaunganisha na mtandao WA kuzimu
Kuvuruga mfumo WA hedhi WA wanawake
Kuwafanya wanawake kuwa makahaba, kwa sbb unatamani kukutana na wanaume wengi ili wakujue km unavaa shanga na unazitumia
Kuwafunga kimafanikio
Kuwafanya wasidumu kwny ndoa wanapoolewa.
Kuwafanya wafikirie ngono zaidi.

Sasa unaweza usinunue kwa mganga lakn aliyetengeneza ni mganga au agent WA shetani.

Ww unaweza kununua kwa MTU na ukamwona WA kawaida, au yeye anaeuza yamkini hajui lakn alyetengeneza alikuwa na kusudi.

Unahitaji kuwa makini sana Dada zangu na vitu vinavyovaliwa sirini.

Ni unaponunua ukazikomboa kwa damu ya Yesu ili kufuta Yale maagano na manuizo yalyoambatanishwa nayo.

Nami ninazikomboa kwa mamlaka ya Jina la Yesu kwa yeyote mwenye nazo nafuta manuizo yote kwa Damu ya Yesu, km unazo TYPE AMEN.

By Illovo

Zitambue Hasara za Kuzama Chumvini Kwa Mwanamke

Tafiti zimeonyesha kuwa,mdomo wa binadamu ki bacteriologia (bacteriologically) ni mchafu maradufu kuliko sehemu ya uke(vagina).

Ni vema kufahamu kuwa,katika hali ya afya,binadamu wote tunaishi navimelea(microorganisms) katika sehemu nmbalimbali za miili yetu, wakiwa na lengo la kutulinda, kitaalamu wanaita normal flora hawa wanakuwa hawana madhara katika mwili.Hivyo ni kweli kuwa vagina kama ilivyo mdomo una normal flora.

sasa baadha ya vitendo huweza kuondoa normal flora na kukaribisha magonjwa,mfano kinamama kujiosha ukeni na maji ya ndimu,limao,Shabu etc huweza kuondoa Normal flora na kukaribisha magonjwa,kama ambavyo matumizi ya sabuni zenye kemikali zinavoweza kuua normal flora kwenye ngozi na kusababusha magonjwa ya ngozi.

Hivyo kwa mwanamke mwenye afya,uke ni mahali salama kufanya upendalo(kama vile kwenda chumvini).

Hata hivyo, nionye kuwa hatari ya kuambukizwa magonjwa ya zinaa kinywani kama vile Gonnorhea, Syphilis, candidiasis (fungus), HIV n.k ipo pale pale kama ambavyo mtu anaweza kuambukizwa kwa njia ya kawaida ya kujamiiana.

Mwisho, kama wewe ni mgonjwa wa kwenda chumvini, hakikisha unafanya mchezo huo nampenzi/mke aliye salama.

Mwanamke Akikujibu SMS yako Hivi Acha Haraka Sana Kuchat Nae

Ukiona umemtumia mpenzi wako/mchumba wako/mchepuko wako/mke wako au hata rafiki wa kike wakati mwingine SMS ya kawaida tu kwaajili ya kumsalimia lakini yeye akakujibu moja kati ya majibu yafuatayo, tafadhali sana usiendelee kuchat nae maana kinachofuata hapo ni majanga tu.

KWA MFANO:
1. Ukimtumia sms ”Mambo mpenzi wangu?” akikujibu ”mambo mabaya”, usimuulize kwanini mambo mabaya, ukimuuliza atakwambia kuwa ”sina hela dear”

2. Ukimtumia sms ”Maisha yanasemaje kipenzi changu” akikujibu ”maisha magumu hubby wangu we acha tu” usimuulize kwanini, ukimuuliza kwanini atakwambia ”nimefulia mwenzio kama nini sijui”

3. Ukimtumia sms ”Mbona kimya sana mchumba wangu, umenitupa kiasi hicho” akikujibu ”sijakutupa wangu yaani mambo hata hayaendi” usimuulize kwanini mambo hayaendi, ukimuuliza atakwambia kuwa ”yaani sina kitu mpenzi wangu, simu ilikuwa haina hata hela ya kubeep”

4. Au ukiona mwanamke anaanza kwa kukwambia nikwambie kitu? We mkatalie kiutani utani tu, mwambie usiniambie, hata akikomaa vipi akwambie mwambie sitaki uniambie huku unafanya kama utani lakini moyoni unakuwa upo serious.

Ni mara chache sana mwanamke akikwambia kuwa mambo mabaya, maisha magumu au mambo hayaendi huwa na matatizo mengine kama kuumwa, misiba…. n.k lakini THE REST ni wapigaji mizinga tu. Akikwambia maisha magumu mjibu ”pole wangu, mambo mengine vipi?”

Ukipewa majibu kama hayo, chagua moja, either usiendelee kuchat nae mpaka badae kidogo au mbadilishie maada ili kukwepa huo mzinga ambao unakuja mbele yako

Namna ya Kujua Kama Umemridhisha Mpenzi Wako Kitandani

Raha ya kuwa katika mahusiano ya kimapenzi baina ya wapenzi wawili ni kila mmoja kuwa na furaha na kuridhika kwa yale anayofanyiwa na mwenzake. Siku zote kila mmoja hujitahidi kufanya mambo ambayo anahisi yatamridhisha na kumfurahisha mwenza wake ili kuendelea kuyastawisha mapenzi baina yao.

Watu wengi wamekuwa wakifanya mambo kama vile kununuliana zawadi, kwenda kutembea pamoja, kuukaapamoja na mengine mengi kwa lengo la kuwafurahisha wenza wao.

Vilevile katika mahusiano kufanya mapenzi ni njia moja wapo muhimu ya kuonyesha kuwa unampenda na kumjali mwenza wako.

Wapenzi wengi wanapofanya mapenzi, kila mmoja hutamani kumridhisha mwenzake na kuhakikisha kuwa amelifurahia tendo. Japo wapo wengi hasa wanaume wanaodhani kuwa wamewaridhisha wapenzi wao lakini ukweli ni kuwa wenza wao hawakuridhika.

Wanawake wameumbwa na hisia tofauti kwa kila mmoja, na wana namna tofauti ya kuridhishwa katika kujamiiana.

Idadi kubwa ya wanawake walioko katika mahusiano hawakuwahi kufika kileleni ama wamefikishwa mara chache sana katika muda wote ambao wamefanya mapenzi.

Wako wachache wenye ujasiri wa kuwaeleza wapenzi wao kuwa hawajafika kileleni, lakini wengi wao hubaki wakiugulia tu moyoni jambo ambalo hupelekea wao kutafuta wanaume wengine ili wajaribu kama watafikishwa kileleni.

Kwa wanaume wengi hudhani kuwa wapenzi wao wamefika kileleni, kumbe hudanganywa na wanawake ili tu wamalize na wasiendelee kuwpotezea muda pasipo mafanikio.

Hizi hapa ni njia chache ambazo kupitia hizo unaweza kutambua kama mwenza wako amefika kileleni ama anakudanganya ili umalize haja yako na kuondoka.

Kukukumbatia kwa nguvu au kukufinya

mwanamke anapokuwa anakaribia au anapofika kileleni, huwa na tabia ya kujikaza na kufanya vitendo kama vile kufinya shuka, kukukumbatia kwa nguvu au hata kung’ata meno. ukiona mwanamke amefikia hatua ya kufanya vitendo hivyo basi huenda anakaribia kufika au ndiyo anafika kileleni.

Kutokwa na jasho ndani ya sekunde chache
Ukiona mwanamke anatokwa na jasho ndani ya sekunde chache na katika hali isiyo ya kawaida basi jua kua utendaji wako ni mzuri na unamridhisha.

Uhisi misuli ya uke ikikaza na kuachia

Mwanamke anapokaribia kutaka kufika kileleni utasikia misuli kuzunguka uke kama inakaza na kuachia hivyo hivyo kwa sekunde kadhaa na utahisi wazi uume ukibanwa na kuachiwa hivi. Na wakati huu mwanaume hatakiwi afike kileleni kwani atamwacha mwenza wake pabaya sana. Kadri mwanamke anavyokaribia kufika kileleni ndivyo na kasi ya kukaza na kuachia kwa misuli ya uke itakavyokuwa inaongezeka. Kitendo hiki cha uke kuubana na kuuachia uume kitaendelea kwa kujirudia rudia mpaka mwanamke atakapofika kileleni.

Lugha ya mwili

Hapa mwanamke anaweza kuwa anahema haraka haraka kwa sababu ogani zake za ndani na mishipa yake vitakuwa vinahitaji oksijeni zaidi ili aweze kufika kileleni salama. Hivyo hivyo atazidisha kujikunjakunja, kujinyonganyonga au kujisogeza kwako. Kama atakuwa ametulia tu ujue bado hivyo ongeza bidii.

Design a site like this with WordPress.com
Get started