Najua kila mmoja ana malengo na mahusiano yake,,,ni vizuri lakini kuna jambo moja ambalo naomba Mungu akusaidie,,kuna watu wana maneno mengi sana,wanapenda kujionyesha kwa watu,kujitangaza na kujisifia lakini hawaishi sawa na wanavyoongea,,na ndo hapo dada usipokuwa makini unaingia kirahisi na ahadi kibao na sifa kibao,,kakusifia kumbe mtu huyo ni wa mdomoni na siyo vitendo,,jifunze na …
Continue reading “JITAHIDI UISHI KATIKA UHARISIA KATIKA MAHUSIANO”