UKIONA HIZI DALILI SITA UJUE MIMBA YAKO IMEHARIBIKA…

kuna sababu nyingi sana zinazoweza kuharibu mimba ya mama ikiwemo ugonjwa wa malaria, kaswende, kazi nyingi, magonjwa ya zinaa, u.t.i dawa fulani fulani mfano albendazole, misoprostol, metronidazole na kadhalika.

lkiujumla sababu nyingi ambazo zinasababisha mimba kutoka huweza kuzuilika kwa kwenda kliniki mapema yaani pale tu unapohisi una mimba hata kama ni wiki mbili na kufuata ushauri wa wataalamu.

sasa kuna wanawake wengi mimba zo huharibika na wao hushindwa kugundua mapema na matokeo yake anakaa na mtoto mfu hata miezi kadhaa bila kujua hivyo leo ntaongelea dalili za kuharibika kwa mimba kama ifuatavyo.

kutokwa na damu nyingi sehemu za siri;

hii ni dalili kwamba mimba imeanza kuachia na mlango wa uzazi umeanza akufunguka sasa ukienda hospitali utakuta majibu mawili kwamba mtoto ameshafia tumboni au bado hajafa. lakini kama imeshatoka damu nyingi mtoto huyu atakufa tu.

mtoto kuacha kucheza tumboni;

kwa kawaida mtoto huanza kucheza wiki ya 18 mpaka 20 kwa wanawake ambao hawajawahi kubeba mimba na wiki ya 16 mpaka 20 kwa wanawake ambao wamehsawahi kuzaa sasa ikitokea mtoto ameshawahi kucheza na sasa hachezi tena au muda huo umepitiliza na bado kimya kuna uwezekano mkubwa ameshafariki.

kupotea kwa dalili za ujauzito;

mara nyingi mtu akipata ujauzito anakua na dalili nyingi kama kichefuchefu, kukosa hamu ya kula, kutapika sana na kubadilika sana tabia sasa zile dalili zote za mimba zikisimama ghafla basi ujue mimba imeharibika.

kuacha kuongezeka kwa mimba; 

tunategemea mimba kuendelea kua kubwa kulingana na umri unavyozidi kwenda mbele sasa kama mimba mara ya mwisho ilikua na miezi mitatu na leo ina miezi sita au mitano lakini iko haijabadilika ukubwa ujue mimba imeharibika.

maumivu makali ya tumbo;

maumivu makali ya tumbo hasa kwa mimba kubwa sana au mimba ndogo sana kuna uwezekano mkubwa kondo imeanza kujiondoa kwenye kizazi kwa mimba kubwa au mimba ndogo imeshindwa kuendelea kukua. hii inaweza kua dalili kwamba mimba imeharibika.

kutoka kwa vipande vya nyama sehemu za siri;

 vipande vya nyama huashiria kwamba kuna mtoto anakua ameharibika tayari tumboni na mama kama huyu anatakiwa asafishwe kuondoa masalio yaliyobaki ili mama asiweze kupata madhara zaidi.

mwisho;

kama nilivyosema mwanzoni mimba nyingi zinazoharibika hasa kwa nchi zetu za kiafrika hua kuna uzembe wa watu kutaka kujitibu wenyewe, kutokwenda kliniki mapema na kutofuata ushauri wa kitaalamu

UNATAKA KUDUMU PENZINI ?SIRI HII HAPA

WATU wengi wanatamani kudumu kwenye uhusiano lakini bahati mbaya huwa inashindikana.

Mtu ambaye hadumu kwenye uhusiano, si kwamba anakuwa hapendi bali inatokea tu kutokana na sababu mbalimbali. 

Inatokea kwa sababu, huenda pengine ni kutokana na tabia zake au za mwenzake. Mfano, yawezekana akawa na ‘mdomo’ sana, yawezekana akawa mbinafsi. Au ana hulka ya ugomvi lakini mwenzake hana.

Yawezekana akawa na tabia za kuchepuka.Yawezekana tatizo likawa la mwenzake. Akawa ana tabia zisizompendeza mpenzi wake.

Yawezekana akawa mbinafsi, yawezekana akawa na hasira kali au akawa na tabia mbaya ambazo mwenzake ameshindwa kuzivumilia.

Kikubwa tu, watu hushindwa kudumu penzini kwa kupishana mambo mbalimbali. Kuanzia tabia, mtindo wa maisha na wengine kutoelewana dhumuni la safari yao.

Mara kadhaa nimekuwa nikisisitiza, unapoanzisha uhusiano na mwenzako lazima kwanza mjue lengo au madhumuni ya huo uhusiano wenu. Mwanamke ajue kwamba uhusiano wao ni wa muda mrefu au wa muda mfupi.

Una malengo au hauna? Vivyo hivyo mwanaume, kwa kinywa chake, kutoka moyoni athibitishe lengo na madhumuni ya uhusiano wake ili mwenzake ajue kabisa kwamba yupo kwenye uhusiano wa aina gani. Baada ya hapo ndio muanze safari.

Na hii ndio siri ya maisha. Ndiyo siri ya uhusiano wote. Mkishajua madhumuni ya safari yenu, kinachofauta ni kukipa umuhimu kipaumbele chenu. Pamoja na kujua kwamba mtakumbana na changamoto mbalimbali katika safari yenu lakini mnapokumbuka umuhimu wa safari yenu, mnatiana moyo. Mnapokutana na magumu yasiyokuwa na mfano, hamkati tamaa.

Mnainuka na kusimama tena. Kila mmoja anapomuona mwenzake kakosea, anambebea makosa yake na kumsamehe kulingana na uzito wa safari yao.Ni kama kiapo.

Mnaapa kutoachana, mnaapa kuianza safari pamoja na kuimaliza pamoja. Kifo pekee ndicho kitakacho watenganisha kama kweli wote wawili mtakuwa na nia moja, dhumuni moja la kujenga uhusiano wenu hudumu. Wapenda-nao mnapaswa kuzungumza lugha moja.

Kwa pamoja mnapaswa kuazimia namna ambavyo safari yenu mnataka iwe. Mathalan, mtaka muishi maisha ya aina gani? Mnataka kufikia hatua au kufunga ndoa ya aina gani?

Ili muweze kufanikisha safari yenu ya ndoa, mnapaswa muishije? Narudia tena, kusikilizana ndio jambo kubwa sana katika safari yenu. Asiwepo mtu wa kumdharau mwenzake. Mwanamke, amthamini mwenzi wake kuliko mtu mwingine yeyote.

Mwanaume, amthamini mwanamke wake katika kiwango cha hali ya juu. Asikubali kuyumbishwa na tamaa za kimwili, asirudishwe nyuma na maneno ya watu na kisiwepo kizingiti chochote cha kumkatisha tamaa.Kwa vyovyote itakavyokuwa, suala lenu la ‘utaifa wa uhusiano’ ndio mlitangulize mbele. Muishi mkijua kwamba, uhai wa penzi lenu mmeushikilia nyinyi wawili.

Mna kila sababu ya kulilinda penzi lenu kwa gharama yoyote kwani mafanikio ya uhusiano wenu, ni mafanikio ya wote wawili.

Mpendane. Mheshimiane katika kiwango cha juu. Kila mmoja atambue majukumu yake. Mwanamke amtii mwanaume, amheshimu. Mwanaume ampende sana mwanamke.

Asimdharau, atambue thamani yake katika nyumba licha ya kwamba mwanaume ndio kichwa cha familia.Mwanaume asivimbe kichwa.

Amshirikishe mwenzake katika masuala yanayohusu maisha na uhusiano wao. Hata ikitokea mmepishana kauli, shukeni. Kila mmoja aongozwe na busara kwamba, ipo njia mbadala ya kuwavusha kwenye mabishano hayo bila kusababisha mtafaruku. Mwanamke usiwe mzungumzaji sana kwa mwanaume.

Mpe faraja pale inapobidi. Farijianeni katika vipindi mbalimbali mnavyopitia. Muanguke na kuinuka pamoja. Asiwepo mmoja kati yenu achukulie changamoto ya mwenzake kama si yake.Kila mmoja aguswe na matatizo ya mwenzake.

Mnapokuwa kwenye furaha, kwa pamoja pia mfurahi. Msiwe na tamaa. Tengenezeni maisha yenu mnayoyataka. Kwa pamoja mtakuja kufurahia ushindi wa safari yenu. 

JINSI YA KUMFANYA MWANAMKE APATWE NA HAMU KWA HARAK

Kabla kufanya lolote na mwanamke unayeazimia kumfanyia kitendo hiki lazima ulete kemia ya kimapenzi kati yenu. Njia nzuri ya kufanikisha hivi ni kutumia mbinu ya kumtext ama kutumia jumbe fupi za kimapenzi. Tumia mbinu hii tumsuka na kumrushia maneno ya kuvutia mpaka akuzoee.


Ukiona ama ukigundua kuwa kuna kemia ya kimapenzi kati yenu, sasa unaweza kukaa na yeye ili utumie hizi mbinu ambazo uko karibu kuzifahamu.


Ok wengine wangeuliza kama kweli iwapo inawezekana kumfanya mwanamke apandwe na nyege ukikaa na yeye. Jibu langu ni kuwa soma hatua hizi 8, zifanyie mazoezi halafu ukazijaribu. Najua utanijibu wewe mwenyewe.


njia hizo za kumfanya mpenzi apatwe na hisia hizi hapa


1. Kaa kwa kubanana naye

Unapokuwa na mwanamke ambaye umemzimia, tafuta kisababu cha kukaa na yeye sako kwa bako. Toa tablet yako umuonyeshe kitumizi kipya ulichodownload, ama unaweza kuchukua kitabu/gazeti umuonyeshe habari ambazo anapenda.


Wakati umekaa na yeye hakikisha ya kuwa hauachi nafasi yeyote kati yenu. Hakikisha ya kuwa mikono yenu inashikana. Ikiwa umeacha nafasi ndogo kati yenu, hakikisha umemsogelea hadi mnabanana. 

Ukishafanya hivyo, fasta toa tablet/simu yako umuoneshe app yeyote ama habari zozote mpya za udaku ili mradi umchanganye akili ili asisongee mbali na wewe. Hakikisha mikono yako inapata nafasi ya kulisha mikono yake kwa sababu hii ndio njia moja kuu ya kuleta tenshen kati yenu.

 2. Maslahi yake uyazingatie

Usijaribu kutumia lugha ya kutongoza ama utamfanya aanze kukushuku. Tayari anajua kuwa miguso ya mikono yako ya mara kwa mara inaashiria kitu fulani. Kile unachotakiwa kufanya ni kuivuruga akili yake kwa kuleta mada ambayo itamvutia.


Ichukue atenshen yake kwa kumgusia maswala ya udaku ama skendo ambalo umeliskia mahali fulani. Iwapo utaendelea kuzungumza na yeye na kumfanya awe na shangwe, basi atachukulia kubanana kwenu na miguso yenu ya mikono ni jambo la kawaida tu na halina ajenda yeyote.


3. Anza kutumia lugha ya kumsuka/flirt

Kumfanya mwanamke apandwe na nyege ni jambo rahisi sana iwapo nyote wawili mtakuwa katika sehemu ambayo haina usumbufu. Aidha inaweza kuwa chumbani, maktabani, ndani ya basi nk. Mahali popote pale mlipo ilimradi uhakikishe unamkeep busy na kufanya yale ambayo yanastahili kufanywa.


Wakati mtakuwa mnaendelea na gumzo lenu, unafaa kutumia maneno ya kumsuka lakini yawe ya kichini chini. Mfano unaweza kumwambia “Unanukia utamu”, “nimependa kitambaa cha nguo yako”,”nishawahi kukuambia kuwa macho yako yanapendeza? Nimependa vile yanang’aa nikiwa karibu yako.” Maneno kama haya unaweza kumrushia mwanamke huyu bila hata yeye kusongea mbali na wewe. Mwanzo atakuwa anapenda kuyaskia.


Mara kwa mara ingiza maneno ya kusuka. Kama mbeleni ushawahi kumtumia texts chafu unaweza kuleta stori kuhusu baadhi ya texts hizo ili umkumbushe mambo ya kimapenzi ambayo mumekuwa mkitumiana.
4. Shika vido

le vyake

Huu mchezo ucheze kwa tahadhari na polepole. Hakikisha nyote wawili mnagusana vidole vyenu kibusara.

Iwapo itatokezea ataingiwa na wasiwasi ama kutojiona sawa, basi hapo ndipo itakuwa tamati yako ya kumfanya apandwe na nyege.

Jaribu kutafuta kisababu cha kushika vidole vyake aidha kwa kusugua mikono yake na yako ama kumpatia kitu ashikilie. Msifie vile mikono yake iko laini kama pamba. Kufika hapa lazima atakuwa ameanza kujua ajenda yako chafu kwake. Hakikisha ya kuwa hauna pupa ya kufanya chochote cha haraka. Ukiwa mpole kwa kuchukua hatua kwa hatua basi pia yeye atakuwa anafurahia.

5. Mnong’onezee katika sikio lake
Hii itatekelezwa vizuri iwapo mko katika sehemu ambazo kuna watu wengine. Mfano ndani ya basi, mkiwa na marafiki zenu, katika sinema, viti vya nyuma vya gari ama mkiwa nyumbani wakati mnaangalia kipindi pamoja, itakuwa sehemu bora zaidi kufanya kitendo kama hiki.

Usijaribu kuleta ucheshi ndani yake kwa kuwa ukifanya hivyo kutaua mpango mzima. Hivyo msogelee kwa sikio lake na kumsifia kwa jambo fulani. Mwambie kuwa umeshindwa kujizuia kumwambia maneno hayo ya kumsifu kwa mara nyingine.

Iwapo unataka kugonga ndipo, unaweza kumsogelea hadi kwa sikio lake na kumwambia kuwa ungependa kutoka out na yeye siku moja.

Unapotamka maneno ya  kimahaba katika sikio lake hakikisha ya kuwa unapumua kwa uzito. Kufanya hivi kutasisimua nywele zake za malaika zinazopatikana nyuma ya shingo na mikononi mwake. Pia usisahau kulisha midomo yako kwa sikio lake ili kuleta mtizamo wa kumtesa kwa kujaribu kumla dende kwa sikio lake.

6. Jaribu kumfikia kwa upande mwingine

Ili hatua hii iweze kufanikiwa, lazima uanze kuhisi tenshen ya kimapenzi kutoka kwako. Usijaribu kuifanya hii hatua kama hakuna tenshen ya kimapenzi kutoka kwako. Iwapo tenshen ya kimapenzi uko nayo tayari, usitie shaka kwani pia kwake itakuja mara moja.

Kwa kuwa mpaka sasa umekuwa ukigusagusa mikono yake na kumnogonezea kwa sikio lake mara kwa mara, sasa tuchukue hatua nyingine ya kujaribu kuchukua kitu kutoka upande wake mwingine wa kwake.
Mfano umekaa na yeye sako kwa bako chumbani mnaangalia tv halafu ukataka kuchukua remote ya tv, wakati unapitisha mkono wako hakikisha ya kuwa mkono wako unalisha matiti yake ama sehemu nyingine ya mwili wake. Hakikisha ya kuwa unafanya ionekane jambo la kawaida bila kujifanya fala kwa kujishuku.

Kama matiti yake huwezi kuyafikia unaweza kupitisha nyuma ya mgongo wake ama juu ya mapaja yake ama sehemu yeyote ile ambayo kwa kawaida huwezi kuigusa kawaida ukiwa naye.

7. Isome miondoko yake

Ukianza kumuona anazungumza polepole na kukusongelea karibu yako, ishara kuu ni kuwa ameshapandwa na nyege kama ulivyo wewe. Najua iwapo umetumia hatua hizi moja baada ya nyingine kufikia sasa najua umesimikwa. So kufikia hapa unaweza kurudia hatua za kumsuka, kumtesa, kumgusa na kujaribu kufikia viungo vyake vingine vya mwili ilimradi nyote wawili mnafurahia.

Lisha mikono yako kwa matiti yake ama uangalie shati lake kama utaona vitu vimesimama kwa matiti yake, utakuwa umefaulu kumfanya mwanamke apandwe na nyege!

8. Muulize kumtoa out
Ok hatua hizi zote naona hazifai kupotea hivi hivi. Waonaje umuulize kama anataka umtoe out? Bila shaka hawezi kataa kwa sababu muda huu mfupi umekaa na yeye utakuwa umempagawisha vya kutosha. 

JINSI YA KUWAEPUKA WALAGHAI WA MAPENZI

MAISHA yanaenda kasi sana huku suala la ndoa likiwa ni kipaumbele cha kwanza na kigumu kwa wanawake.

Wengi hujikuta wakichanganyikiwa pindi tu wanapotangaziwa ndoa. Mwanamke akiambiwa nakuoa, akili yote inamruka.Hana muda wa kuhoji mara mbili, cha muhimu ni kusikia tu ile kauli ya ‘nitakuoa’.

Hiyo kwake ni kauli pekee inayomfanya atembee kifua mbele. Anakukabidhi moyo wake jumlajumla, hana muda wa kupoteza, anaingia mzimamzima.


Matokeo yake, kizazi cha sasa kimejikuta kwenye janga hili kubwa. Wanawake wengi wanalia.

Wanalainisha uhusiano na kuzama pale tu wanapopewa kauli ya matumaini kwamba wataolewa. Hawana muda wa kuchunguza.Wengi wamejikuta kwenye mikono ya matapeli wa mapenzi.

Wanaingia kwenye uhusiano, wanaume wakishapata wanachotaka basi biashara inakuwa imeishia hapo.

Mwanamke anabaki njia panda, hajui nini cha kufanya.Aliyekuwa naye kwenye uhusiano alimpenda sana. Aliwekeza akili zake zote kwake. Moyo wake ulikufa, ulioza.

Dunia anaiona chungu maana yule aliyedhani ni mwenza wake wa maisha, kumbe ni tapeli mkubwa.

Anamuacha bila huruma.Bahati mbaya sana, anaposema ajaribu kuanzisha uhusiano mwingine pia anakumbana na majanga yaleyale.

Kajamaa kanajifanya kanampenda, kanamjali kumbe kanafiki tu. Ndani ya muda mfupi kanamuacha solemba na matokeo yake mwanamke analia tu.Anakuwa ni mtu wa kumwaga machozi kila uchwao.

Kila akikumbuka mapito yake, anajiona kama vile ni mkosaji. Anajiona kama Mungu hampendi, anawapendelea wenzake wengine ambao wako kwenye mahusiano mazuri.

Anajiuliza kwa nini yeye? Kwa nini wenzake wengine wanayafurahia maisha ya uhusiano na wapenzi wao lakini kwake suala la mahusiano ni kama kaa la moto. Kila siku mtu wa kulia, akipata furaha ni ya muda mfupi, anarudi kwenye majanga yaleyale.


JIFUNZE!Si kila anayekwambia anakuoa basi kweli ni muoaji. Wanaume wengi siku hizi hutumia kigezo hicho kama sababu ya kuwahadaa wanawake.

Unapaswa kuwa makini. Mwanaume akikuambia anakupenda na anataka kukuoa, mchunguze kwanza.Kabla ya kuruhusu moyo wako kumpenda, hakikisha kwanza umejiridhisha. Huyo anayekwambia anakuhitaji, atakuoa ni kweli anamaanisha. Je ana tabia njema? Fanya uchunguzi kwanza.

Umjue vizuri, ametokea wapi, asili yake ikoje na ikiwezekana familia yake kwa ujumla.Umjue kama ana hofu ya Mungu. Asikwambie mtu, hakuna sababu ya kuharakia ndoa. Unaweza kuharakia na mwisho wa siku usidumu.

Unaweza kuingia kwenye ndoa na jambazi. Unaweza kuingia kwenye ndoa na mtu katili ambaye yeye muda wote anawaza kuua tu.


Unaweza kuingia na mtu kwenye ndoa yeye muda wote anawaza ugomvi. Muda wote ni kama mikono inamuwasha. Mtu wa aina hiyo, mnaweza kuingia naye kwenye matatizo makubwa na ndoa yenyewe ukaiona chungu.Mchunguze mtu taratibu.

Jipe muda. Mshirikishe Mungu katika safari yako. Umtambue mwenzi wako ni sahihi au la. Ukimtumaini Mungu, hakika utapata jibu lililo sahihi. Hakika utampata mwenza ambaye ndiyo chaguo lako.


Ipo siku tu, usiumie. Usiishi kinyonge, muombe yeye, mtumaini Mungu kamwe hawahi wala hachelewi. Utapata majibu kwa wakati wako ukifika.

Fahamu Hizi Hapa ni Aina 7 Ya Vyakula Vinavyoongeza Nguvu za Kiume.

Mwanaume 1 kati ya 3 wana matatizo ya nguvu za kiume – hii ni kulingana na utafiti uliofanyika. Upungufu wa nguvu za kiume unasababishwa na mambo mengi ikiwemo ukosefu wa virutubisho muhimu mwilini.

Ni jambo linaloweza kupata ufumbuzi kwa urahisi kama utazingatia kula vizuri na kufanya mazoezi.Ili kuongeza stamina kwenye mapenzi si lazima kutumia madawa makali kama viagra au vilevi vikali.

Madawa na pombe hukupa nguvu zinazoisha kwa muda mfupi, lakini hukuletea madhara makubwa yatakayokuandama kwa muda mrefu zaidi.

Ili kupata suluhishi la uhakika ni vizuri kuzingatia vyakula vinavyoweza kukuongezea stamina na kujenga mwili wako vizuri na kukupa uwezo wa kufanya mapenzi vizuri zaidi bila kutumia “booster”.

Vyakula ni suluhishi maridhawa na asilia kwenye kila kitu maishani mwako. Ili kutatua tatizo ni muhimu kung’oa kabisa mzizi wake. Mwili wako una maarifa ya kujirekebisha pasipo kuhitaji vilevi au mawada, unachotakiwa kuzingatia ni chakula bora tu.

Wahenga walisema, utakuwa bora kama chakula unachokula. Je wewe unakula chakula bora ili kulinda heshima yako nyumbani?Vitu vinavyoweza kupelekea kupungua kwa nguvu za kiume ni kama:

  • Kutokuwa na mzunguko mzuri wa damu mwilini, hasa sehemu za viungo vya uzazi kwa mwanaume.
  • Kutokuwa na kiwango cha kutosha cha homoni ya Testosterone
  • Kupungukiwa protini na hivyo kukosa amino asidi mwilini

Jinsi ya kuongeza nguvu za kiume

Leo napenda tuangalie vyakula ambavyo vinasaidia kuboresha nguvu za kiume na kusaidia kwa kiasi kikubwa kudumisha mapenzi na kulinda mahusiano na ndoa.

1. BlueberryBlueberry ni matunda yanayosaidia sana kuongeza nguvu za kiume, wengi hupendelea kuyaita ‘viagra’ asilia kutokana na kazi inayoifanya mwilini.

Blueberries ina virutubishi vinavyoimarisha mishipa ya damu na kusaidia mzunguko mzuri wa damu mwilini. Damu ndio kila kitu katika nguvu za kiume. Vilevile, blueberries zina nyuzinyuzi (fiber) ambazo

husaidia kuondoa kolesteroli (Cholestrol) mwilini kabla hazijanganda kwenye mishipa ya damu. Kuwa na mzunguko mzuri wa damu husaidia mwanaume aweze kuhimiri mapenzi wa muda mrefu zaidi

2. Mtini (Figs)Mtini (figs) ni matunda yenye kiwango kikubwa cha amino asidi, ambayo ni kiungo kikubwa katika kuzalisha homoni mwilini. Homoni ndio kishawishi cha nguvu za kiume mwilini. Kukosa amino asidi huweza kusababisha kukosa hamu ya mapenzi au kupungukiwa na nguvu za kiume.

3. Chaza/Kombe wabichi (Raw Oysters)Chaza wana kiwango kikubwa cha madini ya zinc. Madini za zinc hutumika katika utengenezaji wa homoni ya testosterone, shahawa na mbegu za kiume. Uwingi wa

uzalishwaji wa testosterone mwilini huathiri pia hamu ya mapenzi na nguvu za kiume – ikiwa kidogo huondoa hamu, ikiwa nyingi hupelekea hamu na nguvu zaidi.Kupungukiwa kwa madini ya zinc husababisha kupungua kwa nguvu za kiume, udhaifu (uhanithi), na kushuka kwa kiwango cha uwezo wa kufanya mapenzi.

4. KarangaKaranga ni chanzo kikubwa cha kujenga protini mwilini. Karanga huwa na kiwango kikubwa cha amino asidi ambayo husaidia kuweka vizuri mfumo wa damu, hivyo kusababisha kuongezeka kwa kiwango cha ufanyaji mapenzi.

5. Vitunguu saumuKitunguu saumu kina allicin, kiambato kinachosaidia mzunguko mzuri wa damu kwenye viungo vya uzazi. Kuwa na mzunguko mzuri wa damu kwenye uume ni sababu kubwa ya kuongeza stamina ya kufanya mapenzi.

6. NdiziKuwa na stamina ni muhimu katika ufanyaji mapenzi. Ndizi ni chanzo kikubwa cha vitamin B ambayo husaidia sana katika kuongeza stamina na nguvu mwilini hasa wakati wa kufanya kazi nzito. Ndizi ina kimeng’enyo cha Bromelain ambacho huongeza nguvu za kiume, ashki ya mapenzi (libido).

7. ChocolateChocolate inasaidia kuongeza stamina kwenye kufanya mapenzi kwasababu ina viambato vya phenylethylamine na alkaloid. Phenylethylamine ni kiambato kinachopelekea kujisikia vizuri, hasa wakati wa kufanya mapenzi na alkaloid huongeza stamina na nguvu wakati wa mapenzi

MWANAMKE AKIKUJIBU HIVI ACHANA NAE

Wanawake wa uswahilini wa siku hizi wamekuwa na swagger ya aina moja wanapotongozwa.utasikia

“MIMI NAWAOGOPA WANAUME”,ukiuliza wewe ni bikra kwani? Atajibu hapana,ukiuliza kwa nini unawaogopa wanaume wakati we sio bikra atakujibu” NISHATENDWA SANA”.

ndugu yangu nakushauri,kama ukijibiwa hivo basi ondoka fasta ujue hapo hakuna mwanamke kabisa,kwa sababu haiwezekani mtu atendwe yeye tu na kila mwanaume,ujue huyo ana mapungufu ambayo hata wewe hutaweza kuvumilia ,mapungufu ambayo hata wewe

utamtenda tu na mwisho wa siku utamuongezea idadi ya wanaume waliomtenda.ila mara nyingi wanawake wanaojibu hivo au wanaotendwa hivo unakuta ni hawajatulia kabisa(vicheche)

ATHARI ZA MWANAMKE KUSHINDWA KUFIKA KILELENI NA CHANZO CHAKE

TATIZO hili la mwanamke kutofikishwa kileleni wakati wa kujamiiana huitwa ‘Female Orgasmic Disorders’ kufika kileleni tunaita ‘orgasm’ au ‘climax’.

Kila mwanamke ni lazima afike kileleni wakati wa tendo hili. Hii ni hali ya kimaumbile ambayo imeumbwa na Mungu.Mwanamke hufika kileleni pale anapokuwa amesisimka kwa kiwango cha hali ya juu. Hali ya msisimko kwa mwanamke tunaita ‘sexual arousal’ na huanzaia pale mwanamke anapokuwa na hamu ya tendo hili la kujamiiana yaani ‘sixual desire’.

Kwa kawaida msisimko hukolezwa wakati wa maandalizi ya tendo au ‘romance’ kwa kutumia milango mitano ya fahamu.Kila mwanamke ana jinsi yake ya kusisimka wakati huu wa maandalizi kutegemea na aina ya mlango wa fahamu unaomsukuma, mfano kuona, kusikia, kugusa, kuonja na kunusa. Wapo wanawake wanaosisimka na mlango mmoja, wengine miwili au zaidi.

MAANA YA KUFIKA KILELENI

Tunaposema mwanamke au mwanaume amefika kileleni katika tendo ni pale amefika kiwango cha juu cha msisimko na raha katika tendo hilo. Mwanaume huanza kusisimka katika sehemu ya mbele ya dhakari na mwanamke huwa na sehemu maalumu.

Msisimko hubebwa na mishipa ya fahamu ya kiuno, uti wa mgongo hadi katika ubongo ambapo kiwango cha juu hufikiwa na mwanaume hutoa manii na mwanamke hutoa majimaji sehemu ya siri.

Mwanamke hufikia mwisho wa tendo kwa muda huo lakini kutokana na hali ya kimaumbile mwanamke anaweza kuendelea na akafikia tena na tena kileleni.Mwanamke ana sehemu maalumu ukeni ambazo zinapopata mguso na msuguano humwezesha afike kileleni. Sehemu hizi kitaalamu zinaitwa ‘Grafenberg Spot’ au G. spot.

Sehemu hii inapatikana ukeni kwa ndani. Iligunduliwa miaka ya nyuma na daktari bingwa wa magonjwa ya kinamama wa Ujerumani aitwaye Ernest Grafenberg.Sehemu hii inamletea mwanamke msisimko wa nguvu na kumfanya amalizie raha yake ya kujamiiana kwa kishindo kikubwa ‘ Powerful Orgasm’ na kutoa majimaji ukeni ‘Female ejaculation’.

Majimaji haya yanapomtoka mwanamke bado haijajulikana hasa yanatoka sehemu gani katika eneo hilo ingawa baadhi wanasema ni mkojo unatoka mara moja kwa kishindo, wengine wanasema yanatoka katika vitezi vidogo nyuma ya njia ya mkojo ‘Paraurethral ducts’ .

Vitezi hivi pia baadhi ya wataalamu huvifananisha na tezi dume kwa mwanaume, kwani kazi ya tezi dume ni kutoa majimaji au manii wakati wa kufikia mshindo au kilele.

Ili kuamsha G. spot mwanamke afike kileleni inatakkiwa uume uwe na nguvu za kutosha vinginevyo ni vigumu kufikia hapo.

CHANZO CHA TATIZO

Chanzo kikuu kinachoweza kumsababishia mwanamke asifike kileleni au achelewe kufika hapo ni sababu za kimazingira na kisaikolojia, ‘Situational and Psychological factors’.

Vile vile zipo sababu za magonjwa au mifumo ya mwili mfano, mfumo wa fahamu na homoni.Kiasi kikubwa cha tatizo hili hutokana na matatizo yanayo-mzunguka mwanamke kama vile, maandalizi duni ya tendo la ndoa kwa kutozingatia kanuni na mwanamke kuingiliwa kabla ya kuwa tayari na hii inaweza kuwa ni kila mara.

Kutokuamsha viungo vyake vya uzazi kwa ajili ya tendo ‘Insufficient foreplay’, tatizo jingine ni wote wawili mume na mke kutojua mapenzi na kazi ya viungo vyao vya uzazi, kutofahamu aina au njia mbalimbali za romance hivyo kusababisha mgongano mengine ni kutoelewa au kupenda kama mwenzake anavyohitaji, matatizo au migongano katika mahusiano, kujihisi vibaya pale unaposhindwa kumudu tendo la ndoa, kuogopa kuachwa au kukimbiwa unapohisi hufurahii tendo na huwezi kufika kileleni, kulichukia tendo lenyewe hasa endapo ulishawahi kupata matatizo nalo kama kubakwa au kuingiliwa kinyume na maumbile, na endapo kama una matatizo mazito ya kisaikolojia mfano ‘Depression’.

ATHARI ZA TATIZO

Mwanamke ambaye hafiki kileleni wakati wa tendo la ndoa, yupo hatarini kupoteza hamu ya tendo la ndoa hivyo basi kukosa msisimko wa tendo naieleweke kwamba, mwanamke ambaye hafiki kileleni hupata hamu kama kawaida pale tatizo linapoanza , pia hupata msisimko ambao haufiki mshindo kutokana na kukatizwa na mumewe endapo mumewe anawahi kumaliza tendo, au na hali ya mazingira na kisaikolojia.

Hali hii inapoendelea mara kwa mara mwishowe mwanamke huyu hupoteza kabisa uwezo wa kumaliza tendo kwa mshindo au kufikia kileleni yaani ‘climax’.Tatizo linapoendelea husababisha mwanamke awe anapata maumivu wakati wa tendo la ndoa.

Maumivu haya hutokana na woga au wasiwasi hivyo kusababisha uke uwe mkavu na misuli yake hubana hivyo hata uume unashindwa kupenya.

MATIBABU

Hufanyika baada ya uchunguzi wa kina katikaa hospitali ambapo vipimo mbalimbali vitafanyika.

Daktari atakuelekeza njia mbalimbali za mguso wa kuamsha hisia na msisimko ili kukuwezesha kufikia kileleni na kurudisha furaha yako na kama hujawahi kuipata basi utaipata.

Njia hizi ni njia ya kujiamsha mwenyewe hisia ‘ Self – stimulation,’ njia nyingine ni kama vile ‘Relaxation techniques’ na ‘Sensate focus exercises’.

Njia nyingine ni kupata elimu na upeo kuhusu mapenzi, tiba nyingine ni za kisaikolojia kutambua na jinsi ya kuepuka migongano katika mahusiano ya kimapenzi.

AMBINU ZA KUJIWEKA ILI MWANAUME AKUTONGOZE HARAKAuto Draft

Kando na itikadi ambazo umekuwa ukifikiria, kuapproachiwa ama kufukuziwa na mwanaume si gemu ya bahati nasimu ambayo mtu anaingojea ijitokezee.


Na pia kando na itikadi nyingi za wanawake wanazozifikia, si lazima ufanye kitendo kikubwa ama cha inadi ili mwanaume aweze kukutongoza.


Ukweli ni kuwa, kama unaielewa akili ya mwanaume na jinsi inavyofanya kazi kabla ya kuapproach mwanamke, unaweza kumfanya mwanaume yeyote kutaka kuongea na wewe dakika tano atakapokuja katika himaya yako.
So mbinu zenyewe ndizo zipi?
Zama nami…

Njia za kujiweka ili mwanaume apate nafasi rahisi ya kukutongoza

Kwanza jiweke nadhifu

Hii ni muhimu katika yote kama wataka mwanaume akutambue. Mwanaume kitu cha kwanza anachokiangalia huwa ni mwonekano wa mwanamke. Mwanaume anapoingia katika chumba, inamchukua sekunde ndogo zana kuamua iwapo anataka kuapproach mwanamke mfani au la.
Kama umevalia vizuri na unapendeza, itarahisisha kazi yako sana.


Pili usionekane kama una shughli

Usijishughlishe sana na simu yako, ama kitabu chako, ama kitu kingine. Unaweza kuwa umeboeka na unajaribu kujiweka buzy, lakini fursa iweza kuwa hivi, kufanya hivyo kunaweza kumfanya mwanaume anayetaka kukuapproach kuona ya kuwa uko buzy sana kiasi cha kuwa atashindwa kukufuata kwanu unaweza usiwe interested na maongezi yake.


Tatu ni kuwa mko ligi moja?

Hii inakinzana na hatua ya kwanza, lakini inaweza kuwa na tatizo iwapo unaoneka kama uko ligi tofauti na mwanaume. Kama utaoneka amakujiweka mtu wa hadhi ya juu wanawake watapenda kukuangalia lakini hawatakuaproach. Hii ni kwa sababu wanaume wengi hawapendi kudhalilishwa wakati wanapoamua kukuapproach….kiufupi ni kuwa ukiwa unavutia kupindukia wanaume watakuogopa.
Lakini tena, kuna wale wanaume ambao wanajiamini kupindukia ambao wanajua thamani ya kukuapproach, nao ni wanaume alfa, wanaume diriki, na pia wale wanaume mapleya.
Kama wataka kuteka atenshen ya mwanaume mzuri wa kawaida lakini anayeogopa kukuapproach, jaribu kutumia mbinu ya kuwa jamili na watu wanaokuzunguka. Huwa inasaidia.

Ujanja wa kumfanya mwanaume aweze kukuakuaproach

1. Jinsi utakavyovalia

Usivalie kana kwamba huna kitu cha kuficha. Utapata atenshen ya kila mtu lakini wanaume ambao wataamua kukuapproach ni wale ambao wanataka kulala nawe kwa usiku mmoja pekee. Enyewe kuvalia kwa kutamanisha kunasaidia kuteka atenshen ya mwanaume, lakini usivuke mipaka ya kawaida.


Kumbuka kuwa si lazima uonyeshe viungo vyako vyote vya mwili ili uweze kuteka macho ya mwanaume. Kama unavutia inatosha kumfanya mwanaume akugundue.


2. Unavyomuangalia

Mchungulie mara moja na nyingine, halafu mwangalie mara kwa mara. Hakikisha ya kuwa haujisahau ukamwangalia sana kupindukia ama atakuona kama wewe ni rahisi wa kuapproach na anaweza kukupuuza.


3. Mitindo ya kumwangalia

Kuna mitindo miwili mikuu ya kumwangalia mwanaume ili kumuonyesha ya kuwa umevutiwa naye. Unaweza kutumia mbinu zote mbili kulingana na vile unataka.


i) Kumwangalia polepole – wakati ambapo unaangalia pande zote, angalia upande wake na uyaangalie macho yake kwa sekunde kadhaa huku ukiweka tabasamu. Halafu pole pole zungusha kichwa chako uangalie kwingine. Mbinu hii ni ya kijasiri ya kumwonyesha mwanaume umevutiwa kwake.


ii) Kumwangalia kwa uharaka – hii ni mbinu ya kumwangalia kwa uharaka. Anza kumuangalia, ukiona kama anataka kukuangalia, ghafla angalia kando halafu utoe tabasamu ukiangalia chini. Mbinu hii inampa confidence na kukuona wewe ukipendeza.


4.Mfanyie kazi iwe rahisi

Inakuwa vigumu kwa mwanaume kumuapproach mwanamke sehemu ambapo yuko kundini na marafiki zake. Kama mawazo yako ni kufuatwa na mwanaume, hakikisha ya kuwa wakati mwingine unajipa time ukiwa pekeako ama zaidi uwe na rafiki yako wa kike mmoja.


5. Sehemu zifaazo

Si kila sehemu ni nzuri kufanya maongezi na mtu. Kama unataka mwanaume akuapproach, chagua sehemu ambayo si kila mtu ataanza kujeuza kichwa chake kutaka kujua ni nini kinachoendelea kati yenu. Sehemu za mkawahawa, supermarket, ama bookshop ni sehemu nzuri zaidi za kukutana na mwanaume kupiga stori.


6. Mpatie nafasi aongee na wewe

Hata kama uko katika group na marafiki zako halafu mwanaume akakugundua, mwonyeshe interest kwa kumuangalia kwa madakika. Ukiona kama yuko tayari kuongea na wewe, unaweza kujitenga na marafiki zako kwa muda. Aidha unaweza kuanza kuzunguka hio sehemu kiasi ama unaweza kujipeleka mahali ambapo itakuwa rahisi kwa mwanaume huyu kuzungumza na wewe.


7. Tabasamu

Onekana jamili, na nafasi ya wewe kufuatwa na wanaume itaongezeka mara dufu. Kupendwa kwa mwonekano wa kwanza ni kama baraka kwa mwanamke yeyote yule ambaye anataka macho ya mwanaume yamwone.


8. Usiboeke

Kuwa mwanamke mwenye furaha na mwenye hisia chanya mahali popote pale utakapokua. Mwanamke mwenye shangwe huvutia mwanaume yeyote yule. Kama utaonyesha chembechembe za kuboeka, mwanaume anayetaka kukuapproach anaweza kuwa na maswali mengi ya kujiuliza kwani ataona ya kuwa maisha yako huboesha na yasiyo na mwanga.


9. Usiwe mjeuri

Kama wewe ni mjeuri kwa yeyote, aidha weita ama mmoja wa rafiki yako, inaweza kutokea kuwa mwanaume ambaye anapania kukuapproach kusimamisha ari yake. Hakuna mtu anapenda mtu mjeuri, na hakuna mwanaume angependa kuapproach mwanamke ambaye anaweza kumpuuzia ama kumkataa.


10. Usitangamane na wanaume

Hii ni muhimu kwa mwanamke yeyote aelewe. Usiwahi kamwe kutangamana na marafiki zako wa kiume kama unataka kukuwa approached na mwanaume. Haitafanya kazi kamwe.


11. Mwonyeshe kuwa uko intrested

Mwonyeshe kuwa uko interested kwake kwa kutaka kumjulia hali zaidi. Hata kama uko na marafiki zako mnaongea halafu amekaa karibu na wewe, mwangalie iwapo anakuangalia hata kama unawajibu rafiki zako.


12. Onyesha uanawake wako

Mwangalie mara kwa mara, halafu ukishika macho yake, peta nywele zako nyuma ya sikio lako. Inaweza kuonekana kama jambo dogo kwako, lakini kwa mwanaume ni kama kugonga ndipo.


13. Mchokore

Pita mbele yake halafu mwangalie machoni mwake wakati unapompita. Mtese kihisia, ataipenda kuona atenshen yake.


14. Usilazimishe

Utakuwa unajiaibisha iwapo unalazimisha mambo. Wanaume si mabubwi, hivyo ukiwaangalia mara moja na nyingine ama kuwatabamia, wanajua kuwa uko tayari kuapprochiwa.
Ok hizi ni mbinu ambazo unafaa kuzitumia kama unataka mwanaume yeyote yule akunotice ama akufukuzie.

Mwanamke uangalia haya kabla yaaaaa????

Hebu tuseme ukweli, kuna wakati mwingine ambao wanaume wanashindwa kuwaelewa wanawake. Unaweza ukamwaproach mwanamke huku ukijua wazi hutatoboa lakini unashangazwa mwanamke kama huyo anakukubali fasta.
Na wakati mwingine utaapproach mwanamke

ambaye unaamini kuwa ni rahisi kabisa kumtongoza lakini ukirusha nyavu badala ya kushika samaki inanasa mawe (sitaki kusema kinachotokea wakati mwanamke anakuzima mbele ya hadhira)

…halafu sasa kuna wale marafiki zetu ambao kila wakati wao wakitongoza wanakataliwa. (inauma sana)

Well, usitie shaka tena coz hivi karibuni kama Nesi Mapenzi tumekuwa tukitafiti kwa kuuliza wanawake ni mambo gani ambayo yanawavutia sana kutoka kwa wanaume na mambo ambayo yanaweza kuwafanya wafall in love na wanaume na haya ndio mambo ambayo waliyazungumzia sana:

#1 Kuvalia nadhifu
Kulingana na wanawake ni kuwa mwanaume anapaswa kuvalia nadhifu kila wakati. Hii ni muhimu kwa mwanaume kwa kuwa huwezi kujua ni wapi au lini unaweza kukutana na mwanamke wa ndoto yako. Ni jambo muhimu la kuzingatia lakini masikitiko ni kuwa ni wanaume wachache ambao huwa wanaona umuhimu ikija katika hili swala. Ok. ni hivi, kuanzia sasa hadi milele hakikisha kuwa unavalia kisafi na kinadhifu wakati wote, jipulize marashi na utumie bidhaa zote za wanaume ambazo zitakupamba.

#2 Kuwa na msimamo
Jambo ambalo wanawake wanachukizwa kutoka kwa wanaume ni kuona mwanaume ambaye hana msimamo thabiti. Mara leo anasema hivi mara siku nyingine yuko hivi. Well, hapa siongei kuhusu mwanaume ambaye mambo yake hayajulikani (mysterious) La. Naongea kuhusu wale wanaume ambao hawawezi kuwa na misimamo yao wenyewe. Akili zao haziwezi kujitegemea, hawezi kusema jambo mpaka aulize ushauri kwa wenzake ama kwa marafiki zake. So kama wewe ni mwanaume ambaye una tabia kama hizi ziache kuanzia sasa. Nataka ujeuke. Ukiwa na tabia kama hii hutatoboa katika kutongoza mwanamke.

#3 Mwanaume mwenye kuvutia
Mwanaume ambaye anajua kuvutia wanawake ni silaha nzito katika sanaa ya kutongoza. Wanawake wanapenda mwanaume yeyote ambaye ana chembechembe za kusisimua wanawake. Na mwanaume kama huyu ni yule ambaye ana uwezo wa kutumia miondoko ya mwili ipasavyo, wale ambao wanajua kutumia sanaa ya kubanta, na wale wanaojua kuzungumza maneno ya kunata. Upo? [Soma: Mbinu za kufuata uonyeshe kuwa una ushawishi]

#4 Mwili mzuri/shepu
Kama vile ambavyo ungependa mwanamke mwenye shepu na figa, pia wanawake wanapenda wanaume wenye shepu. So utafanyaje kama wewe una shepu la duara? Ingia gym, fanya mazoezi ya kukimbia angalau dakika 30 kila siku. Hii itakufanya uwe na toni nzuri kwa mwili wako. Si mimi ndio nimesema hivi, ni maneno kutoka vinywa vya wanawake. Anza mazoezi pindi utakapomaliza kusoma hii post.

#5 Kuwa na sanaa ya ucheshiMwanamke anaweza kujua iwapo mwanaume anachembechembe za ucheshi au la wakati ambapo anaongea naye. Ni hivyo tu ambavyo unahitajika kuwa navyo wakati kama unataka kumfurahisha mwanamke. Kila wanawake wanajua kwamba mwanaume ambaye ni mcheshi huwa anavutia sana haswa ikija katika maswala ya kudeti na wakati wanapochat nao kupitia kwa simu. Hivyo jambo lako la kufanya ni hakikisha ya kuwa wakati unapoongea na mwanamke unamchekesha. Usijilazimishe kama wewe si mcheshi. Mwanamke anaweza kucheka kwa mizaha ambayo hata haichekeshi kama umemsoma mambo anayoyapenda.
#6 Mwanaume ambaye halazimishi mambo
Mwanaume ambaye hulazimisha mambo huwa ni wanaume wanaochukiza zaidi ikija katika mchezo wa kudeti. Mwanaume wa kulazimisha ni yule ambaye anakubali kushindwa ili kuzuia mgogoro na mtu ambaye amemshinda kihadhi. Wewe kama mwanaume haupaswi kujidhalilisha mbele ya yeyote yule, hata kama ni marafiki zako. Kuwa na misimamo yako mwenyewe katika maisha yako. Kama unaona kuwa unakosewa una haki ya kupaza sauti yako usikike  balada ya kukasirika ama kusinyaa.

#7 Kazi nzuri na hela ndefu
Ok. Haya si maoni yangu. Ni mambo ambayo yametamkwa kutoka kwa vinywa vya wanawake. Lakini ngoja tuseme ukweli…pesa ni muhimu ikija katika maswala ya mapenzi. Ni hivi! Wewe hupenda wanawake warembo zaidi kuliko wanawake wabovu. Kweli? Hivyo hivyo wanawake hupenda wanaume ambao ni matajiri zaidi kuwaliko wale maskini. Kuwa tajiri na kuendesha gari la kifahari ni advantage kwako (usitie wasiwasi, haya ni maoni ya wanawake tu. hapa Nesi Mapenzi tushalizungumzia tatizo hili mara kwa mara, pesa si muhimu katika kutongoza, ushapu wako ndio muhimu)

#8 Mwanaume ambaye anaheshimiwa na wengine
Wanawake wanapenda wanaume ambao wanawaheshimu, lakini pia wanapenda kuwa na wanaume ambao wanaheshimiwa na wengine. Kama kuna mtu hakuheshima, hayo ni makosa yako? Kama ni yako basi hakikisha kuwa unatatua. Lakini kama si makosa yako basi si lazima ujihusishe nao. Simama wima na utetee haki yako ya kuheshimiwa na kila mtu. Tumeelewana?

#9 Mwanaume anayejiamini
Kuwa na confidence ni muhimu kwa kila mwanaume. Ni nguvu ya kuzimu ambayo kila mtu utakayekutana naye atakuonea gere. Mwanaume anayejiamini huwavutia wanawake kwa kuwa anajiamini yeye mwenyewe pamoja na uwezo wake wa kuyaona mambo jinsi yalivyo ulimwenguni. [Soma: Hatua za kujiamini]

#10 Mwanaume anayeonekana vizuri
Huku ni kuanzia kule kujiweka kimwili. Vile ambavyo unasimama kama mwanaume. Je mapozi yako yakoje? Je unavalia nguo kulingana na mwili wako? Wakati unapoongea unazungumza na ishara zipi? Haya yote ni baadhi ya mambo ambayo  ni muhimu na yanayowafanya wanawake wakutambue kama wewe ni mwanaume bora wa kumchumbia au la.

#11 Mwanaume anayejua kuzungumza
Kama tu vile kujua jinsi ya kutumia ucheshi katika mazungumzo yako, kujua jinsi ya kuzungumza na mwanamke kwa kutumia Sanaa ya Mazungumzo kama vile banta, miondoko ya mwili na kuchanganya Programu ya Isimu Ubongo ni muhimu zaidi kwa kuwa kutamfanya mwanamke kujiskia huru zaidi akiwa na wewe na ni mambo ambayo mwanamke anatamani kutoka kwa mwanaume yeyote. Sanaa zote hizi ziko kwa kitabu cha Kutongoza Mwanamke: Kuanzia Hadharani Hadi Kitandani

#12 Tabia ya kuheshimu
Kuwa na tabia ya kuheshimu wengine vile inavyotakikana. Wanawake wote wazuri hawawapendi wanaume ambao wanapenda kuwachukulia vibaya wengine. Usiwe mbaya kwa watu walioko chini yako bila ya kuwa na sababu yeyote. Ukiheshimu wengine nao pia watakuheshimu. Wanawake huwaona wanaume wenye tabia ya kuwaheshimu wengine kuwa wanaweza kuwa wazazi wazuri. So hakikisha kuwa unatabia nzuri wakati wote.

#13 Kuwa mwanaume alpha
Wanawake wazuri huwa kwa mikono mwa wanaume bora. Hakuna mwanamke atataka kuwa na mwanaume mwoga, asiyejiamini, asiyeheshimu wengine. Itakuwa ushawahi kugundua kitu flani, kwa kawaida huwa kuna mwanaume mmoja katika kikundi flani ambapo yeye anadeti wanawake warembo zaidi ilhali wenzake wanadeti wanawake wa kawaida. Wanaume kama hawa ndio huitwa alpha. [Soma: Hatua za kujijeuza Alpha]

#14 Mfanye ajihisi huru
Wanawake wanapenda wanaume ambao wanawafanya wajihisi huru wakiwa nao. Hii ni kulingana na usemi kutoka kwa wanawake. Hivyo kama wewe unakuwa na tabia za maswali yasioisha, ukali, woga ama kutojiamini basi utamfanya mwanamke ashindwe kujiskia comfortable akiwa na wewe. Jambo la kuhakikisha ni kuwa unautoa wasiwasi wowote ambao unaweza kujitokeza wakati unapoongea na yeye.

#15 Mwanaume mwenye usambamba/ compatibility
Ok. Tatizo kuu linajitokeza hapa. Mara nyingi mwanaume anaweza kumpendeza mwanamke kwa kila kitu lakini mwanamke anaweza asikubali mwitikio wako kwa kuwa hamna uwiano ulio sawa. Mwanamke anaweza kukukataa kwa sababu zake binafsi. Kama unataka kufanikiwa na hili basi hakikisha kuwa unakuwa mkweli, makinika na interests zake na usome mambo anayopenda na kuchukia. Kama ataona kuwa kuna uwiano ndani yenu, basi ni rahisi kwa yeye kukukubali.

Mwisho ni kuwa haya ni maoni ambayo yametoka kwa vinywa vya wanawake, hivyo kama kuna moja kati ya haya maoni 15 tuliyoyaorodhesha unayakosa, basi ni muhimu uanze kazi sasa hivi.

Mafanikio Kwako

SEHEMU 4 za Mwili Usizopaswa Kumshika Mkeo Nyakati Hizi

Ingawa kuna mtazamo uliojengeka katika jamii kuwa ukishamuoa mwanamke na mkawa mwili mmoja basi una kila haki ya kumshika sehemu yoyote uipendayo hasa wakati unahitaji kufanya nae tendo la ndoa.

Lakini utafiti na uzoefu uliokusanywa na wataalam wa mahusiano na ndoa waliofanya mahojiano na wanawake kama kuna sehemu wazisopenda kuguswa na waume zao na nyakati husika, umetoa picha na mtazamo ambao wanaume wanapaswa kuufahamu mapema kabla hawajaingia katika hatari ya kuwa kero au kuwakwaza wake zao.Kama tunavyofahamu, wanawake ni viumbe wenya mlango mmoja wa ziada wa fahamu kuwapita wanaume.

Hii nitaizungumzia siku nyingine. Lakini mlango huu wa ziada ndio huwapa hisia ya ziada pamoja na kuwafanya kujali sana vitu ambavyo mwanaume hasa mwenye haja ya kufanya tendo anaweza asizingatie sana anataka kukidhi haja yake.

Ukifuatilia sehemu hizi za mwili wa mwanamke nitakazozitaja na nyakati zake, utabaini kuwa ni rahisi sana kufahamu kwani mwanamke katika nyakati hizo anaweza kuonesha kusita sana wakati anataka kuguswa.

1. Chuchu wakati miili yao inaendelea na shughuli nyingine za ndaniIdadi kubwa ya wanawake huwa hawapendi kuguswa na wanaume chuchu zao wakati wananyonyesha au wakati wako katika hedhi. Hiki ni kipindi ambacho kama mwanamke ananyonyesha na mwanaume anataka kumgusa sehemu hiyo basi maziwa yanaweza kutoka kwa kasi na kumfanya ajisikie hayuko ‘confortable’ kuendelea na zoezi la kushiriki tendo.

2. Kwapani wanapokuwa wanatoka jasho kabla ya kuogaWanaume wengine huwa na hisia za matamanio zaidi wanapoyaona makwapa ya wake zao.

Hii ni hali ya kisaikolojia inayojengeka kwa baadhi japo sio wengi. Kuna wanaume wakiona kwapa la mwanamke basi matamanio yao huongezeka mara dufu.

Lakini wanawake wengi wameeleza wazi kuwa hujisikia vibaya na kukosa amani pale wanaume zao wanajaribu kuwashika kwapani wakati ambapo wametokwa jasho.

3. Sehemu za siri kabla ya kuogaHili ni eneo ambalo wanawake wengi wameonesha kulalamikia waume zao.

Kwa mazoea wanaume wengi huwa kama wanawabaka wake zao bila kufahamu, hasa pale wanapotoka safari zao wakiwa na matamanio. Lakini wanawake wengi wameeleza wazi kuwa hupoteza hali ya kuwa ‘comfortable’ pale wanapoguswa na wanaume zao sehemu za siri wakati bado hawajaoga.

Wanaume wengi hujikuta wakishiriki tendo la ndoa na wake zao ghafla baada ya kukamilisha kazi kadhaa za ndani wakati wanawaangalia. Wanaume wanaweza kuwa wanafurahia zaidi tendo hilo lakini wanawake pamoja na kwamba hufurahia pia lakini mlango wao wa ziada wa fahamu huwafanya kukosa amani kwa kiasi fulani wakati wa tendo ukilinganisha na nyakati ambazo wanajiamini ni wasafi.

4. Nywele zao dakika chache baada ya kutoka saloon kujirembaIngawa unaamini kuwa mkeo alienda saloon kujiremba kwa ajili ya kukuvutia wewe, usithubutu kutaka kuzivuruga nywele zake dakika chache baada ya kutoka kwa mtaalam wa kutengeneza nywele, hata kama pesa aliyotumia ulimpa wewe.

Hiki ni kama kituko hivi, lakini ndio ukweli. Wanawake hutumia muda mrefu sana kwenye vibanda au saloon za gharama kwa ajili ya kujiremba ili waongeze mvuto. Lakini, hugeuka kuwa walinzi wa vichwa vyao angalau kwa saa kadhaa. Msifie uwezavyo, lakini nywele zake usizivuruge mapema mtaharibiana ‘mood’.


Haya ni kati ya mambo machache ambayo wanaume huyaona madogo sana na kufuatilia yale wanayoamini ni makubwa zaidi. Lakini mambo haya ni kati ya machache yanayokwangua taratibu kuta za hisia za mwanamke kwa mmewe.

Design a site like this with WordPress.com
Get started