Mwanamke Zingatia Haya Wakati wa Kuomba Pesa Kwa Mwanaume Usije Kuonekana Kicheche.

Ukweli ni kwamba raha ya mapenzi ni pamoja na kupunguziana makali ya maisha. Na katika kupunguziana uko makali ya maisha ndio matumizi pesa yanapochomoza.
Kusaidiana ni kwa pande zote iwe kwa mwanamke kwenda kwa mwanaume au kinyume chake, Ingawa kwa kiasi kikubwa ni wanaume ndio wanawajibika zaidi kutunza wapenzi au wake zao.

Nilichotaka kuwakumbusha wanawake zaidi ni kwamba kweli ni haki yao kutunzwa na waume zao lakini kunavigezo na masharti uzingatie kwa mfano:-

1. Mda gani hasa unapaswa kuomba HELA tangu mahusiano kutokea.
Mapenzi ata wiki bado umeshaomba uchongeshewe kabati LA vyombo.

Haiwezekana kuomba HELA Mara tu mpenzi wako anapokuomba kukutana ata kwa salam tu za kawaida. Mkutano WA kwanza ushaomba HELA ya kusukia mweeh.

2. Usimuombe HELA kwa mume au mpenzi ambayo anatoaga ata bila kuomba, ni uroho.

3. Angalia aina ya kazi anayofanya mpenz au mume na kipato chake ujue aina ya kizinga kinachomfaa, usije kumuova dozi.

4. Weka nafasi ya kutosha kati ya kizinga kimoja na kingine.Isiwe Jana pango ya NYUMBA imeisha, wiki ijayo simu imeingia kwenye ndoo ya maji .

5. Muandalie mazingira mazuri ya furaha kutoka kwako,ikiwezekana baada ya kumpa mavituz yalioenda shule ndio unamkurupusha na kizinga.

6. Kukosa kupo pia sio kila utakapoomba utapata wakati mwingine atakua anasaidia na ndugu pia.
Mume au mpenzi akikuambia cna ujue ana na inatakiwa maisha yaendelelee sio ndio unaanza cm hapokei ppchi hautoi sio poa.

7. Vizingi vikue taratibu usianze tu kuomba laki noo!, anza na kitu cha msimbz then unaangalia upepo ukiona anakuja poa unaendelea usikurupuke tu.

8. Pima aina ya mapenzi unayotoa kwa mtu yana hadhi ya kupewa unachotaka kutokana na ulichotoa. Umenipa mende kafa,laki yangu unaitaka ya nini? Yako wewe ni 5000 kwa services hii.

9. Jitaidi na wewe kumpa chochote ata kama kitatokana na HELA yake nwenyewe poa tu si anajua wewe huna kazi na kipato chako kidogo.

10. Sio lazima kila mkikutana kimwili lazima afungue pochi cku nyingine muagane tu. Kuna watu waajabu mno udhani kila gemu inamtonyo sio ivo.

NB. Nazungumzia wale wasioelewa ayo apo juu na sijamaanisha wanawake wote.

Pillow talk – Maongezi nane ya kitandani ambayo yatamfanya akupende sana


Pillow Talk ni kitu gani na ni jinsi gani ya kufanya haya maongezi kuwa mazuri?

Inasemekana kwamba maongezi ya kitandani hufanya maisha ya mapenzi kuwa mazuri zaidi. Lakini Pillow Talk ni kitu gani? Fahamu kila kitu kuhusu pillow talk na jinsi ya kuifanya vizuri.

Kuna mambo mengi sana ambayo yanaweza kufanya uhusiano wa kimapenzi kuwa mzuri.

Kuna miongozo na kuna mitazamo.

Na kuna mambo mengi ya kujifunza na kumbukumbu nzuri za kukumbuka katika mapenzi.

Mawasiliano ni kitu kizuri katika katika mahusiano, lakini kuupata muda mzuri wa mawasiliano ambao utawafurahisha na kuwa mzuri kwa wote wawili huwa ni mgumu kidogo.
Na hapa ndipo Pillow Talk Inapochukua nafasi yake katika mapenzi!

Pillow Talk ni kitu gani hasa?

Pillow Talk ni aina ya 
maongezi unayokuwa nayo wewe na mpenzi wakowakati mmelala wote kitandani.
Na tofauti na mitazamo hasi ya wengi, Pillow Talk siyo lazima ihusishe mada ya kimapenzi au kushikana na mpenzi wako ukiwa kitandani.

Hukuwahi kuwa pamoja na mpenzi wako kitandani na mkawa mnaongelea mada nyingine labda ya maisha yenu, au matatizo sehemu za kazi, au biashara zenu? Ni vizuri unavyokuwa unasikilizana na mwenzio mkiwa kitandani, si ndiyo?

Pillow Talks huwaunganish wapenzi kihisia na kimwili pia(physically and emotionally), na huwaleta pamoja sana tena pale ambapo maongezi hayo yameibuka katika muda muafaka.

Kwanini tunahitaji Pillow Talk katika uhusiano wa kimapenzi?

Mojawapo ya faida kubwa ni kwamba, maongezi ya kitandani huleta na hujenga mahusiano mazuri baina ya wapenzi. Kuisikiliza sauti nzuri ya upole ya mpenzi wako mkiwa wote kitandano inaweza kumuondolea stress zote alizokuwa nazo mpenzi wako kwa siku nzima.

Inawafanya wote kwa pamoja mtulie na kuwasaidia kuendelea na maongezi bila ya kuwa na mabishano au hasira, na inawapa muda wa kufikiria jambo kwa upole na undani zaidi. Na wakati maongezi haya yanapokuwa ya kiuaminifu zaidi na ya uwazi, hisia nzito za upendo hujaza mioyo yenu na kupendana zaidi.

Pillow talk ni muhimu maana ni muda mzuri unaowaunganisha wote wawili baada ya masumbuko mbalimbali ya kila siku, na maongezi haya hayana usumbufu wa aina yeyote. Mnaweza kuwa mmeshinda wote siku nzima, lakini hiyo unakuwa unakaa na mwenzio kama afiki yako wa kawaida, lakini kitu ambacho mnahitaji ni dakika chache za kutafakari siku ilivyokwenda ili kujisikia kama wapenzi na sio marafiki au mchepuko.

Kuna wapenzi wenye Pillow Talk, na wapo ambao hawafanyi. Wapenzi ambao hawalali husiku wapo lakini hii haileti furaha kama couple ambayo inafanya pillow talk.

Mambo ya kuongelea mkiwa kitandani

Je wewe na mpenzi wako ni waongeaji wazuri kabla hamjalala? Kama ilivyo katika maisha, kuna mambo mazuri na mabaya ya kuongelea kitandani. Baadhi ya maongezi yanaweza kukufanya wewe ujisikie upo juu sana katika hii dunia, wakati maongezi mengine yanaweza kukumaliza nguvu na kujisikia kuharibiwa siku kabisa.

Kabla hatujaanza kuongelea maongezi mazuri ya kitandani, ngoja nikupe tips kidogo za maongezi mabaya ambayo unapaswa kuyakwepa au kuyazuia.
Usiongelee matatizo ya maisha yako * labda uwe na utatuzi sahihi wa jambo/ tatizo hilo*. Usiongelee matatizo yako ya kiuchumi, huzuni yako, jinsi ambavyo unavyoonewa, au madhaifu yako ya kazini.

Wapenzi wote huongelea haya mambo, lakini hayo siyo maongezi sahihi ya kitandani. Jaribu kuyachukulia maongezi ya kitandani kama sehemu nzuri na yakiwerevu katika maisha yako. Kama wewe na mwenzio mtaongelea jinsi mnavyoonewa na dunia hii mtalala kwa mawazo lakini pia mtaamka asubuhi mmechoka kama vile mmetoka kulima.

Badala yake, ongelea mambo mazuri, yenye furaha, ambayo yalikufurahisha mchana, yaliyokutamanisha, na kitu kingine chochote ambacho kinaweza kuleta tabasamu katika nyuso zenu. Muwe na ndoto ya maisha ya furaha, na muwe na ndoto ya aina hiyo kwa pamoja. Kama mtakuwa na maongezi ya furaha namna hiyo mkiwa pamoja, yatawafanya mjitahidi sana wakati wa mchana ili kuifikia ndoto yenu.

#1. Kufananisha. Hii inaweza kukushangaza, lakini kama binadamu, hupenda kujifananisha na wengine kama tunataka kufurahia kuhusu sisi wenyewe. Yalinganishe mahusiano yenu ya mapezi na mahusiano ya kimapenzi ya marafiki zenu wa chuo au kazini.
Wote mtajisikia furaha kama mahusiano yenu ni mazuri zaidi ya wengine. Na kama kuna kitu mnakitamani kutoka kwenye uhusiano wa wenzenu, wote kwa pamoja mtajikuta mnafana mabadiliko ili kuimarisha maisha yenu ya kimapenzi.

#2. Ndoto za baadae. Ongeleeni kuhusu matarajio yenu na ndoto zenu katika maisha. Maongezi ya aina hii huwafanya kuzijua ndoto za mwenzako na matarajio yake ya baadae na ni jinsi gani mnaweza kusaidiana ili kuyafikia malengo yenu. Hii inawafanya muwe karibu zaidi.

#3. Pendekeza. Jitahidi kuwa mbunifu kidogo bhanaa. Au tunasema toa comment. Kama asubuhi aliondoka akiwa na nywele salu salu mwambie, lakini kama alipendeza mbwambie. Hii itawafanya wote mtabasamu.

#4. Vitu vipya vya kujaribu wakati ujao. Usifikiri huu ni mda wa kuwaza mambo magumu katika maisha kama nlivyokuambia hapo awali. Badala yake kama kuna changamoto pendekeza njia sahihi inayoweza kulitatua hilo jambo, lakini mambo mapya katika uhusiano wenu kama kwenda honeymoon kwa ajili ya exposure na vitu vingine. Kuongelea mambo ambayo yanalenga kuboresha maisha yenu inafanya maongezi ya kitandani kuwa matamu sana.

#5. Likizo na Exposure. Hakuna kinachofanya maongezi ya kitandani kuwa matamu kama kuongelea na kupanga sehemu za kutembelea baada ya miezi minne ijayo, kwa mapumziko na mpenzi wako au kwa lengo na kubadilisha mazingira na kujifunza(exposure). Jaribu kujadii ni sehemu gani nzuri za kwenda mambo ya kufanya, na mambo mengine mazuri mnayoweza kuyafanya wakati wa likizo. Hii itawafurahisha wote na itawasukuma kujituma zaidi katika maeneo yenu ya kazi na ndoto zenu zitatimia kwa uharaka zaidi.

#6. Kumbukumbu za kimahaba(Romantic Memories). Kuongelea mapenzi yenu ni kitu kizuri kitandani. Muulize mwenzio kama anakumbuka siku ya kwanza alivyokukiss ilikuaje, kama alikua anaogopa mueleze, itamfanya akumbuke mbali na kutabasamu. Maongezi ya aina hii yataanzisha mada nyingine, hivyo hamtapungukiwa na mtajikuta mnajiona wa bahati nyie kuwa pamoja.

#7. Masumbuko ya zamani. Story za zamani ni kama movie inayosisimua na kutia hamasa(inspirational movie), sanasana pale yie wawili mnapokua mnapofanikiwa katia jambo fulani baada ya kusumbuka na kujituma sana. Je, nyie wawili mlihatarisha maisha yenu ili kufanikisha mafanikio ambayo mnayo sasa? Kuyaongelea masumbuko yenu ya zamani na matunda mnayoyachuma sasa hivi inawasaidia kupata takwimu ya mambo mliyofanikiwa na kuwapa kiu ya kufanya mengi zaidi ili kuendelea kuimarika kimaisha.

#8. Ongelea siku yako ilikuaje. Hii aina ya maongezi yanawafanya nyie kuwa karibu katika shughuli zenu za kila siku. Iongelee siku yako, uzuri wako na ubaya wake, ulichofanikiwa na changamoto zilizokukumba na jinsi ya kuzitatua hizo changamoto, na kitu kingine kizuri ambacho kinakufanya ujivuie kwa ile siku kupita.

Kadri mnavyokua mnaambiana kazi zenu za kila siku kwa uwazi, inawafanya nyie mzidi kupendana zaidi na kuwa karibu kimahusiano zaidi kitu ambacho ni vigumu mwingine kuwayumbisha.Itakuwepo nafasi ndogo ya wivu na usaliti, lakini nafasi kubwa ya kuaminiana na kupendana.

Maongezi ya kitandani yanaweza kuonekana jambo dogo na rahisi, lakini kumbuka, wapenzi ambao wanakua na maongezi mazuri ya kitandani wakati wa usiku watakua na furaha zaidi ya nyie mnaolala kama maadui bila ya kuongea au wanaongea lakini hawajui nini cha kuongelea na kuishia kugombana kitandani.

 Hii haiathiri tu katika mapenzi lakini katika maisha pia.

ZIFAHAMU FAIDA ZA KUFANYA MAPENZI

Kiafya
Tendo la ndoa ni moja kati ya mazoezi ya mwili. Wataalamu wanasema kwamba, unapofanya tendo hilo mara tatu kwa wiki husaidia kupunguza kiasi cha mafuta mwilini na pia endapo mtu atafanya tendo mara tatu kwa wiki kwa kipindi cha mwaka mzima ni sawa na kukimbia maili 75.Tendo la ndoa huongeza takriban vizalisha nguvu 150 kwa nusu saa ambayo ni sawa na kukimbia dakika 15 kiwanjani.

Kuongeza mwendo wa damu

Tendo la ndoa husaidia kuongeza kasi ya mtiririko wa damu kwenye ubongo na sehemu nyingine ya viungo vya mwili, hii huchangia kuongeza kasi ya mapigo ya moyo na kuboresha mfumo wa upumuaji. Msukumo thabiti wa damu mpya yenye oxygen na homoni zenye chembe chembe hai zinapopenya kwenye mishipa ya damu husaidia katika uunguzaji wa chakula, pia huondoa kiasi cha uchafu ambao ungesababisha mishipa na kushindwa kufanya kazi na kumfanya mwanadamu apate maumivu ya mwili.

Hupunguza mafuta yenye kileo (Cholesterol)

Tendo la ndoa huweka sawa uwiano wa mafuta yenye kileo (Cholesterol) nzuri na cholesterol mbaya na wakati huo hupunguza kwa ujumla kiasi cha mafuta yenye kileo mwilini.

Kupunguza maumivu.

Wakati wa kufanya mapenzi, homoni iitwayo oxytosin huzalishwa mwilini ambayo husababisha kuzalishwa kwa homoni iitwayo endorphin ambazo hupunguza maumivu kama vile kuvimba sehemu za viungo (arthritis) maumivu ya shingo (Whiplash) na maumivu ya kichwa.

Ulinzi wa tezi ya kibofu (mwanaume)

Majimaji yanayozalishwa katika tezi ya kibofu (prostate) yakizidi husababisha kuleta matatizo mwilini. Tendo la ndoa la mpangilio huondoa uzalishaji wa majimaji hayo yenye madhara. Mabadiliko ya ghafla ya tendo la ndoa huelekea kuleta matatizo yahusianayo na tezi ya prostate.

Kupunguza mfadhaiko wa moyo.

Kujitosheleza na kupumzisha mwili baada ya tendo la ndoa ni muhimu kwa kutuliza akili na kurekebisha mzunguko wa damu mwilini. Watu wenye kushiriki tendo la ndoa wanatajwa kushinda mfadhaiko na kupata usingizi mnono hasa mara baada ya kumaliza kufanya mapenzi.

Huongeza uzalishaji wa homoni za kiume(testosterone) na za kike (Oestogen). Faida nyingine inayopatika ni kuongeza uzalishaji wa homoni za kiume na za kike likiwemo suala zima la msukumo wa kufanya tendo hilo ambapo mhusika hutosheka zaidi ya yule ambaye hana mazoea ya kufanya mapenzi. Hata hivyo, baadhi ya madaktari wamegundua kwamba ongezeko la homoni za kiume/ kike huweza kuwakinga wanadamu na magonjwa ya moyo.Kuishi muda mrefu huku ukionekana kijanaWakati wa tendo la ndoa homoni iitwayo DHEA huzalishwa mwili mzima. Hii husaidia msisimko wa mapenzi kuongezeka. Kutokana na elimu hiyo DHEA ni kemikali yenye nguvu duniani ambayo husaidia kuweka sawa kinga ya mwili, huongeza ufahamu, kuimarisha mifupa, kutengeneza na kuimarisha afya na kuimarisha mishipa ya moyo (Cardiovascular).

Hupunguza baridi na mafua.

Elimu inaonesha kuwa wanaofanya tendo la ndoa mara moja au mbili kwa wiki huongeza 30% ya uzalishaji wa chembe chembe hai za mwili ziitwazo Immunogloulin A ambazo huwa na kazi ya kuulinda mwili dhidi ya magonjwa. Hizo ni faida chache tu za kufanya tendo la ndoa.

NB : Jambo kubwa la kuzingatia ni kuwa faida hizi hupatikana kwa ufanyaji wa mapenzi usiokuwa na hofu ya kufumaniwa au kuumbuliwa

Ishara za mwanamke anayekupenda, lakini anashindwa kukueleza

Kwa muda mrefu kumekuwa na wimbi la imani potofu kwa wanawake na wanaume kwamba mwanamke hawezi kumwambia mwanaume ukweli kama anampenda, wengi wao husubiri kwanza mpaka mwanaume aanze kuweka wazi hisia zake, lakini ni ukweli usiopingika kwamba wanawake nao pia hupenda na wengi wao wanakuwa hawapo tayari kuwa wawazi na mara nyingi wao wakianza kupenda

huwa wanapenda kweli kufikia hata hatua ya kuhisi kutokuwa sawa katika mambo yao wanayoyafanya. nimekuorodhoshea baadhi ya ishara za mwanamke anaekupenda ila anaogopa kukuambia kwa kuhofia namna atakavyoonekana mbele ya macho ya jamii au kuwa na hofu na jambo analotaka kukueleza kwa kufikiria kuwa itakuwaje endapo hautakuwa tayari kuwa nae na hapo ndio hukumbwa na hofu ya kuelezea hisia zake.

Kukupa majaribu madogomadogo ili kujua thamani yake kwako.

Hufanya mambo ambayo yatamfanya kuona kama unampenda na kumthamini au lah, mfano wa mambo hayo ni kama kujifanya anaumwa na kauangalia muitikio wako kwake, ili kutambua ni kiasi gani unamjali na kiasi gani utahangaika kwa ajili yake.

Kugusa sehemu ya mwili wako.

Mwanamke anaekuwa na  hisia za mapenzi huwa haoni aibu kugusa sehemu ya mwili wako. Anaweza kukushika mkono ama kukutomasa au hata kukumbatia kwa hisia za kimapenzi. Kwa kufanya hivyo huweza kujiwekea asilimia kadhaa za kujua kawa ni kwa asilimia kiasi gani anaweza kuwa na wewe kwenye mahusiano endapo ataweka wazi hisia zake kwako, na kwa mwitikio wako kwake, kutamrahisishia kazi ya kuwa na wewe kwa namna yoyote.

Kuweka ukaribu na wewe.

Huweza kukubaliana na wewe kwa jambo lolote hata kama halina maana endapo wewe tu utazungumza ili tu kuonesha kuwa yupo pamoja na wewe na pengine kurahisisha kazi yake ya kukueleza hisia zake za mapenzi juu yako. Mara nyingi ataonesha uso wa furaha hata kama si furaha ya kweli na hupenda kuwa karibu nawe hata kwa mawasiliano, kukutembelea kazini kwako au nyumbani pia na huwa yupo tayari kutumia gharama ya aina yoyote ili kuwa karibu na wewe.

Wivu.

Hujisikia wivu anapokuona na wasichana wengine. Wanaweza kuwa wafanyakazi wenzako au umeongozana na ndugu zako lakini yeye pasipo kutambua hilo, huwa na kiasi kikubwa cha wivu mara tu anapokuona katika mazingira ya kuzungukwa na wasichana wengine, na huwa anaumia kama akisikia mnaitana majina ya kimapenzi haijalishi kama mnataniana yeye huwa na wivu na hapendi. Hupenda mambo hayo afanyiwe yeye tu hata kama sio mpenzi wako.

Hukumbuka matukio yote ya muhimu kuhusu wewe.

Hukumbuka matukio yote ya muhimu kuhusu wewe kama vile siku zako muhimu na hata mwenendo wa maisha yako kama wewe ni mwanafunzi atajua siku yako ya mahafari, mfanyakazi, na endapo utakuwa mchezaji wa mpira anaweza kujua ratiba yako ya mashindano, timu unazozipenda na kadharika. Hukumbuka siku yako ya kuzaliwa hatoweza kuisahau kufanya ipite bila kukutakia heri ya siku ya kuzaliwa kama sivyo ukifauli mtihani au chochote katika maisha yako atakuwa mstari wa mbele kukupongeza.

Hupenda kukutazama kwa shauku.

Hupendelea sana kukutazama machoni muda wote ambao mtakuwa mkizungumza pamoja akidhani kuwa utaweza kuzisoma hisia zake. Ila wengine huona aibu kuwatazama wavulana wanaowapenda hivyo huwaagalia mara chache sana ila ni kwa hisia za kimapenzi ambazo zinaweza kupelekea mwanaume kuhisi kuna kitu kinaendelea kwa mwanamke huyo.

Hupenda kuwa na wewe kutaka kukujua zaidi.

Hupenda kukaa muda mwingi na wewe. Hawezi kupoteza hata dakika ukimuhitaji kwa mazungumzo. Anajisikia furaha kukaa na wewe muda mrefu na hukaa bila kuchoka. Anaweza akaacha kila kitu anachokifanya hata kama ilikua ni kazi ya muhimu ili ajumuike pamoja na wewe na akikaa na wewe hupendelea sana mwanzoni kukujua wewe zaidi na hukujengea mazingira ya wewe kuwa muwazi ili umwambie mengi kuhusu wewe. na pia akiwa na wewe atakuwa muwazi zaidi kuhusu yeye  hupenda sana kujua mambo yako na kukuambia mambo yake na hupenda kujua ni mavazi gani yeye akivaa anakuvutia zaidi na atajitahidi kukufurahisha kwa kadri awezavyo.

Hujitoa.

Kama msichana anakupenda yupo tayari kujitolea kwa hali yoyote. Ni jambo ambacho hufanywa kwa nadra na watu wa kawaida kwako. Yaani yupo tayari akose mahitaji yake muhimu lakini wewe upate. Na huweza kumwambia mtu mwingine kuwa hana kitu,  lakini akajitahidi akakupa wewe unachohitaji kama vile pesa na vitu vingine.

Hupenda kutatua migogoro yenu kwa amani.

Migogoro ikitokea katika urafiki wenu hayupo tayari kukupoteza kabla hajakwambia nakupenda, inawezekana wewe ndie uliekosea na kuwa chanzo cha mgogoro lakini yeye hujishusha kwa kuwa anakupenda na endapo ikitokea kutokuelewana basi atafanya juu chini kuyaweka mambo sawa ili asikukose na kuhakikisha urafiki wenu unakuwa kama zamani.

Hupenda kukununulia zawadi.

Mwanamke anaekupenda hupenda kujua mengi sana kuhusu wewe na hapo hutumia njia nyingi kuwasilisha hisia zake kwa mfano kukununulia zawadi kama nguo za ndani, au kukununulia perfume, sabuni ya kuogea ya manukato, soksi, bukta, saa, raba, t-shirt. Na kama mkitoka pamoja mkaenda sehemu mbalimbali za manunuzi atapenda kukuonyesha vitu na wewe ukionekana umependa kitu hatonunua siku hiyo ila atanunua siku nyingine na kukuletea kama suprise.

Hupenda mshiriki matukio ya muhimu pamoja.

Mwanamke anaekupenda ili akujue zaidi hupendelea kuwa na wewe katika nyakati tofautitofauti kama kupata chakula pamoja, na wakati mwingine atapendelea kuja kupika kwako na ili apate nafasi ya kushiriki chakula pamoja na wewe, kwenda uwanjani kutazama mashindano au hata kumbi za starehe mkiwa pamoja.Je? wewe unafikiri ni ishara gani zaidi za mwanamke anaekupenda lakini anashindwa kukueleza?

KWANINI WANAUME HUNUNUA MAPENZI

Kwa nini wanaume hununua sex?

Mwanaume anaondoka na kwenda kumtafuta mwanamke wa kumlipa fedha ili ampe sex bila kuhusisha upendo au mahusiano wala kuhusisha hisia kati ya wawili.

Suala la wanawake Malaya (prostitutes) kuua mwili kwa wanaume ni suala la dulia zima haijalishi ni mzungu au mweusi au muasia, wasomi na wasio wasomi, maskini na matajiri, waliooa na ambao hawajaoa wote wamekuwa wakijihusisha na hii tabia.

Wanaume walioulizwa kwa nini wanaenda kununua sex wengi walitoa Sababu zifuatazo Ingawa walikiri kwamba wakati wa sex na hao Malaya huwa wanajisikia aibu, hatia, na hisia hasi kulipa ili upate sex.

Sababu kubwa ya wanaume kununua mapenzi wengi walikiri ni kumridhisha hitaji ya sex na raha yake kwa wakati ule (32%)Waliofuatia walisema Sababu kubwa ni kutaka kupata ladha Tofauti ya mwanamke (21%)Wengine walikiri kwamba wanaenda kununua sex kwa Sababu hawapati kile wanahitaji kutoka kwa wake zao nyumbani (20%)Wengine walikiri kwamba ni kwa Sababu wao wana fedha na Malaya wanapatikana bila Tatizo (15%)Asilimia 8 walikiri kwamba wananunua sex kwa Malaya kwa Sababu ya kufurahia tu sex (thrill/surprise)wanayopataNa asilimia 3 walikiri kwamba kununua sex kwa Malaya ni addiction ambayo imo ndani yao kama walivyo walevi au wavuta sigara.

Je, hawa wanaume hufanyia wapi hivi vitendo vyao ya kununua sex na Malaya?

Wengi walikiri kwamba sehemu ambazo unaweza kununua sex kwa Malaya ni kwenye danguro (60%), sehemu za kufanya massage (47%), wanaotoa huduma za kusindikiza (33%) na Saunas (27%).
Sehemu zingine ni makaburini, kwenye magari na wakati mwingine huchukuliwa majumbani kwa hao wanaume.

Hata hivyo cha ajabu ni kwamba hawa wanaume wanakiri kwamba kama Hakuna Malaya wa wao kununua sex wangeweza kubaka kama Hakuna kukamatwa na wanaamini kwamba hawa Malaya hawana haki au kuongea chochote wakati wa sex kwa kuwa wamewanunua.

Je, hawa wanaume hupata kitu gani kwa hawa Malaya wanaowauzia sex?

Wengi wanakiri kwamba Hakuna kipya wanakipata kwa hawa Malaya na baada ya sex hujikuta wapo empty moyoni, aibu na kujutia matumizi ovyo ya fedha hata hivyo cha ajabu pamoja na kujisikia vibaya bado wanaendelea kwenda kununua hiyo huduma.Hata hivyo wapo wanaume ambao wamekiri wazi kwamba hawajui namna ya kujihusisha na mwanamke na kufanya bonding ya mapenzi hivyo njia rahisi kwao ni kulipa na kumpata huyo Malaya.

Je, Malaya nao hufurahia sex Wakiwa na wateja wao

Mmoja ya mteja amesema si sahihi kwa Malaya kupata raha ya sex kwa kuwa hana haki Kwani ameuza na kazi yake ni kumpa raha aliyenunua vinginevyo utakuwa ni uchakachuaji.

Je, wanawake Malaya wana sifa Tofauti na wanawake wengine?

Wazoefu ya hiyo huduma wanakiri kwamba ni kweli wanao uwezo wa kufanya vitu ambavyo mwanamke wa kawaida hawezi kuvifanya kwa mwanaume vitendo ambavyo wengine huviona kama vinachefua.

Njia rahisi za Kumgeuza Rafiki kuwa ‘Mpenzi Wako’ wa Dhati

Kumpenda mtu ni kitu kingine lakini kumfanya awe na hisia kama zako juu yako ni kitu ambacho kinahitaji zaidi ya mahesabu na porojo za kumshawishi mtu huyo.Kwa bahati mbaya, wanaume au warembo wengi wamewahi kusikia karibu maneno yote yanayotafsriwa kama ‘kuimbisha au kutongoza’, jirani zetu wa Kenya wanaita ‘Kukatia’.Hivyo, Ni vigumu kumshawishi mtu kwa maneno yako kwa kumueleza sana kile unachokitaka kwake husasan ‘ghafla’.Ukiacha bahati ya kuvutiana ghafla (love in first place), uhusiano wa kimapenzi unazingatia ‘theories’ za kisayansi za uhusiano na jinsi ya kuuteka ubongo na hatimaye moyo wa mtu unayetaka kuwa naye, hususan ambaye mnaweza kuwasiliana kama marafiki

Tumia Mitandao ya Kijamii, Charting

Katika karne hii karibu warembo wote wako katika mitandao ya kijamii. Kama hawako Facebook, Ello na mingine basi simu zao za kiganjani huwa na app ya Whatsap. Fahamu rafiki yako huyo unayetaka kuwa naye anapendelea mtandao gani kati ya hiyo, ukifanikisha anza kuwasiliana naye. Mtumie jumbe zinazozaa jumbe kadhaa na kuvuta usikivu wa kuwasiliana. Anza kidogo kidogo kwa kumfahamu. Usiwe na haraka ya kutaka majibu. Endelea kuwasiliana naye taratibu lakini kila unachowasiliana naye hakikisha unakiwaza na kukipanga vizuri. Kupitia jumbe zako anaweza kuanza kuvutiwa kuwasiliana na wewe kama rafiki, na hapo unaweza kuendelea kudumisha mawasiliano na kuonesha ‘busara’, kujali na mengine kama anavyoonesha kusogea. Usikurupuke.Kwanini mitandao ya kijamii na sio jumbe za kawaida kwenye simu? Tafiti zinaonesha kuwa mitandao ya kijamii humvutia mtu kutuma jumbe na kufurahia mjadala zaidi ya jumbe za kawaida (SMS).

 Punguza umbali Kifkra na Kimazingira

Ukaribu katika mapenzi ni kitu kikubwa sana, anza kwanza kupunguza umbali wa kifikra kama huyo mtu yuko mbali. Tafuta kitu ambacho mnaweza kuwa na uhusiano nacho wote kwa karibu ili kiwaunganishe kifikra, iwe mtazamo, matarajio, historia zenu za maisha pamoja na mambo mengine. Hapa ni kuwa mbunifu.Kingine ni kupunguza umbali wa kimazingira, mfanye ahisi uko karibu naye hata kama yuko nje ya nchi. Mfanye ahisi wewe uko mlango wa pili tu na utapatikana haraka endapo atahitaji kuwa karibu na wewe moja kwa moja (Physically). Onesha upo. Umbali wa kifikra na mazingira ndio sababu inayofanya uhusiano kuvunjika. Kama mko karibu unaweza kuwa unamualika ‘chakula’ na matembezi na mkawa mnaendelea kuzungumza na kuwa karibu zaidi.

 Mwambie Mambo yote Kuhusu Wewe lakini sio ‘kila kitu’

Wengi hupenda kuwafahamu kiundani watu ambao wako nao karibu hasa katika uhusiano wenye muelekeo wa kimapenzi. Weka vitu vyako mezani. Lakini chagua kwa makini, mwambi ahisi umemwambia yote aliyotaka kufahamu kuhusu wewe, lakini usimwambie kila kitu kwa kuwa uwazi uliopitiliza utakukosesha ‘points nyingi’. Tunza maneno yako atamani kusikia zaidi kutoka kwako.

 Onesha Hisia Zako Kifikra zaidi ya Kivitendo

Mfanye ugundue hisia zako kwa kukutazama na kusikiliza maelezo ya kawaida unayoongea naye. Jinsi unavyomjali na mengine. ‘Mental Emotions’ zinashika zaidi na zina nguvu kuliko ‘physical emotions’. Mfanye atumie dakika zake kadhaa kukufikiria hata kabla hujamwambia ‘Nakupenda’. Kifikra utakuwa umeshasema mengi kwake na atabaki kuwa mchambuzi na ataanza kuvutika kwako.

  Adimika

Siku zote kitu adimu huengezeka thamani zaidi. Jitahidi kuwa adimu kwake wakati mwingine ili umpe nafasi ya kukumiss. Hisia zako zinaongea kwa sauti kubwa zaidi kwake. Ukiwa unapatikana kila wakati kwa ajili yake atafikia hatua hatakuwa na muda mzuri wa kuvuta fikra kukukumbuka.

Adimika ila usipotee.Tafiti zinaonesha kuwa watu waliotumia formula ya kuwafuatilia wasichana kwa muda na kisha kuacha nafasi ya siku kadhaa kabla hawawajawakumbushia, hujikuta katika wakati mzuri sana hasa kama walishatengeneza ukaribu. Hiyo humfanya msichana kuwa na hamu ya kutaka kusikia.Kumbuka kitu adimu ndicho chenye thamani zaidi. Hivyo, narudia ‘adimika’ lakini ‘u

Tatizo sio Size Ndogo ya Dudu lako Tatizo ni Kukosa Ubunifu

Maswali ambayo huwasumbua sana Wanandoa wengi na yamefika mezani kwa madaktari wa mambo ya afya na mahusiano ni kuhusu wanawake kutofika kileleni  na wanaume kumaliza haraka tendo la ndoa na pia, je kuna uhusiano wowote kati ya mwanamke kufika kileleni na size ya kiungo nyeti (Mashine) ya mwanaume?


Ukiangalia haraka unaweza kusema hayo mambo mawili yanafanana; kwani kama mwanaume anaweza kumaliza haraka (kukojoa au kufika kieleleni), ina maana ni dhahiri mwanamke atakosa kufika kilele kwani mwanaume anakuwa alishamaliza zamani,

Lakini ukweli ni kwamba kama mwanaume atamuandaa mwanamke vizuri basi hata kama huwa anawahi kumaliza haraka (dakika 2) itakuwa haina shida.
Pia watu bado wanajiuliza, ni size gani na urefu gani unafaa kwa kiungo nyeti cha mwanaume kuhakikisha mwanamke anafika kileleni?

Je ni udogo kiasi gani unafaa kumwezesha mwanamke kufika kileleni?
Wapo wanaume kutokana na walivyoumbwa kuwa na umbile dogo automatically hujasikia inferior au vibaya na kujiona kama vile hawana uwezo wa kuwapa wapenzi wao mapenzi halisi na kuwafikisha kule wanataka na matokeo yake wengi huwa hawapo wazi kujiachia kwa wake zao au wanaogopa hata wake zao kuona na kuwapa uhuru kukifurahia hicho kiungo nyeti na adimu wakati wa tendo la ndoa.


Kila mwanaume ana kiungo tofauti kama ilivyo kwa alama za vidole vilivyotofauti kwa kila binadamu.Ukubwa au kimo cha kiungo si msingi wa ufanisi wa utendaji wa tendo la ndoa bali muhusika mwenyewe ndiyo msingi wa mafanikio katika tendo la ndoa.Huhitaji kuwa mjinga kiasi hicho kudhani kwamba urefu au ufupi, unene au wembamba wa Mashine ndiyo unafanikisha mke wako wako au mpenzi wako kufikia kilele; badala yake unaweza kumsababishia maumivu na kumkosesha raha ya mapenzi.


Hata mwanaume mwenye Mashine ndogo anaweza kuwa mtaalamu wa kumfikisha mke wake katika furaha ya kweli katika tendo la ndoa.Njia pekee ni kijifunza jinsi ya kufanya mapenzi vizuri, jinsi ya kuwa partner mzuri.  

Huo ni mwili wako upende, jifunze kuutumia, jitahidi kuutumia kwa ubunifu na kwa kimahaba zaidi.Mbusu na kumpa mgusu wa mwili mpenzi wako kwa muda mrefu hadi unahakikisha amenyegeka vizuri kwa kumchezea sehemu zote ambazo ukimgusa anapata raha inayomuwezesha kuwa hot kwa kuwa ni partner wako; mwili wake wote ni mali yako na ni wewe, hivyo safiri kila sehemu ya kiungo cha mapenzi kwa kadri unavyoweza kuliko kukimbilia kumwingilia wakati hata hajanyegeka.


Amini, usiamini kila mwanamke anapenda mwanaume au mume ambaye ana kipaji, talent, ana ubunifu, aliyemtaalamu anayeweza kumpa mahaba ya uhakika na si kuwa na mashine kubwa tu bila ujuzi then baada ya dakika 2 upo pembeni unapiga usingizi wakati partner wako anaugulia kwa kuachwa kwenye mataaa.


Hapo ndipo utasikia mwanamke anasema hajisikii kama unampenda anaona kama vile unamtumia tu ili kutimiza matakwa yako ya mapenzi.
Kuwa na kiungo kidogo siyo kosa wala uhalifu bali umeumbwa hivyo na kuujua mwili wako na kujua majibu sahihi ya mahitaji ya kimahaba kwa mke wako hiyo ndiyo akili na unaonekana mwanaume Smart kwani wewe ndo unajua kupenda, unajua mapenzi.
Kuhusu mwanaume kumaliza haraka, pia si kosa wala uhalifu hata kukufanya ujione si lolote, badala yake elekeza jitihada katika kukabiliana na hilo tatizo na inawezekana kwa kupata ushauri wa daktari au kufanyiwa maombi.


Kitu cha msingi unatakiwa kujua kwamba kuna tofauti kubwa sana za kijinsia kati ya mwanaume na mwanamke.Kwa asili mwanaume hupenda mara mwanamke akiwa mtupu yeye mara moja aingize na kuendelea na mchezo wakati mwanamke yeye anahitaji maandalizi, jitahidi kuwa na muda wa kutosha wa foreplay kwa mke wako zaidi ya dakika 10-15 ili awe tayari kwa tendo la kuingiliwa na wewe.


Na kila mwanamke ana namna yake ya kufikishwa kwenye raha mwingine atapenda aina fulani ya mkao na mwingine atapenda aina nyingine ya mkao, mwingine atapenda achezewe ki…mi na mwingine atapenda achezewe maziwa, na mwingine atapenda sehemu nyingine hivyo mwanaume anahitaji kuwa mvumilivu na sharp kumsoma mke na kujua ni kitu gani anahitaji na wapi anahitaji kuguswa zaidi ili afike huko kunako raha yenyewe.

Pia mawasiliano wakati wa faragha yenyewe ni muhimu; kwa maneno na vitendo wengine hawasemi bali wanakuelekeza kwa mkono.

Kanuni Kumi ’10’ Muhimu za Kuwa Mke Mwema Katika Ndoa….Ukizishindwa Imekula Kwako

UHALISI WA MAISHA:
Maisha halisi ya mwanamke anayetarajia kuwa mke/ mke tayari hii ni kumaanisha kuwa wanawake mashujaa tunapaswa kuishi maisha ambayo yanatutambulisha kama mfano wa kuigwa ili tunapozungumza na kufundisha mabadiliko tuwe tunazungumza uhalisia wa maisha yetu ambao unajengwa na haya yafuatayo;

UVUMILIVU:
Kuwa mvumilivu katika maisha yake ya kila siku hasa ukizingatia kuwa tunakutana na mambo mbali mbali yasiyotuvutia katika mahusiano yetu, mengine ni magumu na yanayokwenda kinyume kabisa na matakwa yetu au mazoea yetu ya binafsi. Ifahamike kwamba wewe kama mwanamke shujaa inapotokea umekutana na mambo kama haya hupaswi kuonyesha hasira zako wazi wazi kama vile; chuki, kulaumu, ugomvi, vurugu, malalamiko, manung’uniko, machafuko, kulipa kisasi au aina yoyote ya uharibifu kutokea kwako au ndani mwako. Hivyo mwanamke shujaa huwa ni heri kila anapokuwa kwani hutunza amani ya eneo alipo.

UPENDO WA DHATI:
Maisha ya upendo wa halisi na sio wa kinafki kwa jamii inayomzunguka. Tabia ya upendo wa halisi ina thamani kubwa sana kuliko mali nyingi, pesa, elimu ya juu n.k. wewe unaweza kabisa kuwa na elimu ya juu sana na pesa nyingi sana lakini pasipo upendo wa halisi ni sawa na kusema kopo zuri kwa nje na ndani hamna kitu. Nguzo kuu ya maisha ya mwanamke shujaa ni Upendo wa dhati na uhalisia.

UTII KWA KWA JAMII:
Maisha halisi ya utii katika jamii inayokuzunguka  ili kuweza kuyafanyia kazi yale yote uliyojifunza na pia kuyatenda kwa ufasaha pasipo kupita kona yoyote. Utii  kwa jamii ni ufunguo mmoja wapo utakaokusaidia kufanikisha mambo yako na malengo yako kama mwanamke shujaa.

UAMINIFU KATIKA JAMII:
Kuishi maisha ya uaminifu wa kweli na uhalisia katika jamii inayomzunguka. Uaminifu wa kweli huonekana nyakati zote na siyo tu wakati mtu anapokuwa mbele za watu wanaomjua bali hata wale wasiomjua na hata anapokuwa mahali peke yake aweze kutunza uaminifu wake kwa faida ya jamii nzima. Mwanamke shujaa hujitahidi sana kutunza uaminifu wake katika sekta zote.

UNYENYEKEVU WA KWELI:
Kuishi maisha halisi kabisa ya unyenyekevu kwa jamii inayomzunguka, unyenyekevu ni kinyume kabisa na kiburi, majivuno, kujigamba, kujikweza, kujiinua, kujiona,na hata kjitanguliza mbele kwa kila jambo. Mwanamke shujaa huwa ni mnyenyekevu wakati wote na hana makuu daima.

UWAJIBIKAJI WA DHATI:
Maisha halisi ya uwajibikaji akiangalia majukumu yake yote yanayomkabili na kuhakikisha anafanya kwa moyo bila kuwa na tabia ya kusaidiwa majukumu yake. Mwanamke shujaa ni mfano wa kuigwa kutokana na uwajibikaji wake.

USHIRIKIANO WA DHATI:
Ushirikiano katika jamii inayomzunguka. Sisi wanawake mashujaa yatupasa kujua dhahiri kuwa kazi ya kubadili tabia na kufanya wengine wabadilike kwa lengo la kupata familia bora ni lazima kuwa na ushirikiano wa kweli ambao utajenga tabia ya kuaminiana na kunai mamoja katika harakati hizi za kuandaa/ kujenga familia bora.

UTARATIBU WA KAZI/MPANGILIO:
Katika utaratibu wa maisha yake, pamoja na mpangilio mzuri wa mambo yanayomzunguka hii itakusaidia kuwa na muda mzuri wa kufanya shughuli zako na pia kutekeleza majukumu yako ya kila siku kama mwanamke shujaa. Hakuna njia yoyote ya kukuwezesha kukua na kuendelea katika maisha yako bila kuwa na utaratibu na mpangilio wa mambo yako.

KUFANYA TATHIMINI:
Kuweza kufanya tathimini ya yale yote anayoyafanya katika maisha yake ya kila siku, pengine ni mfanyabiashara, mfanyakazi, mkulima n.k kama mwanamke shujaa yakupasa kutathimini shughuli zako kama zina leta faida/hasara kwa familia na jamii yako inayokuzunguka. Ukiona faida ni kubwa unaendelea na hiyo shughuli lakini kama hasara ni kubwa unajiweka katika nafasi ya kubadilisha aina ya shughuli mara moja bila kupoteza wakati.

ZIJUE SABABU HIZI ZINAZOFANYA WANAWAKE WAVAE NUSU UCHI

Wengi hudhani wanawake wengi wanaovaa nguo zinazoonesha sehemu kubwa ya mwili(nusu uchi) huwa wanajiuza. Ukweli ni kuwa hiyo ni sababu mojawapo.

Wanawake wa kundi hili huvaa nguo zinazoonesha mapaja, kuta za matiti, mgongo au kitovu wakiamini huwavutia wanaume na watawatongoza na kufanya biashara yao ya ngono.

Lakini kuna sababu KUUSababu ni kuwa wengi huwa wanavaa vijinguo hivyo ili kuficha udhaifu wa maumbile yao.-

Mathalani msichana huyo yeye mwenyewe akadhani na kuamini kuwa ana sura mbaya, hivyo suluhu yake ya kuficha udhaifu huo ni kuvaa nguo zinazoacha sehemu kubwa ya mwili wazi ili kutoa ujumbe kuwa “japo nina sura mbaya lakini miguu, tumbo, au matiti yangu mazuri”. Lengo ni kuonesha kuwa japo ana sura mbaya lakini ana sehemu nyingine nzuri na zinazovutia.-

Au labla binti mzuri wa sura na natural color, lakini hajaolewa. Naye anaweza kuvaa nusu uchi ili kuleta ujumbe kuwa “japo sijaolewa lakini mimi ni mzuri wa sura na viungo vyangu vingine” ili tu kuwavutia wanaume aidha wasione udhaifu wake wa kutoolewa na/au atongozwe.


-Kuna kundi la mwisho wao huvaa nusu uchi kwa vile tu labla anaona rafiki zake wanavaa nguo fupi na wanaambizana wanapendeza. Mfano: binti yuko chuo na akaona wenzio wanavaa nguo fupi na kila mmoja wao akivaa nguo fupi anaambiwa

“UMEPENDEZA” hakika hapo binti hujikuta anatafuta vijinguo vya ajabu ili afanane na wenzio “waliopendeza”.Watu hudhani kuwa mavazi huwasilisha tabia.

Mfano binti akivaa nusu uchi basi huwa malaya, ukweli ni kuwa mabinti wengi huamini kwa kuvaa nusu uchi watakuwa wameficha udhaifu wao na watakuwa wametoa ujumbe kuwa “kama sina sura nina hiki kizuri”.

Chukulia utafiti wa haraka mabinti wengi wenye makalio makubwa huwa na watu huamini wana sura mbaya, kwa kuonesha kuwa wao hawajakosa vyote huvaa suruali za kubana au sketi fupi ili “shughuli” ionekane nyuma.ya wanawake wengi kuvaa nguo za nusu uchi.

SMS Ambayo Itamfanya Mwanamke Akutamani

Unaweza dhania kuwa kutuma ujumbe mfupi kwa mwanamke ili umsisimue haifai. Lakini kusema kwa hakika, inawezekana kumtumia mwanamke SMS ambayo inaweza kumsisimua na pia kupata atenshen kutoka kwake. 🔥♥♥♥

Hii inaweza kufanya kazi vizuri iwapo umeingiwa na kibaridi cha kuongea na mwanamke moja kwa moja.Kabla ujumbe ufupi kuvumbuliwa, wanaume walikuwa wakifuata mbinu nyingine kuonyesha kuwa wamevutiwa na wanawake waliowapenda. 🔥♥♥♥

Walikuwa wakituma barua, kuambia rafiki wa rafiki zao ama kuwafuata na kuwapigia mbinja majumbani mwao. Lakini kwa bahati nzuri, hivi sasa kuna SMS, ambazo zina uwezo wa kutuma ujumbe mfupi hapo kwa hapo kwa mwanamke ili kurahisisha kazi yako ya kutongoza.🔥♥♥♥


Kabla hujaanza kumvutia mwanamke, ni lazima kwanza umfanye akutambue kwa njia chanya kwanza. Mwanzo haupaswi kutumia SMS kumsisimua mwanamke mpaka ile siku ambayo utapata kumsoma na kumjua zaidi.🔥♥♥♥

Lazima ujipatie muda ili ujenge connection kati ya nyinyi wawili ili iweze kufanya kazi. Kufanya hivi kutatoa picha ambayo itajijenga katika akili yake wakati munatumiana jumbe za kimapenzi. Kama ulimpendeza sana ile mara ya kwanza alipokupatia namba yake ya simu, basi itakuwa rahisi kwa mpangilio wako uende sambamba kama vile unavyotarajia.🔥♥♥♥

Lazima ujipatie muda ili ujenge connection kati ya nyinyi wawili ili iweze kufanya kazi. Kufanya hivi kutatoa picha ambayo itajijenga katika akili yake wakati munatumiana jumbe za kimapenzi. Kama ulimpendeza sana ile mara ya kwanza alipokupatia namba yake ya simu, basi itakuwa rahisi kwa mpangilio wako uende sambamba kama vile unavyotarajia.🔥♥♥♥


Pindi utakapoingia katika level  nyingine ya kuliwazika na huyu mwanamke ambaye unamrushia mistari, mwonyeshe vile ambavyo umependezwa na yeye kwa kumsifu.🔥♥♥♥

Hakikisha kuwa unakuwa mpole katika SMS zako pia. Kama yuko darasani au kazini, usimtumie jumbe mpaka ule wakati ambao yuko huru na makini wa kujibu texts zako.🔥♥♥♥


Kama hujui ni wakati gani atakuwa yuko free, unaweza kujaribu kumtext wakati uo huo ambapo amekupatia namba yake ya simu (hakikisha una makinika kama utaamua kumtumia jumbe wakati uo huo ili usionekane kuwa una uhitaji mwingi).🔥♥♥♥

Vizuri zaidi wakati unapomtumia huo ujumbe unapaswa umsifie kwa jambo ambalo umeliona wakati ambapo ulikuwa naye awali. Mfano unaweza kumsifia kitu ambacho ulikiona kama vile nguo nzuri, tabasamu lake, macho, mawazo yake nk. 🔥♥♥♥

Jaribu kuhepa kugusia umbo lake wakati huo.
Kama umekuwa mkitumiana jumbe kwa muda sasa na mumetoka deti mara moja au mbili, unaweza kuanza kuingiza na kugusia maswala ya mapenzi katika SMS zenu ili kuanza kupasha misuli kwa mambo ambayo unamwandalia usoni.🔥♥♥♥


Kutokana na mistari ambayo umekuwa ukiisoma kwa mitandao ama kuiskia kwa marafiki zako, unaweza kuanza kumtext mwanamke huyu mara moja moja huku ukitulia ukiskilizia kama atakujibu kwa kukubaliana nawe ama kukupinga. 🔥♥♥♥

Ukiona kama kila ujumbe anaoujibu anajibu kwa njia chanya, basi ni wakati wa kwako usichelewe tena bali uhakikishe ya kuwa unatumia mbinu ambayo utaingiza mawazo yako kwa akili yake na hatokusahau milele – huwezi jua, labda meseji utakayomtumia baadaye itakuwa ndio meseji ya kumfanya ajeuke kuwa mpenzi wako. 🔥♥♥♥

Design a site like this with WordPress.com
Get started